Official Anania Lijahe bila shaka sana kiongozi na hata kama kuna usaidizi mwingine unaweza kuitaji ambao ninaweza kuitatua basi nishtuwe hapa anzuantoine@yahoo.com
Hizi ndo habar tunazo zitaka hakuna mamb ya umbea ooh sijui umedeti na mademu wangapi kabla zakupata almas lkn millard anauliza maswali ya maan big up hizi medi online nyengine zimejaa upuuzi tu
Yes girl don't give up and you never ,imagine huyu mzee toka kitambo anapata tu some of na anapiga kazi long time Ila haku give up till today anapata zari Kama hilo ni Noma Sana but we have to learn from to him
Very humble.... person Watu woote waliopitia mchakato sahihi huwa hawana mbwe mbwe... Very humble... Ngoja umpate mjomba ameamilza degree amepata kazi kwa memo... Amepata home apartment ... 😎😎 full kuvimbaaa
5 років тому
Makala mazuri sana Millard Ayo. Hongera sana! Kwingineko, watoto wa Maradona, Argentina walifungwa 2-0 na vijana wa Colombia jana. Hata Free kicks za Messi hazikuwaokoa. Nenda youtube utafutize - hashtagmpasuamsonobari- Kwa kujua yaliyojiri
Namfaham Mr.TemelA nimeamini Kweli unapojishushA na kua mnyenyekevu Mung Hakutupi maana jamaa yuko So humble and simple hata Ukienda kwenye hotel yake ya Diamond pale Mwanza ukamkuta unaweza dhan yye ni mteja tu wa kawaida ilA WapambE nuksi ndo wanavimba hatar.Mungu ni mwemA nataka nije kuwa Temela wa miaka ijayO🙏 Mungu mzidishiE huyU babA
Nothing comes easy, unawezaona kakaa miaka zaidi ya tisa bila kupata Mali na alitaka kuacha hiyo biashara lakin wakati huohuo akitoa hela kwa wafanyakazi wake bila yeye kuingiza pesa, hapo tujifunze kuwa na uvumilivu ukianguka amka pangusa mavumbi na songa mbele zaidi kwa sababu kesho yako huijui. Keep fighting never giver up.
Nampenda Sana Mungu Ni fundi Sana acheni aitwe Mungu anainua vinyonge bila kujali muonekano hapa najifunza kuwa Mungu amempa mwanadamu akili na lzm kujikubali na kujiamini.kisha umtegemee yeye .kutokea hapo mafanikio yapo .ndugu zangu elimu ya kwanza aliyotupa Mungu ni Akili.mengine hayo Ni matokeo .God can.kuishia drs la Saba sio kufeli maisha na kusoma Sana sio kufaulu maisha.
Dah! Kweli maisha nipopote sio lazima shule, shule nimuhim ila kama namna yakusoma mtu hana ndo hiv tena Mungu anapanga maisha ya bina Adam yajua Mungu pekeake jmn me nakupend bure #millard
Huwa nakufuatilia sana Millard,kama kuna makosa unafanya kwenye kazi zako za habari,basi endelea kuyafanya maana makosa hayo ni yenye faida.Unagharamika sana kutafuta habari,nina imani initiative hii uliyochukuwa kwenda hadi Shinyanga imenifanya nikuone ukiwa mbali sana kama utajaaliwa umri mrefu(Nakuombea hili)..Wengi wameiona ya kawaida hii.Keep and push up the good work
Maganzo kuna maendeleo mbalimbali.Nikaona mengi kama mgeni msomi pale Kolandoto kutoka Zambia 🇿🇲.Watu wa Maganzo wamebarikiwa sana.The man himself is very wise, humble and in-deed focused.High pedigree in business world.God bless Maganzo.
Nimefurahi sana kuona unalinda faragha ya mali za mtu. Kunanzia plate number ya Bodaboda hadi magari ya tajiri. Waandishi wengine wangemulika hadi chooni
kaka millard mungu akupe maisha marefu yenye baraka...
5 років тому+1

Nikiona habari ambayo AYO uneitoa ndo naikubali na najua umeifanyia uchunguzi wa kutosha na tena ya maana. Wengine wajifunze kwako siyo story za matusi matusi. Bigup sana kaka
Millard Ayo nakupongeza sana sichoki kufuatilia habari unazotuletea maana ni za kweli tofauti na wanavyofanya wengine. mi niko arusha na ninakuombea Mungu akupe neema ya kufanya makuu zaidi
Hivi kweli unampenda #Millard Ayo like hapa
Interview Kali sana 🌍🇹🇿👍
Upo vizurii milad
Hongera sana *MILLARD AYO* kwa makala ya kipekee. Natazama kutoka Zanzibar!
Wote muhojaji na muojiwa wote wate wametulia! Very excellent interview!!!
Kamanda niaje, ee bana sory utakapoona link yangu naomba unisapoti kusubscribe
ua-cam.com/video/cy2IbfNXA_Y/v-deo.html
Official Anania Lijahe bila shaka sana kiongozi na hata kama kuna usaidizi mwingine unaweza kuitaji ambao ninaweza kuitatua basi nishtuwe hapa anzuantoine@yahoo.com
@@antoinea.katembo5326 asante sana kaka
Hongera kwake hongera pia Millard Ayo napenda kazi yako ubarikiwe sana
Mambo fatma, sorry mamy nina chanel yangu naomba unisapoti kusubscribe
Ayo nakubali sana kwa kujitoa kwako hili kujaribu kufikisha ujumbe kwa watanzania salute sana bro
We agha wewe interview kama hiz zinakuhusu
@@irenefaustine4205 Yah najua but nipe mda kdg ntaanza
Milard utafika mbali sana unakipaji kiukweli MUNGU akuongoze, hii Habari Nimeipenda, fundisho tusikate tamaa 👏👏
Big Temela Mungu akuzidishie nakukubali sana pamoja Na kumiliki pesa mingi kiasi hicho huna majivuno watu wote unawathamini
Hongera joseph temela, bilionaire mpya wa tarehe 07/04/2019 nchini tanzania uwakumbuke wenzako
mabilionea wapo wengi wengine ni viongozi wa serikali wameficha mali zao..huwez kuniambia kiongozi anasimamia mradi wa bilioni 42 asiibe bilioni 10
Kama unankubal Millard gonga like👍
Wewe jembe millard
Namkubali sana sana
Mambo niaje
Mjomba Josef nimefulai Sana kukuona leo
Shimano mjomba hakika leo nimefulai sana
Anko kamfungulia dunia kuwa anachotaka! Tujifunze kitu Hapo! Japo usitegemeeh kulipwa jema ahsante #joseph
Hongera sana Millard Ayo kwa kazi nzuri ya utangazaji.
Hizi ndo habar tunazo zitaka hakuna mamb ya umbea ooh sijui umedeti na mademu wangapi kabla zakupata almas lkn millard anauliza maswali ya maan big up hizi medi online nyengine zimejaa upuuzi tu
Umesema ukweli sana
Kabisaa
Shaaban Ramadhan 🤣🤣🤣kweli kabisaaa
Yaaani
Inaitwa professionalism
Millard Ayo you're the one who has a good and really story
Take five 👊👊
nimeamini kweli tusikate tamaa mungu yupo
Yes girl don't give up and you never ,imagine huyu mzee toka kitambo anapata tu some of na anapiga kazi long time Ila haku give up till today anapata zari Kama hilo ni Noma Sana but we have to learn from to him
Hongera millard kwa kutuletea habari nzur
Billion 3 kibongo bongo sio mchezo...
Millard you rock it...
Hizi ndo habar za kurusha zina influence vijana kupambana pia zina entertain maendeleo
Alfred Davas mo
So kibongo bongo hizo ni pesa nyingi hata iweje mzee billion So mchezo
Yah true Nicky...
Kweli
Very humble.... person
Watu woote waliopitia mchakato sahihi huwa hawana mbwe mbwe...
Very humble...
Ngoja umpate mjomba ameamilza degree amepata kazi kwa memo...
Amepata home apartment ...
😎😎 full kuvimbaaa
Makala mazuri sana Millard Ayo. Hongera sana! Kwingineko, watoto wa Maradona, Argentina walifungwa 2-0 na vijana wa Colombia jana. Hata Free kicks za Messi hazikuwaokoa. Nenda youtube utafutize - hashtagmpasuamsonobari- Kwa kujua yaliyojiri
Big up Millard...ww kibokooo na unajuwa kazi yako,huna spear na popote unafika,utabaki kuwa juu tuu
Gonga like bila kikomo kama unapenda Millard Ayo azidishe subscribers kibao apa★☆☆☆☆
Z Classic Fashionz
Namfaham Mr.TemelA nimeamini Kweli unapojishushA na kua mnyenyekevu Mung Hakutupi maana jamaa yuko So humble and simple hata Ukienda kwenye hotel yake ya Diamond pale Mwanza ukamkuta unaweza dhan yye ni mteja tu wa kawaida ilA WapambE nuksi ndo wanavimba hatar.Mungu ni mwemA nataka nije kuwa Temela wa miaka ijayO🙏 Mungu mzidishiE huyU babA
Pesa haiko mkononi iko kichwani. Your dreams is the biggest success.
Nambie kamanda
ua-cam.com/video/cy2IbfNXA_Y/v-deo.html
True
Kaz nzuri sana Millard ayo......hongera bro kwa kutusua dili kubwa mungu anakuonesha njia ukiamin...
Nothing comes easy, unawezaona kakaa miaka zaidi ya tisa bila kupata Mali na alitaka kuacha hiyo biashara lakin wakati huohuo akitoa hela kwa wafanyakazi wake bila yeye kuingiza pesa, hapo tujifunze kuwa na uvumilivu ukianguka amka pangusa mavumbi na songa mbele zaidi kwa sababu kesho yako huijui. Keep fighting never giver up.
Niaje Brother, sorry naomba utakapoona link yangu ya youtube unisapoti kusubscribe
Mpeni pole millardayo hilo kovu,sikujua kuwa alitokewa na problem.From Zambia
Nampenda Sana Mungu Ni fundi Sana acheni aitwe Mungu anainua vinyonge bila kujali muonekano hapa najifunza kuwa Mungu amempa mwanadamu akili na lzm kujikubali na kujiamini.kisha umtegemee yeye .kutokea hapo mafanikio yapo .ndugu zangu elimu ya kwanza aliyotupa Mungu ni Akili.mengine hayo Ni matokeo .God can.kuishia drs la Saba sio kufeli maisha na kusoma Sana sio kufaulu maisha.
Millard ayo naququbali kiongozi kazi zako hakuna wa kukufikia wewe hakika unajua sijaona wa kushindana na wewe brother. Naququbali #millard ayo
Dah! Kweli maisha nipopote sio lazima shule, shule nimuhim ila kama namna yakusoma mtu hana ndo hiv tena Mungu anapanga maisha ya bina Adam yajua Mungu pekeake jmn me nakupend bure #millard
Hongera sanaaa uncle Joseph.Mungu abariki kazi ya mikono yako
Hongera sana brz temela.Mungu akuzidishie mara 1000.kazi njema.
Huwa nakufuatilia sana Millard,kama kuna makosa unafanya kwenye kazi zako za habari,basi endelea kuyafanya maana makosa hayo ni yenye faida.Unagharamika sana kutafuta habari,nina imani initiative hii uliyochukuwa kwenda hadi Shinyanga imenifanya nikuone ukiwa mbali sana kama utajaaliwa umri mrefu(Nakuombea hili)..Wengi wameiona ya kawaida hii.Keep and push up the good work
Ha ha haa ninekufuma huku Leo.
Ooh jmn mungu ni mwema jmn
Millad Ayo you will be rich because you really fighter.
Mambo vipi
He is already a rich
@@afya_yako 😃😃😃 true
Aaaah mzee ume win kinyama na hivi ndivyo Mungu anavyobariki watu wake.
AND GOD BLESS YOU BABA IN JESUS NAME I PRAY.
Maganzo kuna maendeleo mbalimbali.Nikaona mengi kama mgeni msomi pale Kolandoto kutoka Zambia 🇿🇲.Watu wa Maganzo wamebarikiwa sana.The man himself is very wise, humble and in-deed focused.High pedigree in business world.God bless Maganzo.
Wangapi watu wa shy town nipen like zangu
Nmekupenda bure millad jaman mpaka umefika kwetu love u love u
Yaan nyumbani kabisa Maganzo
Nimefurahi sana kuona unalinda faragha ya mali za mtu. Kunanzia plate number ya Bodaboda hadi magari ya tajiri. Waandishi wengine wangemulika hadi chooni
heshima bigete umetisha San kama umeliona hilo
Bigete naququbali
Sana umetisha brother
Tusife moyo mungu amuweke huyu baba mtangazaji mashaalah makini sana
Hongera Joseph, fungua Fixed deposit account, nunua hisa kwenye makampuni makubwa, tulia fedha ikutengenezee pesa. Achana na traditional business
Kampun gani kubwa utapeleka 2bn wakat mishahara tu ni 500mil
Ukpata hela alafu ukaishi mjini kingereza lazima ukijue tuu 🤓😂 complicated, otherwise, Dollar,No,It depends,manage,simple, imagine,swaga za kisomi kabisa🙏Hongereni Sana Millard & Billionaire
Hahahaaa ...weweee😃😃😃😃😃
Safi
Ni kweli kabisa birds of the feathers flock together
😂😂😂😂😂hatar fireee
Kiingereza kweli simple, ukiwa na mkwanja!
kaka millard mungu akupe maisha marefu yenye baraka...
Makala mazuri sana Millard Ayo. Hongera sana! Kwingineko, watoto wa Maradona, Argentina walifungwa 2-0 na vijana wa Colombia jana. Hata Free kicks za Messi hazikuwaokoa. Nenda youtube utafutize - hashtagmpasuamsonobari- Kwa kujua yaliyojiri
Hongera milliard ayo mambo safi tumechoka na umbea
kama ww mjanja na kama umeiona rangi ya mdomo ngonga like
Watu wa drs 7 ni noma sana wanapiga mapesa kuliko mapro hatari sana
😂😂😂
Ujue Mungu habagui
Akina Msukuma, Kishimba n.k
Maprof wenyewe kama akina paramaganda kabudi? 😂😂😂😂 mara mia mbili uishie la nne😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweli kabisa
Kama unamkubali @Millardayo gonga like tuzid kumuombe mungu tuzidi kujifunz mengi kutoka kwako @Millardayo .
Duuuuuh kudadeki kweli mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua
😂😂😂😂😂
Umenichekeshaaaa
MashaAllah, Millard ayo your the best
Bos wangu Mr Joseph temelwa hana neno mpenda watu
Fursa katika nchi yetu ni nyingi.. Ni akili yako tu 🙌🙌🙌
haswaaaaaa
Watu wavivu wanataka kuletewa
@@ilovejesus9303 😂😂😂 mteremkoo unaumiza hawajui
Mashaallah Mariam
Mariam call me 0684606015
Nakkbal kwa kila habari zako kama na ww unaikubal ayo tv tujuane kwa like
Nikiona habari ambayo AYO uneitoa ndo naikubali na najua umeifanyia uchunguzi wa kutosha na tena ya maana. Wengine wajifunze kwako siyo story za matusi matusi. Bigup sana kaka
romana mbelle umenena point,,, Wee subiri kuanzia kesho utaona channel nyingine wanaedit heading na kupost kwao
Ukiwa na pesa unaishi popote walahi! Hongera Joseph ht usiposoma ukitumia akili yako vzr unatoka tu!
Pia ni mtihani
Anakula magengen nimemuelewa sana
Hongera sana brother, ngongera pia Millard kwa kutuletea habar nzur
Jamaa katulia na anajielewa. Hongera kaka.
Hahahaha, wewe Betrice wewe
Nmependa xana jinsi Joseph alivyoenjoy interview na mtu wa nguvu Millard
Millard Ayo nakupongeza sana sichoki kufuatilia habari unazotuletea maana ni za kweli tofauti na wanavyofanya wengine. mi niko arusha na ninakuombea Mungu akupe neema ya kufanya makuu zaidi
Mungu mkubwa..haijalishi umesota mda gani..mda ukifika hufungua milango.
Trust in God and you make it in life be honest with tithing and God will open great doors in your life
Natamani iwe ivo kwangu jamani 🙏🙏
Upo sawa nikweli siku zikifika Allah anakuinua fasta
Saf sana
God is over everything trust in God every time
kutoka kimaisha ni juudi zako na kumuomba Mungu Kwa kila nyendo..!
Nifollow @kingo_calius Instagram, kwa comedy, Ili uongeze miaka ya kuishi
Good
Amen
Big up millard ayo to the world
Vp kaka Millard Ayo, sorry Kuna Namba ya Simu inatapeli watu mtandaoni kupitia account yako ya Fb!
Jomba niaje sory utakapoona linki yangu naomba unisapoti kusubscribe sir
ua-cam.com/video/cy2IbfNXA_Y/v-deo.html
Haya Maisha bhana Unaweza kulala Masikini ukaamka Tajiri Sito Kata Tamaa Naamin ntafika ninapo oataka Waalah
Uyo tajiri kitambo hapo kaongezea .........jamaa anajituma na muaminifu mno
Huyo hakulala masikini alikuwa anapamban lala wewe kjn 😁
Maganzo ni mji nilipokulia kuanzia chekechea hadi Sekondari..big up sana Millard kwa kuitumia vyema taaluma yako kwa weledi wa hali ya juu...
Basi sawa vizuri
Mungu akubrki millard kwa habari pia mwenye bahati y Mali abrkiwe
Ee dodo bahati kwa mtu mwenye shamba😉😁🤗.. akaweka jembe chini akaenda mjini kununua motocar ss ni tajiri🔥🔥
Millard nakukubali sana bro daaah uyu jamaa kanipa moyo wakupambana 💥
Kaka niaje, sory bro naomba utakapoona link yangu unisaidi kunisapoti kusubscribe
Mungu,aishie akawe mwalim, mlinzi, na mtetezi wa maisha yako, kwani wanadam wanasiri nyingi!
Mashallah, hongera kwake
Kama anaimiliki diamond kiwanja nikipendacho mwanza, basi ni dhahiri kwamba huyu jamaa alikua tajiri hata kabra ya hilo jiwe
Asantee dogo milladi kwa habari Nzuri,
Hongera sana ayo na josee soon na mimi nita piga kiazi ktk mazingira ya kutatanisha never giverup
Kama umegundua plate namba zinafichwa kama mimi gonga like
Nilichojifunza kutoka kwa huyu jamaa ni kwamba ni mfanyabiashara damu
*** Wale tunao Amini Mungu hajatuacha iposiku gonga like mungu atafanya kwa wakati AMN***
Namkubali sana Millard ayo
mungu akitaka kukupa hakuandikii barua
😂😂Et akuandkii barua
Ok, but true
Kwakweli my
Kweli kabisa 😂
Nice C.E.O wa DIAMOND kiwanja cha bata rock city
Ongera sana milardayo kila la kher kiongoz
Hongera sanaaaa br kweli upo simple na hayo ndo maisha pamoja na kuwa ww ni billionaire but still unakaa na wachimbaji
Mwanaume kupambana cyo kukata tamaa safi sana
tunashukuru sana mungu anaye tuwezesha kufaulu
Milard ayo nampenda Sana
Uana habari una wenyew Kama Millard ayo 💃💃💃
Nakukubali Ayo
Milladayo uko vizr Sana kaka angu hongera Sana
Duuuh hongera yake saanaaa
Huyo mjanja kauza bilioni 3 ila ataki kusema anaogopa wajanja wa mjini
Ishi maisha yako simple kama vile ulikuwa ukishi zamani
July..July..i repeat July..hero'z month..sou much inspired👍
Ur the best kaka Millard Ayo
Kama hnamkubali Millard Ayo ucpite bila kugonga Like zako apa 👍
Inspiring! Bora ametoa ushauri wa kweli kwenye maisha ya biashara.
Duuh nimemtamani kinyama but message ni kwamba Never give up
Karibu na mkoa mpya msafi mkoa unakua kwa kasi simiyu bwana jose jaribu sana
USIKATE TAMAA, HUWEZI JUA MWENYEZI MUNGU AMEKUPANGIA UTAKUWA TAJIRI LINI, ONGEZA JUHUDI
Mzeee kama huyu anasema opportunities zipo nyingi ila ni akili yako tu
Sisi vijana tunalalamika ,,
Never give up
ommie马瑞 acha ujinga wewe huyu ni mzee, au husikilizi unakurupuka tuu kukoment
Je za vitisho aja pat
Huyu siyo mzee ana miaka 44..
Lol mzee anaanzia 50yrars
Nyie watoto mliozaliwa 2000...
Millenials
@@upendorobert7298 sawa mimi mjinga ila wewe *mpumbavu* sina haja ya kukuelezea utofauti
@@nellyjakobo9214 hili ndio nimeona sasa jamaa anazungumzia kujenga hotel 5 stars kama kununua unga wa ugali
Millard huyu jamaa kamaliza na wewe darasa la saba mwaka mmoja 😊
Mmmh hapana huyu 89 afu Millard 98
Lasamb no ma
Nimeelewa aisee.Watu wenye pesa zao hawapendi kijulikana
Millard wewe nakupenda jamani yaan nilikuwa naitafuta hii habari nitaipata wapi kumbe MTU wangu wa nguvu ushatuwekea jamani Mungu akuzidishie wewe
Muhimu ushi na wafanyi kazi wako vizuri utabarikiwa zaidi
Hapo kwenye kuomba ela hapo . Pole ndungu ukiwa na njaaa na wala uwaoni
Nakupenda bure millard ayo