Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Tuongezee Imani Bwana - Dkt. D. Kacholi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 сер 2024
  • Kwaya ya Mt. Fransisko Ksaveri, Chang'ombe DSM

КОМЕНТАРІ • 645

  • @bitundaeulali3741
    @bitundaeulali3741 3 роки тому +37

    Kama unapenda dini catholic gonga like 😘

    • @Kinondoni-sg9ot
      @Kinondoni-sg9ot 10 місяців тому +2

      Naipenda kutoka moyon❤❤❤❤

  • @NonosiusMapunda
    @NonosiusMapunda 17 днів тому +3

    Wimbo wa NIONGEZEE IMANI BWANA kweli unaniburudisha na kuniongezea imani juu ya UKATOLIKI WANGU.

    • @charlessaasita9975
      @charlessaasita9975  17 днів тому

      @@NonosiusMapunda asante sana familia ya saasita tumefurahi kusikia hivo

  • @gabjoni4306
    @gabjoni4306 3 роки тому +6

    Mtunzi kutoka chang'ombe primary school to st Anthony mbagala up to sokoine agricultural alafu akaingia mlimani ud mbali na kupea pipa to Germany ndani ya PHD Mwenyezi Mungu akubariki sana my best brother DS Kacholi🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @jacintanyongesa7920
    @jacintanyongesa7920 Рік тому +1

    Mungu awajalie nguvu ya wimbaji

  • @janemwirikia6817
    @janemwirikia6817 3 роки тому +27

    There was a time i was crying for faith in 2018,i was reciting holy rosary for Jesus to see me through 3times per day,i was very low in faith,february 2nd 2019 the day i will never forget in my life mother mary came on my dream and stayed with me and she was crying holding my hands,from that day i started believing and praying so hard.

    • @onesmuskivuva7112
      @onesmuskivuva7112 2 роки тому +3

      This is encouraging. Ain't a catholic but love the singing and messages therein

    • @audaxbizimana8084
      @audaxbizimana8084 Рік тому

      Oooh wow praise the Lord 🙏🙏🙏🙏
      And pray daily you will a lot of miracles from heaven through the hand Mary mother of Jesus Christ our Lord

    • @salomelaitete5010
      @salomelaitete5010 Рік тому

      Mama Maria tuombee...nakupenda Mama

    • @audaxbizimana8084
      @audaxbizimana8084 Рік тому

      Ave Maria Ave Maria

  • @FortunataMakula
    @FortunataMakula 14 днів тому +1

    naipenda sana catholic wimbo ambao kila nikiusikiliza lmani inazidi kuwa kubwa kwangu

    • @charlessaasita9975
      @charlessaasita9975  14 днів тому

      Asante tunafurahi sana tuzidi kuimarika katika imani 🙏

    • @charlessaasita9975
      @charlessaasita9975  10 днів тому

      @@FortunataMakula amina sana tumefurahi pia endelea kuimarika kiimani🙏

  • @janethmayanja
    @janethmayanja 7 місяців тому +3

    My prayer in 2024, Lord increase my Faith

  • @SABASMSOFE
    @SABASMSOFE 2 місяці тому

    Huu wimbo unanifanya niwena amani sana ❤🎉kama umegundua mapadre weng wana penda huu wimbo like hapo😊

  • @elviskum6741
    @elviskum6741 2 місяці тому

    I enjoy this song so much. Even though I don’t understand what they’re singing..Greetings from Cameroon

  • @AffectionateBalkhHound-cg1fo
    @AffectionateBalkhHound-cg1fo 6 місяців тому

    Ee tunamuomba mungu atuongezee Imani ili tuweze kumkimbilia

  • @user-sx4yy6tm3g
    @user-sx4yy6tm3g 5 місяців тому

    Kwakweli Mungu niongee lmani Bwana

  • @yohanadeus1292
    @yohanadeus1292 Місяць тому

    Eeeh mungu niongezee Imani juu ya uumbaji wako

  • @jamali0017
    @jamali0017 4 роки тому +22

    Tuongezee Imani bwana tuwe Askari hodari kweli wa yesu Kristi 2019_2020 tuwe na Imani na dini yetu🎹🎤🎸🎵⚓🙏🙏🙏🙏🙏

    • @marypwanye8943
      @marypwanye8943 4 роки тому +1

      Ninaupenda sana wimbo huu.
      Sifa na utukufu una yeye

  • @lucykazohera8621
    @lucykazohera8621 2 роки тому

    Nimebarikiwa sana kwani tunahitaji kuongezewa imani ya kumuamini Mungu na kumtegemea eye tu hasa kwa kipindi hiki mbarikiwe

  • @mgenileonora9717
    @mgenileonora9717 2 роки тому

    Tuongezee imani Bwana,nabarikiwa sana

  • @jescarwegoshora1123
    @jescarwegoshora1123 4 роки тому

    Ee Bwana tunaomba utuongezee imani ss wana wako, maana tunakutana na mengi

  • @GhostMonkey772
    @GhostMonkey772 4 роки тому +2

    Nilianza kunywa nilipokuwa na umri wa miaka 16. Nilikunywa kwenye karamu, lakini pia nilianza kunywa peke yangu kwa sababu sikuwa na raha, na nilikuwa kwenye maumivu mengi ya kihemko wakati wote. Mama yangu alikuwa mkali sana nilipokuwa mchanga, na kaka yangu alimuumiza na hivyo mimi. Alianza kunyongwa na watu wenye kivuli, alianza kutofaulu masomo yake yote, hakuwahi nyumbani, na wazazi wangu walipambana wakati wote. Nilikimbia pia mara kadhaa. Siku zote nilikuwa nikijaribu kujua sababu ya kwanini nilikuwa hapa au kusudi la maisha lilikuwa nini. Kwa hivyo, nilianza kutazama falsafa tofauti, dini, na imani. Wakati nilikuwa na miaka 18 baada ya kunung'unika, niliinama na nikazungumza kwa mara ya kwanza. Niliuliza ikiwa Mungu ni kweli atanionyeshea ni kweli kwa sababu ni lazima nichukue tena. Nilikuwa nikilia wakati niliongea hii. Wakati huo nilihisi uwepo ukinipanda kama upepo. Haikuonekana kabisa, lakini haikuwa tofauti na kitu chochote maishani mwangu ambacho nilikuwa nimeona hadi wakati huo. Nilishangaa niliposikia na nakumbuka nikisema "ilikuwa nini hiyo?" Baada ya uzoefu huo mimi sana nilisahau kilichotokea na kuendelea kuaga, hadi mwaka wangu wa juu nilipokamatwa. Baada ya kukamatwa, wazazi wangu walipoteza imani yao yote kwangu na nilifukuzwa shule ya upili. Sikuwahi kuambiwa nirudi. Wakati huo, nilihisi hofu na kutokuwa na tumaini. Nilipoanza kumtafuta Mungu, na nilidhani atajifunua katika maisha yangu na kwamba atanipa ishara. Maombi yangu yakaanza kujibiwa kila wakati hadi sikuweza kukataa kuwa Mungu alikuwa akifanya kitu. Ilikuwa ya kushangaza na ya kulazimisha. Niliishia Kanisani na kuanza kusoma masaa ya bibilia kwa siku. Niliacha kunyongwa na marafiki wangu wengine kwa sababu walikuwa wakikamatwa kila wakati. Niliweza kusamehe familia yangu na mimi mwenyewe na kuomba kusamehewa. Niligundua jinsi watu wa Kanisa walivyohukumu na jinsi wanaunda vikundi lakini waliogopa kuwa karibu na mtu mwingine yeyote tofauti nao. Iliongezeka imani yangu kwa sababu niligundua Yesu hakuwa kama hiyo na tangu nilipokuwa mchanga, niliona watu kama watu bila kujali wao ni nani. Baada ya muda mfupi, ni kama ningeona uwepo wa Mungu ulikuwa katika maisha yangu na ndipo ikahisi kama hakuwa, na hapo ndipo alipokuwa, na sivyo sivyo. Siku moja niliamka na nilihisi mnyonge zaidi kuliko vile nilivyowahi kufanya katika maisha yangu yote. Nilihisi kama nilikuwa nikifaa ndani. Usiku huo niliomba, nikasema, Mungu, sioni maisha yangu miaka mitano kuanzia sasa nitakufa Yesu niokoe Bwana, tafadhali niokoe. Nilikuwa nikilia wakati niliposema na nilipomwomba kuniokoa, nilihisi uwepo ndani mwangu kama moyo, na nilihisi mara moja kama dimbwi, na nikasema Bwana tafadhali niokoe na nilihisi tena nguvu zaidi . Ilikuwa kama mionzi. Nilipoamka asubuhi iliyofuata, nilikuwa nimebadilisha kila kitu kiliona kipya kama nilikuwa mtoto tena. Hofu yangu yote na mawazo yangu yote ya mbio mbio kila kitu kilikuwa kimeenda. Niliangalia mikono yangu, na nikasema hii haiwezi kuwa kweli haiwezekani. Nilijiangalia kwenye kioo, nikaona mtu mwingine. Nilianza kuomba, na roho takatifu ikawa kweli kwangu ilikuwa ikiniosha na ndani yangu. Ilikuwa upendo kamili na amani, na nikasikia sauti lakini sio inayosikika, ilikuwa sauti ya ndani. Ilisema niko nawe; Nakupenda, sitakuacha kamwe, imekamilika. Hiyo ilikuwa Mei 3, 2009, na tangu wakati huo nimemfuata Mungu, nimeona mambo mengi yakibadilika na mambo mengi najua hayangebadilika bila imani na imani. Ninajua ni nini kupotea ili kuhisi hauna tumaini. Usiwahi kufikiria kuwa umekwama, au maisha hayawezi kubadilika kwa sababu inaweza. Mama yangu ni Mkristo sasa, Usiku wake na mchana. Baadhi ya mambo ambayo yalikwenda katika kipindi hicho yalikuwa wasiwasi mkubwa na ulevi wangu wa pombe. Nimeona na kuona mambo mengi ambayo ni ya miujiza na nimeona jinsi Mungu amefanya kazi maishani mwangu. Tunapomwomba Mungu atusamehe kwa kile tumefanya na kuachana na dhambi zetu na makosa yetu na tunaamini katika dhabihu ya Kristo kila kitu kinabadilika. Neno lake linasema ikiwa tunakiri kwa vinywa vyetu kuwa Yesu ni Bwana na tunaamini mioyoni mwetu kwamba alikufa na kufufuka tutapata uzima wa milele lakini sio maisha tu baada ya kifo bali maisha tele kwa sasa. Dhambi zetu zinafutwa sio tu za zamani, za sasa, na za siku zijazo lakini mizigo yetu na woga pia huondolewa. Mawazo yetu, akili zetu, mioyo yetu, roho zetu hubadilishwa na kuunganishwa na Mungu na tunajua roho yake inakaa ndani yetu. Ukitafuta, omba, na kubisha utajua YESU NI MFALME !!! ANAISHI!

  • @user-ym2cv5ko8w
    @user-ym2cv5ko8w 6 місяців тому

    Mungu,uzid,outup,iman😊😊

  • @maganyarobert7008
    @maganyarobert7008 Рік тому

    Ee Yesu utuongezee Imani tunakuomba

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Nyimbo za tz za Catholic so nice

  • @delphinrashidnziko1449
    @delphinrashidnziko1449 2 роки тому

    Niongezee Imani Bwana Yesu

  • @AgnesMwita-uq9nq
    @AgnesMwita-uq9nq 2 місяці тому

    Naipenda sana dini yangu ya roman catho

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 5 років тому +4

    Kazi nzuri mtunzi, ara za kirumi na nidhamu ya nyimbo za katoliki imejidhihirisha katika wimbo huu, marvelous!.

  • @FelixAlbert-hs7ls
    @FelixAlbert-hs7ls 4 місяці тому

    Congrats. Appreciate . Pernament in FAITH. PAOLO attempts in evangelicalism. amen.

  • @belindananjala8844
    @belindananjala8844 5 років тому +11

    Hakika wanafunzi walimwambia yesu kristo"Tuongezee imani bwana"God bless you people, i really love this song

  • @manasseskamau5327
    @manasseskamau5327 2 роки тому +5

    There’s something sacred about Catholic music, nobody can adapt it to common music.

    • @jamesndirangu1197
      @jamesndirangu1197 2 роки тому +2

      This particular one is melodious and reverent. Even the deportment of the singers tells you that they are truly addressing, in song, a prayer to God.
      However, there are other catchy, rythymic trendy songs which, although they utter religious words, they only serve to gratify the senses as they seem designed to please and entertain....

    • @davidkipsang3808
      @davidkipsang3808 2 роки тому

      @@jamesndirangu1197 true sir

  • @nasinyamaatassi9540
    @nasinyamaatassi9540 5 років тому +3

    Tuongezee imani Bwana Amen. Asanteni sana waimbaji kwa wimbo huu

  • @mukasememabenge3944
    @mukasememabenge3944 2 роки тому +1

    Senza ABBA PADRE L'uomo e nulla

  • @dsshirima77
    @dsshirima77 5 років тому +4

    Wimbo huu unanibariki sana. Mungu awaongezee moyo wa kujitolea kueneza Injili kwa njia ya kuimba.

  • @josephinevitalis954
    @josephinevitalis954 4 роки тому

    Nmebarikiwa sana na wimbo huu

  • @neykawishe2265
    @neykawishe2265 Рік тому

    Mbarikiwe xn nice song❤️❤️

  • @user-ym2cv5ko8w
    @user-ym2cv5ko8w 6 місяців тому

    Mungu,uzid,kutupa,iman

  • @delphinamponela5223
    @delphinamponela5223 2 роки тому

    Naomba niongeze Imani Bwana

  • @amedeuslyimo2315
    @amedeuslyimo2315 5 років тому +44

    Uuhh wimbo unanipa matumaini Sana na sitoikana Wala kuipinga imani yangu proud to be Catholic

  • @omoshspeakmouth4371
    @omoshspeakmouth4371 6 років тому +9

    Kuwa mkatholiki ni baraka...ningependa watu wote ulimwenguni tuwe kanisa moja ambalo ni katholiki...am very proud to be a Roman Catholic

  • @raphaelmahabusi8649
    @raphaelmahabusi8649 4 роки тому +1

    Niogezee imani bwana Mimi na familia yangu

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 2 роки тому +1

    huu wimbo kila nikisikiliza cwez kuzuia machozi !!! eeh Bwana tuonhezee Imani

  • @stephanosostenes4534
    @stephanosostenes4534 3 роки тому

    Mko vzr wapendwa ktk kristu

  • @lucykanash582
    @lucykanash582 3 роки тому

    Wow wimbo huu unipa Imani Sana

  • @aliceakinyi6613
    @aliceakinyi6613 7 місяців тому

    Bwana hakika nahitaji Imani yako

  • @LucyOisso-tz3jv
    @LucyOisso-tz3jv 4 місяці тому

    Tuongezee imani Bwana🙏🙏❤

  • @francisochieng3949
    @francisochieng3949 3 роки тому

    Niongezee imani bwana .maisha yahitaji imani na in kwako naeza pokea imani.nashukuru kwa nyimbo hii nzuri ya kufariji roho

  • @annamremal2675
    @annamremal2675 5 років тому +2

    Asate sana yesu kwa kutowa mwiri wako kuwa mkate na damu yako kuwa divai emungu nipe moyo wa kushiriki mpaka kufa kwangu

  • @rachelmarkus3129
    @rachelmarkus3129 2 роки тому

    Jaman huu wimbo nikidanlod mbn siwezi

  • @henrymapalala242
    @henrymapalala242 7 років тому +2

    hakika Mungu ni mwema tunaongeza imani kupitia nyimbo kama huu amen

  • @jamesgachau2566
    @jamesgachau2566 Місяць тому

    Increase my faith Lord

  • @julianabenard3967
    @julianabenard3967 7 років тому +1

    Wimbo mzur xana Bwana uzd kutuongezea iman

  • @athanassongalimi5685
    @athanassongalimi5685 6 років тому +6

    Hakika najivunia ukatoliki wangu daaaah!!! Nyimbo nzuri

  • @bazireteclaudine4291
    @bazireteclaudine4291 2 роки тому

    Mubarike Niko Rwanda

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Nyimbo za kiswahili ni tamu sana

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Machozi tu ndio imenitiririka mungu ni samehe

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 роки тому

    Tuongezee imani bwana,palipopungua imani

  • @markfransi22
    @markfransi22 4 роки тому +1

    Bwana,Tunakuomba utuongezee Imani Bwana. Amina.

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 роки тому

    Tanzania muko mbele sana Duniani kote

  • @user-ci6xt6ru3x
    @user-ci6xt6ru3x 4 місяці тому

    Bwana tuongezee Imani katika maisha yetu ili tuweze kulitangaza neno lako vyema

  • @naomisila707
    @naomisila707 6 років тому +2

    Kwa kweli Mungu niongezee Imani, bila imani mimi ni bure kabisa...naomba uniongezee imani.

  • @agnesmaumenee8592
    @agnesmaumenee8592 2 роки тому

    L'Éternel seul est Dieu ! À lui seul toute la gloire que tous le craignent et connaissent que L'Éternel seul est Dieu au Nom de JÉSUS CHRIST AMEN

  • @johnmbata7972
    @johnmbata7972 6 років тому +1

    Hakika mbarikiwe nakamwe sitosubutu kuliacha kanisa katoliki Mwenyezi Mungu nipiganie mtumishi wako mkosefu

  • @felistanjelu4832
    @felistanjelu4832 2 роки тому +3

    Am proud to be a catholic ❤🙏

  • @pricillamassawe7608
    @pricillamassawe7608 3 роки тому +8

    I LOVE MY CATHOLIC FAITH 🙏🙏🙏

  • @kamwanagakeni5694
    @kamwanagakeni5694 3 роки тому +4

    Indeed the real meaning of life to worship and grorify him who created us for this purpose even angles in heaven join us whenever such beautiful songs are sung by the faithful here on earth. Praise be to God!!!! 🙏🇰🇪

  • @priscaoctavian9242
    @priscaoctavian9242 4 роки тому

    Amina kwa wimbo mzuri

  • @elizabethjoseph7292
    @elizabethjoseph7292 5 років тому +3

    Tuongezee Imani BWANA, wimbo unahisia kali na ni mzuri

  • @juliuslyimo6648
    @juliuslyimo6648 4 роки тому +1

    Hakika wimb huu upon kweny ubora ,waimbaj hongeren sana!

  • @williamdavid703
    @williamdavid703 7 років тому +4

    Mungu mwenyewe atuongezeee iman....tuwe imara na imani yetu...Mungu ni mmoja jana, leo , kesho daima na hata milele....Mungu abariki nia zenu njema.

  • @cathyfredy-xe7rq
    @cathyfredy-xe7rq 9 місяців тому

    Mtunzi wa hi nyimbo sasita.. tutakukumbuka daima.. najua upo patakatifu kwa Mungu

  • @maryemmanuel3356
    @maryemmanuel3356 5 років тому +2

    Pumzika kwa amani baba yangu tutakukumbuka kwa mazuli yako kwan kwake tulitoka kwake tutaludi Mt maria Bunda tulibaki na pengo kubwa lisilo zibika

    • @vincentsila7188
      @vincentsila7188 4 роки тому

      I love this song tena xana yaniogezea matumaini yangu katika kila jambo ninalolifanya

  • @danielemmanuel1758
    @danielemmanuel1758 5 місяців тому

    Asanteni sana kwa utume

  • @therezapantaleo467
    @therezapantaleo467 2 роки тому

    Bwana tuongezee Imani

  • @aglipinanaombaunirushueya2976
    @aglipinanaombaunirushueya2976 6 років тому +5

    Nimebalikiwa na wimbo wa tuongeze iman nawaomba nawale wenye vipaji nyakuimba muimbe

  • @pasilisajerono7409
    @pasilisajerono7409 3 роки тому

    OGod strengthen your people o lord.

  • @renatusladslaus3486
    @renatusladslaus3486 4 роки тому +3

    Ee Mungu zidi kuniongezea Imani ktk tabu na raha 🙏🏼🙏🏼

  • @altogosbertluhikula9083
    @altogosbertluhikula9083 4 роки тому

    Tuna kila sababu ya kuendelea kumwomba Mungu atuonzee IMANI hasa katika kipindi hiki cha Corona. Kazi nzuri sana kwa mtunzi Dkt David Kacholi na wanakwaya kwa ujumla. Apumzike kwa Amani Mwl.na mpiga kinanda Charles Saasita.

  • @rhodamwita3
    @rhodamwita3 6 років тому +1

    Truely you are the best singers

  • @isaacobetel7592
    @isaacobetel7592 Рік тому

    Kazi nzuri sana kwa watunzi wema kwa wito wakuenza injili kupitia nyimbo zetu za katoliki

  • @emilymbogho5945
    @emilymbogho5945 3 роки тому +1

    Tuongezee imani baba Sisi wakosefu

  • @neemacharles9648
    @neemacharles9648 3 роки тому +1

    Nabarikiwa Sana na huu wimbo,," kwa kipind hiki kigumu Nachopitia,,Amina🙏

  • @robertomondi5025
    @robertomondi5025 4 роки тому

    Baba tuongezee Imani

  • @chrisomondi2400
    @chrisomondi2400 5 місяців тому

    Nabarikiwa sana kwa kusikiza wimbo huu hongereni sana changombe

  • @delphinrashidnziko1449
    @delphinrashidnziko1449 2 роки тому

    Amen
    Ukubali kunijalia Imani iweze kunisaidia katika wokovu wangu

  • @luciamutanu6714
    @luciamutanu6714 5 років тому +3

    proud to be a cathlician

  • @danielgarubindi3203
    @danielgarubindi3203 7 років тому +6

    Ee Mungu, usituache hvhv tuongezee imani Bwana Amen.

  • @tutamildred4977
    @tutamildred4977 2 роки тому

    Wow, very good song

  • @stefanonaman9546
    @stefanonaman9546 7 років тому +7

    Bwana utuongezee imani ck zote za maisha yetu hapa duniani

  • @hildahongeri2467
    @hildahongeri2467 6 років тому +1

    Tuongezee imani katika mioyo yetu Bwana

    • @bensilvester4981
      @bensilvester4981 5 років тому

      Tuongezee Imani Bwana Yesu Tudumu daima tukikutumikia,Tusiwe na imani Haba

  • @kjd4220
    @kjd4220 5 років тому

    Niongezee imani mungu muumba mbingu na dunia wakati huu mungu wewe tu ndie unanjua kenye na pitia niongezee imani yesu mungu ni ongezee imani🙏🙏🙏

  • @michaelmutuku9142
    @michaelmutuku9142 6 років тому +1

    Wimbo mzuri naipenda.Imani ya bwana ikae nasi daima.Salamu nyingi kutoka Nairobi

    • @florencemutuku6799
      @florencemutuku6799 6 років тому

      Michael Mutuku kwa hakika imani ndio mwanga wa kikristo...keep it up choir master with your choir members for performing tha melody of sympathy..

  • @kigomaland618
    @kigomaland618 3 роки тому

    Bwana Yesu aliuliza kama atakaporudi ataikuta imani. Hakika tunapasika kuendelea kuomba Bwana Yesu atuongezee Imani. Nasi tuendelee kutenda law kadi ya maamlisho yake.

  • @generozphibility4705
    @generozphibility4705 6 років тому +2

    tuongezee iman bwana wimbo mzur sana unanifanya nitafakar ukuu was Mungu mbarikiwe waimbaji

  • @hokabalindile5400
    @hokabalindile5400 6 років тому

    Mungu amlaze mahala pema peponi Mr. Charles Saasita , ananibariki mno na nyimbo zake hasa huu wa tuongezee imani Bwana

  • @abalindam.gorret275
    @abalindam.gorret275 5 років тому +10

    This song is power to all cells of my body and "soul"..... Increase faith in us Lord!

    • @deocresdominick3273
      @deocresdominick3273 4 роки тому

      This song is very powerful, it is very deep, thanks Catholic singers, and today it was a part of leading during the mass. Kwakweli Mungu naomba uniongezee Imani

    • @philipmugagolo2878
      @philipmugagolo2878 4 роки тому

      It's True my sister

  • @petermeliyo4404
    @petermeliyo4404 4 роки тому

    Eye. Yesu. Tuongezee. Imanl ktk maisha yetu ya kiroho na imani katika maisha yetu hasa pale tunapokumbana na mazingira yenye changamoto

  • @user-xn2yo4uv6d
    @user-xn2yo4uv6d 9 місяців тому

    Ubarikiwe❤❤🎉🎉❤❤🎉

  • @venancen.manori5293
    @venancen.manori5293 6 років тому +1

    Pumzika kwa amani Charles Saasita. Ulitumia kipaji chako kumwabudu Mungu kwa nyimbo.

  • @patrisanuswerayosep3292
    @patrisanuswerayosep3292 3 роки тому

    Love from indonesia

  • @marystellasimiyu5378
    @marystellasimiyu5378 Рік тому

    Hakika tumepungukiwa haswa nyakati hizi za kigugumizi....tuongezee imani Bwana

  • @bonifacepeter1474
    @bonifacepeter1474 3 роки тому +2

    Proud to be Catholic!!!

  • @chelangatsam6722
    @chelangatsam6722 2 роки тому

    God bless you all amen

  • @mukasememabenge3944
    @mukasememabenge3944 2 роки тому +1

    Amen

  • @patrickotim9244
    @patrickotim9244 2 роки тому

    Asanteni sana ndugu zangu wapendwa hasa hasa waimbaji wa wimbo Tuongezee Imani Bwana, ni nzuri sana kwangu kusikiliza na kuangalia. Hasa hasa kama niko kwenye ofisini, napenda kusikiliza na kuangalia wimbo hiyo. Asanteni kabisa mara ngine.