Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

JEMEDARI WA MBINGU_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Kijenge Arusha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лют 2019
  • Jemedari wa Mbingu, ni wimbo uliobeba jina la album yenye nyimbo za kumsifu Mungu.
    Album hii ipo sokoni sasa na inapatikana mikoa yote.
    Wasiliana nao leo kupitia namba +255 754 886 290 au +255 754 962 559
    #kwayakatoliki

КОМЕНТАРІ • 284

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 роки тому

    Ee mwenyeI nakushukuru kwa baraka zako,na uhai wa maisha naomba nilinde nafsi yangu Amina

  • @maliinathan4831
    @maliinathan4831 4 роки тому +4

    Mungu awabariki kwa ujumbe wenu mkuu,shukrani

  • @gelasitarimo8660
    @gelasitarimo8660 3 роки тому +2

    It so latest song
    Congratulations parokia ya kijenge mpo vizuri

  • @massawefamilly7346
    @massawefamilly7346 3 роки тому +2

    Aiseee hii kwaya inanikosha sana mko vizyri Mungu awabariki na kuwatia nguvu katika utume.Tumsifu Yesu Kristo

  • @conradngatunga9657
    @conradngatunga9657 4 роки тому +3

    nakushukuru kwa moyo asanteeeeee ni wimbo unaotubariki saana

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому +1

    Asante sana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu yote Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote nakuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @maliinathan4831
    @maliinathan4831 4 роки тому +4

    Huwa nausikiliza kila asubuhi,kusema asante tu.

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 роки тому

    Amen,❤ nimebarikiwa listening from Abu Dhabi

  • @josephsimba4655
    @josephsimba4655 4 роки тому +4

    Wimbo mzuri Sana. Mbarikiwe wanakwaya

  • @winfredmumo3391
    @winfredmumo3391 Місяць тому +1

    How I love this song❤

  • @livinusjacob4729
    @livinusjacob4729 5 років тому +3

    mungu awabariki sana kwa ujumbe mzr mmeukonga moyo wangu jaman nafarijika nisikiapo wimbo huu nakushuku kwa moyo

  • @petermbinga3128
    @petermbinga3128 5 років тому +6

    kweli bwana amenisikia na amenihinua amejibu maombi yangu

  • @johnjames567
    @johnjames567 4 роки тому +6

    hakika ni neema kubwa Sana kuupata wimbo huu mbarikiwe sana

  • @emanuelkailas9701
    @emanuelkailas9701 4 роки тому +3

    Barikiwa nyote watumishi wa mungu.
    Rajo production choir inanifariji nafsi na hata kwa familia yangu

  • @abinanyanchama9561
    @abinanyanchama9561 4 роки тому +3

    Who's listening this yr 1st day of March, wimbo mtamu kweli.... nausikiza kila hata sisikii kulala❤❤❤❤

  • @victoronyiego3676
    @victoronyiego3676 5 років тому +4

    Wimbo unaoiburudisha nafsi.. Barikiwa mno Jalali Jalia awajalie neema kedekede mzidi kumtumikia siku zote.

  • @severinemushi7175
    @severinemushi7175 4 роки тому +3

    Nabarikiwa sana nikiskiliza wimbo huu. Jaman mbarikiwe sana mzidi kumtumikia mungu kwauimbji wenu

  • @deokessy6288
    @deokessy6288 4 роки тому +1

    Swai bwana

  • @kipkosgeidominic6093
    @kipkosgeidominic6093 2 роки тому +3

    Wimbo mzuri mno..."Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa moyo"

  • @thomasnyamari401
    @thomasnyamari401 4 роки тому +4

    Hata ingawa mwili u mnyonge nitainuka nimshukuru Mola maana ndiye mtumishi wangu maishani.Hongera.

  • @angeljoseph3098
    @angeljoseph3098 4 роки тому +2

    Wimbo mzr sana namani niinqie humo nami niimbe pamoja nanyie unanibariki sana honqereni sana mmeimba vzr sana mbaikiwe

  • @NzukiDominic
    @NzukiDominic 3 роки тому +1

    Tumaini Swai ni mmojawapo wa wachezakinanda bora zaidi katika eneo nzima la Afrika Mashariki na Kati. Tungo nzuri sana

  • @newmanh
    @newmanh 4 роки тому +12

    How can I like this song 1million Times!!!

  • @emiliana5218
    @emiliana5218 2 роки тому

    Maishani mwangu nakushukuru kwa moyo asnteee

  • @lydiahsimiyu3425
    @lydiahsimiyu3425 2 роки тому

    Nice song waaau adi najiskia nko mbinguni

  • @georgelugalinda4526
    @georgelugalinda4526 5 років тому +2

    Nawapongeza wanakwaya wote mnaohubiri kwa nyimbo nzuri mbarikiwe sana,amina.

  • @adelinamutagwa3441
    @adelinamutagwa3441 4 місяці тому

    Huu wimbo Huwa unanibariki sana.Utadhani mlijua maisha yangu yalivyo.

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 роки тому

    Ntakushukuru kwa moyo wangu wote,asante

  • @paulinemakhaso1009
    @paulinemakhaso1009 2 місяці тому

    This has been a song that reminds me alot....🎉🎉I remember when I first heard it like yesterday

  • @acemarx6271
    @acemarx6271 2 роки тому

    Nashukuru kwa yote yesu,mbarikiwe sana

  • @hildajebet2203
    @hildajebet2203 4 роки тому +5

    Na tazama sasa nakuja,eeh mungu wangu kwa unyenyekevu,nikushukuru niseme Ahsante....this song blesses me,it inspires me
    It reminds me of my blessings no matter how small
    I thank God
    Eeeh mwenyezi mungu ,nakushukuru kwa moyo .Ahsante

  • @mmasyonegeorgis5722
    @mmasyonegeorgis5722 Рік тому

    Mungu Apate Sifa Milele.

  • @rehemamalenda1009
    @rehemamalenda1009 4 роки тому +4

    Wimbo huu umenitia nguvu mpya, mbarikiwe sana

  • @kailimusyoki
    @kailimusyoki 5 місяців тому

    This song never Gets old, I really Love it.

  • @christinamaghembe9978
    @christinamaghembe9978 5 років тому +6

    Ninakushukuru Jemedari wa mbingu hongeren sana huu wimbo huwa unanibari sana. Amejibu maombi yangu.

  • @lucychogo7073
    @lucychogo7073 4 роки тому +2

    Hata malaika na Mungu mbinguni wakisikiliza huu wimbo wanatabasamu

  • @bujunebusanya3966
    @bujunebusanya3966 4 роки тому +2

    Asante kwa utunzi na uimbaji mzuri. Mbarikiwe

  • @leahmwombeki3671
    @leahmwombeki3671 5 років тому +5

    asanten sana wimbo huu naupenda saana Mara ya kwanza niliusikia kanisan nikawautafta kwa juhudi hatimay nimeupata nafarijika sana na kubarikiwa mbarikiwe saana wapendwa

  • @peterqorrocscqorro9341
    @peterqorrocscqorro9341 5 років тому +3

    Hongereni sana wanakwaya kutoka Kijenge Jimbo kuu Katoliki Arusha Tanzania

  • @mariethamollel3564
    @mariethamollel3564 3 роки тому +2

    Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa Moyo, Ahsateee🎶❣️

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 5 років тому +2

    Balikiw watumishi kazi nzuli San

  • @kekejoe4101
    @kekejoe4101 5 років тому +2

    Asante mtunzi,waimbaji na wote waliofanikisha kutolewa kwa wimbo huu.Mungu awabariki

  • @samkirwa3572
    @samkirwa3572 4 роки тому +2

    "Kitambo kidogo nilimuomba nikimsihi Bwana (Mungu), ashuke kwangu anitazame", wimbo nzuri

  • @deodathwoisso2161
    @deodathwoisso2161 4 роки тому +4

    Nashukuru kwa yote Unayonitendea Mungu wangu

  • @mwalimubassu
    @mwalimubassu 5 років тому +3

    Ee Mungu Nakushukuru kwa Moyo. ... Bwana Awabariki na Kuwalinda Wapendwa. Endeleeni kumwimbia kwa Moyo JEMEDARI WETU.

  • @Mwalimutito
    @Mwalimutito 4 роки тому +5

    What a nice song, Ewe Mungu wangu nakushukuru kwa moyo wangu wote, Asante

  • @evelynemlokela7782
    @evelynemlokela7782 5 років тому +3

    Ee we Mungu nakushukuru kwa moyo Asanteee, asanteni wanakwaya kwa wimb mzuri

  • @mariethamkulo1983
    @mariethamkulo1983 3 роки тому

    Napenda pale anapoanzisha mwl

  • @soteliuskyaruzi6805
    @soteliuskyaruzi6805 4 роки тому +2

    Nimeipenda.

  • @jafethpeter5706
    @jafethpeter5706 4 роки тому +2

    Kwaya hii imenibariki sana

  • @edwardkioko4455
    @edwardkioko4455 4 роки тому +2

    Wimbo mzuuuri sana na mtaaamu sana jamani. Hongereni sana wote. Kwako ewe Tumaini Swai big up yourself sana kwa ustadi wako kaka.

  • @tobiasokothotieno6188
    @tobiasokothotieno6188 3 роки тому +1

    Mungu Ana jibu Maombi yangu kila siku

  • @michaelsikazwe4577
    @michaelsikazwe4577 5 років тому +3

    hongeren kwa kazi nzuri wanakwaya na wote mliofanikisha kazi hii, pia mtunzi amenibariki kwa tungo nzuri.

  • @bujingwaramadhan5941
    @bujingwaramadhan5941 5 років тому +2

    ukweli ni kazi nzuri mnoo. kristo tumaini letu hakika.

  • @onesmuskimori3235
    @onesmuskimori3235 5 років тому +4

    Hongereni sana wimbo ulio na mguso na mvuto kuusikiliza asante

  • @elizabethjoseph9482
    @elizabethjoseph9482 3 роки тому +1

    Ninakushukuru jemedari wa Mbingu Bwana Mungu wa majeshi

  • @joelmapunda2387
    @joelmapunda2387 4 роки тому +4

    I really blessed abt dat songs much my lovely friend,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @edsonmlyuka1096
    @edsonmlyuka1096 2 роки тому

    Kazi nzuri wapendwa

  • @cleophasomondi5475
    @cleophasomondi5475 5 років тому +4

    From Kenya with Love... Wimbo mzuri sana wa shukrani... Kila wakati ninaposikia wimbo huu I just find myself praying and giving thanks.

    • @ndibalema1
      @ndibalema1 4 роки тому

      Thanks Cleophas, be blessed

  • @victorkayanda1500
    @victorkayanda1500 3 роки тому +1

    asanten sana nawapenda sana RAJO production
    pia naomb msikate tamaa
    na classmet wangu ambaye ni mwalim wangu wa kwaya kutoka chuo cha ufundi Nangwa namuona hongera zenu

    • @rajopro
      @rajopro  3 роки тому

      Asantel sana Victor

  • @henryoreo2283
    @henryoreo2283 4 роки тому +1

    T.Swai kazini..imependeza sana!

  • @roseomaanya1194
    @roseomaanya1194 10 місяців тому +1

    A blessing song

  • @stellamamiro6553
    @stellamamiro6553 4 роки тому +3

    Kweli RAJO upo vizuri wanaokucopy hawakuwezi

  • @francissilayo.3457
    @francissilayo.3457 5 років тому +13

    Big up kwa organists Fulgence Swai n Henry Kimario matunda ya Uru Seminary

  • @auxilianjeri4952
    @auxilianjeri4952 4 роки тому +3

    wacthing a million times!!!!!!!

  • @lucymkenda9069
    @lucymkenda9069 4 роки тому +2

    Nawapenda bure

  • @ruthpeter1693
    @ruthpeter1693 4 роки тому +12

    Gonga like twende pamoja

  • @estermasona1045
    @estermasona1045 5 років тому +2

    aisee kuwa ndan ya yesu ni raha hakuna mfano

  • @manassehisaac5592
    @manassehisaac5592 3 роки тому +3

    I LOVE THIS SONG

  • @juditholoo3535
    @juditholoo3535 3 роки тому +1

    Ujumbe mzito kweli mungu aendelee kuwabariki

  • @shijalugiko4053
    @shijalugiko4053 5 років тому +2

    Nakushukuru kwa moyo asante

  • @deogratiusmkamba8573
    @deogratiusmkamba8573 4 роки тому +2

    Nakushukuru MUNGU wangu kwa MOYO

  • @vsbrichiee437
    @vsbrichiee437 5 років тому +4

    Wimbo wangu wa mwaka 2018 nlikuwa nausubiria kwa shauku kubwa mnoo

  • @vckybayyo6671
    @vckybayyo6671 3 роки тому +1

    Wow nawaona wa nyumbn Mungu azid kuwabarik

  • @maliinathan4831
    @maliinathan4831 4 роки тому +3

    Hii haitozeeka

  • @majigelucas9479
    @majigelucas9479 5 років тому +3

    Wimbo mzuri kweli na umenifanya niwe na siku nzuli

    • @florahjaphety8958
      @florahjaphety8958 4 роки тому

      Wimbo mzri mungu azidi kuwatia nguvu na kuendeleza kipaji mlichopewa na mwenyez mung🙏🙏🙏

  • @mwisukuuwewakaleli6219
    @mwisukuuwewakaleli6219 5 років тому +16

    Wimbo Wa mwaka...2019 I.e......I like its calmness...... and tha context

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 років тому +3

    Ahimidiwe Bwana milele yote, Asanteni kwa wimbo mzuri wapendwa

  • @charleslugemalila1168
    @charleslugemalila1168 5 років тому +4

    Hongereni kwa kazi nzuri. Bravo RAJO

  • @aminaibrahim8466
    @aminaibrahim8466 2 роки тому

    Wimbo mzuri sana nimeupenda hongereni sana edelen kutumia karama zenu na mungu awabariki sana

  • @edsonmlyuka2005
    @edsonmlyuka2005 2 роки тому

    Mungu awabariki kwa utume

  • @consolatandinda8887
    @consolatandinda8887 6 місяців тому +1

    Kwa hakika 🎶kitambo kidogo nilimuomba nikimsihi Bwana ashuke kwangu anitazame agange shida zangu🎶 it's a testimony i prayed to be where i am today and im very grateful my God answered prayers 🙌

    • @Mary-jj2nr
      @Mary-jj2nr Місяць тому +2

      Nitumie Whatsapp naomba

  • @kwayayamt.yohanembatizaji_9701
    @kwayayamt.yohanembatizaji_9701 2 роки тому

    Hongereni sana wapendwa

  • @nyesigabuberwa7679
    @nyesigabuberwa7679 3 роки тому +1

    Asante jemedari wa mbingu unayenitegemeza

  • @evaristmassawe6925
    @evaristmassawe6925 6 місяців тому

    Wimbo wangu Bora wa shukrani kwa Mungu.Hongera kwa waimbaji na mtunzi.

  • @cleophasomondi5475
    @cleophasomondi5475 5 років тому +12

    Ata kwa unyonge wangu, ninakushukuru jemedari wa mbingu

  • @davidkg2630
    @davidkg2630 3 роки тому +1

    NAKUSHUKURU KWA MOYO.NICE SONG

  • @newmanh
    @newmanh 4 роки тому +2

    Nakushukuru Kwa moyo Ee Mungu! Thank you God.

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 4 роки тому +5

    "Amenisikia ameinua amejibu maombi yangu"🙏🙏🙏🙏what a nc song mbarikiwe sana

    • @mugarurasosthenes7912
      @mugarurasosthenes7912 4 роки тому

      Wimbo mzuri sana, mmeimba kwa hisia kubwa na mmewasilisha ujumbe murua. Mungu awabariki.

  • @shijalugiko4053
    @shijalugiko4053 5 років тому +2

    Wimbo umenikatisha usingizi. Ukanifanya nitafakari kwa kina makuu aliyonikirimia Mungu wangu. Asante Rajo kwakutupatia clip ya hawa wanakwaya

    • @janethpolle6479
      @janethpolle6479 4 роки тому

      Tcha, huu wimbo umenifanya Nitaman siku zingkua znarudishwa nyuma tuuweke kweny albam yetu bagamoyo

  • @thobiasafredy663
    @thobiasafredy663 5 років тому +2

    Mbalikiwe katika bwana!!!

  • @isaacpaul5579
    @isaacpaul5579 3 роки тому +1

    i cant stop listening to this song. Mungu awajalie ili na hongera kwa mtunzi na waimbaji pia....

  • @silaselias9852
    @silaselias9852 4 роки тому +2

    Pamoja sana

  • @winnieotieno8690
    @winnieotieno8690 5 років тому +6

    Í have to play this every morning n night before bed.siwezi chochote Mimi bila nguvu zako

  • @happylazaro3862
    @happylazaro3862 5 років тому +2

    Kazi nzuriiii

  • @restipaul4286
    @restipaul4286 3 роки тому +1

    Wawoooo

  • @ediminabalongo2656
    @ediminabalongo2656 7 місяців тому

    Na tazama Sasa nakuja kwako jamani huu wimbo naupenda sana hongereni Kwa uimbaji mzuri

  • @florianfinda7445
    @florianfinda7445 5 років тому +1

    Very good job wanakwaya wenzangu. Namshukuru MUNGU kwa namna ya pekee kwaajili yenu maana naoana huu wimbo umetungwa kwaajili yangu. Nimepita ktk kipindi kigumu sana ila MUNGU mwenye nguvu akaniokoa na sasa utukufu wake unaonekana, Kutoka ndani ya moyo wangu NINAMSHUKURU kwa moyo. Mbarikiwe sana ndugu zangu

    • @rajopro
      @rajopro  5 років тому +1

      Uzidi kubarikiwa ndugu.

    • @jacobmpalanzi5148
      @jacobmpalanzi5148 5 років тому

      Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu awabariki zaidi!

  • @BenjamnimsakaBenjamnimsa-ls9gu
    @BenjamnimsakaBenjamnimsa-ls9gu 10 місяців тому

    Rede na prica katika obora wao

  • @AnsbertNgurumo
    @AnsbertNgurumo 4 роки тому +2

    Nakushukuru kwa moyo. Asante! Mwakora!

    • @joanjoan1080
      @joanjoan1080 4 роки тому

      Nimekuelewa Ansbert MWAKORA

    • @ndibalema1
      @ndibalema1 4 роки тому

      Kasinge owaishe. Ntukumiss muno