Mimi mkenya lakini napenda Watanzania. You guys are very serious in whatever you do; Sgr ya umeme, Daraja la mwanza, bagamoyo sugar and more. But the speed of Tanzanian development has been slowing since Magufuli died. Mungu ibariki Tz
The late magufuli's economic efforts will never be forget,may his soul rest in eternal peace,God bless tanzania🇹🇿,much love from kenya🇰🇪#eastafricalove🇰🇪🇹🇿🇺🇬
Mashaallah nafurahi kila naposikia bakhresa co imeanzisha bidhaa mpya kwa sababu najua kila mwananchi wa juu mpaka wachini inamfikia na kwa gharama nafuu haangalii faida kubwa yeye anatoa huduma zaidi ili kila mwananchi(mtanzania) aweze kufurahia kwa ujio au huduma za bakhresa group of companies asilimia kubwa ya watanzania tunapenda sana huduma zenu kwa sababu mnatujali sana na mafuta ya kula pia mungeangalia kufungua kiwanda endeleeni tupo pamoja
Hakika. Kuna vitu vinahitaji maamuzi ya kidikteta. Hebu fikiria Mzee Bakhresa alikuwa hajafikiria kuzalisha sukari, ila kapewa shamba bure (ambalo angelinunua kwa 150,000/eka x 10,000 = 1,500,000,000) na kashawishiwa. Hapo hakuna mambo ya upembuzi yakinifu, sijui Utafiti wa kimazingira.
Huyu Mkuu wa Wilaya anaota kuvuna kodi tu ambazo essentially zinakwenda kuhudumia life style za wanasiasa. Na ndiyo akili fupi zilivyo. Zinakuja mwiisho baada ya mtu kufanya kazi zote. Humsikii akisema tutatoa ushirikiano kwa kiwanda, kukilea na kulea uwekezaji huu na kushirikiana kuondoa changamoto! Ndiyo mentality ya wanasiasa wa Afrika wote. Si ajabu uwekezaji mwingi unakufa. RIP Magu.
Amna lolote wamemfidia asara waliompa kipindi cha mkapa walimwaga ngano yake serikali ilishindwa kesi ikatakiwa kulipa fidia magu amekuta mizigo mezani akacheza na akili za wasioweza kufikiri
Walai Magufuli angalikua hai, sijui watanzania wangekua wapi....huyu mama ni kinyume cha JPM.... Kenya hatuja wahi barikiwa na kiongozi tangu enzi za ukoloni
Mimi mkenya lakini napenda Watanzania. You guys are very serious in whatever you do; Sgr ya umeme, Daraja la mwanza, bagamoyo sugar and more. But the speed of Tanzanian development has been slowing since Magufuli died. Mungu ibariki Tz
Thank's
Asante sana kwa kutupongeza🙏
Yah sure now we are going in a very sluggish move, if he would have been alive to date , I think tungekua mbali sana aisee
The late magufuli's economic efforts will never be forget,may his soul rest in eternal peace,God bless tanzania🇹🇿,much love from kenya🇰🇪#eastafricalove🇰🇪🇹🇿🇺🇬
Mashaallah nafurahi kila naposikia bakhresa co imeanzisha bidhaa mpya kwa sababu najua kila mwananchi wa juu mpaka wachini inamfikia na kwa gharama nafuu haangalii faida kubwa yeye anatoa huduma zaidi ili kila mwananchi(mtanzania) aweze kufurahia kwa ujio au huduma za bakhresa group of companies asilimia kubwa ya watanzania tunapenda sana huduma zenu kwa sababu mnatujali sana na mafuta ya kula pia mungeangalia kufungua kiwanda endeleeni tupo pamoja
SAFI SANA. UKIWA NA PESA WEKEZA KUSAIDIA WENGI. R.I.P DR. MAGUFULI
Sasa hapa magufuli anahusika nini hajachangia ht senti 1
R.I.P Jembe Mungu IBARIKI Tanzania KAZI IENDELEE
Magufuli ni mwamba daima
Na ile bandari ya Bagamoyo ikikamilika, Bagamoyo itakuwa tofauti kwelikweli
tuki pata rais kama magufuli tena nchi itaenda mbali sanaaa
Madhara yake Je?
@@kamndemwakitosha1439 kama yapi
@@shwaibukhatibu2838 yaani hukumbuki?
R.I.P JPM 🕯️ tungepata viwanda kumi km hv tungeuza sukari afrika n dunia n ajira toooopuuuu pumzik kwa aman mbeba maono ulikuw mzalendo halisi.
yah sure lakini sukari ni mojawapo ya bidhaa yenye barrier nyingi zinazolenga kulinda viwanda vya ndani
Shikamoo Kaka Said Salim Bakhressa,
Hongera bahresa kwa kazi nzuri
#JPM 🔥🔥🔥🔥 Hakika alikuwa na maono na hii nchi R.I.P MAGUFULI
Hakika. Kuna vitu vinahitaji maamuzi ya kidikteta. Hebu fikiria Mzee Bakhresa alikuwa hajafikiria kuzalisha sukari, ila kapewa shamba bure (ambalo angelinunua kwa 150,000/eka x 10,000 = 1,500,000,000) na kashawishiwa. Hapo hakuna mambo ya upembuzi yakinifu, sijui Utafiti wa kimazingira.
Very inspired. Great work Azam
Huyu Mkuu wa Wilaya anaota kuvuna kodi tu ambazo essentially zinakwenda kuhudumia life style za wanasiasa. Na ndiyo akili fupi zilivyo. Zinakuja mwiisho baada ya mtu kufanya kazi zote. Humsikii akisema tutatoa ushirikiano kwa kiwanda, kukilea na kulea uwekezaji huu na kushirikiana kuondoa changamoto!
Ndiyo mentality ya wanasiasa wa Afrika wote. Si ajabu uwekezaji mwingi unakufa. RIP Magu.
Jina magufuli litadumu daima. Pumzika kwa Amani mbeba maono yetu. Mbele yako nyuma yetu baba. Jemedari wa Africa.
Kazi ni nzuri na inavutia.Big up Bakhresa
Bagamoyo imefunguka na biashara zote sasa zinakua.thumbs up bakressa
Bakhresa family are great entrepreneurs. invest in my country kenya.
Yote Hayo Mzee Magu Aliona Mbali R.I.P Magufuli
Amna lolote wamemfidia asara waliompa kipindi cha mkapa walimwaga ngano yake serikali ilishindwa kesi ikatakiwa kulipa fidia magu amekuta mizigo mezani akacheza na akili za wasioweza kufikiri
@@kisangageorgethomasi2830 Sijui niseme? Au basi!
@@kisangageorgethomasi2830 sawa but kumbuka ,wema unatenda mwenyewe na ubaya hivyo hivyo so Magufuli ametenda alivyo stahili kwake
@@kmotivation1130 ametenda kwa kulipa fidia au ilikuwa zawadi?
Ni zawadi iliomgharim billions of money yani pesa alizotoa fidia kuwahamisha wanakijiji ni nyingi ni bora kama angenunua kiwanja
Maa Shaa Allah
Hongereni sana kwa uwekezaji wenye tija.
1q q
Jamani jitahidini sukari yenu ipatikane nchi nzima
Huyu ndio MWAMBA mwenye maono ya mbali daaah chema hakidumu biriani JPM
Ndoto yangu "Amina"
MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA WANGEHEZI KAZI ZA UZALENDO WA NCHI ZA MAREHEMU RAIS MAGUFULI.
R.I.P mzee baba magu. tunaomba sasa sukari ipatikane kwa uhakika.
Tunalima sukari nchi hii lakini kila kiru kipo juu daaaa ni shidaaa sanaaaa
Inshu sio kulima unalima kwa wingi gani unawezalima kiasi ambocho akitoshi lkn pia sukari ilikufika mahala lazima ibebwe na gari gari linatumia mafuta
Sasa unalima Miwa halafu wataka mafuta yawe rahisi🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaposema kiongozi Awe na maono tunaamanisha Kama Magufuli, faida tunasubr baadae
Walai Magufuli angalikua hai, sijui watanzania wangekua wapi....huyu mama ni kinyume cha JPM.... Kenya hatuja wahi barikiwa na kiongozi tangu enzi za ukoloni
if you are belongs to the people u will always be the peoples life
I feel very bad coz of my country kenya,when i see this
Mashaallah SSB
Dah mmejua kumhenzi the late magufuli
Kazi nzuri
Hela napata wap? Mmmh wengine tusubir tu .hongera sana bakhresa
Tunaweza kukidhi mahitaji yetu,tukiwawezesha watanzania wenzetu,Magufuli kaonyesha njia.
Naomba wausika wa kiwanda naomba nipatiwe kaz mm mjane
Unachekesha sana wewe yaani wataka kazi kwenye comment??? Nenda kiwandani🗣️🗣️🗣️
Asante MUNGU 🙏🏻
Wabaguzi wa kidini mnaajili waislamu tu hapo.kiwandanimu
We ajira itakayokufaa labda kukata miwa shambani manaake hata kuandika hujui
Habar apo kwandani naulizia kazii
Aisee magufuli nani tena atatokea kama yeye
Bahati mbaya mkihitaji kufanya certification..operator atawafelisha kwenye masaa ya kazi😁😁😄 am kidin
Mtu mmoja kufanya kazi masaa 12 si mchezo😄
Asanteeee
Jamani Mimi nipo mbeya naomba kazi
Pambaneni na Bei iwe rafiki kwa watanzania
Ongeza sana
Jpm daima
AJILIJINI NA NA WAKRISTO LAKINI SASA MNAAJILI WAISLAMU TU HAKUNA HATA MKRISTO HUO UBAGUZI W dini
Jpm super brain
R.i p magu
Hapo alotoa wazo na eneo ndio washamsahau hivyo .. dah
Ndomaana bagamoyo viwanja ghali sana ...
wee
@@asmarajabu5786 kweli
@@highzacknnko9685 mie ndiyo nilitaka kuja huko lakini basi ngoja nikomae yombo bagamoyo
@@asmarajabu5786 lakini sio sehemu zote kuna pahala pengine ndani ndani maeneo sio ghali sana
@@highzacknnko9685 sawa
mbona bado ghali sukari
Manshallah
respect
As
Waficha sukari watakomeshwa
Wahindi wako Mbele sana, wazawa tumepata ujuzi mkubwa watekelezaji ni wazawa ni wengi.
Nani mhindi?
Utackia ni juhudi za mama 😂😂😂
Ni juhud za bakhresa hakuna mwengine
Hiki ndo kiwanda kikubwa Tanzania
Usha wai fika morogoro wilaya ya kilombero
@@kvoopixel115 kina hekta ngapi?
Safi hii itakuja zanzibar yamahonda imefungiwa kwenda bara
Tunaombaje kazi?
Laimu ya'nini kwenye sukali Tena?
Lime ni chokaa Kwa ajili ya kusafisha chokaa kuwa safi
Tatizo. Bahsresa. Mnaubaguzi. Wa. Kutowa. Akira
Ubaguzi upi wauzungumziaaa?
bakhresa ni tegemeo kwa taifa
Tunataka cha serikali sio cha walio tajiriga kwa kukwepa kodi na kutusababishia umasikini na mahangaiko
Acha kuropoka serikali yenyewe ndio inahimiza uwekezaji na ni nzuri wawekezaji wakiwa wazawa
Wacha makasiriko weweeee kuwa na roho nzuri angalau Mungu atakufikiria vinginevyo utakufa na umaskin wako
.
AJALI MBAYA YATOKEA MUDA HUU SUPERFEO / SONGEA -TUNDURU ua-cam.com/video/Fg6kFUlHs3I/v-deo.html