Hongera saana Kijana Mwenzetu, Hongera Tena maana ukiona mtu anafanya kazi na wazungu Ulaya muonee huruma saana , Wazungu wakikuajiri wanakuweka busy huwezi firikiria hata Ujasiliamali , Hongera kwa kujitoa na kujiajiri mwenyewe
Big up brother, seriously u r one Ina million,uko focussed, inspirational na pia jasiri sana, vijana hapa tumepata mwalimu mwenzetu ambaye anatuhimiza na kuhamasisha katika kutia bidii maishani.brother u amazing n keep the good work going..👍🏻👍🏻
Hawa ndio watu wa kuwasikikiza, sio wale wanawake wanaosema wanafanya kazi mtandaoni na hawasemi ni kazi gani huku wanakushawishi ujiunge nao. Hongera sana Bro ww ni mfano wa kuigwa na sisi vijana wenzako.
Kariakoo kuna suti Mpk za 50 very good material... Am praying for you to do more and more than that... I believe Tanzania is growing fast... God bless you
Kutoka ndani ya moyo wangu.. i never mis speshoz interview...ukitaka kumuelewa vizuri huyu mtu angalia interview alofanya na salama... "GENIUS" tunahitaji watu wengi kama hawa katika jamii yetu...
Mara ya kwanza kabla cjamckiliza nilisema huyu fala ambaye kaacha milioni30 ni mgonjwa wa akili kumbe hmn, jamaa ni genius anafikilia vitu vikubwa sana huyu ni mmojawapo ambae anatumia akili zake vizuri baada ya muda huyu atakuwa tajiri mkubwa namuona mbali
Nishafanya kazi company kubwa na nikalipwa 3000 per month , It depend unafanya kazi gani, mtu akikiuona unapendeza , na ukubwa wa jina la company uliyopo, hawezi amini unacholipwa inawezekana sana
Nice vision, great person but the alcohol drinking may shorten his life span or make his health fail him. Watch out, your success story needs your health.
YES I AGREE WITH YOU HEALTH IS WEALTHY. IF U HAVE VISSION AND BIG DREAM U MUST MAKE SURE UR ALSO LOOK AFTER YOUR SELF NICELY N CARE MIND WHAT U DRINK N WHAT UR EATING AND EVERYTHING PROTECT UR PEACE, N MANYMORE
That is appropriating things that have been already been named, maana Faru John tayari kwa sifa yake asingeruhusiwa ku-trade mark jina hilo. Hayo ni makosa makubwa sana kwenye trade mark. Hao waliomruhusu naona hawakujua.
Pia mtazamo wako ndio ulipoishia,kama umeona milion 30 nyingi mwingine anajiajiri anapata milioni 100 unadhani suti zake anavalisha wangapi na kwa bei gani?je kiwanda hicho kinaingiza bei gani?hesabu muhmu sana
Sasa wewe unasema milioni 6 kwa mwezi si ni karibia sawa na yeye anayelipwa laki na sitini kwa siku. 160,000 X 30 = 4.8 million kwa mwezi. Tofauti ndogo tu
Hongera kwake ila inaonekana anakunywa pombe kali sana. Ukimuangalia unaweza kuona kama una uwezo wa kumsoma mtu haraka. Vijna wengi wakipata mafanikio hawaishi muda mrefu sababu ya life style. Ukitumia akili sana lazima utunze mwili pia
Ivi kipindi zuchu anatoka marehemu Ruge mtahaba tulikuwa nao , akupe tuzo umefanya kazi benki ya dunia 2008kama trainer syo mwajiriwa ok ukalipwa Elfu 40 ukaja ukalipwa 80 baadae ukalipwa laki na stini , bana kumbe 40 kwa sku Mara kwa sku 360 ambayo ni mwaka mzima 😂😂😂 milioni ngapi , 👍👊 investment have hotel in Dubai , wew Mimi sikuelewe hata , Mara umemshonea magufuli now unaivesnt kwa pombe na nimleviiiiii
Fwatilia vizur story,hakuinvest dubai wakat huo wa bank ya dunia,hii ni baada ya hapo na hapo alikuwa ameshaendelea na mambo yake mengine,toka 2008 had sasa 2021 ni mbali kidogo,so sifikir hivyo
Umekosea sana kaka hii interview itakupunguzia mauzo hasa hao viongozi wa serikal uliowataja, wanaogopa Sana kuweka mambo Yao private kuyaweka public mfano mtu mbaya au muuaji mwenye Nia mbaya na wazir yyte au mbunge yyte anaweza kukutumia wewe kuweka sumu kwenye nguo ya kiongoz yyte Bob maley aliuawa na wazungu kwa kuwekewa sindano kwenye kiatu so next tym don't mention the name of leaders.
Kama itakuwa ameteleza sawa ila kama itakuwa ameamua awe kama mandonga kwa kupumguza umri basi amekosea 1988 to 2023=33😢😥🐐 kama ametupiga na kitu kizito kichwani
Hongera saana Kijana Mwenzetu, Hongera Tena maana ukiona mtu anafanya kazi na wazungu Ulaya muonee huruma saana , Wazungu wakikuajiri wanakuweka busy huwezi firikiria hata Ujasiliamali , Hongera kwa kujitoa na kujiajiri mwenyewe
Big up brother, seriously u r one Ina million,uko focussed, inspirational na pia jasiri sana, vijana hapa tumepata mwalimu mwenzetu ambaye anatuhimiza na kuhamasisha katika kutia bidii maishani.brother u amazing n keep the good work going..👍🏻👍🏻
Huyu bwana mdg ni genius aisee watu wa aina hii wanamaisha yenye vita sana.Mungu amsaidie huyu kijana
Ivi ulijuaje yaani hawa watu Mungu awe nao muda wote
Natamanigi sana kuwa close na aina hii ya watu. Keep it up bro, keep inspiring 💪🏽💪🏽💪🏽🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Content kama hizi ndo mhimu zaidi kwangu 🙏🏽🙏🏽
Hawa ndio watu wa kuwasikikiza, sio wale wanawake wanaosema wanafanya kazi mtandaoni na hawasemi ni kazi gani huku wanakushawishi ujiunge nao. Hongera sana Bro ww ni mfano wa kuigwa na sisi vijana wenzako.
Kabisa kaka
Hahaa utapeli utapeli
Kabsa kaka umeongea point
Mshamba wewe eti mtandao kwani sio bishara mshamba mkubwa
@@azizaburudani9635 heee sa mbona hasira
Mtu makin Sana ........sema achana na pombe big bro jeff
Exactly
Ndio inampaakil
MUNGU akubariki my brother jeph. najua haikuwa rahisi mkono wa MUNGU ulikushika
great Inspiration bother... Hakuna mwenyebidii Mungu akamtupa. We learn more from you.
Kweli kabisa
Uko vizuri sana kaka. Ila punguza kilevi.
Dah..hongerasn km ningekuweko tz ningeonana nanyi..nisingecheza mbali nanyie ..ningejifunza kwenu
Nimejifunza kitu safiii Ubarikiwe
Sio mbaya kujivunia akili yako mungu aendelee kukupigania usishuke tujifunze pia kupitia mlio fanikiw
Kariakoo kuna suti Mpk za 50 very good material... Am praying for you to do more and more than that... I believe Tanzania is growing fast... God bless you
Rehema mambo, can I grow fast with you? 😌
Bro naomba rudia interview na jamaa kwenye uwekezaji zaidi mpe muda mrefu kama hutojali
Kuna vitu nimejifunza hapa big up sana
we need these kind of business enterprenuer
Thanks for your inspiration jeff
Great!Congratulations Bro
Kweli kabisa bro mm pia ni GIS expert na nmefanya kazi ya mkataba na world bank......wanalipa vizuri sana.
hongera
@@mwanaishamkindi7763 Ahsantah
Ooo
Dhuu yupo Very smart, hawa ndo Watu wakuhojiwa kabisa.
Alipata mtaji huyu!Verry Smart
Dream Runner
Hkn jamaa smart mpambanaji km uyu speshoz mnyama sana nmkubali kinoouma najitajd kupambn nifikie maendeleo km yke
Smart bro daaa God bless you
Congratulations bro ua fighter
Mungu akubariki sana
Keep up men you make me proud of my investment
Aise Mungu atusamehe kwakweli,umeona kama Mimi nimpigaji mzuri wa tungi
Safi sana na ongera sana bro ..
Hongeraa Sana broo
Brother nmekubali
Am appreciate that bro!!
Apportunit favored the prepared one's
Good move Sana Ila pombe sasa mtuletee na video za kiwanda chakushonaaa
Kutoka ndani ya moyo wangu.. i never mis speshoz interview...ukitaka kumuelewa vizuri huyu mtu angalia interview alofanya na salama... "GENIUS" tunahitaji watu wengi kama hawa katika jamii yetu...
Unatumia nguvu nyingi kuwahakikishia kitu watu usio wajua.
@@zowmemes9923 acha ushoga
Vizur sana kaka una influenc watu wengi
Thanks My brother
Honger kaka kwa upambanaji, mimi naomba tyu ajira
Anaitwa speshoz mcheki yahstone town salama na
Makapuku wanaona kama wanafokewa hivi 😂😂😂 guys be inspired naona mnapandisha sumu kuvu 😜😜
congratulations to you brother and keep it up 🙏🙏🇹🇿
Nice move aise
Ela ya pombee..!! Aya lez goo the destn comes soon
Jeff kama Jeff nimesoma naye CHANJALE SEMINARY JIMBO KATOLIKI LA SAME
Shida sio kusoma nae
@@kuy4011 😃😃😃
Una no zake hahaha
Wewe unamiliki nini kwa Sasa
😂😂😂😂😂
Me nltaka kuulza tu kwahyo?
Duh saf sna!
Good interview
Mara ya kwanza kabla cjamckiliza nilisema huyu fala ambaye kaacha milioni30 ni mgonjwa wa akili kumbe hmn, jamaa ni genius anafikilia vitu vikubwa sana huyu ni mmojawapo ambae anatumia akili zake vizuri baada ya muda huyu atakuwa tajiri mkubwa namuona mbali
Jamaa genius sanaa
Japo umehaso sana ila Wewe una connection kubwa sana bro
I have got you brother ure a real risk taker.
Hongera sana mr special
brother nimekuelewa sana unafaa kuwa mshauri kwa vijana namna ya kupambana na maisha
Nimeelewa sana ngoja nipambane
Huyu hakuwa mfanya kazi wa bank ya dunia alikuwa mfanya kazi wa mtu ndani ya bank hiyo mshahara mdogo huo kulingana na ofisi hiyo
Muongo hajafanya bank ya dunia
Nishafanya kazi company kubwa na nikalipwa 3000 per month , It depend unafanya kazi gani, mtu akikiuona unapendeza , na ukubwa wa jina la company uliyopo, hawezi amini unacholipwa inawezekana sana
@@anethjoseph4542 Nakubal dear ukubwa wa Campuny uctishe watu
@@aloycemacha9894 kamalikuwa anafagiya je
@@anethjoseph4542 hata bank kuna ufagizi small salary upo sawa
Good channell
Good for east Africa bro❤️🔥
Nice vision, great person but the alcohol drinking may shorten his life span or make his health fail him. Watch out, your success story needs your health.
YES I AGREE WITH YOU HEALTH IS WEALTHY. IF U HAVE VISSION AND BIG DREAM U MUST MAKE SURE UR ALSO LOOK AFTER YOUR SELF NICELY N CARE MIND WHAT U DRINK N WHAT UR EATING AND EVERYTHING PROTECT UR PEACE, N MANYMORE
Exactly my dear
Good
Very simple but so amazing kind of people
That is appropriating things that have been already been named, maana Faru John tayari kwa sifa yake asingeruhusiwa ku-trade mark jina hilo. Hayo ni makosa makubwa sana kwenye trade mark. Hao waliomruhusu naona hawakujua.
Wewe ni mtu kwenye watu..hiki ndo muwe mnaohoj tunapata kitu..
Daa! Anajisifu adi naona nimekuja duniani kusindikiza wengine
But
Nitapambana na mimi.
Congratulations if is true.
Maisha pole pole sio piki piki ukiyarakisha yatakupeleka sivyo
😂😂
@@obenitejailos7007 ama vipi kaka
😅😅😅
Usikate tamaa
Kilimanjaro ndo walevi snaaa distributor wengi.....
Sometimes haiungii akilini ila kila mtu na MTAZAMO wake ktk maisha
Kivipi mtazamo ama?
Haiwezekan anachokisema
@@ilynpayne7491 we mtu akaache mamilioni ya mshahara
Pia mtazamo wako ndio ulipoishia,kama umeona milion 30 nyingi mwingine anajiajiri anapata milioni 100 unadhani suti zake anavalisha wangapi na kwa bei gani?je kiwanda hicho kinaingiza bei gani?hesabu muhmu sana
@@mosesmaembe1528 kivipi
Nakubali
Rafiki yake sana sabaya huyu 😂😂
I need this confidence 🙌🏼
AKILI YA JEFF KAMA YANGU KABISA,SIKAAGI NA PESA YAANI YOTE INAISHIAGA KWENYE INVESTMENTS HATA HAZINIPI PESA AAAAHHHHHH
Kumbe tupo wengi aisee
Hongera brother
Shot out broo Keep it up
Ila WB hiyo pesa ndogo sana, wapo watu wanalipwa million 6 kwa mwezi pale
Sasa wewe unasema milioni 6 kwa mwezi si ni karibia sawa na yeye anayelipwa laki na sitini kwa siku. 160,000 X 30 = 4.8 million kwa mwezi. Tofauti ndogo tu
@@alkasusjaasus7015 amesema million 30 kwa mwaka, pesa ndogo sana pale WB labda unskilled ndio hulipwa hivyo
Appreciate bana wabongo mkoje asee
Umefanikiwa ktk umri mdogo sana lakini ushauli tu acha Pombe ili uinvest nguvu
Sasa hawa wasanii mbona hawamtangazi huyu jamaa wa watu maskini ya Mungu
Kawalipa watangaze. Au na yey awashonee bure
Hongera kwake ila inaonekana anakunywa pombe kali sana. Ukimuangalia unaweza kuona kama una uwezo wa kumsoma mtu haraka.
Vijna wengi wakipata mafanikio hawaishi muda mrefu sababu ya life style. Ukitumia akili sana lazima utunze mwili pia
Na Mungu atusaidie kwa haya maana tunahitaji na kumpendeza Mungu
Ehhh Ndugai Yuko wapi😅😅
Chukueni positivity yake tu,negativity yake kama umeiona iache ,uckeshe kucomplain,sega la muwa kwako ni chakula kwa sisimizi
Issack duuuuh maneno yk mazito.👏👏👏👏👏👏
Issack duuuuh maneno yk mazito.👏👏👏👏👏👏
Watu tujitaid kutambua sote ni kazi za Mungu,udhaifu ni sehemu ya maisha yetu,Aliyeumba wema ndiye kaumba ubaya
absolute
Jamaa anafunguka mpaka basi atakuwa muhaya huyu matajiri hatuko ivo 🤣🤣🤣
Huyo mchaga bob
Jamaa kasoma marketing, na hivyo ndio marketing inavyotaka
Niajiri Basi tajiri niwe hata mlinzi kwako
Haha
@@flova7022 una cv gani? Jieleze tuone tunafanyaje
Mshauri wa Raisi
Biashara ya Pombe eti MUNGU anasaidia Da!! Dunia na majaabu yke
The Roman seminarists never fail how to catch up life
100%
Daaah
Chamechaa msachaa
Kweli kizuri hakikosi kasoro,😁kwani katika vyote ulivyowekeza bila pombe haiwezekani!!
Icho kiwanda ﹰSabaya hajakiona kweli angeamlishwa awe anamshonea bule suti zake zote
Alishawah kumzngua eti achangie milioni kumi sherehe za ccm na akakifungia kwa tuhuma za uongo ila tra wakafuatilia wakasema kifunguliwe
HUYU SA MBOVU NAMSHUKU MASAI WA KENYA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@idavastaborn1818 Duh jamaa alikua msenge sana amefilisi watu wengi sana jamaa alafu utakuta mtu hata alipotokea uko anamtetea et wanamuonea
😂😂😂😂😂
Haha... Sabaya mtuBAD Sasa huyo ndio FARUJOHN mwenyewe
Ivi kipindi zuchu anatoka marehemu Ruge mtahaba tulikuwa nao , akupe tuzo umefanya kazi benki ya dunia 2008kama trainer syo mwajiriwa ok ukalipwa Elfu 40 ukaja ukalipwa 80 baadae ukalipwa laki na stini , bana kumbe 40 kwa sku Mara kwa sku 360 ambayo ni mwaka mzima 😂😂😂 milioni ngapi , 👍👊 investment have hotel in Dubai , wew Mimi sikuelewe hata , Mara umemshonea magufuli now unaivesnt kwa pombe na nimleviiiiii
😄😄😄 katuchanganya
Mimi Nimeangalia tu mazingira ya hicho 'kiwanda' chake cha mamilioni cha faru Jon utafkiri ni guest house za buza
Fwatilia vizur story,hakuinvest dubai wakat huo wa bank ya dunia,hii ni baada ya hapo na hapo alikuwa ameshaendelea na mambo yake mengine,toka 2008 had sasa 2021 ni mbali kidogo,so sifikir hivyo
Anaakilii mno
Huyu chalii anajikweza Sana mpaka amenikata mood.
Yan
He deserve
Content anayo ila ndo hivo how to present it
Hajikwezi but ndio the way anavyoongea lazma uone hivyo
Tafuta hela ukiwa nazo hautaona km anajikweza, ni kaka yangu ndio ongea yake tangu anasoma, USIMJAJI MTU USIE MJUA KIHARAKA HIVYO
Ongera San broo your a great
Safi Sana
Big up bro
Jamaa kweli sawa hatukatai ila uwongeaji wake ni kama anajisifu yeye mjanja sana kumanina just inspire watu sio kutamba aise
kama unataka mwamko wa maendeleo unahitaji watu kama hawa. kama unataka umaskini bali na upotoro wako.
Kilaaaa mtyuu na uongeaj wakeee kajisifuu na wew kama ni rahs
Ivi ml.30 tumaijua au maana kinua mgongo cha mwalimu kinafika ml.100 ad 1200 ambayo nimiez 4 kwake acha uwongo nakama kwer basi kalogwa ili aludi kwao
wow🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
Jamani kaka umenifulahisha sana nawomba ukienda malawikuwekeza nawomba nikawe mwajiliwa hapo
Great
Umekosea sana kaka hii interview itakupunguzia mauzo hasa hao viongozi wa serikal uliowataja, wanaogopa Sana kuweka mambo Yao private kuyaweka public mfano mtu mbaya au muuaji mwenye Nia mbaya na wazir yyte au mbunge yyte anaweza kukutumia wewe kuweka sumu kwenye nguo ya kiongoz yyte Bob maley aliuawa na wazungu kwa kuwekewa sindano kwenye kiatu so next tym don't mention the name of leaders.
Duh
Lutengano umesema kweli.hakupaswa kuwataja.sio gud kabisa.
Jamaa yupo Maji hatari hapo,,
Anaonekana 😀
Upo nyuma ya mtu mbona faru John tu hapo ndo katangazwa
Upo vizuri ila punguza vidimbwi
Jamaa kapiga tungi kweli😂😂😂
Aisee Mungu atusamehe ukweli,mpigaji tungi mzuri,uliloliona wewe ndo na Mimi nimeliona jamani
Kama itakuwa ameteleza sawa ila kama itakuwa ameamua awe kama mandonga kwa kupumguza umri basi amekosea 1988 to 2023=33😢😥🐐 kama ametupiga na kitu kizito kichwani