Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
FURAHA YANGU By Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Kigango cha Sabasaba_Mafinga Tz
Вставка
- Опубліковано 6 жов 2017
- Furaha yangu ni Wimbo unaobeba jina la album ya kwaya ya Mt Theresia wa mtoto Yesu, Kigango cha Bikira Maria Mama wa Huruma, Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni, Mafinga, Jimbo Katoliki la Iringa.
Je suis Burundais🇧🇮, mais j'adore la mélodie tanzanienne !!!
Continuez ce travail béni.
Hakika furaha yangu ni kumsifu bwana
Barikiweniu mno nyimbo nzurii sana
❣️❣️❣️❤❤🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Nce ad melodious voices from uuuuuu,,sir God awazidishie❤❤❤❤,
On the name of almighty God, there isn't a pianist as this one who is ruling this sweet choir.
Wimbo mtamu Sana mungu awajalie moyo wakuendelea na uenezaji wa injili daima ❤😂🎉🌸🌻🏵️💮💐🌺🌱🍂🌾👍🙏🌲🌵🌳🌳☘️☘️🌿🍀😔🌹🇹🇿
Hilo beat la mwanzoni apo wimbo wake unaitwaje
I keep repeating the song. I'm an addict of their voices.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Me too, I have to reply it a several time
Furaha yangu mimi nii kumsifu Bwana tuliobarikiwa tujuane kwa like
Amina mbarikiwe sana Wimbo umenibariki
Furaha yangu kwa hakika ni kumsifu Bwana❤️❤️❤️
Mungu azidi kuwabariki kwa kazi ya uinjilishaji mnayoifanya
Wat een prachtige uitstraling wederom .Voeding voor geest en ziel !
5 years later I still find peace from this song...... therapy
Vraiment vous êtes les meilleurs... Je suis sénégalais et j'adore beaucoup vos chants car je porte la chorale dans mon coeur. Je ne comprends pas le Swahili mais j'apprends quand-même quelques mots. Dieu vous bénisse et vous comble de ses grâces.🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amazing
Mmmmmmmklllopooòppp⁰0⁰9o
Lemmpp00⁰
Thank you very much, you welcome to visit Tanzania🇹🇿🙏🙏😀
Watching from USA Atlanta Georgia bwana Tumsifu yesu christos Animina.
Wimbo mzuri sasa,,, mie huku Kenya napenzwa na nyimbo zenu nzuri . Mola awaneemesha tena na tena.
Karibu Tanzania
Kwanini nisimsifu bwana....furaha yangu Mimi..nikumsifu bwana...
Nyimboo nzurr Sanaa hongerenii
Hongereni kwa ujumbe mzuri
Mcheza kinanda upo vzr sana hongera
Good Catholics l wish less in Tanzania just to join the singing with you mean God bless you , Release as many songs as many as possible
Amina furaha yetu ni kumtukuza
I'm Jean claude,from Burundi in ngozi toun.
Mungu abarik milele nice
Nakubali sana aisee msifuni mungu katika patakatifu pake
Wimbo unafundisha hongereni
Furaha yangu ni kumsifu Bwana
Mungu ninaemwita akika anasikia wakati mwingine anashusha baraka zake hata bila kuomba hakika ananipenda good song
Hakika inatia nguvuuu katikasafar Ang ya maishaa
inyamaswa
Nicer song a watch every day
Safi xanaa wanakwaya ya mafinga, najivunia ukatorik Iringa tupo juu hata iweje ukristo raha sana
sana
Wooow! Siku si nyingi mtakuwa kama Makuburi, kwaya ya mt, Kizito.......dah! Nawapenda
I love your songs I hope one day in life I will come to pray holy mass with you brethren if I happen to be in Tanzania especially those sides of Mafinga since I know the place though scantily.
Karibu sana ndugu🇹🇿🙏🙏😀
Nimefurahi sana nyimbo nzuri kama hizi ziko hata vigangoni Mungu awainue zaidi mko vizuri.
Marcelino mwageni t
nyimbo nzuri kweli
wimbo mzuri amina tumeupenda sana
God bless you-I like the song
Mungu awabarki nice song pround to be Catholic touching song hongera
Exactly
Naipenda sanaaa
Hakika mnanikumbusha mbali sana wanakwaya enzi zile nikiwa changarawe high school tumeimba sana hii kwaya. Nafarijika kuona mmepiga hatua nzuri namna hii. Mnastahili pongezi kwa kweli.
leo msafiri sasana
Mon Dieu.... soyez bénis mes frères et sœurs...
Mbarikiwe, mzidi kumwimbia Mungu katika roho na kweli.
Umenibarik sana
kwa kweli mnainjilisha kwa Furaha kama ulivyo wimbo, mungu awabariki sana
Nyimbo za kwerisma zipo vizuri, mungu awape miaka mingi watunzi.
Amen.
Thank you so much.
God Bless
This song is very nice the choir is very nice thank God for always singing for u 🙏🙏
This song inspires holly Spirity.may this pianist who rules this choir be blessed.jean claude from Burundi especially in ngozi toun.
May God bless you Jean
Beautifull
nimeupenda kweli ,furaha yangu ni kumsifu BWANA Kila siku ,mubarikiwe sana
Kweli mungu ni jemedari wa vita yangu daima nitamtumkia
Kama sio Mkatoliki Basi umechelewa ndugu....
Furaha yangu ni kumsifu Mungu wetu aliye mwanga wangu kila siku na hasa yasiyowezekana kwangu....
Hongera sana kwa wimbo mzuri wa uinjilishaji. Mungu awabariki sana na awazidishie nguvu, ujasiri na upendo zaidi..
Hongereni sana wana Mafinga. mpo juu kuinjilisha
Furaha yangu ni kumsifu .naupenda xana hu winbo .karibun .karatu .
Furaha yangu kumsifu Bwana,, mbarikiwe wapendwa
Kwaya ya Mt. Theresia Mpalizwa mbinguni Mafinga hongereni kwa ujumbe mzuri.
Mpiga kipenga umenifurahisha sana. Amina
Wilhelm Elias hii ni theresia mtoto yesu kigango cha sabasaba mafinga tofauti na bikira maria mpalizwa mbinguni bmmm
wimbo mzuri sana jamani umenibariki sanaaa yaaniii
Kuma
www.accuweather.com/en/tz/musoma/314063/weather-forecast/314063
Musoma, Mara, Tanzania Three Day Weather Forecast .
Nyimbo ya bariki kweli
watumishi wamu MUNGU mbarikiwesana kaziyenu nimzuri inabariki sana
Asee naona ni kama nimechelewa kuifahamu kwaya hii ya Mt. Teresia kigango cha sabasaba Mafinga- Iringa, kwani naiangalia video hii kuwa na ujumbe mzuri pia na waimbaji wazuri wametulia. Hongereni sanaaa!!!
kama ilivyo ada kutangaza na kumsifu mungu ni wajibu was kila mkiristo mbarikiwe sana
Love all jmni nawapenda san na my mom nimkumic sn
Nice song may my lord be with you in you thing and you active you do love the song
mbalikiwe sana mungu azidi kuwapa nguvu na afya mzidi kumtukuza milele
Tres bien.
Na Mola awabariki kwa kazi yenu nzuri. watching from DOHA -QATAR
Nimebarikiwa xana na huu wimbo..mbarikiwe xana wapendwa
ongereni sana wimbo mzr Sana..........tuko pamoja na nyie wanakwaya w2 wa kigago cha sabasaba Mafinga 1
hongera sana waimbaji kazi ni nzur sana mbarikiwe sana
Tumsifu yesu Kristo bwana wetu,milele na milele...
Nimeipenda hii
Yani wimbo umejaa baraka za Yesu mwanzo mwisho hauchoshi kusikiliza
ndio unapendeza sana
mubarikiwe sana kwa iyo nyimbo na ha burundi tunabafaamu
Mubarikiwe sana kwa ujumbe mzr mungu azidi kuwatia nguvu
barikiwa sana
furaha yangu kumsifu Bwana
pongez kwake Kisusi Chipukizi
Feeling needed😘🤗
amina nmeabarikiw sana na huu wimbo mungu awabariki sana katk utume wenu
Rajo production ukovivur kaka mungu akujalie uambukize nawengne
Pongezini wanakwaya wa Mt Theresia wa Mtoto Yesu kwa wimbo wenu mzuri. Karibuni pia nanyi kwa channel yetu (Catholic tv music & hymes) remember to subscribe, like, comment and share.
Wimbo unafikirisha Sana..
Beautiful voices
Baraka nyingi sana kwenu na Mwenyezi Mungu awatangulie katika unjilishaji wenu.
Mungu awabariki sana mmeimb vizuri, nitapataje hii sidi yeny huu wimbo
Mubarikiwe sana na Bwana Wetu Yesu Kristu
Great , this is so awesome !
Rajo production mko juu hongereni sana
Mbarikiwe sanaaa
The vocals are waoohh, keep it up. Daima mkatoriki mimi.
mungu awabari mpiga kinada uko vizuri niipenda biti yako
Mbarikiwe Sana kwa uimbaji mzuri sana
Nice song😍🤓
God in heaven indeed is pleased by this and am very inspired
Praise be to God bless you
Thank you for the one who has liked and commented love u God bless you much more
Aminaaa
Ahsante kwa baraka...Mungu wa amani awatawale
truly mungu hakika anatupenda wimbo mtamu sana
Amina kubwa
Mwanzo mzuri.kila lakheri ktk uinjilishaji
Good song wish to watch everyday
Very nice one
nzuri sana kwanza inavyoanza unahisi baraka inakushukia
Amina mubarikiwe
So powerful, God bless Rajo production
Mungu awabariki katika kazi ya kumtumika kazi nzuri
Furaha yangu ni kumsifu Mungu daima
Kweli anajibu maomba mbalikiwe
Asanteni wanakwaya kwa kutuinjilisha kwa nyimbo.