"MAKONDA NISIKILIZE VIZURI UNIANGALIE, NIMETOLEWA KWENYE NYUMBA NALALA NJE" BIBI AELEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 57

  • @zahranabdi8124
    @zahranabdi8124 2 місяці тому +9

    Kuna watu watatu hii nchi wanatakiwa mbeleni huko wake kua Marais slaa makonda na Bashe hawa jamaa mungu awatunze na moja kati Yao awe kiongozi mkuu wanchi hii

  • @user-cq4bw6xt9j
    @user-cq4bw6xt9j 2 місяці тому +20

    2030 eee Mungu unipe uzima maana kura yangu naiona kwa Makonda kuwa ndo Rais ajaye

    • @berthamponji4853
      @berthamponji4853 2 місяці тому

      No isingekuwa Samia asingeweza... hayo yote ni samia

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 місяці тому +13

    Asant sana Rais Samia kwa kutuletea Mh Makonda 🙏🙏🙏🙏 Asante Mh Makonda nakuombea kwa Mungu unafanya kazi nzuri sana

    • @stephanokanyika6321
      @stephanokanyika6321 2 місяці тому +2

      Lazima apigwe vita makonda watu kama hawa hua awafiki mbali Mungu mlinde makonda kwa kujitoa kwa namna hii haiwafulahishi wengi hasa mafisadi wa nchii hii mama kuwa na imani na mkonda acha kuwasikiliza wapambe makonda ni nabii wa Bwana

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 2 місяці тому +1

      @@stephanokanyika6321 Hakika umenena vilivyo 🤲🤲🙏🙏

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 2 місяці тому +10

    Mh Makonda ninachokuomba kwa sasa ni kuwaweka kiti moto watumishi wote na kwamba wajifunze kutatua migogoro kwa kuzingatia Haki na usawa

  • @user-zs4qz4wm2n
    @user-zs4qz4wm2n 2 місяці тому +14

    Yani kwa picha hii inaonyesha jinsi gani watu wana matatizo mengi😢😢😢

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 місяці тому +8

    Hongera Muheshimiwa Makonda

  • @bahatigaitas299
    @bahatigaitas299 2 місяці тому +1

    Makonda makonda makonda,Mungu akupe maisha malefu zaidi,maana watu wanachangamoto nyingi sana ktk maisha yao,kubwa watanzania tumwombee hii kazi ningumu sanaaa

  • @user-tl2gf5ht1s
    @user-tl2gf5ht1s 2 місяці тому +2

    Hongera sana mweshimiwa makonda pongezi kwa mama samia suluhu hasan tunawapenda wote

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 2 місяці тому +9

    Hivi nikwanini Viongozi wengine wasiwe wanautaratibu kama Makonda !!?....

    • @stephanokanyika6321
      @stephanokanyika6321 2 місяці тому

      Hakuna anae weza kujitoa muhanga na kuhatalisha maisha yake na kazi yake

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 місяці тому +2

    Halafu Kuna iitu linatoka huko eti oooohh haki IPO mahakamani makonda anakoseaaaaaa Mimi nakukubali Sana baba keagan mungu akulinde

  • @danielmadale
    @danielmadale 2 місяці тому +2

    makonda haya unayoyafanya siyo yako umepewa na Mungu. naomba sana uyashike uyaishi na ukae nayo. haijalishi watakukasirikia vipi. Mungu atakufikisha mbali. laiti viongozi wetu wote uanzia Rais wangekuwa wanajali watu kwa level hii. tungeendelea sana na tungefika mbali.

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 місяці тому

    Kama kila kiongizi angefanya kazi kama Makonda au spirit ya Makufuli, Nchi yetu ingekuwa nchi ya kwanza Africa kwa ubora.Asante sana MG Rais wetu Mama samia kwa Kurudisha Makonda kazini, Namkubali sana Jinsi anavyofanya kazi. ❤️❤️💐💐🌺🌺🥀🥀🌸🌸

  • @msafiripascal2757
    @msafiripascal2757 2 місяці тому +4

    Jamani kunawanadamu walishushwaga kutokambinguni makonda ubarikiwe kwakaziyako unayoifanya

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 2 місяці тому +4

    Kwa Hali kama hii inaonyesha jinsi wafanyakazi serikalini wabovu

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 2 місяці тому +8

    Magufuli huko aliko anafurahia jinsi kijana wake anavofanya kazi.

  • @SalickSuleiman
    @SalickSuleiman 2 місяці тому +4

    Kwanini wakuu wwngne wamkoa hawafanyi kama makonda ilo niswali lakujiuliza??

  • @user-zo7bg4dw2d
    @user-zo7bg4dw2d 2 місяці тому +1

    Mwenyezi Mngu Makonda atakupa pepo njema

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 2 місяці тому +1

    Pole na kazi makonda

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 місяці тому +1

    Mkoa huu unamatatizo sana Makonda Mungu akusaidie

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 2 місяці тому +1

    Safi mkuu ❤❤❤

  • @ProtasGichere
    @ProtasGichere 2 місяці тому

    Makonda kazi mzuri mungu akupe siku nyingi

  • @SwaibuRajabu
    @SwaibuRajabu 2 місяці тому +3

    Makonda iwapo Mungu atakuweka duniani 2030 wala hainahaja ya kampeni chukua formu na kuapishwa kuwa raisi wwzaidi ya jpm.

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 2 місяці тому +1

    Viangoz wanakimbia kaz zao ila hii ndo kaz wanannchi wanayo tegemea kwa kiongoz wao

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 місяці тому +1

    Hili Nijambo Zuri Lakuiga. Basi Nawakuu Wamikoa mingine Waige Mambo Kama Hayo. Kwa Sababu Watu Dhulima Wamekuwa Kuwa Wengi.

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 2 місяці тому +2

    😂😂😂 Makonda bhana Kazi unayo

  • @hamisihamadi8337
    @hamisihamadi8337 2 місяці тому +2

    Kaz kazin

  • @HajiLikwina
    @HajiLikwina 2 місяці тому +1

    Makonda oyeee

  • @eliudimb4932
    @eliudimb4932 2 місяці тому +1

    Hongera makonda

  • @user-fo9cn6kx1s
    @user-fo9cn6kx1s 2 місяці тому

    Hakika ni mpango wa Mungu makonda piga kazi

  • @berthamponji4853
    @berthamponji4853 2 місяці тому

    Aisee ndugu zangu viongozi , igeni basi nchi yetu ipae kwa kuleta haki kwa wananchi acheni maneno jamani tendeni vitendo kama makonda

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 місяці тому

    Wasafi the best

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 2 місяці тому +2

    Mama mpe makonda uwaziri mkuu awaanyoshe viongozi wazembe mpe tu hata miezi mitano utaaona kazi yake

  • @thobymsule6045
    @thobymsule6045 2 місяці тому +1

    Kwani watendaji wengine wa serikali wanafanya nn

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 2 місяці тому

    Mungu awapenguvu nakufuatilieni nikiwq omani

  • @christopheraine6446
    @christopheraine6446 2 місяці тому +2

    Pigeni makofi 😂😂😂😂😂😂😂

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 2 місяці тому

    Ni rc makonda mwenye uthubutu wa kusikiliza kelo za wapiga kura

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 місяці тому

    KURA YANGU NA FAMILIA YANGU NA JAMAA WOTE WENYE KUJIELEWA TUNAMPA MAKONDA NDIE RAISI WETU AJAE BAADA YA SAMIA MAKONDA NDIE RAHISI WETU AJAE

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 2 місяці тому +1

    Mungu naomba uzima cku Moja nimwone makonda kuwa rais wa tz

  • @user-ft9dk7eo6g
    @user-ft9dk7eo6g 2 місяці тому

    Wapeperushaji muna mbwembwe nyingi ... Munaongea sana
    Mbona Wale wana Angazi Kwa Silaa wapo vizuri tuu

  • @SamweliMwalindu
    @SamweliMwalindu 2 місяці тому

    waliohongwa matumbo joto

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ 2 місяці тому

    ua-cam.com/video/0LDQvYftAbg/v-deo.htmlsi=yYjXzKtBnppcIhOd
    Umbea mwingine 😂

  • @rajabumalilo1875
    @rajabumalilo1875 2 місяці тому +1

    Izo kero zinawasilishwaje hapo

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 2 місяці тому +1

    Hapo nisema kazi iendelee sio hapa kazi. CCM oyee Makonda oyee watasoma namba matapeli na wazurumaji