NITAKUTUKUZA MUNGU_by Kwaya ya Mt.Gregory Mkuu, St. John University DODOMA TZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2017
  • Huu ni wimbo mmojawapo kati ya nyimbo kumi na mbili zinazounda album inayoitwa NITAKUTUKUZA MUNGU kutoka kwaya ya Mt.Gregory Mkuu ya St.John University - Dodoma Tanzania.
    Ni album yenye nyimbo za kumsifu Mungu.
    Jipatie nakala yako ya DVD uweze kupata kusikia nyimbo nyingine zilizomo ndani ya Album hii.
    Wasiliana nao leo kwa simu namba +244 652 060 267 au +255 763 021 020
    Tumsifu Mungu kwa pamoja, Tumtukuze Mungu kwa pamoja.
    Mungu tunakuomba uendekee kutubariki, Tuyasikie Maneno matamu ya waimbaji hawa, Kisha Mimina Neema zako kwetu, Tulishike neno lako, tufuate mafundisho ya Mwana wako Yesu Kristo, tuzijue Habari za Yesu.
    #kwayakatoliki

КОМЕНТАРІ • 363

  • @otiliamwingila3697
    @otiliamwingila3697 2 роки тому

    Asante kwaujumbe mzuri tunaoupata kupitia nyimbo za injili

  • @pamphilimumwi1863
    @pamphilimumwi1863 4 роки тому +3

    Uhimidiwe daima Mungu wetu. Hakika mmeimba vizuri sana...taratibu kabisa kumtukuza Mungu wetu. Nawaombea baraka tele katika uimbaji wetu na Mungu Mwenyezi aendelee kutukuzwa milele. Vyombo katika nyimbo hii vimetia fora sana...hakika mmevitendea haki...blessed!

  • @credokanyabuhura7876
    @credokanyabuhura7876 6 років тому +1

    RAJO PRODUCTIONS MUNGU ANAWAONAAAAAAAAAAAAAA.....SI KWA U-HD HUU...SAUTI NA MWONEKANO NDO HATA SISEMI.. UHIMIDIWE BABA YETU, MUNGU UPEWE SIFA. ZACHARIA WEWE NA RAY UFUNGUO MIMI SIWAWEZIIIIIIIIIIIII..

    • @niconemerapiero4881
      @niconemerapiero4881 5 років тому

      Credo Kanyabuhura i love your songs and your choir
      I’ld like the words of that song pleasecon npiero2012@gmail.com
      Thank youuuu

  • @bartazarymkereme4921
    @bartazarymkereme4921 7 років тому +1

    impo vizuri mungu awabariki katika uimbaji wenu shida zenu zijibiwe ktk uimbaji nikimaaanisha mungu awasikie ktk zauti zenu za uimbaji.zingatia mtumikie bwana ungali bado kijana

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 4 роки тому +1

    Uhimidiwe baba yetu uhimidiwe, uhimidiwe Mungu upewe sifa asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @josephkioko4817
    @josephkioko4817 4 роки тому +1

    Ndugu waimbaji,uimbaji huu ni wa haiba yake!Unakosha moyo na kutoa mwito mahsusi-kumtukuza Mungu.Heko.Maulana awajalieni umoja zaidi,afya njema na moyo wa kuhubiri kupitia kipaji hiki adimu cha uimbaji.Heko mara.

  • @martinmuthuititotitomuthui3383
    @martinmuthuititotitomuthui3383 4 роки тому +18

    Who is with me watching 2019?let me see likes hapo Chini na bwana wetu mungu awabariki Tu Sana...

  • @nkakalushalila
    @nkakalushalila 4 роки тому +1

    Dk 3.40 to Dk 4.00 "Bwana nikiyatazama matendo yako kwangu, ninakutukuza kwa haki, ninakutukuza eeh Mungu, ninakosa la kusema ni mengi mno kwangu, ninakushukuru eeh Yesu, Ninakushukuru Sana"' AMEN

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 6 років тому +1

    Nisipotoa hongera kwa uimbaji mzuri Basi ntakua mbinafisi. Mmefanya kazi nzuri na imeturia sana. uhimidiwe Mungu nami naungana na wanakwaya nasema Uhimidiwe Mungu wa vyote.

  • @bwiledeus4689
    @bwiledeus4689 5 років тому +1

    sichoki kuuangalia huu wimbo.asanten sana na mungu mwenyez azidi kuwabariki

  • @veronicawilliams8636
    @veronicawilliams8636 Рік тому +1

    May the good Lord continue to bless all al you (choir) its my strength all the time. may the name of the Lord be Praised

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 роки тому +2

    Amen Amen Amen. Mbarikiwe kwa uinjirishaji na ujumbe mzuri St. Gregory.

  • @pamphilimumwi1863
    @pamphilimumwi1863 6 років тому

    Bila shaka uimbaji wenu ni wa kutukuka...Baba Yetu aliye Mbinguni awazidishie karama na neema katika uimbaji wenu!!

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 4 роки тому +1

    Asante Dodoma kwa nyimbo nzuri ya kumtukuza mwenyezi MUNGU. AHIMILIWE BWANA APEWE SIFA. HALELUYA. 🙏🙏

  • @michaelkatembo97
    @michaelkatembo97 4 роки тому +4

    Mfalme Daudi alikuchezea...... What a blessing

  • @theresemaina1020
    @theresemaina1020 6 років тому +2

    napenda maneno ya wimbo huu sana. Baba yetu uhimidiwe na upewe sifa!

  • @flipaclipanimationz6790
    @flipaclipanimationz6790 5 років тому +1

    Nimebarikiwa mnooo, Mtunzi Mungu azidi kukupaka mafuta, Waimbaji nanyi Mungu aendelee kuwatumia kuwa vyombo vya sifa, Wapiga vyombo nanyi mbarikiwe sana kazi yenu ni njema, yaani kila kitu katika huu wimbo kwangu kiko vizuri, naamini sifa hizi mlizomuimbia Mungu wa mbinguni zimevuma hata mawinguni .

  • @jkass757
    @jkass757 6 років тому +1

    Mapigo halisi ya Kikatoliki na uchezaji unaomtukuza Mungu wa Kikatoliki. Kwaya nyingine tuna mengi ya kujifunza kutoka Kwaya hii. Huwezi kuleta uchezaji wa Disco kanisa la Kikatoliki.

  • @mrgo5141
    @mrgo5141 3 роки тому +1

    Is like the day has come 4the. Church of C -JESUS 2 GO HIGHER

  • @scholarjosephat1281
    @scholarjosephat1281 5 років тому +2

    Sauti tulivu inapenya mpaka rohoni hongeren sana mungu awazidishie nguvu mzidi kumtumikia bila kuchoka wa kukata tama. Uimidiwe mungu wangu

  • @happykasian6304
    @happykasian6304 3 роки тому +3

    Uhimiliwe yawe ,ni wimbo mzuri sana

  • @edgarrutaihwa2179
    @edgarrutaihwa2179 5 років тому +1

    Uhimidiwe Mungu upewe sifa. Catholic melodies zitakubaki juu Kileleni

  • @johnmwadime1429
    @johnmwadime1429 4 роки тому +1

    Wimbo huu naupenda sana. Baraka tele kwa wanakwaya kutoka Ujerumani na Kenya

  • @NahashonYego-zb9fk
    @NahashonYego-zb9fk 15 днів тому

    Wonderful and shining God is always

  • @jacksonruitiari9245
    @jacksonruitiari9245 5 років тому +2

    Hongera sana. Mna sauti taamu tena tulivu. Rabana awabariki.

  • @gustavmwango3622
    @gustavmwango3622 2 роки тому +1

    Ahsante Mungu kwa hii kazi yetu nzuri🙏

  • @judykemunto3208
    @judykemunto3208 6 років тому

    Aki siluamini macho yangu kuwa nimeona na kucgukua icha na Zacharia Gerald, Mungu akubariki sana, karibu tena Kenya

  • @veronicawoisso5332
    @veronicawoisso5332 7 років тому +9

    Mmeimba vizuri sana, Roho Mtakatifu awatangulie kwenye utume wenu. Imeandikwa kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Zab 150:6

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +3

      Nawapenda bule mimi"Mungu awabariki daima
      ♡♡♡♡♡♡♡♡
      ♡♡♡♡♡♡♡♡
      ♡♡♡♡♡♡♡♡
      ♡♡♡♡♡♡♡"Amani ya Mungu iwe kwenu daima

    • @donardkajanga842
      @donardkajanga842 6 років тому

      Veronica Woisso

  • @martinmuthuititotitomuthui3383
    @martinmuthuititotitomuthui3383 4 роки тому +3

    Am very very much proud of my church,Roman Catholic church.

  • @loycekazimili7225
    @loycekazimili7225 3 роки тому +1

    Amina huu wimbo naupenda Sana mbalikiwe

  • @patrickokoth7086
    @patrickokoth7086 5 років тому +1

    very nice songs
    kazi ya mungu pia ina ugumu wake so we have workhard to achieve

  • @abelmgalla1533
    @abelmgalla1533 7 років тому +1

    hakika viumbe vya kutukuza mungu,ee mungu wabariki wanao wazidi endelea kutangaza na kukutukuza daima popote pale.

  • @johnmwadime1429
    @johnmwadime1429 7 років тому

    Nyimbo tamu ajabu.Mungu azidi kuwabariki kwa vipaji alivyowajalia.Nina furaha moyoni

  • @mirampoya3561
    @mirampoya3561 3 роки тому +2

    be in Jesus Christ is happyness

  • @johnmwadime1429
    @johnmwadime1429 6 років тому +23

    Msichoke kumtukuza Mungu.Endeleeni kubarikiwa nasi tunamuhimidi na kumuenzi Mungu.Ahimidiwe siku zote

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia 3 роки тому +1

    Great song ,,hongera waimbaji

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 6 років тому

    na Uhimidiwe Mungu uliluwako, uliepo na utakae kuwapo milele na milele. Safi Sana waimbaji mbarikiwe

  • @yovitakayombo9724
    @yovitakayombo9724 4 роки тому +1

    Nitakusifu ningali hai uhimidiwe milele Mungu

  • @vitussimon9696
    @vitussimon9696 6 років тому

    Na Uhimidiwe Mungu uliekuwako, uliepo na utakae kuwapo milele yote. Safi Sana waimbaji mbarikiwe

  • @csm-kroup4758
    @csm-kroup4758 5 років тому

    Kitu kimetulia sana naomba NOTA tafadhali niweze Kumtukuza Mungu na Waimbaji wangu.

  • @diana6didelis355
    @diana6didelis355 5 років тому +1

    Mko juu Gregory the Great nimewamiss sana, na mmefanya nyimbo nzuri sana

  • @happyrocky7637
    @happyrocky7637 7 років тому +10

    hongereni wana Gregory kwa Kazi nzuri mmefanya wonders.......nimebarikiwa saaana

  • @mercymuranga4861
    @mercymuranga4861 4 роки тому +2

    Nabarikiwa Sana nikiwa Saudia God bless you all Amen

  • @marysemufali7011
    @marysemufali7011 6 років тому

    A very good song Hongereni St.John.Full mabaraka hapa nilipo...Ahimidiwe MUNGU WETU NA APEWE SIFA

  • @allenmwamba2146
    @allenmwamba2146 7 років тому +7

    uhimidiwe baba yetu barikiwa sana wanakwaya wote mlioshiriki kuimba

  • @pasianokahere7896
    @pasianokahere7896 7 років тому +4

    Wimbo mzuri na Mungu awatangulie katka kazi yenu ya uinjilishaji.

  • @venanceseni5382
    @venanceseni5382 6 років тому

    Kwa kwel mmeimba vizur tena kwa mahadhi ya kikatoliki kabisa. Kuimba ni furaha hongeren sana

  • @veronicabrilliance7747
    @veronicabrilliance7747 6 років тому +1

    Kazi nzuri sana. Hongereni wanakwaya wote, Mungu azidi kuwatia nguvu n ktk masomo yenu

  • @maryreginasechali5625
    @maryreginasechali5625 7 років тому +10

    nmewaelewa sana vjana. nakuona mushoboz kijana mchapa kaz. uhimidiwe mungu upewesi haswa. hzo voko vibrato flan HV sio za nchi hii. Mungu wainuie had mshangae.

  • @bernardaquila2306
    @bernardaquila2306 7 років тому +9

    Mungu Roho mtakatifu na awatie nguvu wadogo wa Makuburi choir, hakika MUNGU atukuzwe kwa ajili yenu daima.

  • @markmurithi4003
    @markmurithi4003 5 років тому +1

    Mungu atukuzwe milele na milele amina....

  • @lucypascal7296
    @lucypascal7296 5 років тому

    nafarijika sana ninavyosikiliza hizi kwaya zinanibariki sana waimbaji mbarikiwe

  • @jkass757
    @jkass757 6 років тому

    Mmedhihirisha kuwa ni kwaya ya wasomi. Hongera sana mpiga kinanda

  • @andrewathanas9535
    @andrewathanas9535 7 років тому +4

    so fantastic.
    Kazi nzuri wapendwa Mungu aendelee kuwatumia.

  • @marymukami140
    @marymukami140 6 років тому

    Naupenda sana wimbo huu. Na aliyepiga kinanda jamani Kongole!!!

  • @marthaemmanuel3323
    @marthaemmanuel3323 3 роки тому +1

    Yan nauona uwepo wa bwana mbarikiwe waimbaji wote

  • @sesiliarobart9154
    @sesiliarobart9154 2 роки тому

    Thank you Dodoma Mungu uhimidiwe Mungu wetu Amina mbarikiwe

  • @sostenseiya3641
    @sostenseiya3641 7 років тому +2

    Wimbo mzuri sana, hakika Mungu atukuzwe nasi tutakatifuzwe

  • @edgaredward9171
    @edgaredward9171 6 років тому +4

    Wimbo mzuri sana nimeupenda....nakuona sana mtalaam wangu wa piano justine from same boys hakika ahimidiwe mungu nawapenda woteee udom

  • @timotheohongera356
    @timotheohongera356 5 років тому +2

    Hiyo staili ya kurudisha mikono nyuma ni kali mno

  • @cosmaslohay6736
    @cosmaslohay6736 3 роки тому +1

    Pongezi kwa kazi ya kutangaza enjili

  • @abelmgalla1533
    @abelmgalla1533 7 років тому +5

    Kaz nzur Sana mungu awatangulie katika safari yenu ya kutangaza neno lake kwa njia ya uimbaji,dada umeitendea talumbeta haki hongera

  • @jaquilinemabada9424
    @jaquilinemabada9424 7 років тому +5

    Mmefanya wonders! Hongereni sana!Mungu uhimidiwe.....

  • @fabianmabano8400
    @fabianmabano8400 5 років тому

    Hakika kazi hii nzuri ajabu.Nakupongezeni sana sana.RAJO PRODUCTION hakika mko njema.

  • @stjoseph831
    @stjoseph831 Рік тому

    2023 na bado sichoki kuitazama

  • @molom5027
    @molom5027 3 роки тому +3

    One of the best hymns of the year and millenium. God bless you all for playing your evangelica role in the church of God. Bravoo

  • @martinmuthuititotitomuthui3383
    @martinmuthuititotitomuthui3383 4 роки тому +5

    Can't get enough of listening to this song.. praise be to Jesus Christ our lord...

  • @petterymroki3864
    @petterymroki3864 3 роки тому

    Mungu awabariki mko vizuri

  • @jacksonruitiari9245
    @jacksonruitiari9245 4 роки тому +2

    Finally nimeupata wimbo wangu.

  • @lucasadolf244
    @lucasadolf244 5 років тому

    Kusoma na kumtukuza mungu inawezekana, nawaombea sup isiwe upande wenu

  • @moshanaaman5588
    @moshanaaman5588 3 роки тому +1

    SAFI KABISA

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 2 роки тому +1

    Atukuzwe.mungu.milele.na.milele

  • @timotheohongera356
    @timotheohongera356 5 років тому

    Kwaya bora sana hii baada ya chang’ombe... nice guys

  • @onesmostephano8456
    @onesmostephano8456 6 років тому

    Hakika Kazi nzuri sana Mungu azidi kupewa sifa na utukufu

  • @mrsmasha7322
    @mrsmasha7322 7 років тому +1

    waooh nabarikiwa sana
    nice work
    saut ya tatu nimewakubali

    • @nkusijanvier9953
      @nkusijanvier9953 6 років тому

      Hongela ninyimbo nzuri sana zimenigusa mngu awabariki .ni january .toka canada

  • @msafirisengea5192
    @msafirisengea5192 6 років тому

    Amina uhimidiwe kwa yote unitendeayo maishani

  • @MartinMartin-lv4jp
    @MartinMartin-lv4jp 5 років тому

    Mko tu juu Sana awabariki nyimbo nzuri kweli

  • @raymondmbitta9032
    @raymondmbitta9032 5 років тому

    Hongereni sana watumishi Wa mungu hakika mungu ni mkuu.

  • @timotheohongera356
    @timotheohongera356 5 років тому +3

    Yaani wimbo mliutendea haki. Mungu awabariki mno

  • @severiusnyakundi9479
    @severiusnyakundi9479 4 роки тому +5

    I'm real blessed by these wonderful songs. Spiritual nourishment is taking place in me... Amen.

  • @najuaphilemonngateu5894
    @najuaphilemonngateu5894 4 роки тому +2

    Nice song. Mbarikiwe sana

  • @dconfidential236
    @dconfidential236 6 років тому

    Mubarikiwe sana kwa kazi nzuri na majitoleo yenu kuinjilisha

  • @abelsanga2616
    @abelsanga2616 5 років тому

    napendaga unono wa sauti na kinanda. Mungu awafunulie maisha mema

  • @jkass757
    @jkass757 6 років тому

    Mko juu, Mungu aendelee kuwabariki katika utume wenu.

  • @fredrickosumo3766
    @fredrickosumo3766 4 роки тому +2

    Very nice and good song to prepare us to heaven

  • @maroloansihaloho2739
    @maroloansihaloho2739 2 роки тому

    Turun dari sorga dari ALLAH upah gitit dari asaf sepatutnya

  • @lucynelson5621
    @lucynelson5621 5 років тому +2

    Rajo production mko vzr

  • @janemlesi5932
    @janemlesi5932 5 років тому

    Mungu awabariki kwa kusifu na kuabudu Mungu on mwema

  • @patricemomela5617
    @patricemomela5617 5 років тому +2

    Am blessed na kaz nzuri mnazofanya..Bravoo.

  • @immaculathawilliam1482
    @immaculathawilliam1482 6 років тому +3

    Dah! Rajo Production...you're de great.......congrats

  • @cellinamutuku
    @cellinamutuku 2 роки тому +2

    Still here in 2021, despite the challenges praise and honour to God, nice song

  • @catherinerori5330
    @catherinerori5330 4 роки тому +2

    Hongera sanaaaa, may God bless you for this wonderful message, keep it up

  • @jacquesmaombi7134
    @jacquesmaombi7134 5 років тому

    Kwa kweli Mungu ahimidiwe milele na milele,,,

  • @lianaflo8737
    @lianaflo8737 5 років тому +6

    am in heaven ,such nice voices .blessings like millions to this choir

  • @mosessaule2977
    @mosessaule2977 7 років тому

    Kazi nziri sana mungu awabariki sana kwa kutuinjilisha.

  • @martinmirambo3087
    @martinmirambo3087 6 років тому

    Uhimidiwe mungu !!!!!!!!!mungu awabariki sna

  • @shantelshanty5193
    @shantelshanty5193 6 років тому +1

    Uhimidiwe Baba yetu upewe sifa 🙏🙏

  • @chrizostommukulasi9584
    @chrizostommukulasi9584 5 років тому

    Hongereni sana kwa kazi ya uinjirishaji.

  • @florakazunga9814
    @florakazunga9814 7 років тому +4

    Mbarikiwe kwa uimbaji wenu.

  • @vseme1572
    @vseme1572 5 років тому +2

    Brilliant! Bwana asifiwe! Really touches my heart.