MANENO MAWILI RAHA NA BUSTAREH/SHEIKH ABEID KARUME ENZI ZA UHAI WAKE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • Endelea kuwa pamoja nasi,

КОМЕНТАРІ • 58

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Mwenyezi Mungu akurehemie . Ulikuwa mzalendo wa kuzaliwa si wa kuoteshwa. Haukuwa mtoto wa nyoka bali mvuja jasho

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 місяці тому

    Imani juu ya Tanzania nl yako kuwa na serikali inayoongozwa na Waafrika.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 місяців тому

    Babu Karume tunamuomba Allah akupe kinachostahiki. Amiin

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z Рік тому

    Watu wa Unguja na Pemba tumepata uhuru wetu kwa vita na Mungu alikuongoza heri na ufahari aupate yule alie kuzaa Mungu anisamehe kwa mabaya yko na akulipe kwa wema wako Amin

    • @SultanMalcolmx
      @SultanMalcolmx 7 місяців тому

      Na mabaya pia amlipe , hakujua km hii Dunia mapito

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 Рік тому +1

    Mzee Allah akulaze pema peponi from Kenya

  • @khalidsaid4297
    @khalidsaid4297 2 роки тому +4

    Laaanatu اللہ Allah atakulipa kwa ulichokipandaa

    • @albertjames6845
      @albertjames6845 Рік тому +1

      Wewe mjinga mmoja tu, hujitambui

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 Рік тому

      @@albertjames6845 babu kausho lalichokipanda anakipata aliua kwa mtutu na yy aliuwa kwantutu! Kama kamata dini tudani.unapomfanyia mwenzio na wewe utafanyiwa ndicho alicho kipata

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      @@mohammedhamad5297 wangapi waloua kwa mtutu na hawakufa kwa mtutu

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 2 роки тому

    Big man viva karume asante sana

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 6 місяців тому

    Eeh aduwi wa allah

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому

    Mungu aliempa athabu katika dunia kupigwa risasi nane NA huko akhera ataulizwa roho za watu nafsi za watu sio mchezo hata ukiua paka utauliwa wazanzibari wa liuwawa kinyama ni raia tu wala sio askari sasa huo karume hao watu wanamsubiri huko sirati huko ahera wa nataka malipo yao aliye uwawa anamuliza mungu huo ameniuwa dunia duniani kwanini

    • @allyhassan5664
      @allyhassan5664 Рік тому

      Lkn aliemuua karume ataenda kujibu nayy kwann alimuua .adhabu anaiaubiri

  • @ashaali7506
    @ashaali7506 Рік тому

    Alhamdulillah❤😂🎉😢😮😅😊

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 3 роки тому +4

    *Ukaichuwa zanzibar yenye mamlaka yake ukaipeleka bara sasa tunaoteseka ni sisi*

  • @khalidsaid4297
    @khalidsaid4297 2 роки тому +4

    Ww ndie ulie tudhslilisha na ndio tunazidi kizalilishwsa

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Ye hayupo we umefanya nini kutoa huo udhalili

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Рік тому

    Tulitolewa ukoloni mwa kiarabu na kuoingizwa katika ukoloni wa kiafrika

  • @omarsaid4702
    @omarsaid4702 2 роки тому +1

    Kweli mungu atamlipa kwa alicho kipanda

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kwa kua elfu ishirini NA kuiza nchi kwa wakrsto wa tanganika

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 3 роки тому +7

    Ndio wewe mjinga uliowadhulumu watu

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 місяці тому

    Hamna lolote la msingi analozungumza ama kueleweka....Upuuzi mtupu ! Mwisho wa kibri kuiuza Zanzibar kwa pesa moja tu ! Sultani alikua mzanzibari zaidi kukuliko weye mkosa kabila !

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 10 місяців тому

    Dadali wa mwazo kuuuza zanzibar kwa watanganyika kwa husda na tamaa ya madaraka

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 роки тому +4

    NYANI HALIONI KUNDULE HAKI YA MTU HAIPOTEI

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Mpka lini hiyo haki itarudi sasa miyaka sitini kutawaliwa

  • @LingstonMwakaboko-q2k
    @LingstonMwakaboko-q2k 5 місяців тому

    Eshii jamani napitia comments hapa ila sijaona comments yoyote ya kumushukuru Karume hata chembe za mazuri yake hamukumbuki

  • @mohammedhamad5297
    @mohammedhamad5297 Рік тому +1

    Adhabu na wewe unaiyona adhabu ya Allah ulio wauwa ndio sisi wazanzibar

  • @allyhassan5664
    @allyhassan5664 Рік тому

    Hivi sultan ametawala znz miaka mingi likn karume katawala miaka Saba maendeleo yameonekana mpk leo..sio

    • @SultanMalcolmx
      @SultanMalcolmx 7 місяців тому

      You wrote the trush, you better keep quiet

  • @fahmialharthi4596
    @fahmialharthi4596 2 роки тому +1

    Unaiyona raha mustareh huko ulipo

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Рік тому

    Serikali yetu wenyewe mbona ukaipoteza bureee

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 2 роки тому

    NAMKOBOZI WA ZANZNZIBARI LAKINI MKOLONI MAMBO LEO WA BARA

  • @abdulab6202
    @abdulab6202 2 роки тому +1

    Khalid said unamwambia mtu llaantu llah je ingekuwa hao warabu wange wauwa watu weusi unge wa laani kama ni dhulma na wao hao warabu walikuwa wanadhulumu watu usimlaani mtu hujui nini kingetokea kwa hao waafrika maana nahao unao watetea walikuwa na njama zao waswahili wamesema ukujuwa huu wenzio wanao ujuwa huu kaa utafakari

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 2 роки тому

      Kaleta ukoloni wa namna nyingine hao waarbu ni wazaliwa zanzibari hawajui kwao kabisa ni wanainchi sasa umetawaliwa hamna cha mamlaka ya zanzibari kua elfu ishirini kwa dakika arbaini hakubali mungu hao ni waaslamu wanataamka shada

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 Рік тому

      @@alialamoudi9729 yy alikua muafrika ndio wakawau mpaka watoto wa walio zaliwa.

    • @sellamwani7300
      @sellamwani7300 Рік тому

      ​@@alialamoudi9729waarabu waliuza waafrika mamillioni kwenye Utumwa!yaonekana wewe mwarabu?

  • @asilclub
    @asilclub Рік тому

    Moongo mkubwa huyu jambazi muuaji mungu atamlani yeye na nyororo asipo Kuwa ni sultan huyu mshenzi karume hajui hata kuvaa nguo

  • @anuaryjuma9469
    @anuaryjuma9469 2 роки тому

    Kweli nchi ya wafrica

  • @adamstour5736-kb6zq
    @adamstour5736-kb6zq Рік тому +1

    Ni kheri kutawaliwa na SULTAN kuliko kutawaliwa na TANGANYIKA

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 6 місяців тому

      Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.

    • @homeboybeyondtheborders4935
      @homeboybeyondtheborders4935 6 місяців тому

      Shida ilikua kwa ZNP "HIZBU" wao walipokea Uhuru kutoka Uingereza wakakubali Sultan abaki kuwa mkuu wa nchi,ila kiuhalisia Jamshid alikua ni sehemu ya Dola ya Oman,yaani Jamshid alikua mwakilishi wa Dola ya Oman nje ya nchi ya Oman...Mohamed Shamte alikua waziri mkuu na hakuwa na nguvu za kiutawala zaidi ya kusikiluza mkubwa wake.Ukweli ambao wazanzibar wengi hawaongelei ni kua Dola ya Oman imekaa zaidi ya makarne kwa mabavu kwenye visiwa hivi je Maendeleo waliyofanya kwa maelfu ya miaka ilishabihiana na ule mwaka 1964.Kihistoria Utawala wa Sultani ulikuwepo kabla ya wazungu kuingia Amerika, Kwa hyo majority had the right to overthrow the regime kwa kigezo cha muda huo na ukweli wa historia.

  • @mohammedabdallah9821
    @mohammedabdallah9821 Рік тому

    Kaondoka sultani mwarabu,
    Sasa tunae sultani mtanganyika ndo aloikalia Zanzibar kwa mabavu,
    HAKUNA tena nchi ya Zanzibar kuna Tanzanian

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Tumeamua hata sie watanganyika hatutaki Kua na nyinyi mwambieni bi mkubwa auvunje we are ready

  • @JohnCatherine-f1z
    @JohnCatherine-f1z Рік тому

    Hatutaki kutawaliwa kwani kuna ubaya 😂😂😂😂

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +2

    Duuh mungu mkuu sauti ya Miaka 41 ipo clean kama janana

  • @seifhafidhsuleiman3643
    @seifhafidhsuleiman3643 Рік тому

    Hotuba inaishi hii

  • @nassornassor8774
    @nassornassor8774 4 роки тому +3

    Kwa Tànzania babu hapana tabu lakini A S P haipo hatuna vya kuikumbuka mitihani , mbona ww hukuunga vyama ?babu tunakukumbuka na hizo hazabu Tanzania milele

  • @raymondkaswaga5055
    @raymondkaswaga5055 4 роки тому

    Babu ulikufa na Nyerere akafa na wenzako hawautaki muungano

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 роки тому

    HAKI HAIPOTEI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAHUNI MAJAHIL HAKI KAILETA ALHAMDULILLAH RABI ALLAMEEN