Polisi Dodoma walivyowanasa wahamiaji haramu “Utaikuta milion 8 Jela” -RPC Muroto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2024
  • July 4, 2018 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu 40 raia kutoka nchini Ethiopia wakiwa wanasafirishwa kutoka Arusha kuelekea Mbeya wakiwa kwenye gari aina ya scania naomba za usajili T.898 AHM mali ya kampuni ya SANVIC LTD lililokuwa likiendeshwa na Julius Kitoma (57)
    Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amesema kuwa wahamiaji hao haramu walikamatwa katika kijiji cha Kuhi Wilaya ya Kondoa, Dodoma wakiwa na wenyeji wane raia wa Tanzania.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 57

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 6 років тому +38

    Kama unamkubali watapata tabu sana gonga like 😂😂😂

  • @hechihechie5558
    @hechihechie5558 6 років тому +18

    kutaifisha gari ni uonevu mkubwa!!!mwenye gari hahusiki..huo ni ujanja wa dereva na utingo sio mwenye gari...naomba hili liangaliwe..

  • @ferdinandnkamu8638
    @ferdinandnkamu8638 6 років тому +1

    Hongera sana, maaskari hao wapandishwe vyeo. Tunaombà

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 років тому

    Hongereni sana Ayo Tv mko poa sauti safi .image safi sana big up
    😃😃😃😃😃 jmn kamanda etiii Utaikuta Milioni 8 Gerezani 😃😃😃😃

  • @arafiakasuke510
    @arafiakasuke510 5 років тому +1

    we usibane pua hongeya vizuri

  • @sss3s867
    @sss3s867 6 років тому +1

    mheshimiwa hawa wanashida he sisi twaweza kuwapahifadhi. Au tutawarudisha hukohuko walikokimbia Vita.

  • @emmanuelmahendeka6108
    @emmanuelmahendeka6108 6 років тому +4

    Mroto ajawai kutuangusha safisana mkuu

  • @tatut3889
    @tatut3889 6 років тому +4

    Anavowaitaga sasa njooni hapa 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +1

    Awa madereva wawekwe ndani bila huruma maana wanongoza kuleta wahamiaji haram😠😠😠 kuhusu chombo ilitakiwa aje alipo tu faini msilitaifishe jamani maana mwenyewe sidhani kama angeiubali kubeba hawa wahamiaji akiwa anajua ni kosa

  • @raphaelungani9024
    @raphaelungani9024 6 років тому

    Kazi nzuri

  • @lukongerajab1120
    @lukongerajab1120 6 років тому

    Yaani hapa mzee magu anafurahi sand.

  • @nasseral-maskari9852
    @nasseral-maskari9852 6 років тому +1

    Sasa lorry lina kosa gani ? Kosa la dereva linamfanya mwenye Mali kupokonywa Mali yake. Hiyo ni dhuluma kubwa kabisa. Kosa kalifanya dereva, inatakiwa achukuliwe hatua dereva Sio gari nzima kutaifishwa.

  • @boazmtileghe378
    @boazmtileghe378 6 років тому +1

    Wata pata tabu sana

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому +1

    Kukamata Gari Ni Vibaya Dereva Na Utingo Wafungwe Maisha Kwasababu Madereva Watakua Wanafanya Kusudi Kubeba Waamiaji Nyinyi Porisi Mnataka Habari Na Mabosi Wa Magari Nao Wanataka Habari Kwasababu Watenda Zambi Ni Dereva Na Konda Wafungwe Maisha Madereva Wamejawa Tamaa

  • @rahmashabani6483
    @rahmashabani6483 5 років тому

    Duuh sasa hewa wanaipataje jamani kwenye gari

  • @richardsoka2400
    @richardsoka2400 6 років тому +1

    Askari wamefanya kazi kubwa lakini utakuta askari amekaa kwenye cheo kimoja kwa miaka 8 au 9 au 10 na Rais kafichiwa kuna wengine wa miaka 17!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @lastseen6815
    @lastseen6815 6 років тому +1

    Watapata tabu sanaaa

  • @leahchallomachibya1791
    @leahchallomachibya1791 5 років тому

    Jamani msameheni baba yangu

  • @innocentkimata7274
    @innocentkimata7274 6 років тому

    Kamanda nakuelewa sana siyo wetu huyu mambo bado

  • @faridahhamza8704
    @faridahhamza8704 6 років тому +1

    Mahakama itajua

  • @mohamedomarhasan5377
    @mohamedomarhasan5377 5 років тому

    Mimi nauliza kwamba container ikifungwa haina sehemu ya kuweza kupumua hewa je hawa watu wanapata hewa vp

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому

    Muwahoji vizuli hao kuna bos wao tena ukute ni mtandao mkubwaaa sana fanyeni uchunguzi wakuu mtapata tahalifa kamili

  • @sss3s867
    @sss3s867 6 років тому

    alisema 200,000/= Kwa maana ya mmoja

  • @sarahjohn7772
    @sarahjohn7772 6 років тому

    watapata Tabu sana

  • @salumkibwana1848
    @salumkibwana1848 6 років тому

    Watapata taabu sana

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 5 років тому

    Haya 57 years alafu miaka chini ya arobaini no drive scania is right

  • @marcoabel1764
    @marcoabel1764 6 років тому +2

    watapata tabu saaana

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 6 років тому

    kalamba sum mwenyewe sasa yanini asipate tabuu

  • @faisalkimpuro165
    @faisalkimpuro165 6 років тому

    Watapata tabu sana

  • @furahinmtunguja9439
    @furahinmtunguja9439 5 років тому

    Mzee wa watapata tabu sana huwanamkubali sana

  • @gka9147
    @gka9147 6 років тому

    Msemo Mpya "Utaipata mil.8 jela

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 років тому +2

    Kisha tunatafuta nani anavuluga amani ya nchi yetu kumbe sasa wenywe tusie kuwa na uzalendo na taifa letu ao watu ndio wanavuliga amani yetu bila ya uluma kwakua walipo toka akuna amani kwaiyo wanataka twende sawa na nchizao

    • @michaelreece8330
      @michaelreece8330 6 років тому

      Fatwima Makungu hujielewi

    • @mtktv597
      @mtktv597 3 роки тому

      Siku ukitembelea nchi za watu utaacha huo upuuzi fala ww anayearibu Amani ya Africa ni mzungu boya ww ndo mana watu mnakufa maskini na roho zenu mbaya mnamuomba mtu faini ya million huku unajua kashindwa kuchukua passport ya hela ndogo ndo mana kaja bila Kibali, Africa lini tutabadilika japo uamiaji haramu sio haki Yao lakin so kwa kuwanyanyasa waafrica wenzio na kuwa treat Kama wanyama ✌🏿😭

  • @treyibrahim3327
    @treyibrahim3327 6 років тому

    😃😃😃😃 etiii waandishi wa Habari endeleeni kutu sifia sifiaa uyu Kamanda noumaaa etii dereva umefanya kosa hujafanya kosa?kwa nn umefanya kosa

  • @martinemifuko71
    @martinemifuko71 6 років тому

    watapata tabu sana, Nakutabiria kuwa IGP hapo baadaye

  • @Project1986p
    @Project1986p 6 років тому

    Wanatoka nchi gani?

  • @godfreymwaibasa107
    @godfreymwaibasa107 6 років тому +1

    hoa askari vyeo viwahusu Kwa kazi walioifanya sio sifa tu

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому

    Pia ijengwaa mahakama kubwaaa maana naona kama kazi hiyo itaendelea maana siyo kutokusikia huko
    Pia mkuu nikupe hongera unatimiza kauli mbivu ya MKUU WA NCHI HAPA KAZI TUU NO VICHOCHOLO NOW

  • @peterchoga9624
    @peterchoga9624 6 років тому

    Utaikuta gerezan million nane 😁😁😁😁😁

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 6 років тому +4

    dodoma tuna iman na ww mzee amin kwamba

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 років тому +6

    😂😂😂😂Eti sema usikike wewe mtu mzima hahahaha mwaka huuu WATAPATA TABU SANA

    • @agcreatedit
      @agcreatedit 6 років тому +1

      GRACE MSANjila tabu sana

  • @abdulkhan8063
    @abdulkhan8063 6 років тому

    Sasapolisi hatawangempa milioni kumi iyohaiwahusu kosa alilolifanya kubeba watu ambawo siyowantanzania jokosatu.

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 6 років тому +2

    Sasa chombo kinahusikaje hapo? Kweli vyuma vimekaza. Yaani hamuoni mtakuwa mumemdhulumu mmiliki wa hilo gari ambae hajui chochote kinachoendelea?

    • @rukiamziwanda7458
      @rukiamziwanda7458 6 років тому +1

      gari linausikaje hapo jomoni kweri mwenye gari sizani Kama angekubari jomoni

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 6 років тому

      Rukia Mziwanda ndio nashangaa haswa. Dhulma tu bas

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 років тому +1

      Nurse for life tatizo hamjui sheria, ipo sheria ya kutaifisha

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 6 років тому

      Malick Makatta wewe unaejua sheria tusomee hicho kifungu kinasemaje? Au ukiamua tu kutaifisha unataifisha?

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 6 років тому

    Hahahaaa tutaikuta gerezani hizo milioni nane tuzinywee supu...