Kijana Isack Mwita umekuwa Sasa baba hongera Pokea Maua yako kaka❤❤❤❤ hongera waimbaji mmefanya vyema maneno na ujumbe umesikika vyema sauti nyororo Kama za Malaika keep going on ❤❤
Jamani cjui nisemeje huu wimbo unatukumbusha maisha tunayoishi kwa sasa hebu tubadilike Mungu peke yake anatosha katika maisha yetu asante mtunzi kwa kutukumbusha
Yaani kama tungekua tunatafakari maneno haya mazito katika mioyo yetu Mungu ataturehemu, barikiwa sana Mwita Isaac, Mungu akukirimie neema sana, huwa unanibariki sana @franklinOrganist
Mungu tuondolee kiburi Cha uzima, tujalie kukutambua na kukupenda na tuufuate yenye kukupendezeza, hongera sana Regina na wote mloshiriki, God bless you all
Muzuri ya ajabu sana wimbo uyu na mafundisho makubwa sana. Baba Mungu awabariki katika vipaji yenu na Roho yake Baba Mtakatifu iwajaze kwa uwingi. Alphonse Marie.
Naamini Mungu anamimina baraka tele kwako Mwita Isack kwa tungo hizi.Tangu ule wimbo wa ''Una thamani...'' hakika umeonesha kuwa una utulivu wa nafsi kila unapotunga wimbo
Hakika huu wimbo umetungwa na kutungika. Hongera walimu na waimbaji wa wimbo huu. Umeimba kwa hisia kubwa Kama malaika. Hakika Mungu awainue. Pia tumejifunza kuuimba huu wimbo ni wiki Sasa. Yani huu wimbo unaleta muamsho mkubwa Sana wa kuishi Mbinguni.
Mtunzi wewe kiwango chako sitaki hata kukizungumzia, maana sijui umeutoa wapi huu utamu hebu ona "namaagiiiizo yako hataki" sauti ya 4 umetupa Raha Sana. Naomba namba yako. Sio kwa kuupiga mwingi huko
Wapendwa Wanakwaya kwa wimbo huu mnaingia vizuri katika maisha yetu ambayo wakati fulani yanagubikwa na kiburi kitokacho katika tukiwazacho au tulichonacho na hivi kumweka kando Muumbaji. Heko shime songa mbele ktk kutangaza Injili. Wimbo tafakarisha Sana!
Amen... Amen.... Amen 🙏🙏🙏wimbo mzur san huu jmn. Mbarkiwe san
Kijana Isack Mwita umekuwa Sasa baba hongera Pokea Maua yako kaka❤❤❤❤ hongera waimbaji mmefanya vyema maneno na ujumbe umesikika vyema sauti nyororo Kama za Malaika keep going on ❤❤
Hongera sana sana kwa kazi ya kitume
Hakika huu wimbo ni mzuri sana unanibariki mno hongera sana mtunzi umefanya kazi kubwa Mungu akubariki
❤❤❤ isac wewe ni kiboko hongera sana despiner na washiliki wote
Naomba namba za simu ya mtunzi isack mwita 🔥🔥🔥🔥🔥... waimbaji wako 🔥🔥🔥🔥🔥
Amazing song 🎉 hongereni sana
Kweli ni meukubali
Good message. Hongereni😊
Ubarikiwe sana Mwita
Wimbo mzur Sanaa...hongeren waimbaj ...Mungu awatie nguv
Jamani cjui nisemeje huu wimbo unatukumbusha maisha tunayoishi kwa sasa hebu tubadilike Mungu peke yake anatosha katika maisha yetu asante mtunzi kwa kutukumbusha
Hongera sana isack...surely your a blessed...kip up with more good inspiring compositions❤❤
Hongera dada despina na wanakwaya wote Hongera kwa mwalimu organist
Despina ni mmoja tu hongereni sana wanakwaya kwa nyimbo yenye ujumbe ujumbe mnzuri
❤kazi nzuri sana God bless you all
Hongereni Sana Kwa uinjilishaji Mungu aendelee kuwabariki❤
Yaaani kila nyimbo yako Mwl ni nzurii hutamani kukosa barikiwa Mtumishi Mungu akutunze
Absolutely beautiful song. Well harmonised
KAZI nzuri kila kitu ni bora hongereni sana
Najivunia kuwa mkatoliki,Asante ndugu zangu wa Msongola kwa wimbo mzuri,tujiepushe na kiburi Cha uzima
Nimeipenda
Huu wimbo mzuri Sana,maneno, melody yake vimetufikishia ujumbe huu mzuri.Kinanda saaaafiiiiíi,free organ ingekua fupi kidogo
Evangelical voice
Sauti nzuri God bless you for Good job🎉
Hongera Galaxy Pro
Hongeraa sana Mwl mwita Mungu akutunzee
Ah ah!!! Hongera sana wakubwa afu the Galaxy mbon mmekuwa hivyo?? Mungu azidi kuwakirimia mara mia
nice...my favourite Despina love you
Hongereni wanakwaya ya parokia yangu Sasa si teule tena
Asante sana iyo nyimbo ninzuri sana
Nawapenda kwa utume huo mwema na mzuri Sister Daspina hakika napenda uimbaji wako nyote kwa ujumla
Hakika nimebarikiwa kupitia wimbo huu mzuri. Hongera sana mtunzi
Safi sana
Nice message
Siyo tu kwa mavazi hata kujibadilisha rangi . Lakini namuomba Mungu azidi kuwaongoza katika utume wao hawa.
Nabalikiwa na huu wimbo barikiwa sanaaa
Hongera Sana kwa utume wa uinjilishaji. Dada Despina na wanakwaya kwa ubora wenu, na mtunzi pia ni hatari!!
Barikiwa sana mtunzi/mtani Mwita na waimbaji Kwa ujumla mmenitafakarisha kukumbuka na kutenda yaliyo mema hongera sana
Hongerenisana kwawimbo mzuri mmno
Hongera kwa mtunzi pia
Hongereni kwa wimbo mzuri na sauti tamu,pia organist punguza muda wa free organ,unakuwa mrefu
Najivunia ukatoliki wangu mpaka kufa❤
Yaani kama tungekua tunatafakari maneno haya mazito katika mioyo yetu Mungu ataturehemu, barikiwa sana Mwita Isaac, Mungu akukirimie neema sana, huwa unanibariki sana @franklinOrganist
M
Kuyatafakari na kuyatenda maelezo ya wimbo huu.
❤
Jamani nafarijika sana kwa wimbo huu unanikumbusha kumrudia mungu nakujitahidi kutenda mwema, hongereni mungu awabariki❤❤
Bravo,bravo,bravo❤❤❤
Hakika wimbo mzuri sana na unaotafakisha, mbarikiwe wote
Mungu azidi kuwategemeza hakika mmeutendea haki wimbo huu sauti zenye utulivu hakika tumrudie Mungu tuachane na kiburi cha uzima mbarikiwe
Wimbo flani hivi wenye mguso wa tofauti.Hongera kwa mtunzi, mpiga kinanda, Waimbaji na timu nzima ya production kwa ujumla
Jaman mbona nyimbo tamu Sana huyumtunzi sijui Alifikilia nini maana Mimi naisikia inaoigia ndani ya moyo Wangu Hakika Mwenyezi Mungu Nimwema Sana
❤
Amina dadangu Mungu ni mwema
@@Mwita_Isack
nisaidie wimbo wako ule wa pamoja na udhaifu wa kibinadamu kwa Mungu una thamani
siupati nikiutafuta
Hakika ni mzuri sana
Aloo ❤
Destination you made it continue
Hongera sana...Kama kawaida Dada despina Huwa haniangushi... nawapenda sana..sauti 🔥🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana wanakwaya kwa kazi nzuri sana Mungu awabariki sana
Wanawake kama tungezingatia maneno haya mazito msingemsahihisha Mungu uumbaji wake kwa kuvaa nwele za bandia.
Wimbi mzur sna unatugusa san
Kwakweli tukiacha kiburi Cha uzima tutaishi maisha Yale yampendezayo mungu na mwanadam
Mungu tuondolee kiburi Cha uzima, tujalie kukutambua na kukupenda na tuufuate yenye kukupendezeza, hongera sana Regina na wote mloshiriki, God bless you all
Hongereni sana kwa uimbaji mzuri. Despina na Mwl Mwita pamoja na organist Baraka haunaga kazi mbovu
Tafakari nzui sana hongren waimbaji na mtunzi pia
congratulations imekaa vema naomba number za mtunzi mwita isack
❤ Safi san
Daaaah...!
Baba yetu aliye Mtakatifu sana aturehemu 🙏🙏🙏
Hii ni hatali ngoma kali sana mmbalikiwe sana
Naweza changiaje kazi nzuri kama hii. Dah Despina kama kawaida yako
nautafuta wimbo wako wa pamoja na idhaifu wa kibinadamu kwa Mungu una thamani
siupati naomba unisaidie @ mwita Izack
Hongeren sana Wana kwaya,hongera Sana Mwalimu Mwita Kwa wimbo huu Mzuri .Hongera The Galaxy pro Kwa kazi Bora zaid.
Jamani hongeleni sana
Nzuri mno kiburi cha uzima ni Nyimbo ya. Tafakari kweli kweli Hongereni kwa uinjilishaji 🙏
Wahoooo bonge la kz mungu awabariki waimbaji wote.
Dada mungu awabarikiri
Nice piece with good message and creativity ❤❤
Hongera sana ❤❤❤
Muzuri ya ajabu sana wimbo uyu na mafundisho makubwa sana. Baba Mungu awabariki katika vipaji yenu na Roho yake Baba Mtakatifu iwajaze kwa uwingi. Alphonse Marie.
Mungu awabariki sana
Mwenye alifanya utafsiri alikosea pakubwa.
Wimbo tamu sana
Good message. Mbarikiwe
Kiburi kwa kweli ni adui kwa roho zetu Mungu tipe ujasiri wa kutenda mema. Barikiweni sana , Wimbo unao nena na nyoyo zetu kweli .
Hongera wanakwaya, Mwita hukosei hata big up bro.
Hongereni sana wote mlioshiriki kuikamilisha kazi nzuri hii (Mtunzi, waimbaji, Studio audio-video, organist...). Mungu awabariki !
Awesome ❤
Naamini Mungu anamimina baraka tele kwako Mwita Isack kwa tungo hizi.Tangu ule wimbo wa ''Una thamani...'' hakika umeonesha kuwa una utulivu wa nafsi kila unapotunga wimbo
Amina kaka Mungu ni mwema.
Hakika huu wimbo umetungwa na kutungika. Hongera walimu na waimbaji wa wimbo huu. Umeimba kwa hisia kubwa Kama malaika. Hakika Mungu awainue. Pia tumejifunza kuuimba huu wimbo ni wiki Sasa. Yani huu wimbo unaleta muamsho mkubwa Sana wa kuishi Mbinguni.
Mtunzi wewe kiwango chako sitaki hata kukizungumzia, maana sijui umeutoa wapi huu utamu hebu ona "namaagiiiizo yako hataki" sauti ya 4 umetupa Raha Sana. Naomba namba yako. Sio kwa kuupiga mwingi huko
The best song so far in 2024...Kongole sana
Achana kabisa na kiburi cha uzima. 🔥🔥🔥
So proud to be Catholic,
Wimbo una ujumbe mzito kweli. Asanteni sana
Hongereni sana wanakwaya wetu
Kazi nzuriii mbarikiwe sanaaa❤❤❤❤
Umenigusa sana .Mungu Akubariki Mtunzi 🎉
Amina 🙏
Ukatoliki imara mbarikiwa sana🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri wa kutafakari🙏
Barikiweni sana,kazi nzuri
Kazi njema ✔️
Wapendwa Wanakwaya kwa wimbo huu mnaingia vizuri katika maisha yetu ambayo wakati fulani yanagubikwa na kiburi kitokacho katika tukiwazacho au tulichonacho na hivi kumweka kando Muumbaji. Heko shime songa mbele ktk kutangaza Injili. Wimbo tafakarisha Sana!
Ujumbe mzur Mungu awbariki sana ndg zangu 🙏
Wimbo mzuri kuanzia maudhui hadi sauti na mpangilio mzima. Hongereni sana😊
Nyimbo zenu hubariki. Asanteni.
Hongeleni Sana wanakwaya wetu
Safi sana kazi nzuri sana hio❤❤
Finally despina ♥️
What a sweet music 🎶, am blessed a lot. Asante sana Galaxy pro, waimbaji, mtunzi.Naomb kwa mwenye huu utukufu (music notes) wakuu anisaidie ..🙏🙏
Mungu azidi kuinua kipaji chako,, nyimbo nzuri sana,,,#unadhaman na huu wimbo huu nk. Nsiku nikija Dr nitakutafuta. Mungu akubariki sana
Amina sana
Napenda, good job.
Wooooow wooo huu wimbo ndo nilikuwa nausubiri kwa Hama ❤❤❤