HAPA NDIPO ALIPOANZIA BAKHRESA KUSHONA VIATU KARIAKOO, HUYU HAPA ALIEANZA NAE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2019
  • #millardayo#AyoTVEXCLUSIVE#Bakhresa
    Ayo TV, millardayo.com imekutana na Mzee Ally Msusa ambaye amekuwepo tangu Mzee Bakhresa anaanza na biashara yake ya kwanza ya kushona viatu mtaa wa Agrey na Livinstone Dar es Salaam miaka ya 1970, ametuonesha eneo alipoanzia Bilionea huyo.

КОМЕНТАРІ • 549

  • @patricemacky1164
    @patricemacky1164 4 роки тому +414

    Nimekuja kuiangalia hii taarifa kwakua imetolewa na millard ayo ila ingekua tv nyingine wala nisingefikiria hata kubonyeza.kama unakubalia namimi gonga like.

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 4 роки тому +125

    Hiyi interview yte watu wamekosa kugundua kitu kikubwa mno kutoka kwa huyu Mzee, huyu Mzee inaonaonekana Mungu kampa kipaji cha kukinai, wallah ingelikuwa ni mswahili mwengine apo ungemsikia tu "tumekula msoto pamoja ila anashindwa kunisaidia mtaji" ila Mzee hana shobo hizo yaani mwenyewe karidhika na kuokota mabox akiuza pamoja na miwa kama ckupewa hili koromeo la kiume, ningelia kama mtoto leo kwa imani nilomuonea huyu Mzee, yaa Allah! Tukoseshe yte hapa duniani ila utupe msimamo wa ibada na roho zenye kinai

    • @hajjiqasim5977
      @hajjiqasim5977 4 роки тому +3

      Mashaallah nimependa sana hilo

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 роки тому +3

      Watu wa zamani walikuwa na aibu sana ya kuombaomba hiyo iliwasaidia sana kutunza utu wawo.
      Lakini ingekuwa hawa vijana wa sasa loh utawakimbia

    • @kamanda007
      @kamanda007 4 роки тому +5

      Kweli kabisa na inaonekana mungu kampa afya nzuri maana kwa miaka 81 anaonekana vizuri sana na kichwa inakumbuka vizuri sana, mungu aendelee kumweka vizuri tuu

    • @rizwanamo5hidaya75
      @rizwanamo5hidaya75 3 роки тому

      @@kamanda007 amin

    • @fizomedia5112
      @fizomedia5112 3 роки тому +1

      Ka jamaa umesema point kwelikweli yan

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 4 роки тому +136

    81yrs and he is very strong Mashaallah Allah akupe nguvu zaidi Mzee

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 4 роки тому +1

      Ni kumushukuru tuu mungu baba angu now katimiza miaka 78 na bado yupo strong kabisaa

    • @seifmassoud2686
      @seifmassoud2686 4 роки тому

      Swaumu Kea keel 2 much Keya, yeah

    • @yascomdoe5686
      @yascomdoe5686 4 роки тому

      Broo tupunguz na hii michez mipya
      Punyeto
      Na hata ngoni za mara kwa mara
      Then tujitahid san kuwaig wazee wet vykul walivyokuwa wanakula naamin tutafik ata 70 iv

    • @yascomdoe5686
      @yascomdoe5686 4 роки тому

      Pia dua muimu

    • @Rashidmhedhery
      @Rashidmhedhery 4 роки тому

      yasco mdoe ; wewe ni ng’ombe!

  • @ramamtetu2327
    @ramamtetu2327 4 роки тому +31

    Kama Umesikia Mzee Wa Mjini kasema Siwezi kuhesabu Mifuko nahesabu hela , Elfu saba, Nane
    gonga like hapa twende Sawa

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 4 роки тому +3

    Allah anasema anae pewa hekima bas kapewa kitu kikubwa na anae kinae bas atafaulu baba umekinae Allah akuzidishie huna wasi wasi moyo umepoa masha Allah

  • @mc9diabeticclinic392
    @mc9diabeticclinic392 4 роки тому +80

    M nimejifunza kuwa na moyo wa kutoa kwa ajili ya MUNGU utafanikiwa sana

  • @mustayoo
    @mustayoo 4 роки тому +20

    Allah anamruzuku anae mtaka bila kipimu.mungu amuongezee bakresa na sisi pia atupe

  • @godifreypaul9409
    @godifreypaul9409 4 роки тому +15

    Viatu gia tu kama ilivyo gia namba moja ya gari.Gia namba 2 sukari gunia 200 bila VAT,yaani gia bila kukanyaga cluch.Gia namba 3 kuvua samaki,gia namba 4 hoteli.Na zamani gari nyingi zilikuwa na gia 4 ya 5 ni rivers Hivyo alirudi kwenye gia namba 2 ambayo ni gunia 200 baada ya Mzee Nyerere kustafu ikaja ruksa.Kwa hiyo alikuwa anacheza na gia tu,mpaka hapo alipo sasa. Pili hakuwa na roho mbaya,alisaidia watu kwa kadiri Mungu alivyomjalia.Hata mke wake ni mchango mkubwa sana.Maana alikuwa anamtia moyo.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 роки тому +2

    Ni bora muwaulize watu wa Zanzibar (Unguja) kuhusu Bwana Bakhresa watakuwa wanajuwa zaidi kuhusu Bakhrasa . Ni mtu hodari wa kazi kutafuta maisha. Na mengi sana. Mungu amhifadhi na ambariki. kwa sote....

  • @kisukikalimkunaji1263
    @kisukikalimkunaji1263 4 роки тому +8

    Miaka 15 anashona viatu lakin siku izi vijana tunataka maendeleo ya haraka kupita maelezo tunaajiriwa tuna mwaka Mara tunataka kujenga kwa feza za kumuibia muajiri wako mwisho hufanikishi na kibarua huna unabaki unatangatanga hii interview imenifunza jinsi ya kuwa mvumilivu kwenye maisha Allah anipe mwisho mwema inshaallah

    • @user-sk1yd4pw1v
      @user-sk1yd4pw1v 2 місяці тому

      Acha kuongea mbanga wewe unafikili Kuna Tajiri anajali wewe unapitia nini ukiona anaibiwa na yeye ni zuruma ishi maisha yako kama ujawai kupita misoto ya waajiri wa nchi hii

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 4 роки тому +58

    Bakhresa wazee wake walimlea Mh Rais wa kwanza wa Zanzibar kabla ya kuwa Rais huko Mwera Zanzibar, baaada ya kuwa Rais kuna tukio lilitokea kwa mzee wake bakhresa ambae alikua hawezi kuona vizuri ambapo alipata ajali na kwa bahati mbaya na kupelekea kuupoteza uhai wake, aliposikia Mh Karume alisikitishwa sn na tukio hilo ndo ikambidi kuwapatia pesa ya kina Bakhresa yaani bkharesa mwenyewe na kakaake Mohamed Bakhresa ndio akanza kufanya biashara hiyo ya kushona viatu huko Zanzibar karibu na kwao Mbuyuni, baadae akahamia Dar es salam kuendeleza biashara yake, hiyo, Allah amzidishie na wengine ambao wanatamani kuwa km yeye, pia Allah amzidishie na huyu mzee wetu pa1 na afya njema Inshallah

  • @shinoneydah4524
    @shinoneydah4524 4 роки тому +24

    kama waamini mungu akupi unachotaka na kukiomba anakupa anachotaka yeye gonga lyje apa

  • @omaryshafii1174
    @omaryshafii1174 4 роки тому +1

    Bakhresa muangalie mzee mwenzio usisubiri afe najua utakuwa umemsaidia lkn mfanyie kitu cha kuweza kukukumbuka... Allah akizidishie Said Bakhresa

  • @fintaniferx9535
    @fintaniferx9535 4 роки тому +4

    Mungu awalinde nyote uyu mzee na mzee bakelesa mungu awalinde tuombeane jamani amina

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 4 роки тому +11

    Asante mzee kwa ushuhuda japo ni vyema yeye mwenyewe muhusika akajishuhudia,ingawa amekuwa Kama tajiri aliye mafichoni au uhamishoni tofauti na matajiri wakubwa hata zaidi yake duniani.ndo maana hata baadhi wanasita kuamini asili ya utajr wake. Binafs Jack ma ni miongon mwa matajr wachesh ninayependezwa naye.

    • @nurumuna7297
      @nurumuna7297 4 роки тому

      kaka watu hawawezi fanana wote hiyo ni tabia yake - nani vizuri tu mi naona watu wakakushuhudia kuliko kujishuhudia mwenyewe ..

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 роки тому +9

    Nimejifunza kitu hapa. Usikate tamaa na Utowe sadaka kwa Ajiri ya Mungu.Mungu Atakupa M badara wake.InshaAllah Allah Atufanyie wepesi sote .

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 4 роки тому +60

    kuwa tajiri mkubwa inawezekana kabisa/1.zitambue nguvu za asili za ulimwengu/2.fanya kazi kwa malengo makubwa ya kimkakati/nidhamu/muda/akiba.,,,,,,,,,,,,,,gonga like kama unaamini

    • @elishaalex1747
      @elishaalex1747 4 роки тому

      Hapo kwenye nguvu za asili bro hapo sijakuelewa

    • @imagepower3641
      @imagepower3641 4 роки тому

      @@elishaalex1747 ulimwengu wa roho.(spirit realm)

    • @imagepower3641
      @imagepower3641 4 роки тому +3

      Dunia hii tunamoishi inapokea nguvu na maamuzi yote kutoka katika ulimwengu wa roho,huwezi kufanikiwa kufika lever za juu kwa ujanja tu ,lazima ama umshirikishe mungu mwenyewe au viumbe waasi.

    • @bariuezekiel5841
      @bariuezekiel5841 4 роки тому

      @@imagepower3641 kweli hapo kaka

    • @sanifumedia9614
      @sanifumedia9614 4 роки тому

      Hata hii sunset TZ ni noumaa

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 3 роки тому +3

    Jamani katika kazi hakuna ushirikina muacheni milad ayo azidi kuwa juu maana kazi zake sio za kubahatisha wala kuandika kitu ambacho huta kikuta katika vidio zake kitakacho andikwa basi ndicho kilichomo hongera sana sana kaka mungu akubariki chapa kazi ukituma tutaangalia wasio taka kujua ukweli wakafuata mitandao ya kuwadanganya wasikutishe hawakuwezi hata wafanyaje

  • @GHOST-gc8ju
    @GHOST-gc8ju 4 роки тому +61

    Mliyemuhoji mtu sahihi kabisa

  • @mwajabuhamis6234
    @mwajabuhamis6234 3 роки тому +4

    Allah amlipe huyu baba aliyehojiwa inshaallah Hana roho ya ubinafsi kabisa

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 Рік тому +1

    100%√
    Ukinyosha mkono unabarikiwa zaidi.
    Ukikunja mkono riziki inabana.

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 4 роки тому +26

    Nyie wengine wote mmekuja tu Dar. Mzee kazaliwa downtown na anazeekea downtown :)

  • @godblessmushi2219
    @godblessmushi2219 4 роки тому +48

    Mnasema haiwezekani maana mmeshakata tamaa ya maisha,,, kumbuka kila kitu kinawezekana hakuna mtu aliyekuja na kitu

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 4 роки тому +1

      Kweli vyote tunavikuta duniani

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 роки тому +1

      🙌

    • @godblessmushi2219
      @godblessmushi2219 4 роки тому

      @@maryammaram2612 👍

    • @yusufally6853
      @yusufally6853 4 роки тому +2

      Godbless Mushi ..yaaan kaka big like ur name Gobbles mashallah una IQ..and thinking capacity never die poor br.

    • @yusufally6853
      @yusufally6853 4 роки тому +2

      True be Godbless.

  • @abdulazeeznaaswir4518
    @abdulazeeznaaswir4518 4 роки тому +5

    Mtangazaji hongera sana

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 4 роки тому +12

    Ama kweli maisha ni safari ndefu mno,kwani hata wazamia lulu(wazibua vyoo)mwanzoni walokua na ndoto za kua matajiri wakubwa ila ndio kila mja mungu ameshamuekea riski yake,maana huyu mzee pamoja na ukaribu huo wake yy mua mpaka leo hajaubrandi,namuomba bakhresa amkuze rafki yake kibiashara😀😀😀😀 nae atajike

  • @kijubakidiza730
    @kijubakidiza730 4 роки тому +14

    Mzeee mungu akujalie ujaficha kitu sema hapo kwa manara umenikosha

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 4 роки тому +8

    Katika maisha usikate tamaa ila bakheresa amepita mbali mpaka akafanikiwa anaeamini agonge Like chini

  • @noortvborder7369
    @noortvborder7369 2 роки тому

    Mungu ampe bakherasa maisha marefu mashaallah ana roho nzuri

  • @sayman158
    @sayman158 4 роки тому +11

    Hiyo ni.miaka ya 1970's...ila sasa hivi wewe shona viatu tuone kama utakuja kuwa bakhresa...kipind hicho matajiri walikuwa wachache na fursa zilikuwa nyingii...sasa hivii hapana kwa kweliii....🙌🙌

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому +2

      Kwa vyovyote vile kulikuwa na dili zingine!!!

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 4 роки тому +1

      Kabisaaa saidi

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 роки тому

      Wewe usiwe muoga wa maisha, mtegemee Allah wangapi wa jana na juzi wako vizuri, uaminifu, ukweli ndo mtaji, fikra sahihi huleta matendo na matokeo sahihi, ukifikiri kimakosa utaenda kimakosa na matokeo ni makosa, kitume kichwa tafakari hakuna lisilowezekana mtangulize Allah na u jiamini inawezekana

    • @sayman158
      @sayman158 2 роки тому

      @@mohamedsheikh6618 Allah tunamtegemea a ndie anaekadiria maisha yetu.lakin mimi sio muoga na pia nimezungumzia uhalisia...kila mtu anajua uhakisia wake na uwezo wake wa kiuchumi...Mengneo ni tunaongea tu kiimani,,ila imani pia inataka mtu ujiambue na Uwe na akili za kufanya kazi kwa usahihi

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 роки тому

      @@sayman158 wewe kama umeelewa inatosha, chapa kazi, heshimu wakati, heshimu taratibu zako kufa.nikiwa au la hiyo ni siri ya Allah usibweteke wala usiangalie mtu kila mtu kivyake kama sura zetu, pambana, kuwa mwaminifu na mkweli you will be champion, nothing else

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 4 роки тому +6

    daaaaah huyu jamaaa anahadisia vizue saaf sana milad ayoo mana chaneli zingine zinaweka picha ukiingia unakutana kingine good kwenu milaa ayoo

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 роки тому

    Barhesa tafuta mtaalam mzuri wa kuabdika.historia yako sasa. Mungu alikujalia kuweza kufikia hapo ulipo na umeweza kufanya maajabu ktk biashara. Hakuna aliyeamini lawalawa tamtam ice cream nk vinaweza kumtoamo mtu. Mf ukwaju ulikuwa umedharaulika. Ni utundu wa kibiashara unafa kuigwa. Hongera sana.

  • @iddiking6963
    @iddiking6963 4 роки тому +6

    Km unaamini maisha ni mzunguko ht ww ipo siku utakuwa km huyo tajiri twende kazi🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vickykassumy1630
    @vickykassumy1630 3 роки тому +1

    Mzee wa taun,hongera hupindishi maneno🙏🏼

  • @immamrema2288
    @immamrema2288 4 роки тому +31

    Kumbe bakresa simba ndo nimejua leo ❤️

  • @Patrick-fo1qb
    @Patrick-fo1qb 4 роки тому +3

    Anae amini zamani hakukua na tuma na ya kutolea ndo maana barhesa alitoboa gonga like

  • @afamatv4848
    @afamatv4848 4 роки тому +12

    Infact nothing easy we must struggle. "No pain no gain"

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 2 роки тому +1

    Mungu aendelee kumuongezea iliaendelee kuwasaidia na wengine!!

  • @dshynermcongo1564
    @dshynermcongo1564 4 роки тому +17

    Ni vema kumpa mtu sifa kabla hajafa hongereniii

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 2 роки тому +1

    *Mzee hali yako siyo mbaya uko sawa shukuru mungu!* 😊

  • @hanankhalifa8309
    @hanankhalifa8309 4 роки тому +4

    Ma shaa Allah unapotoa kwa ajil ya Allah bs jua Allah anakuongezea zaid na zaid.... Na hata ww chunguza ukitoa japo sh.50 bs unapata zaid y hyo hata nguo.

  • @mbaroukali9758
    @mbaroukali9758 4 роки тому +6

    Allah amzaidishie

  • @yussufabdul-rahman5601
    @yussufabdul-rahman5601 4 роки тому +8

    Bakhresa Anawalipa kla mwsho wa mwezi wezke wote aliocheza nao kwa mbuyuni,malindi na mchangani Zanzibar. Na wnpta kuwasomshea watoto wao kptia icho icho wnchopewa pia ameweza kutoa ajira kwa watoto wengi wa kizanzibar, nakutngneza mckti. Mengi ktk mjii wa Zanzibar na kuwalpa maimamu,wadhini na wanaosafsha mckti na kla ktu knacho husiana na mckti hutoa yy,na kila ikifika ckuku ya idii hutoa pesa kwa watu.mungu ampe khatima njema na awe na moyo uwo uwo wa kutoa zaidi na zaidi

  • @drnickysarapion134
    @drnickysarapion134 4 роки тому +4

    Very inspirational

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +81

    Ili utoboe kwenye hili life nilazima kupamban🙆

  • @luhanchen7824
    @luhanchen7824 4 роки тому +14

    Allah insist people to be tollerant..Almost 15 years man stay as a show shiner 🙏🙏

    • @riphatmuhene9615
      @riphatmuhene9615 4 роки тому

      Sawa lkn bro Bakhresa Kihistoria alisaidiwa na Mzee karume rais wa Zanzibar na kipindi kile ilikua ukiwa na mali basi biashara unatusua. Walisaidiwa na ndo sababu ya kutisua.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 роки тому

      Kwa siku alikuwa anashona viatu vingapi lo msidanganyike

    • @luhanchen7824
      @luhanchen7824 4 роки тому

      @@blandinamwarabu5025 kamulize babak0,,,👎😔 🖕

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 3 роки тому

      Shoe shiner...malaka

  • @ampelibasimaki4114
    @ampelibasimaki4114 4 роки тому +2

    Inatufundisha katika maisha ishi kwa wema na kila mtu, hujui kesho atakuwa nani!

  • @bressfabians4537
    @bressfabians4537 4 роки тому +45

    Bongo watu wanatoka mbali usifikilie freemanson maza faka 😆😂😅😁

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 4 роки тому

      bress fabians hashuolo kwan hakharesa mbongo huyo kuyalo huyu ni Mzanzibari pure na kuanzia kwao Zanzibari hyu hajui kit ila sahv anchukuwa bara anaweka kwao Zanzibari Hahahahahaha

    • @anelkaking9342
      @anelkaking9342 4 роки тому

      Sure.umenena.

    • @fatmamwinyi8102
      @fatmamwinyi8102 4 роки тому

      Ahmed Albahry hovyooo jahil ww

    • @mweucchunda4244
      @mweucchunda4244 3 роки тому

      Huyu ndo backhresa wa Azam yule tajir wa Tim ya azam?

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 3 роки тому

      Ila watu wa zanzibar akili ziro kweli Kwan apo ye kasema je mtazid kuwa watumwa

  • @asyaibrahim1504
    @asyaibrahim1504 4 роки тому +1

    Napenda Sana taarifa zenu nizauhakika hamudanganyi

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 4 роки тому +15

    Simbaaaaaa,Nguvu moja.

  • @salimmachila5736
    @salimmachila5736 4 роки тому +3

    Respect kwa huyu mzee

  • @nadiafahad3926
    @nadiafahad3926 Рік тому

    Masha Allah nimependa maongezi ya uyu baba angu ni mtu alie kinai wallah

  • @user-tf8qx4us5b
    @user-tf8qx4us5b 4 роки тому +3

    MashaAllah.

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 3 роки тому +1

    Mashaallah mzee bado yupo fiti kabisa mashaallah

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 4 роки тому +62

    Huyu mzee picha linaanza kazaliwa town

    • @shahamtindo
      @shahamtindo 4 роки тому

      Mzee wa Mjini huyo

    • @joycenganyule3231
      @joycenganyule3231 4 роки тому

      kaachwa mbali saaana so kabaki na historia kweli akili ni nywele kila mtu ana zake

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 4 роки тому +2

      Joyce Nganyule
      NI KWELI, LAKINI WOTE WENYE BUSARA HUONA NA KUBAKI KIMYA, HUENDA NA WEWE KUNA WATU WAMEKUPITA SANA NA ULISOMA NAO, NA KAMA NOW UPO KILELE OMBA YASIKUKUTE🤔

    • @yaedlifemedia3203
      @yaedlifemedia3203 4 роки тому +1

      uyu tumuie babu town😅😅😅 toka enz izo yeye na baharesa marafik aisee sifa njema anastahiki aliye tuumba.mzee bado strong kabisa aisee na umli miaka 81.

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 роки тому

      Lol

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 4 роки тому

    Dah! uyumzeee anakinaa yaroho kinaa yaroho nimojakatiyahatuwa ktk maisha mungu mbarikiuyu babu umpekilala kheri

  • @Mr_Africanman
    @Mr_Africanman 4 роки тому +1

    Safi ,hard work pays

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 3 роки тому

    Mungu akubariki Mzee wangu unaongea vzr bila uoga wala kinyongo wala matamanio

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 4 роки тому +6

    Mzee Bakhresa ikikupendeza muwezeshe huyu mzee mwenzio naye hata asitajirike sana lakini angalau amalizie malizie na maisha ya furaha kumbuka mliko toka inawaza kuwa anaona haya kukuomba mpaka augue wewe fanya kher kwa mtani na rafiki yako.

  • @ashwaagkarama1588
    @ashwaagkarama1588 4 роки тому

    Masha Allah 🤲

  • @rogersmasofa6549
    @rogersmasofa6549 4 роки тому +20

    gonga like kama umelisikia neno kula kulala

  • @galachagalacha1808
    @galachagalacha1808 2 роки тому

    Mungu awajaliee awaweke miaka miamoja asanteee

  • @kingpesapesha2597
    @kingpesapesha2597 4 роки тому +1

    Nakutakia maisha marefu mzeee

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 4 роки тому +1

    very charming

  • @priskasantony5392
    @priskasantony5392 4 роки тому +11

    Nd zangu ni kweli hii stori huku zanbari suma ni tajiri na kaanzia kuuza kahawa tu

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 роки тому

    Mngemhoji Bakhresa mwenyew

  • @luvangakalinga8698
    @luvangakalinga8698 4 роки тому +2

    Namfahamu huyu mzee toka miaka ya 90 anakuaga opposite na ofisi ya azam hapo alikuwa anauza miwa na tulikuwa tukitoka kununua mikate na ice cream mzee alikuwa anatupeleka kwa huyu mzee tunamsalimia na alikuwa akitusisitiza tusome sana kwa bidiii

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 3 роки тому

    Milad ayo utaendelea kuwa juu na mungu akuzidishie upeo wa ko wa kazi yako nandio maana watu wanakufuatilia sana kaka hongera sana ila hao wajinga wengine unacho kisoma tofauti na unacho kiangalia ila ww hakuna kama ww

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому +1

    Inshaallah kher, Ila sishangai Sana Saidi ndugu zake wanavisima vya mafuta omani,ilo mlijuwe.

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 2 роки тому +10

    Huyo babu ...namfahamu kitambo ....anauza miwa mtaa wa living ston ...pembeni ya bakhresa... siku moja niliwahi piga nae story ...akaniambia mwanangu kikubwa ukijaliwa kupata ridhki.. kula kdogo weka ....baada ya kuweka tafuta ardhi nunuwa kisha jenga nyumba usipokuwa na sehemu yako unayo imiliki mwenyewe hata watoto wako uliowazaa mwenyewe watakuzarau sn. ...

  • @bonabonala42
    @bonabonala42 3 роки тому

    Bakhresa mungu anakutumiaa ubarikiwe

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 роки тому +2

    Allah amjaalie kher mzee wetu bakhresa

  • @andrewjuma2485
    @andrewjuma2485 4 роки тому +1

    Nice interview 👌

  • @nahime9907
    @nahime9907 4 роки тому

    Nashindwa kitu kimoja...huyu bakhresa millionea mungu akustiri...yaani huyu baba mulikotoka ni mbali mno..ila ulishindwa kumstiri jirani yako mpendwa... baba wawatu mpaka kafika umri 81 mungu akueke na akubariki uwe na moyo uliotosheka ....

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 4 роки тому

    barikiwa sana

  • @stevoeligwe859
    @stevoeligwe859 4 роки тому +6

    Kama wewe ume zaliwa k/koo gonga like tujuane.

  • @defxtro
    @defxtro 4 роки тому

    Safi sana mzee

  • @alemalmaz9466
    @alemalmaz9466 4 роки тому

    Tithing/Sadaqa uwe mwislamu au mkristo toa sadaqa uone tofauti the likes of bakhresa and bamburi cement they will never go bankrupt from that one thing.

  • @geraldjoel5727
    @geraldjoel5727 4 роки тому +33

    Kumbe bhakresa naye ni simba ndio najua Leo ase

    • @angelmhina5072
      @angelmhina5072 4 роки тому

      Kuna kipindi alitkaga simba iwe chini yake viongoz wa simba wakagoma ndio akaamua kuanzisha timu yake

    • @stephanonyogoto6421
      @stephanonyogoto6421 4 роки тому

      Kabla ya Azam alitaka kuinunua Simba wakamzingua na alishawahi kuwa kiongozi ndani ya Simba. Yule ni mnyama lialia

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 роки тому +9

    Leo mulimkuta kigogo kwel kwel
    Duh Mzee SAID LEO kaanikwa
    Adharan kwel kwel

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 4 роки тому

      Kamuanika jamali. Ati yeye kula kulala tu. Hafanyi chochote lol

  • @jajipeter4873
    @jajipeter4873 4 роки тому +28

    Wato wapo sooo negative...huyu mzee hanasababu ya kudanganya.

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 4 роки тому +11

    Basi Bakhresa ampe mtaji huyo mzee

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 роки тому

    mashaAllah

  • @saidibambo4339
    @saidibambo4339 4 роки тому +3

    Muachen bakhresa azidi kuwa juu kifedha maan kutoa msaada kwa kila cku kwa omba omba co mchezo

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 4 роки тому

    maa shaa Allwah

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
    @yahyamajidyahyahilalal-har8762 4 роки тому +2

    Tutoe Sadaka ndugu ni Muhimu Sana.

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 роки тому +2

    Kwa hiyo unaamini huo utajiri umetokana kwa kushona viatu aaaaaa wapi there is something behind that will never be told. Kwanza tu kwa kudokeza umeshasema aliwahi kukamatwa na sukari gunia 200 wakati wa kampeni za Sokoine za uhujumu uchumi. Utasema alinunuwa kwa pesa zake halali Sasa alipataje gunia 200 kinyume na utaratibu wa wakati huo!!!?? Kuna mambo mengi matajiri wanafanya kuwa hapo walipo hawatayaamsema kamwe

  • @sellah4603
    @sellah4603 4 роки тому +5

    Nakubala sn dullah tz

  • @suratfrank6282
    @suratfrank6282 4 роки тому +6

    Poa sana mi naamini ukijituma utatoka na mafanikio makubwa hata madili Mengine yatajileta yenyewe ,,,,

  • @jamilajamila9682
    @jamilajamila9682 4 роки тому +6

    Mashallah nice story hii 💖👍

  • @tatutatu1570
    @tatutatu1570 2 роки тому

    babu Allah akuweke zaidi

  • @shahamtindo
    @shahamtindo 4 роки тому +12

    Hata Mbuyu ulianza kama mchicha..

  • @christophermlaponi534
    @christophermlaponi534 4 роки тому +2

    Na huwezi amini, kwamba kuna watu wamezikariri hizo siku zao za kuomba msaada badala ya kutaka akili za kuzalisha hiko kidogo !

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 4 роки тому +4

    Kwa maana hiyo kuna shida hapo....kama kipinde kile cha mwalimu Nyerere sukari ikuwa shida wakati huo yeye Bakresa alikuwa na gunia karibu 200 wakati mtu mwingine hana hata kilo 2. Huoni hapo tayari kuna alama za kuuliza, ???????

  • @comedytz3487
    @comedytz3487 4 роки тому +11

    kuna behind scene kuhusu bakhresa ndioo maana hataki kuogelea kuhusu mafaniko yake

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 роки тому

      Huyu mzee wa Ki Bara Mungu amhifadhi anamjuwa Bw. Bakhresa kwa miaka 40 ni kidogo sana. Ni bora mwende Zanzibar (Unguja) kwao kwenye mitaa inayo itwa Malindi, Mchangani na Mbuyuni hapo ndipo mtajuwa wapi Bw. Bakhresa kaanziya biashara yake...pesa hazikuja kwa USIKU MMOJA. Mungu amhifadhi na ampe afya na sihaa yake. Kwa sote. Amin.

  • @derrickboaz5099
    @derrickboaz5099 4 роки тому +6

    Original diagonal inafanyakazi leo hii🤣🤣🤣🤣

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 4 роки тому +4

    Yaan nimezaliwa tz nimekulia na kusomea tz lakin simfaham bakhresa hata kwenye gazet hajulikan ni tajir ambaye hujificha hapend aonekane hata kwenye waandish wa habari

  • @victormaimu3748
    @victormaimu3748 4 роки тому +16

    Na mm nafikiria kuanza kushona viatu 🧐

  • @shamimkingazi8925
    @shamimkingazi8925 4 роки тому +4

    Nimekuja apa kujua bakhresa ni unga au ni mtu ☺☺☺☺☺☺☺

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 4 роки тому

    Original diagonal. Naikumbuka sana!

  • @ibrahimmahmud8164
    @ibrahimmahmud8164 4 роки тому +2

    Hiyo ndio faisal ya sadaka