Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MWAMPOSA ATAJA VIGEZO UKITAKA AKUOMBEE PRIVATE "NAUZA MAFUTA YA UPAKO, MAJI, JAMBO NYETI NJOO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 697

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 22 дні тому +28

    Huyu baba ni habari ya Dunia ! Mungu akuongezee hekima Mtume,kupitia ww Mungu amenitendea vingi sana. Amen

    • @dorahwillson1807
      @dorahwillson1807 20 днів тому +1

      Tupo wengi yaan abarikiwe saana

    • @anevelymkambi5389
      @anevelymkambi5389 19 днів тому +1

      Kwa nini hufundishi masomo ya uzima wa milele? Kwa maana Hao watu hata wakipata miujiza, lakini ipo siku watakufa. Lingine washirika wako mbona wanashika watu uchawi. Nisaidie sielewi hapo!!!!!

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 16 днів тому +1

      siyo habari ya Mbingu ni ya Dunia

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 14 днів тому

      @@anevelymkambi5389 hata hao wanaosifia ni watu wake maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

    • @regnaldkessy8793
      @regnaldkessy8793 13 днів тому

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 23 дні тому +23

    Kamaa hujawahi kupata matatizo ukasaidika na huyu baba kamwe huwezi kumwelewa....
    Nakupenda sana Apostle na Mungu akutunze zaidi❤❤❤

    • @user-yb3kx5gw7f
      @user-yb3kx5gw7f 19 днів тому +1

      Kama hujawahi kupata matatizo ukasaidika na Mungu kupitia watumishi wake huwezui kuwa kuwaelewa sio wao wanaoponya bali ni Mungu

    • @Thisisgrace979
      @Thisisgrace979 13 днів тому

      ​@@user-yb3kx5gw7f upo sahihi sana, ni Mungu ty, ila unamkuta mtu anamuabudu mtumishi wa Mungu kuliko Mungu mwenyewe

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 10 днів тому

      ​@@Thisisgrace979😂😂😂😂😂hatar

  • @happyalexander9580
    @happyalexander9580 21 день тому +11

    Sikuzote wachawi ndo wanaowapinga watumishi wa Mungu coz wanaharibiwa mambo yao kwa upako Amen 😂😂

  • @pheymack6682
    @pheymack6682 23 дні тому +25

    Mwamposa una hekima sana kwenye kujibu maswali mungu aendeleee kukupa hekima zaidiiiii❤

    • @NMY-UInternationalMinistry
      @NMY-UInternationalMinistry 22 дні тому

      Amina

    • @iamnick8547
      @iamnick8547 21 день тому

      Sanaaa this man he is so wise watu kumuelewa wanajizima data tu

    • @MariamKileo-mu8rv
      @MariamKileo-mu8rv 21 день тому

      Vibaya mno kuna mmoja akihojiwa kwanza anaangalia kwa dharau na pia anaongea huku kaweka mikono mfukon

  • @user-cp2do9pd5k
    @user-cp2do9pd5k 23 дні тому +14

    Mimi sisalali kwako lakini sisubutu kumtukana mtumishi wa Mungu kama anadanganya hayanihusu mimi ninachojua anaponya kwa jina la yesu ole wako unesubutu kumtukana mtumishi wa Mungu

    • @iamnick8547
      @iamnick8547 21 день тому +2

      Nilikuwa namsema vibaya sana huyu mtumishii ila kuna siku Mungu alisema na mm kupitia mtu juu ya huyu mtumishii aisee niliomba tobaa kwa machozi nikasema sitarudia kuongea jambo lolote kwa mtumishi yoyote wa Mungu

    • @evalineemmanuel8178
      @evalineemmanuel8178 20 днів тому +1

      kwakweli ujui mtu anapatano ghn na mungu tusihukumu wacha mungu aonae sirin ndio ajuwaye yupi aliemuit nayupi aliejiita mwenyewe

  • @tiffanykerubo5327
    @tiffanykerubo5327 16 днів тому

    Thank you so much apostal My God bless you ,through your ministry i and my family we are nolonger the same the Jesus you have has changed our life for good we love you

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 23 дні тому

    May God Keep on blessing you true Man of God🙏🏿Huna baya Baba yetu mpendwa ,umeokoa Wengi mno ndani na nje ya Nchi,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki sana sana.

  • @eliadahmhina4125
    @eliadahmhina4125 24 дні тому +36

    Mm Mungu amenitendea mambo mengi sana makubwa,kupitia madhabahuu hii ,nasonga mbele

    • @fredykanju8811
      @fredykanju8811 23 дні тому +1

      Hivi ashawahi kuhubiri habari ya wokovu kweli au anatangaza tu miujiza.

    • @NMY-UInternationalMinistry
      @NMY-UInternationalMinistry 22 дні тому

      Amina

    • @NMY-UInternationalMinistry
      @NMY-UInternationalMinistry 22 дні тому

      ​@@fredykanju8811uatilia mahubiri yake ni Moja ya watu wanafafanua Neno kinaga ubaga

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 16 днів тому

      wewe songa ila Mbinguni utapasikia

    • @paulMlela
      @paulMlela 13 днів тому

      ​@@fredykanju8811 Miujiza sio Habari za wokovu? Unamjua Simioni Mchawi wa kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume aliokoka kwa sababu ya kuona miujiza, watu Wana matatizo una hubiri wokovu unamwacha bado karogwa huyo ni Yesu kweli? Yesu alikuwa anahubiri na kuwaweka watu huru.

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 24 дні тому +20

    Mafutaaaa majii haaaa mbunguni ni mbali tutubu dhambi na kuacha baada ya kifo ni hukumu. Mmhhh MUNGU AIKUMBUKE TZ

  • @AishaThabit-yr4mn
    @AishaThabit-yr4mn 12 днів тому +1

    Hunabaya mwamposa wet tunazidi kukuombea mungu akupe maisha marefu uzidi kutufungua

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 19 днів тому +2

    Asante Yesu kwaajili ya mtumishi ulietupa ninatembea kifua mbele chini ya Upako wa Mungu alie hai,glory to God🙏

    • @Ushashi26
      @Ushashi26 17 днів тому +1

      Duh hahahahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooooh hah😂😂 haha aahhaah 😂😂😂oouuhuuuhahaa wajinga ndiyo wakowao haah😂😂huuuu

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 14 днів тому

      unaushaidi gani Yesu kakupa huyu?

  • @JonathanNtauta
    @JonathanNtauta 24 дні тому +64

    Injili ya kweli ni ile inayoanza kuziponya Roho zinazoangamia wala si kuuponya mwili tu kwa kuudanganya kwa vitu vizuri vya muda hapa iko siri Ajuwae Mungu wala tusihukumu tukaja kuhukumiwa.

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 24 дні тому +10

      @@JonathanNtauta anaeumwa mwili ni ngumu kupona roho. Mwenye njaa anahitaji chakula ndipo umpe neno la Mungu. Asiposhiba hata uongee vp hakusikilizi hata Mungu anajua hilo ndo maana Yesu alifanya kazi kubwa ya kuponya miili ya watu

    • @RobertsonNandime-eo9fp
      @RobertsonNandime-eo9fp 24 дні тому +3

      Umeongea ukweli mimi nilikuwa mtu wa Dunia nikafatilia mtumishi aneitwa Bishop elibariki sumbe nikwa na hofu na Mungu kwanza ndio nikaacha tibia mbaa unalolisema upo sahihi

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 24 дні тому

      ​@@RobertsonNandime-eo9fp sijaelewa kwa sumbe ulivuna nini?? Kwamini kwa sumbe nilivuna kikubwa mnoo namshukuru mungu sana

    • @richardcastromzena5136
      @richardcastromzena5136 24 дні тому +1

      ​​@@abelmbata37kakwamia nani ni ngumu😂 muujiza yesu alifanya kwa wakati wake ila the news was Ufalme wa Mungu

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 24 дні тому

      @@richardcastromzena5136 kama rahisi nenda kawaambie wale walio hospitali watoke waende kuhubiriwa injili maana wanatakiwa kupona roho. Uponyaji wa roho unaanza na utayari wa anayeponywa nani aliye tayari kuhubiriwa injili akiwa ana maumivu? Mwenye uwezo huo ni yule aliye na roho wa Mungu ndani yake. Hata Yesu alipoletewa wagonjwa hakuwahubiria kwanza bali aliwaponya ndipo alipohubir habar za ufalme. Hata wachungaji tulio nao wakiumwa wanaenda hospitali hata kama ni siku ya ibada huo ndio ukweli.
      Waru wengi hatufaham uponyaji ni sawa na kuhubir maana wapo wanaomwamin Mungu kupitia watu walioponywa.
      Hata watu walijaa kumsikiliza Yesu na kumwamini kwa miujiza aliyoifanya.

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 22 дні тому +5

    Mtumishi anasaidia wengi sana sababu huwezi kusema kwamba watu elfu tano wote wakose akili kumfata mtumishi ukiona una akili za hivo ujue hujakutana na matatizo barikiwa sana mtumishi 🙏🙏

    • @manswetitsuut
      @manswetitsuut 21 день тому

      Soma biblia Mathayo 24:15-30

    • @lawrence-xk1km
      @lawrence-xk1km 18 днів тому

      @@manswetitsuut sasa mbona ulichojibu hakiendani na andiko ulilosema wasome?

    • @manswetitsuut
      @manswetitsuut 18 днів тому

      Sorry nime note vibaya

  • @GraceMwazembe-fu8js
    @GraceMwazembe-fu8js 20 днів тому +3

    Mtumishi mungu akuongezee siku za ishi hapa duniani unaokoa wengi na unaponya roho za watu kwa kupitia jina la yesu

  • @vero57
    @vero57 5 днів тому

    MUNGU akupe maisha marefu mtumishi mwamposa, asante sana baba kwa kutukomboa 🙏🏾🙏🏾

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 24 дні тому +10

    Bwana Yesu alitumia neno kumponya mgojwa wa yule akida, katika kitabu cha Mathayo 8:5-13. Alimwambia yule akida, enenda zako, iwe hivo kama ulivyoamini. Yule mgojwa alipona. Petro na Yohana walitumia neno la Mungu kumponya yule kiwete ambaye alikuwa anakaa mlangoni mwa hekalu, alisema nilichonacho ndicho nikupacho, simama uende zako, katika jina la Yesu Kristo, . Yule kiwete alianza kutembea vizuri. Matendo ya Mitume3:1-9. Sasa mwamposa hii mafuta ya upako umetoa wapi? Watumishi wa Mungu hawatumii mafuta ya upako. Wanatumia jina la Bwana Yesu Kristo. Haleluyaaaa.

    • @ASANTEMAMAHERBAL
      @ASANTEMAMAHERBAL 24 дні тому +3

      Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 24 дні тому +1

      @@ASANTEMAMAHERBALhawezi kurudi huyu umempa nyundo kwelikweli

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 24 дні тому

      @@Leeeeeeee-96 nisirudi? Acha ushamba

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 24 дні тому +1

      @@ASANTEMAMAHERBAL mafuta inayozungumzwa hapa sio hiyo mafuta kama mafuta. Ni swala la uelewa tu. Ww bado ni kiongozi kipofu.

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 24 дні тому +1

      @@ASANTEMAMAHERBAL Yakobo 5:14, inasema hivi, mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Hapo hamaanishi mafuta kama mafuta, ila jina la Bwana ndio mafuta. Afu tafsiri nyingine ya mafuta bac ujue ni neno la Mungu. Oky? Kwanini umepotoka kiasi hiki? Yesu Kristo akusaidie. Amen.

  • @neemacocorico2022
    @neemacocorico2022 23 дні тому

    Mungu bariki mtume Mwamposa.Wengine mafuta ni Gali Sana na kumuona ningali Sana.Ila yeye ni bure.

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 22 дні тому +2

    Siandiki kitu😮 maana watu wanafoka tukikosoa miujiza ya. Maji na mafuta😂

  • @stephenjoseph1322
    @stephenjoseph1322 24 дні тому +18

    Amazing how the whole message not a single mention of Jesus.

    • @bernardmushi4869
      @bernardmushi4869 23 дні тому +4

      JESUS IS HARMFUL TO HIS ALTAR.YOUR OBSERVATION IS VERY SPIRITUAL.THE BLIND DON'T SEE THIS!

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 23 дні тому

      He was not preaching..but interviewed

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 23 дні тому

      ​@@bernardmushi4869...shame on you being a fake witnessed 😅😅speaking without evidence...he has been mentioning Jesus Christ in his altar a thousands times

    • @iamnick8547
      @iamnick8547 21 день тому

      ​@@bernardmushi4869usilitaje bure Jina La Bwana Munguu wako😂😂😂

    • @deograciakashaigili5973
      @deograciakashaigili5973 21 день тому

      Ni hapo sasa!

  • @dorahwillson1807
    @dorahwillson1807 20 днів тому

    ❤❤❤naomba Mungu aendelee kukuweka kwa ajili yetu ubarikiwe saana baba yaan ❤❤❤❤

  • @GodfridMbele-sb1ks
    @GodfridMbele-sb1ks 24 дні тому +20

    Maji, mafuta ndio nini uchawi, au unaagua, hakuna mungu hapo, hapo unapotosha watu

    • @johnsyonetz8323
      @johnsyonetz8323 23 дні тому

      Hivi kwanini watu wanaenda kuhijj macca na kwanini wanachukua maji ya zamu zam?

    • @user-dn7gn6ib4k
      @user-dn7gn6ib4k 23 дні тому

      ​@@johnsyonetz8323 have respect don't insult other people religion mind your business

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 23 дні тому

      Bora wewe ni Mkristo lakini unae akili ningeandika mimi muslim wangesema sana😂😂😂🎉🎉

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 23 дні тому

      @@GodfridMbele-sb1ks umelazimishwa kuangalia au kwenda mshamba ww

    • @jamesjoseph6825
      @jamesjoseph6825 23 дні тому

      Vipi kuhusu ndugu zetu na maji ya zam zam? Vipi yesu alivyomponya yule kipovu kwa tope alilolitengeneza kwa mate? Vipi kuhusu kwenda kunawa mtoni mara 7?

  • @tuzakavera534
    @tuzakavera534 20 днів тому +1

    Huyu mtumishi ni wa kweli kabisa,ni mtumishi wa kweli wa Mungu

  • @user-kp7em6zt1g
    @user-kp7em6zt1g 21 день тому

    Kweli apostle barikiwa baba tunafuraha kwa hajili yko tunapona na kufunguliwa 🙏🙏🙏

  • @MarmasMarah
    @MarmasMarah 15 днів тому

    Namkumbuka sana akiwa Moshi Machame mianzini 🎉🎉kwa mzee massawe 😊😊

  • @user-zx4zr3hc7y
    @user-zx4zr3hc7y 16 днів тому +1

    Huyu ni mtumishi wa Mungu kweli hakuna wakupinga na hata anayepingq anajua moyoni mwake

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 24 дні тому +31

    Swala la muda tu ngoja inyeshe tujue panapo vuja

  • @BettyMsongole
    @BettyMsongole 16 днів тому +1

    Mungu akuongezee baba yetu miaka mingi akuzishie

  • @GabrielMwamlima
    @GabrielMwamlima 2 дні тому

    Mungu amubariki sana mtumishi

  • @JaneMwaipopo-i3s
    @JaneMwaipopo-i3s 12 годин тому

    Mungu azidi kukuinua baba ubalikiwe

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 23 дні тому +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @DanielAllys
    @DanielAllys 23 дні тому

    Mungu ampe maisha marefu sana mwamposa

  • @AuletaDausoni
    @AuletaDausoni 22 дні тому

    Mungu akupe maisha malefu sana❤

  • @goodluckkiget6359
    @goodluckkiget6359 24 дні тому +26

    “Ikabidi Mungu anipe hekima” kweli watu wanopotea kwakukosa maarifa.

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 24 дні тому +6

      @@goodluckkiget6359 we maarifa unayo? Basi wasaidie hao wanaoenda kwa Mwamposa ili waje kwako

    • @apostlej.rministiryprophet2219
      @apostlej.rministiryprophet2219 23 дні тому

      Unajuwa bei ya kuandaa hayo mafuta?

    • @joycefrances4516
      @joycefrances4516 23 дні тому +1

      We mjinga,mafuta yachangiwa sadaka ili ipatikane garama yakuandaa mengine,we nenda dukani ukachukue bure,ukatumie nyumbani kwako,nyie ndio mashoga mnaotaka vya bure,loh aibu,kaa kimya Mungu atakudhalilisha na uzao wako,uwe kichekesho,

    • @victorvenantkaigarula6255
      @victorvenantkaigarula6255 23 дні тому

      @@joycefrances4516 mmmh!

    • @Bambagatz
      @Bambagatz 23 дні тому +1

      @@joycefrances4516 Hili jibu ni kama mtu aliyepotoka 😂

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 23 дні тому +1

    business kam business zingine 😂😂😂

  • @teresiafrancis8549
    @teresiafrancis8549 11 днів тому

    Be bless servant of JESUS

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 23 дні тому

    Ubarikiwe sana baba. Nakuelewa

  • @jullymwaikenda564
    @jullymwaikenda564 22 дні тому

    Mganga wako mzuri mm napokea upako, tuwaache waangamie kwa kukosa maarifa, Mungu akubaliki Sana mtumishi

  • @thaddeojude7511
    @thaddeojude7511 24 дні тому +5

    Wapo wapi akina Kakobe?wapo wapi akina Mzee wa Upako mpaka leo?na huyu naye atapita....watu wetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.karama za Mungu huwa aziuzwi.bali karama za muovu zinapangiwa bei.

    • @iamnick8547
      @iamnick8547 21 день тому

      Elewa alichosema 😂😂 hizo kopo za kuwekea majii unampaga wewe!? Yeye na waumi wake walikubaliana kuchangia hela ya kopo sio maji wala mafuta asa unaumia nini

    • @iamnick8547
      @iamnick8547 21 день тому

      Alfu kijana Mwamposa umeanza kumskia leo au 😂😂😂😂 usifananishe na kina mzee wa upako....

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 16 днів тому +1

      ​@@iamnick8547Mafuta ya nini??Amuombe Mungu asitumie Maji au Mafuta

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 16 днів тому

      ​@@iamnick8547mmh Ndugu

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      Ni kweli YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai ndo Mwenyezi MUNGU

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o 24 дні тому +4

    Ngozi nyeusi Shida hatutumi Akili kabisa Dini watu Saizi ni biashala ibada Nzuli Ni kufanya yaliyo Mapenzi Ya Mungu Vinana saizi wamejua wa kinga wengi mmoo paka wana kela

  • @AndreaHango
    @AndreaHango 13 днів тому +1

    Nyie watu, hamkumbuki maneno ya Yesu? Manabii wengi(sio wachache) watatokea duniani na kudanganya wengi ( sio wachache) maneno ya Yesu lazima yatimie. Kwa hiyo ya mwamposa na wengine wengi wao ndiyo wanaojua kama wanamtukia au la, Sisi wengine hatuelewi siku moja itajulikana tu. Ila elewa mahali dunia iko ni hatari kuliko kawaida.

  • @aminamzawa5630
    @aminamzawa5630 24 дні тому

    Munguu akulindee mwaposaaa

  • @GabriellaWiseman
    @GabriellaWiseman 23 дні тому

    Ee Mungu utuokoe kwa njia ya msalaba wako mtakatifu amina

  • @richardmbasha1411
    @richardmbasha1411 24 дні тому +17

    Wewe ni mfanya biashara kupitia Jina la MUNGU.. hakuna tafsiri nyingine..endelea kula hela za wajinga kwani imeshaandikwa "watu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA" ni wizi tu.

    • @user-hy4zb3eg1z
      @user-hy4zb3eg1z 24 дні тому +2

      Kwan biashara ni dhambi.....foolish mind

    • @richardmbasha1411
      @richardmbasha1411 24 дні тому

      @@user-hy4zb3eg1z you're as brainwashed as everyone else.... bogus mind...

    • @sylivanusbernard3325
      @sylivanusbernard3325 23 дні тому

      Kwanini na ww usiifanye hiyo biashara mkuu,kaifanye uone utaingiza pesa kiasi gan

    • @NeemaEmmanuel-yl7dp
      @NeemaEmmanuel-yl7dp 23 дні тому

      Si ni bora anatumia jina la Mungu kufanya biashara kuliko nyie mnaotumia waganga. You gotta be reasonable

    • @GraceKazi-z8d
      @GraceKazi-z8d 22 дні тому +1

      Kafanye na ww upate faida Muraaa

  • @ciscojr2277
    @ciscojr2277 24 дні тому +1

    Unafanya biashara kwa jina la Mungu...Yesu hakuwa mjinga kufukuza wale wafanyabiashara sinagogi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 дні тому

    Usichukue sadaka tokakwa masikini😢😢.Yesu hakuwa hivyo

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

    sisi tutaangaikia ufalme wako ee YAHWEH,YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai na ikikupendeza Mungu wetu hayo mengine tutazidishiwa , Asante YESU maana ni MUNGU hakuna kama Wewe,ni mwema, mpole na wala umhukumu mtu ila asiye liamini jina lako

  • @japhetbukuru5300
    @japhetbukuru5300 23 дні тому +6

    Hata Yesu alifanya miujiza mingi zaidi ya hii ya Leo. Tatizo hujawahi pata shida wewe!. Siku utamtafuta TU mwamposa

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 23 дні тому +2

      Aliyeandika NENO kuwa AMELAANIWA AMTUMAINIAE MWANADAMU ni nani mjomba wako?????

    • @charlietz7125
      @charlietz7125 23 дні тому +3

      We nae ni zuzu... so tukipata shida kimbilio letu ni Mwamposa na sio kupiga magoti ku muomba Mungu?

    • @user-cd9nd9wd5q
      @user-cd9nd9wd5q 23 дні тому

      @@chrisshongaYesu anaaminiwa ila watumishi wake kama huwaamin Yesu utamuamini 😂😂😂 ulitaka Yesu aje umuone

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      ​@@user-cd9nd9wd5q kila kitu kinamtumikia YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai-mwenyezi Mungu jamani sisi ametuonesha kwenye roho na mwili kuwa haka ni kapepo ka kuzimu

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 18 днів тому +4

    MCHAWI ORIGINAL, Mwenda KUZIMU.... MTAALAMU WA KAFARA TANZANIA

  • @tfelician
    @tfelician 10 днів тому +1

    Uponyaji na miujiza ni products sikuhz 😂😂😂

  • @JonathanNtauta
    @JonathanNtauta 24 дні тому +33

    Tatizo watu wanaamini miujiza wala siyo kuamini kuwa Yesu anaponya hapa kuna siri nzito

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 24 дні тому +1

      @@JonathanNtauta umejuaje kama hawaamini uponyaji wa Yesu? Kwani yesu si anaponya kupitia watumishi wake? Kwa hiyo walioenda kwa mitume akina Petro na Paulo nao hawakuamini kuwa Yesu anaponya?

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 24 дні тому

      ​@@abelmbata37anaponya bila watumishi

    • @imeldaalbert5328
      @imeldaalbert5328 24 дні тому

      Sasa yesu akikuponya hiyo SI ndo miujiza

    • @PrudencePaul-mr1ge
      @PrudencePaul-mr1ge 24 дні тому

      Changanoto ya Hawa watu hawajui miujiza ni nini

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 24 дні тому

      Wakristo mtatuonyesha mambo kwani anaeponya ni mungu au yesu??​@@abelmbata37

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 24 дні тому +2

    The world icon🌍

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

    kati ya vitu ulivyovifundisha ee YAHWEH, YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ni kuangaikia mwili

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 23 дні тому +1

    Jamaa anawapiga sana wamama hela

  • @SARAKAMBARAGE
    @SARAKAMBARAGE 22 дні тому +1

    Yupo smart kichwani.

  • @hellenmwayole8715
    @hellenmwayole8715 23 дні тому

    Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu

  • @IreneLyimo-l8o
    @IreneLyimo-l8o 13 днів тому

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @johariyahaya8794
    @johariyahaya8794 22 дні тому

    amina ❤

  • @moshially2543
    @moshially2543 19 днів тому

    Namshukuru mungu ameniponya kupitia huduma hii ya madhabahu yainuka uangaze

  • @RenathaElias
    @RenathaElias 14 днів тому

    Mungu akuzidishie baraka umenitoa mbali

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 22 дні тому +2

    Tapeli aliejipata
    Anakula vichwa vya watu 😂😂😂

    • @user-ji5go2jf6h
      @user-ji5go2jf6h 21 день тому

      Na watatapeliwa sanaaa😂 mpaka wakome

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ametuonesha haka ni kashetani tukiwa katika roho na mwili

  • @pceodhc
    @pceodhc 24 дні тому +2

    Hallelujah!

  • @user-dn8ok2io4l
    @user-dn8ok2io4l 23 дні тому

    Tunao kuelewa tupo Mtumishi wa Mungu, sio lazima kila mtu akuelewe. Ndomana kuna imani tofauti dunian, ukristu wenyew umegawanyika -walokole,waingrikan,wakatolik,wasabato, mashahid wa yehova nakazalika......
    Wanaoelewz na waelewe wasio elewa ba waacheee..

  • @user-rb9pe8ip1e
    @user-rb9pe8ip1e 24 дні тому +11

    Kuna njia nyingi za uponyaji, tuwe makini sana kwenye kuwatuhumu watumishi wa MUNGU, Nabii Mtumishi wa MUNGU wa kweli Boniface Mwamposa ametusaidia wengi, Chondechonde muacheni msimvunje moyo

  • @Aginha235
    @Aginha235 18 днів тому

    Mungu akubariki baba

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 24 дні тому +11

    Mzee una hekima sana Ktk kujibu maswali

  • @mucky_perfume_store
    @mucky_perfume_store 24 дні тому +4

    Kaja na akili tu mjini 😂

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 24 дні тому

      We akili unayo na hela huna😂😂😂masikini wa kutupaaa

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      huyu jamaa anatumia jina la MUNGU kuleta uharibifu kwenye roho za watu,nalichukia hili li shetani, Asante YESU KRISTO wa Nazareth uliye hai kwa kunifunulia la sivyo ningekuwa kama wao wajinga

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      ​@@magrethmbuma3045 maskini ni nini? maskini ni kuwa mbali na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai,sisi wakristo wa kweli hatuhitaji chochote

  • @francessimilanzi4545
    @francessimilanzi4545 23 дні тому

    Mungu anakwelewa na anakweshim sana baba uzidi kuinuka

  • @FatnaMfinanga
    @FatnaMfinanga 24 дні тому +4

    Wetapeli hunalote majibu yatapatikana

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 24 дні тому +2

    Nakukubali mtumishi shida yangu ni haya mambo ya mafuta na maji mmmh😏

    • @FrankDavid-en6on
      @FrankDavid-en6on 24 дні тому

      Ndo Nini unapenda nyama hutaki mchuzi wake?

    • @augustinofifi
      @augustinofifi 23 дні тому

      Msikilize akifundisha na soma maandiko utamuelewa

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 24 дні тому +3

    Kweli tanzania ndio nchi yenye wapumbavu wengi duniani

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 23 дні тому

      Ha ha ha ha ha ha ha! hakika

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      kweli bro, lakini huyu jamaa ashaamua kumtukana YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu,ni ka shetani ka motoni

  • @soothingnaturesounds1209
    @soothingnaturesounds1209 23 дні тому

    Imani huja kwa kusikia, kusikia neno la Mungu, mara nyingi watu wanaocomment vibaya, walisikia jambo kuhusu yeye ambalo si zuri, na bila kufuatilia wakasema ni kweli na kuendeleza sumu waliyoipata kwa wengine, Maana Chuki siku zote hupandikizwa, na wanaocomment vizuri walisikia, kuhusu yeye habari njema, wako hapa. wanaoamini na wanaopinga Amani iwe nanyi.

  • @kelvinpius-ne9rz
    @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

    umezifupisha siku zetu,miaka yetu ni michache, BWANA hatutauhangaikia mwili unaokufa kesho ila ufalme wako na watu wote ni watumishi wako ila kuna mashetani wala kondoo kati yetu ambao sehemu yao ni kwenye ziwa la moto na wao wanajua hilo,wakakufulu kwa kulitumia jina lako wakadharau damu yako pale msalabani na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai uwaondoe na watu wote waone

  • @zulfafengu3783
    @zulfafengu3783 23 дні тому

    Ubalikiwe mtumishi wa mungu

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 22 дні тому

    Mungu akutunze Mwamposa

  • @mwilemwasenga7066
    @mwilemwasenga7066 24 дні тому +2

    Ok

  • @shadraachshadinho
    @shadraachshadinho 19 днів тому

    Kubali kataa haijalishi umetendewa jambo gani kupitia huyu mtumishi lakin ukweli ni kwamba hajaitwanna mungu kwa vigezi vya kibibilia

  • @neemangowo1453
    @neemangowo1453 24 дні тому +2

    Kwahiyo Nguvu za Mungu zinauzwa?

  • @Asheri-k5k
    @Asheri-k5k 24 дні тому +6

    Mm binafsi siamini juu ya iman ya huyu jamaa

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 10 днів тому

    Watu weusi wanaangamia kwa kukosa maarifa...yan huyu ndo mtume wa kwanza kumiliki lodge😂😂😂😂

  • @norbertharumukiza6574
    @norbertharumukiza6574 24 дні тому +2

    Hapo kwa mafuta ndipo hatuelewani, tulipewa bule toweni bule.😂😂😅😢

    • @abelmbata37
      @abelmbata37 24 дні тому

      @@norbertharumukiza6574 hivi unaelewa hata maana ya sentensi hiyo? Kwa nn hujiulizi mbona biblia neno la Mungu linauzwa?

    • @zablonrobert1522
      @zablonrobert1522 24 дні тому

      Yeye amenunua bure

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 24 дні тому

      Acha ujinga ww huna akili umekalili maandiko mshamba ww

  • @Bless510
    @Bless510 18 днів тому

    Dady ❤❤❤

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 24 дні тому +2

    Shindwa kwa jina la Yesu, rikabato reee sikatelekaa, Ee Mungu tukomboe sis wanao tunaohangaishwa na matapeli wa injil

    • @VeronicaRugoyi
      @VeronicaRugoyi 24 дні тому

      Stella😂😂😂

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 24 дні тому

      umeambiwa uende 😂

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 24 дні тому

      😂😂😂😂Sawa Mungu

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 23 дні тому

      Rikabato ree ndo Nini Kuma wewe, biblia imeandika walionena kwa lugha walikuwa wanaelewana na pia ukinena kwa lugha bila jamii kukuelewa ni Malaya tu😂

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 23 дні тому +1

    Paschal casian mbona nae ni shoga tu ni hao hao tu wa shetani

  • @thefinalstand2022
    @thefinalstand2022 23 дні тому

    Mimi na Wengi tunaokupinga, tunasimamia kwamba "Siku za Mwisho watakuwepo Manabii wa Uongo" na tunakataa kabisa kwamba "Mungu anatenda Miujiza" na tunakataa na kudai kwamba "Siku za mwisho Mungu hatamwaga Roho Wake na watu hawataponywa", mimi na wote tunaokupinga tunahekima sana, tunakataa kabisa na kusema "Mungu sio mwenye huruma na Upendo hata amtendee binadamu fadhila", Tunakataa na kusema kwamba "Mungu yuko ndani ya Madhehebu yetu tu na siyo nje ya madhehebu yetu", mimi na pumbavu wenzangu tuliologwa na kulogeka, tunaamini kwamba, "wanaoweza kutenda Miujiza ni mapdri na wachungaji wa madhehebu yetu kwa kuwa wamesoma sanaaaaa biblia!" Mimi na wenzangu, tuko vizuri sana ktk maandiko na werevu sana ktk maongezi, lakini, KAMA HATUWEZI KUFANYA MUUJIZA WOWOTE, NA TUNACHOWEZA KUFANYA NI KUONGEA TU , NA KAMA WATU HAWASOMI MAANDIKO NA KUJUWA NYAKATI ZA KUJILIWA KWAO, KWANINI MIMI NA WATU FULANI-FULANI TUSIENDELEDELEEE KUWAFUNGIA WATU HAO MILANGO YA NEEEMA YA DAMU YA KRISTO?

  • @user-im7wv1dn
    @user-im7wv1dn 24 дні тому +38

    Mwamposaaaa moto unakusubl na mganga wanu tunamjua uko nigeria paschal cassian mtumishi na mwimbaj anajua sana suala hilo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BUKOBA TZ

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 24 дні тому +13

      Na ww nenda Nigeria Kwa huyo mganga

    • @user-im7wv1dn
      @user-im7wv1dn 24 дні тому +7

      Mambo ya walawi,waefeso na nyakati hizi mambo zinaisha na mwisho wake mbay yuk wap Tb joshua wa nigeria kuna mtu aliwahi kukusanya umati km ule njoo uganda yupo kakande pia mwamposa cha mtoto ila the ending of dis is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 24 дні тому

      ​@@user-im7wv1dnISUUKUMU USIJE UKAUKUMIWA

    • @AGM19697
      @AGM19697 24 дні тому

      @@user-im7wv1dn Ingekuwa hivyo basi waganga wooote wangekimbilia huko.
      Maana pake kawe Vipofu wanaona, viziwi wanasikia, wasiozaa wanazaa, mapepo yanafikuzwa na vidungu vyoote kufunguliwa. Jina la Bwana litukuzwe

    • @nuruosward8161
      @nuruosward8161 24 дні тому +4

      Kichaaa ww Ww ni mganga ndio anawachoma moto na maombi mnakuja huku mnaongea pumba😂

  • @fabianaudax963
    @fabianaudax963 24 дні тому

    Aminaaa

  • @caesar7745
    @caesar7745 24 дні тому +3

    Watu ni wavivu kufanya kazi wanakimbilia makanisani ili kupata kazi😂😂. Unafanya kazi then unaenda kanisani kutoa sadaka

  • @GodfreyElias-l3k
    @GodfreyElias-l3k 23 дні тому

    Mungu anatenda jmn achane kumkashifu vbya mtumishi wa mungu

  • @Dareaziz
    @Dareaziz 24 дні тому

    ❤❤

  • @FOODMATTER144
    @FOODMATTER144 22 дні тому

    Mimi nimempenda sana huyu mtumishi kwakua anatumia mafuta.

  • @MauBonde
    @MauBonde 24 дні тому +15

    Mwisho wa mchezo yanakuja mambo ya bushiri wa south na tb joshua Nigeria

    • @imanimwanjoka2671
      @imanimwanjoka2671 24 дні тому

      Kwani kazi zake si zinaendelea pamoja na kwamba hayupo , kazi ya Mungu haifi watu wanakufa

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 23 дні тому

      ​@@imanimwanjoka2671mpotevu😂

    • @faidhamyovela179
      @faidhamyovela179 23 дні тому

      ​@@imanimwanjoka2671😂😂😂

  • @dianaMwaki
    @dianaMwaki 24 дні тому

    Mimi nakuelewa Sana mtumishi mwamposa wanao kupinga ndo wale wenye wivu mkubwa na huduma yako
    Mwanzoni ilikua ngumu kukuelewa kutokana na maneno mengi ya watu kukusema vbya nilikua sikuelew maana sikukusiliza mahubiri yako na hekima yako lakin nilipo Anza kukufuatilia baba wew ni mtumishi kbsaa wa Mungu nimeona nguvu ya Mungu kupitia wew kwenye Maisha yangu

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 23 дні тому

      Na utamuona sana usijali😁😁😁😁😁

    • @dianaMwaki
      @dianaMwaki 23 дні тому

      @@chrisshonga tena zaid na zaid yaani

  • @mzumbesda
    @mzumbesda 18 днів тому

    Na waenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi sawasawa na neno hilo, bila shaka kwao hapana asubuhi..! Waambie watu watubu dhambi yesu anarudi.
    Habari za maji na mafuta na kuhubiri mafanikio peke yake ni injili iliyokinyume kabisa na neno la Mungu.
    Sasa kama maandiko yanasema manabii wa uongo watatokea mnadhani ni akina nani kama sio hawa?! Wachache sana wanaiona njia ya kwenda uzimani.

  • @cyrusregnald1718
    @cyrusregnald1718 23 дні тому

    Kilicho andikwa na yanayosemwa ni vitu viwili tofauti ,,, watu wa Mungu wanapingwa sana😢

  • @pastormarkokabisatv6821
    @pastormarkokabisatv6821 16 днів тому

    Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake hata ajapo Bwana ambaye atayamulikisha yaliyo sitirika ya Giza na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo ndipo kila mtu atakapo ipata sifa yake kwa Mungu 1kor 4:5. Kwa andiko hilo niwaombeni wapendwa muachieni Mungu kazi msimseme vibaya mtumishi yeyote, Mungu ndiye atakaye wahukumu wenye haki na wasio haki soma mhubiri 3:17.

  • @caesar7745
    @caesar7745 24 дні тому +4

    Anaponya nini sasa huyu jamaa. Kaahamponya nani jamaa serikali inabidi iingilie kati huu wizi

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 24 дні тому

      Usiongee usichojua ww

    • @marykirigiti203
      @marykirigiti203 24 дні тому

      kakuibia nn una nini mpaka akuibie ww unaumia nn sasa

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 23 дні тому

      Njaa mpendwa kama serikali kuingilia kati ni jinsi watu walivyokanyagana na kufa wakati ule lakini pesa ilitembea na serikali inazidi tu kumwachia aendelee kuua na kupeleka watu shimoni

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 23 дні тому

      Mwamposa kamponya bibi yako umesahau? Alafu hiyo serikali unayosema iingilie kati ndo inapeleka watu kwa Mwamposa au shida zao zinawapeleka😂

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 23 дні тому

      @@caesar7745 kakuponya ww na ujinga wako

  • @janethjuliasi7500
    @janethjuliasi7500 24 дні тому +1

    Hakika Wewe Mtumishi Wa Mungu Mwamposa ww ni Mti wenye Matunda ila Wanao Rusha Mawe Kwako Yawaludie Wenyewe Mungu Akupe Maisha Malefu Baba Huna Baya na Mtu

    • @lucyikambo9888
      @lucyikambo9888 24 дні тому +1

      Mungu akutunze usaidie watu asiwepo wa kukuludisha nyuma

    • @kelvinpius-ne9rz
      @kelvinpius-ne9rz 4 дні тому

      we mpumbavu husiye kuwa na roho mtakatifu akakufundisha

  • @laurencekamgisha-im5gc
    @laurencekamgisha-im5gc 18 днів тому

    Katika agano jipya miujiza au zana za upako hazijawahi kuuzwa pia Yesu ameagiza tupakwe mafuta ya Roho mtakatifu

  • @McbarakaeventsTz
    @McbarakaeventsTz 21 день тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Watu wanaomsifia hata neno la MUNGU hawalijui na hawaendelei kulijua kikubwa kwao wapate miujiza tu

  • @user-df7xo5nu9z
    @user-df7xo5nu9z 21 день тому

    Yan binadamu wa dunia hiii wakion tu mtumishi mzr freemason kwakwel kama anawalipa bas mm pia ningelipwa