Hadithi ya toba ya Mzee Karume kwa simulizi yake mwenyewe kabla hajauawa | GG Podcast

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 8 місяців тому +5

    Hakika unyama alioufanya huyu mzee ni mkubwa mno na waliofanyiwa unyama wamekula kiapo hawawezi kumsanehe 😢

  • @SlemanSule-mn9ln
    @SlemanSule-mn9ln Рік тому +3

    Mtu wa watu. Mola amueke pahali Pema peponi aamin

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu Рік тому +4

    Nilichojifunza ni kuzidi kuelewa kuwa starehe na ngoma za kihuni Zanzibar zilikuwepo tena mpaka kina mama watuwazima wakihunika (ngoma ya kizaizai). Haya tumesikia ngoma za usiku usiku za "wanaume watupu"(sunsumia)😥. Zanzibar ya miaka hio kumbe yote yakipatikana ,kinachoendelea leo ni urithi tu.

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Рік тому +3

      Subhaanallah na huko zamani ndio tunambiwa kulikua na masheikh wakubwa na wenye elmu sasa inakuaje hivo vitu.

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu Рік тому

      @@nailamohd-wn6sb Zamani wazee walikuwa na hekima, na ndio maana huwa huwezi sikia maovu, kwani yalikuwa yakisitiriwa. Kumbuka kuwa tumeamriwa kusitiri maavu ya mwenzio.
      Kwani huku pata kujua kuwa ule wimbo wa "kijiti unaniuwa kwa toti moja ya tende" wa marehemu bi Kidude ni simulizi ya kweli! Tena wahuni wa miaka hio walikuwa organised na wenziwao wa Mrima kama ilivyo karne hii na kwa jamii ijayo. Hakuna jamii duniani isiokuwa na gang la uhuni tokea zama hizo.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@nailamohd-wn6sb kabla ya mapinduzi kulikuwa na mashekh wa kubwa. Mapinduzi yakabadilisha muelekeo. Na pia haimaanishi kuwa nchi nzima mashekh wa tupu kuwa hakuna wahuni, haijawahi kutokea ata wakati wa Mtume saw. Ngoma za zamani watoto hawaruhusiwi hawaingii. Kwahio kuwepo kwa mashekhe wakubwa katika nchi na hapakuwa na kafiri ata mmoja ila imani sio zote za uchamungu. Hata mtaani kunaweza kuwa na Shekh mkubwa, ila hakushiki mkono usiibe au uwasi. Hata Mwenyezi Mungu sw amesema " hakuna kulaziishana katika dini". Lakini Uislamu ulikuwa mashallah

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb Рік тому +1

      @@hilalkhalfan1452 sawasawa nakubaliana na ww 👍

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu Рік тому

      @@hilalkhalfan1452 Uislam ulikuwepo na upo , pia udhalim wa shirki ndio kukwanga ulikuwa unanguvu angalau sasa maana wazee walitangulia na mamboyao wakijua vijana wanaokuja hawana hekma na subra laa sihivyo visiwa visingekalika zama hizi 😂😂😂😂

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +3

    "mamlaka yetu yako mikononi mwetu tuko juu ya kilima tunaloamua kufanya kwa umoja wetu ndio tutafanya mwaka 1974 kila mmoja aje zanzibar atuulize tumewezaje "

  • @ds7891
    @ds7891 Рік тому +13

    Sio toba hiyo. Comedy hiyo anafurahisha watu. Huyu ni muuwaji, mnyanganyi mali za watu.

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 Рік тому +2

      Wewe sio M,mungu ,kaa pembeni

    • @RuwaidaSaid-un3pc
      @RuwaidaSaid-un3pc 4 місяці тому +1

      Ili iwe Toba iwe vipi au aseme vp

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 місяці тому +1

      Roho ya elfu ishirini sio mchezo kuna waaslaam wengi zaidi ya elfu ishirini wazanzibari

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      ​@@RuwaidaSaid-un3pc arudishe haki zawatu majumba na mashamba aliopota nakuwaaca watoto maelfu kwenye uyatima naumasikini

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      ​@@salumjumaruhaga2513 ok Yan ww ndio mungu umesha pasisha toba yake???
      Jambazi hili lilouwa maelfu yawaislam kwa kiburi tu pasina sababu nahadi Leo waislam Zanzibar mateso yaendelea nchi limekabifhi kwa kafiri nyerere kisha waleta masikhara!
      Sina shaka jambazi hili lapewa vipigo adim huko ktk tumbo la ardhi

  • @salyali7807
    @salyali7807 Рік тому +3

    Porojo tu.. nchi kaiuza kwa akili zake chege

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 4 місяці тому

    Aliuwa wazee wetu ispoku mungu anahiyari yake pamoja na mashamba yetu aliyataifisha mwaka alf 1968 mpaka leo tumekua masikini

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +3

    Shekh wangu hapana toba hapo hizo ni kauli za kujingamba na kuwatambia wangu kuwaonyesha yeye alikuwa nani hapo nia ilikuwa kutisha watu tu kuonyesha yeye nani!
    Kama yeye mbabe na amejirudi ange sema angalau maasi yake mawili matatu aliyofanya kipindi cha mapinduzi na baada ya mapinduzi Mafano!
    "Jamani mie nimewahi kuua bure bure tu nilimchukua Kassim Hanga nikamtosa bahari,nimesababisha watu wamekimbia Nchi watu kama kina Ally Muhsin Barwan Aman Than" na mengine kisha akaomba radhi kwa wazanzibar wote kwa mapinduzi na akasema japo kidogo ushawishi wa kishetani wa Nyerere kwake juu ya Zanzibar na wazanzibar.
    Mie sio Mzanzibar na sina nasaba yoyote na Zanzibar but wazanzibar mpaka kesho wanapaswa kumuona Karume na Nyerere kama mashetani na ni watu waliyowafikisha hapo walipo leo.
    Karume kwa mambo aliyowafanyia wazanzibar na wazee wao na hayo maneno yake aliyosema hapo akitokea mzanzibar akatamka hayo maneno ni toba kwa karume atakuwa kakosea sana.
    Shida kubwa sana ya wazanzibar wa leo hawataki kusoma kufatilia historia yao lakini pia kutaka kujua sababu za mapinduzi ni zipi hasa. wanacho jua kutamka Mapinduzi Daima!
    Mapinduzi Daima unayajua Mapinduzi wewe mpaka useme mapinduzi Daima!!? leo Zanzibar inatota maji haijielewi.

    • @JohnCatherine-f1z
      @JohnCatherine-f1z Рік тому

      Wewe unacho taka kuwaeleza watu na kuwaaminisha ni uarabu si kingine kama wewe si Mzanzibari ya Zanzibar unayajulia wapi historia ipi unayotaka watu wajifunze, Zanzibar haikuanzia waarabu, waarabu walikuja wakawakuta wazanzibari nini kingine unachotaka kukisema? mtu mweusi ni Muafrika bila kufikiri au bila kwenda shule hilo ukilijua tayari wewe ni msomi maana kwa ujinga mlio wawekea baadhi ya watu weusi ni kuuwaminisha wao ni waarabu ili hali ni weusi ili mteke akili na maarifa yao, kinacho baki kuijua misingi ya utu wako binafsi kama Muafrika. kutawaliwa na kudai uhuru bila mafanikio ndio kulileta Mapinduzi unataka watu wajue nini kuhusu mapinduzi nenda kawashawishi waarabu wenzako Zanzibar hutaiwweza wengi kwasasa wanajitambua

    • @sahimm4767
      @sahimm4767 Рік тому

      Ni uongo, huo ni uono wako na usitake kuwaaminisha watu hilo kma unamchukia mtu mchukie ila mtu akitoa history ya aliyoyapitia usiyaone ni maovu jifunze...

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 4 місяці тому

      😊😮😊😮 MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI WEZI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.

    • @hajjseif5737
      @hajjseif5737 28 днів тому

      kweli watu hawataki kusoma tena utakuta mijitu mikubwa na madegree wanaongea pumba na kushabikia pumba

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 Рік тому +1

    Sheikh Mohammed maneno anayoyazungumza mzee Karume hayana ukweli au insaf ndani yake, sisi ni wadogo wa umri na ilikua hatujazaliwa wakati huo lakini according to this speech haya maneno aliyasema kabla 1974, na wakati anayasema haya kuna wazee wetu na ndugu zetu wengi sana aliwaeka jela na kuteswa bila hatia zozote, kuna wengine walipotezwa kabisaa without any trace licha ya umati wa waZanzibari ulioteketezwa bila hatia yoyote katika hayo yanayoitwa mapinduzi matukufu. Nimesema maneno yake hayana ukweli kwa sababu sio katika hii speech wala hotuba zake zote tulomskia mzee Karume akijutia dhulma walofanya au kuomba radhi. Bali pia katika hii hii speech anasema ati Tanzania Visiwani tunaamua na kufanya tulitakalo maskini kajisahau kua nchi yetu alishaiuza kwa Nyerere miezi mitatu tu baada ya hayo wanoyaita mapinduzi kwahio ni uongo kua ati Zanzibar tulikua na hayo mamlaka wakati anazunguza haya kwani mamlaka yetu zamani alishayagawa kwa Tanganyika. Tuwe wakweli let's call maji maji na mkojo mkojo tusichanganye mambo

  • @hazimboy114
    @hazimboy114 7 місяців тому

    Bwana Muhammed, katika dini ya kiislam kuna haki ya Allah na haki ya waja. Jee hiyo toba imepatiakana imepatikana ridhaa ya waja yaani wenye damu waliouliwa watu wao. Kama bado tuombe husnul khatima.

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 Рік тому +1

    Muongo! Aliyafanya maasi kuliko hayo baada ya kuwa Rais. Kuuwa sio maasi?

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Рік тому +1

    Maneno ya dhahabu haya

    • @sahimm4767
      @sahimm4767 Рік тому

      Sauti ya majivuno inajulikana na ya kusema ovu inajulikana.tusianze kujifanya wajuaji sana Allah na mja wake ndio wanaojua toba

  • @MohamedAbdallaBadbess
    @MohamedAbdallaBadbess 4 місяці тому

    AZUMGUMZA KWA FAKHATI SI KWA MAJUTO

  • @BarakababaRama
    @BarakababaRama Рік тому

    Mimi namkubali sana karume

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +8

    Shukran Ustadh Muhammed kukhusu Gumzo hili. Karume alitubia na mengi aliyasema kwa Uzalendo wa Mamlaka Kamili ya Zanzibar lakini yamepinduliwa.
    Hon. Abeid Karume was a "notorious drunkard, a bully who was not afraid of being in jail. In 1935, he stopped drinking alcohol." It was TOBA YA KARUME as it was illegal to drink alcohol in Zanzibar during his leadership.
    Abeid Karume was a boxer like Nelson Mandela. But after Revolution, President Karume banned boxing in Zanzibar.

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 2 місяці тому +2

    Karume alikuwa chenga hamna kitu kazidiwa kete na Nyerere na mwenyewe anathibitisha hayo na zanzibar kaipeleka Tanganyika kwa nyerere kiuzembeuzembe tu mpaka leo tunapata shida

  • @AsyaKhalifa-i2p
    @AsyaKhalifa-i2p 4 місяці тому +1

    Toba ILO ya kweli ni kuregesha haki za watu amepora ardhi za watu Kwanza muregeshe,na amewadhalilisha wanachuoni,kama abdallah swaleh,mbona hajamregesha na alikua hai akiwa Kenya,toba ya porojoo

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 3 місяці тому +1

    Hivi uko na mtoto huku Bara? Anayetukana Wana zuoni? Hakika mnafanana naye sana

  • @mwinyimwinyimkadam9948
    @mwinyimwinyimkadam9948 Рік тому +4

    Hayo ni miaka ya wendawazimu wengi tumeyapitia
    Mtu huwa timamu kuanzia miaka 40 vzr mzee kajitambuwa akiwa na miaka 30

  • @muba6699
    @muba6699 Рік тому +2

    Wanasema mimi ni Mzuri MZURI EEEEEEE ALLAHUMAA FIRAUH Warhammuh JANNAH skujua kama ni Mcheshi hivo

  • @ramadhandiwani3410
    @ramadhandiwani3410 24 дні тому

    Wewe bwana umeona kumzungumzia yeye kunafaida
    Wachaa wewr
    Mtu akifa hazungumzi ubaya wake
    Tafuta mengine uzungumze

  • @safarinisafari
    @safarinisafari 25 днів тому

    NIMEJIFUNZA KWAMBA WATU WALIKUWA MATAJIRI HATA KBALA YA MAPINDUZI HILO AMEKIRI MZEE KARUME MWENYEWE KWAMBA MAPESA ALIKUWA NAYO NA YEYE AKIWA NA UMRI WA MIAKA 30s

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +5

    Juu y kilima wakati alikua chini y miguu y Nyerere 😅 malipo dunian amefanya maovu n yeye amefanyiwa

    • @drhalimalmaskari
      @drhalimalmaskari Рік тому

      Alokwambia alikua chini ya miguu ya Nyerere nani.? Nyerere akimuogopa Karume!

    • @wanimzur5597
      @wanimzur5597 Рік тому +1

      bora palipo ya duniani ukenda unakokwenda adhabu ya mungu ngumu zaidi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      ​@@drhalimalmaskari karume laanatullah aleyhi

  • @ayshaabrahaman6068
    @ayshaabrahaman6068 7 місяців тому +2

    Mungu amrehemu kwa rehema zake Allah. Kweli alikosea lakini alitambuwa makosa yake na akajutia. Mungu ndo anajuwa zaidi.

  • @assadshaaban8163
    @assadshaaban8163 Рік тому +3

    Nilichojifunza kwanza sheikh Mohammed hii haikuwa toba, kwani amemtaja MWENYEZIMUNGU, Kwa Jina la Mungu mara moja tu, halafu aliyetubia hajisifu kwa maasi aliyotenda na kama hapana budi kuyasema basi machozi lazima yamwagike,pia hakumtaja Mtume MUHAMMAD (S.A.W.)hata mara moja (sijui mbele zaidi ya hotuba)jengine na kubwa zaidi si uhodari wa mtu kuwacha maasia bali ni hidaya ktk kwa ALLAH (S.W)na yeye ndie wa kushukuriwa kwa kila jambo jema ambalo mja akipatiwa,namuomba MWENYEZIMUNGU Awarehemu wazee wetu,masheikh wetu na ndugu zetu walioko mbele ya HAQI,Na sisi atuongoze ktk njia iliyonyooka na atupe nguvu dhidi ya uovu,Amin Allahumma Amin, ALLAH ATUPE UWEZO WA KUINUSURU DINI YAKE NA ZANZIBAR ALIYOTUJAALIYA

    • @wanimzur5597
      @wanimzur5597 Рік тому

      hakuwa na lengo la kujisifu bali alitowa mafunzo na mfano halisi kwa wanaomsikiliza kama utakuwa makini

    • @RuwaidaSaid-un3pc
      @RuwaidaSaid-un3pc 4 місяці тому

      ​@@wanimzur5597 sahihi sana ndugu yangu

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 4 місяці тому

      AMEEN YA RABI ALLAMEEN IN SHAA ALLAH. HUYU ALIKUWA JAMBAZI 😮😮😮SANA NA UKELU WA UGANDA NA YEYE KAJA MDOGO KUTOKA MALAWI 😮😮😊😊😮

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 Рік тому +1

    Nchi ilishapatikana usiku saa sita sasa mauaji katili kwa WANANCHI zilikua za nn, wamekua mafirauni...

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 8 місяців тому +1

    Allah s.w anasema ndani ya qur ani : na yeyote atakae muuwa muumini mwenzake kwa makusudi basi malipo yake ni motoni milele 😢

  • @masshaka
    @masshaka Рік тому +1

    Muuwaji na mbakaji mkubwa huyu. Shenz

  • @abdullasalim9266
    @abdullasalim9266 Рік тому +1

    Mpaka Leo tunaumia kupitia dhulma tulio fanyiwa ambayo imetuathiri kisaikologia.

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 Рік тому +3

    Usimjaji Alaah ndo anajaji. Pengine yake yananafuu kuliko yako lakini hakuna wa kukujaji .simtetei na juwa alifanya mengima baya sana .hamuwezi juwa pengine alifanya toba ya kweli. Siyo lazina akifanya toba wewe ujuwe .yake yamekwisha .bado wewe yamekwisha yamekwisha yame

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 Рік тому +3

    ALLaa Kariim,inshaalaa ampe maisha mema huko alipo

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Рік тому

    Tatizo alikua hana wazee, kutoka Malawi nå kufadhiliwa nå Waarabu. Lakini fadhila zake NI MTIHANI MTUPU!

  • @sop408
    @sop408 Рік тому +1

    Kuacha maovu ni kipimo cha akili pia alikua anapenda mambo mazuri kwa wengine

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 місяці тому

    Usisahau kwamba zanzibari ili pata uhuru kamili salama salimin hata karume alisherekea uhuru NA elikua serekali ya halali ilichaguliwa NA wazanzibari wenyewe sasa yeye alishiriki katika mauaji zaidi ya waaslaam elfu ishirini bila ya hatia ni raia tu hawana silaha yeye NA nyerere NA jhon okeli NA mjeshi ya tanganika NA ungereza NA kuiteka nchi NA hayo ni kupiga uslaam tu

  • @kassimnyuni4340
    @kassimnyuni4340 Рік тому +1

    Mamlaka ya nchi yetu tunayowenyewe tuko juu ya kilima!!!!!🙏 Bravo

  • @omarsaid7153
    @omarsaid7153 Рік тому +1

    Hussein Mwinyi huyajui haya yalosemwa.

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 місяці тому

    😊😊😮😊😮😊😮 MALAWI NDIO KWAO ZILE TABIA ZA BARA LAND NDIO ALIVYOKUWA NA UMRI KAZILETA ZILE TABIA MVOVU 😮😊😊😊😮

  • @salehKoshuma
    @salehKoshuma 4 місяці тому

    Kuna Tatizo gani mtu kukiri makosa yake kwani ni nani mkamilifu ? Mie naona he was a very right person amekiri makosa yake wangapi humu wanafanya balaa kimya kimya

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 Рік тому +3

    Hio haikuwa Toba bali kama kawaida ya porojo alikuwa aeleze yake makosa yake makubwa ya kuangamiza nchi anayojisibu nayo mikonoye imejaa damu hayo ya ngoma ni puruzai tuu Wa uasi wake Allah atamhukumu

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Рік тому

      Tangu lini muarabu ampende MTU mweusi

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Рік тому +1

      @@khatibabass3106 kwa taarifa yako kuna waarabu kibao ambao ni weusi na wanaishi kama wananchi wengine wasio weusi .Wacha urangi soma geography utaelewa

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +1

      @khatibabass3106 Mtume Muhammad (SAW) alikuwa Mwarabu na alimpenda saana Bilal bin Rabbah (RA), alimchagua Muadhin wake. Pia Mkewe ni Mwarabu alichaguliwa na Mtume kupinga ubaguzi.
      Bilal Rabbah (RA) aliyekuwa Mweusi Tititi wa Afrika Mashariki na pia Mtumwa wa Umayyah bin Khalaf aliyeuliwa na Bilal bin Rabbah (RA) kwenye Vita Vya Badri.
      Mtume Muhammad (pbuh) alimchagua Bilal bin Rabbah (RA), Waziri wa Fedha kwenye nchi ya Kiislam ikiongozwa na Mtume Muhammad (SAW) Madina.
      Mtume Muhammad (SAW) ametuachia Qur'an kuwa Mwongzo wa watu na Bilal (RA) Mweusi wa Mwanzo kuwa Muislam ametuachia Adhan kwa watu Kuswali.
      QUR'AN (Muhammad) ADHAN (Bilal).

    • @ALIKHAMIS-un4fv
      @ALIKHAMIS-un4fv Рік тому

      ​@@khatibal-zinjibari6956 samahani ndugu usipindishe historia Bilal bin rabah radhi za Allah ziwe juu yake hakuwa mtu anaetokea Africa mashariki Sawa ni mtu mweusi alietokea katika nchi ya Ethiopia 🇪🇹 ambayo ni Africa ya kati ambayo imepakana na nchi kama ya jibouti Eritrea somalia na kadhalika ni ivo tu ndugu

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      @ALIKHAMIS-un4fv Swadakta. Bilal bin Rabbah (RA) alizaliwa Mecca. Lakini ana asili ya Habasha (Sasa ni Ethiopia) ya Afrika Mashariki.

  • @salimalharrasi3943
    @salimalharrasi3943 Рік тому +1

    NA ALIOKUA MTESAJI WAKE YUKO WAPI AMBAYO ALIOMPA JINA LA BAMKWE AAH ! UNGIJA KUMEPITA MAMBO AMBAYO HAYASEMEKI LAKINI WATU WENGI WAJIZIMA DATA..

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      @salimalharrasi3943 Allah ametuelezea Utawala wa Firaun na Haman kwenye Qur'an, Mwongozo wa Binadam wote.
      Haman ametamkwa mara Sita. Nne ni pamoja na Firaun na mbili ni peke yake.
      Utawala wa Karume alikuwepo Ba-Mkwe akisubiri watu Machinjioni. Wote hawapo lakini KAZI INAENDELEA ili kuimarisha Ukoloni kwa jina la Muungano.

    • @salimabdallah5176
      @salimabdallah5176 Рік тому

      DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @MohdRashid-qq6js
    @MohdRashid-qq6js 3 місяці тому

    Alikuwa humble, wengi tunakosea tuangalie mwisho wake

  • @ramadhanhassansuluhu5518
    @ramadhanhassansuluhu5518 4 місяці тому

    Mungu anasamehe makosa yoooote kwa anaetubia na hubadilisha yakawa mema .qur.an

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 місяці тому

    😂😂😂😅😅😊LAANA HIZO ALIKUWA HAJIJUWI AKILI MBOVU 😮😮😊😊😊

  • @sop408
    @sop408 Рік тому +1

    Assalam alaikum

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 6 місяців тому

    😊😊Mbabe na kuingia kwenye shughuli za watu 😮😮😮

  • @meekman1805
    @meekman1805 Рік тому +1

    Duh! Kumbeee; 😁☝

  • @madamaisha1641
    @madamaisha1641 Рік тому +1

    Hamna kitu hapo

  • @sop408
    @sop408 Рік тому +1

    Wito waakili

  • @AhmedMahoni
    @AhmedMahoni 4 місяці тому

    Acha kuazisha mijadala kama hii ww

  • @ABUUALLY-tv8rl
    @ABUUALLY-tv8rl 8 місяців тому +1

    Katubia wapi aliuwaa watu kwa ukatili na yeye kafa kifo cha kikatili hii ndio jazaa ya kufanya maovu na akhera unamsubiri moto wa jahannam kwa unyama alioufanyaa 😢Allah hawezi kumsamehe mtu ambae alieuwaa waislamu wenzake kwa makusudi 😢

    • @RuwaidaSaid-un3pc
      @RuwaidaSaid-un3pc 4 місяці тому

      Kakwambia nan mungu hasamehe juu ya dhambi za mja wake

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 4 місяці тому

    Angetubu angejiuzulu uraisi

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 4 місяці тому

    HII HADITHI FUNDISHO KUBWA KABISA

  • @RuwaidaSaid-un3pc
    @RuwaidaSaid-un3pc 4 місяці тому

    Ukiikama kauli yake moja tuu utajua hii ni Toba aliposema tuache maasia yetu

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      Navip kuhusu hali zawatu alizopora ?

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z Рік тому

    Majbu ya damu
    Zanzibari ni nchi kwa mujibu wa utawala mana hakuna sehem ya bara ambapo walikosa wageni wakuatawala nadhani ukitoa nchi 2 tu Zanzibar ilikua ni moja kati ya hizo sehem na Zanzibar kwa bahati mbaya sana waarabu ndio walishika dola, sasa kwasababu walio tawaliwa ni watu sio miti na walio tawala ni watu sio marobot miyaka ilipo fika kudai uhuru waarabu waligoma kutoka madarakani na kwa heshima na kuwatuza wale mabwana walikataa katakata hapo ndipo walipo jifunza kitu kumbe Muafrika hatawaliki niheri uchukue nguruwe 🐷 uwatawale kuliko Muafrika (mtu mweusi) Mzee wetu mtukufu Mungu ampe pepo huko aliko alikaa na jopo lake nakuona sasa tumechoka kudai uhuru kwenda mikono nyuma tupambane afe kipa afe beki hapa lazima kabumbu lichezwe Damu ilianza hapo kumwagika. SABABU ZA HAYO YOTE
    Ubaguzi
    Unyonywaji kwa watu weusi
    Lakini sababu kuu ni kwanini tutawaliwe na wageni hali yakuwa wenyewe tupo, ukiona mtu amefika hatua yakufikiri hivi hata kwenye maisha yake binafsi ujue ni kiwango kibwa sana cha akili kuwa imekua Itaendelea............

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +1

      Aliyepinduliwa ni Muhammad Shamte na Mzanzibari Kindakindaki lakini Rais Abeid Karume hakuzaliwa Zanzibar.

    • @JohnCatherine-f1z
      @JohnCatherine-f1z 9 місяців тому

      ​@@khatibal-zinjibari6956Muhammed Shamte alikuwa kivuli tu na alikua hafai pia kuongoza wazanzibari maana alikua mlengo wa kushoto waarabu walikuwa kama mbwa wao wanamtuma kufanya kile kilicho wapendeza wao na sio yeye na wazanzibari

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 2 місяці тому

      Unaongea pumba tupu zisizo namashiko huyu karume nimpumbavu tu msafushe ujuavyo hawezi kutakata. Kwani waliokufa Zanzibar niwarabu tu???
      Na visa vya ubakaji uporaji nakutaifisha vinakutania wapi na Uhuru?
      Upo ushahidi mwingi sana wavisa vyaubakaji aliousimamia karume mwenyewe na hata yy mwenyewe kuwanajisi mabinti wakiislam kupora Mali zao mashamba nakadhalika kisha unakuja kuongea sijui Bora nguruwe Bora hivi kweli kabisa watu wengine kama ww niheri nguruwe .

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 Рік тому +2

    Bora n yeye angekufa pamoja n wezake mana Zanzibar yasingetokea wala isingefikia hapa ilipo na hao mazezeta wanafurahia ujinga maasi walofanya mazito😡😡😡😡

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu Рік тому

      Hukuelewa, hapo alikuwa akitoa nasaha kwa jamii kuwa vijana waandaliwe wakishafikia umri wa maji yamoto. Laitani ingefanyika haya basi tungelikuwa angalau na jamii ya kizalendo maana waliokuwa wakilengwa ni miongoni mwa wazee wetu. Sasa angalia hii jamii yetu tuliorithi kwa wazee wetu ni corrupted na imejaa ubinafsi.

    • @khatibabass3106
      @khatibabass3106 Рік тому

      Waarabu washenzi wakubwa walitaka waendelee kuwabebesha mawe wazee wetu nyamaza we mshenz.ata makhalifa walikua waasi wauwaji wametubia na wamesamehewa

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 Рік тому

      @@khatibabass3106 hebu wacha kuwachizi bro nipe ushahidi hata kwa pictures warabu wametesa waze wako popote pale ikiwa goggle ,Facebook, Instagram , UA-cam, popote fanya utafiti soma ujuwe ukweli achana na kasumba history y darasani Dogo ndio wewe munambiwa binadamu wa kwanza alikua Sokwe unamini

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 Рік тому

      @@MrKhatibu nimemuelewa vzr t me nimetoka njee ya mada hasira zangu y maovu alofanya yeye n wezake

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Рік тому

      @@khatibabass3106 nyie vijana mkisha soma history ya kutungwa ya ccm kuficha mauwaji basi mnakuwa kama wehu. Kama sio waarabu kuja basi ungeitwa JONI na ungekuwa ushafungua kanisa lako. Shukuru alau moja tu kuletewa neema ya Uislamu na waarabu. Hivi uliwahi kuwambiwa kuwa waarabu ndio wamekusaidia uwe muislamu?. Na Mtume saw ametulazimisha kuwapenda waarabu. Na waarabu waliuondoa biashara ya utumwa walioikuta kwa mabeberu yaliokutawaleni mwanzo, na mapinduzi haukupinduliwa ufalme wa kiarabu basi ni vita vya vyama vitatu vya siasa vilitokea, asp, znp, zppp. Hapakuwa na ufalme wowote ila sirikali ndio siri, achana nayo hayana faida tusonge mbele tuishi kijana.

  • @deusdeditkakwesigabo1401
    @deusdeditkakwesigabo1401 4 місяці тому

    😊

  • @sop408
    @sop408 Рік тому +1

    Na mungu alimfungua upeo mapema kujua baya na nazuri mapema

  • @thulayali5858
    @thulayali5858 Рік тому

    Sababu yake ya kutupa hadithii hii hakuna baya lisilo achika tuache kwa kuwaza maisha yatakuwa hivi mimi ni binaadamu?

    • @thulayali5858
      @thulayali5858 Рік тому

      Tutanabai tuache ujabari, kiburi, ununda, yote wameacha tuwache maasi yetu potelea mbali.

  • @SlemanSule-mn9ln
    @SlemanSule-mn9ln Рік тому

    Hatutapa mtu kama huyu

  • @sop408
    @sop408 Рік тому +1

    Mzee abedi amani karume alikua na akili sana mashaallah

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Рік тому

    ALLAH akusamehe mzee KARUME juu ya dhambi ya kutuunganisha na TANGANIKA na mengineyo inshaallah

    • @bungamassingisa2643
      @bungamassingisa2643 4 місяці тому

      Hivi kweli wewe ni midland Kwel?? Hivi ndivyo Allah anayotaka.
      Leo hii tumekua Ndugu wewe unalaani 😢😢😢
      Allahu Akbar ......
      Kweli ukafir sio lazima uwe wa dini nyingine, wakati Mimi ninafurahi Nikikutana na watu wa visiwani Tena mmekuja main land na mnaishi kwa amani Tena mpo kwa namba kubwa tu. Tunashilikuana vizur, wewe huoni uzur huo,
      Allah anawapenda wanaounga ndugu na anawakasilikia wanaovunja

    • @bungamassingisa2643
      @bungamassingisa2643 4 місяці тому

      Hivi wewe kweli ni muislam

    • @adamstour5736-kb6zq
      @adamstour5736-kb6zq 4 місяці тому

      Wew furahi sannnnnna ila sisi tulio weng tuna huzuni juu ya ilo