Hausemwi ila huu ndio Ukweli mchungu nyuma ya Mapinduzi ya Zanzibar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 501

  • @ibrahimnoordin3420
    @ibrahimnoordin3420 4 місяці тому +11

    Shukran sana Bw. Mohamed Said. haya mambo watu wanayo vifuani. but now you're put it out black and white.. calling a spade, a spade, not a big fork. Kudos

  • @stonetown578
    @stonetown578 4 місяці тому +18

    Ahsante Bw. Mohammed Said

  • @hassanshame5385
    @hassanshame5385 4 місяці тому +21

    Hapo kwenye suala la UDINI ni ukweli mtupu ameongea mzee wangu..
    Hasbiya allah waniimal wakiil..

  • @a.856
    @a.856 4 місяці тому +12

    Jazakallah khayran

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 4 місяці тому +28

    Muendelezo tafadhali. Mzee hachoshi kumsikiliza ana kila kitu. Lafudhi nzuri, sauti maridhawa, lugha nyororo, maneno ya ukweli, ushahidi lukuki.

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona 4 місяці тому +14

    Ahsante kwa ukweli ulofichwa mzee wetu tuletee muendelezo zaidi

  • @nassorally8139
    @nassorally8139 4 місяці тому +9

    Naomba link ya muendelezo wa interview

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 4 місяці тому +1

    Story mzuli Sana shekhe umenizinduwa ubongo wangu

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 місяці тому +23

    Hasbiyallah waneemal wakeel

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 4 місяці тому +3

    Hii ni Swadakatul jaariya❤❤❤

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 місяці тому +17

    Ukweli haufichiki ata waufiche vip

  • @fallykhan2383
    @fallykhan2383 4 місяці тому +9

    Naomba na historia ya kukua kwa uislam kwenye dola ya kilwa. Hii nayo imefichwa sana ❤❤

    • @wamburasungura6812
      @wamburasungura6812 3 місяці тому

      Kwani uislam ulikuwa ukombozi ama ni dini? Badirikeni basi

    • @fallykhan2383
      @fallykhan2383 3 місяці тому

      @@wamburasungura6812 kasome historia ya ukombozi wa Tanganyika na chama cha tanu alafu utaelew
      Kisha wewe ndo ubadilike.

  • @songombingo108
    @songombingo108 4 місяці тому +15

    Zanzibar ilikufa rasmi baada ya Mapinduzi na ikazikwa rasmi kwenye Muungano.

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 2 місяці тому

      Na blanda ya mwisho ya zanzibar ni kuunganisha vyama hapo ulw uhuru wa kuchagua kiongozi wao zanzibar ukafia Dodoma kwisha habari sasa hivi wanajipapatua wakati walishatekwa 1977 Afroshirazi ilipokufa.

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 3 місяці тому +2

    Inaumiza sana kusikia habari hii na hatuna uwezo wa kuchukua hatua. Inaumiza sana. Tumedhurumiwa haki yetu

  • @TheAlman
    @TheAlman 4 місяці тому +15

    Naomba sana Muungano wa Tanzania tuuvunje mm Mtanganyika ila siutaki muungano na hicho kisiwa

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 4 місяці тому +10

      Wazanzibar hawautaki %💯

    • @maisarirajab4846
      @maisarirajab4846 4 місяці тому +9

      Hakuna mzanzibar anaetaka muungano

    • @TheAlman
      @TheAlman 4 місяці тому

      @@maisarirajab4846 sahihi pia ndio maana nimesema uvunjwe tu

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 місяці тому

      ​@@maisarirajab4846kila mtu aludi kwake

    • @TwalibKwelii
      @TwalibKwelii 4 місяці тому +3

      Umefahamu wewe mtanfanyika auu

  • @mwinyihamisi3369
    @mwinyihamisi3369 4 місяці тому +8

    Mbinu HIYO ya kuwapeleka mamluki kupiga kura Zanzibar halikuishia halo hats miaka ya Leo wanawapeleka ili CCM ishinde

  • @HammyBrown
    @HammyBrown 7 днів тому

    Nampenda

  • @Znz-news
    @Znz-news 4 місяці тому +24

    Huu ndio ukweli wa hayo mavamizi sio mapinduzi ila kwa wale wenye chuki na nchi yetu Zanzibar wataona ni uongo tu

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 місяці тому +4

      😂😂nani mwenye chuki kama sio nyinyi wenyewe

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 4 місяці тому

      Machogo nyiyee washenzi mtakufa na chuki zenu kama nyerere na mkapa​@@ProsperUlungi

    • @kizomontana5918
      @kizomontana5918 4 місяці тому +1

      Em nisaidie KUELEWA...Kwahyo hizo Neema zilizokuwa Zanzibar ZIMEONDOLEWA NA MAPINDUZI?....Kwahyo KARUME NI MBAYA?...na Mwarabu ndo Aliineemesha Zanzibar?

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 4 місяці тому

      @@kizomontana5918 ndio au ulisikia zanzibar kama vile stone stone beit al ajab umeme hebu nenda google andika when zanzibar got electricity ndio utajua kwamba mapinduzi yameiua zanzibar

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 4 місяці тому

      @@kizomontana5918 ndio

  • @salimnassir8367
    @salimnassir8367 Місяць тому

    Unafiki malipo yake ni hapa duniani na kesho kwake unasubiriwa pia. Mwenyezi Mungu hana sifa ya kusema uongo!

  • @SaidZavallah
    @SaidZavallah 4 місяці тому +3

    Lala salama magufuli hahahaha daaaah huyu mzee ni hatar kwa muungano katumwa huyu mungu shaidi daaaaah

    • @khamishaji5265
      @khamishaji5265 4 місяці тому +1

      Akili zako finyu. Na uvivu wa kufikiri, jitoe kwenye utumwa wa kiakili. Hujitambui, ila nadhani wewe asili yako ni Tanganyika halafu wewe ni mkiristo, sikulaumu.

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 4 місяці тому

      Yatima wa kambare iloo

    • @abdulazizitwalib5859
      @abdulazizitwalib5859 3 місяці тому

      Laaana iwe juu yao wote walihusika na hujuma dhidi ya Zanzibar na Uislamu InshaAllah

  • @karmelibob
    @karmelibob Місяць тому

    Hivi vitabu nawezaje kuvipata kuvisoma?

  • @workmantiktok
    @workmantiktok 4 місяці тому +10

    ukweli ni kwamba tanganyika inainyonya zanzibar na tanzania inangamizwa na catholic

  • @mohamedfarah9184
    @mohamedfarah9184 2 місяці тому

    Until the lion learns to write, every story will glorify the hunter.” Asante Faza kwa historia🫡

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 4 місяці тому +4

    Nyerere atahisabiwa na historia

    • @DonTwaha
      @DonTwaha 4 місяці тому +1

      Mungu ata mlipa la kumlipa maana kachukua masheikh na kuwa ua

  • @mohamedmohamud9691
    @mohamedmohamud9691 4 місяці тому +4

    Munaafiq Nyerere na wanafiq wa kristo ndo walipanga uvamizi wa Zanzibar na kutawanya au kukomesha uislamu katika kisiwa hicho. Lakini hebu tafakari vile alivyoishia na mauti yenye uchungu Sana.

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 3 місяці тому

      Mwafrika kufikiri ukristooo uislamuuu ni Utumwa wewe ni mweusi huna asilibya ukristo wala uislamu isipokuwa ni tamaduni za watu mmetohowa isiwabague

    • @ShadowScreamStudio
      @ShadowScreamStudio 3 місяці тому +2

      We msenge sana
      We utakufa unachekaa
      Mungu ndiye anayehukumu
      Wa-Afrika mmegawanywa na udini ndio maana maendeleo mnayaona ulaya tu

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 місяці тому +3

    Kweli kabisa mwl nyerere ndiye aliyeipindua Zanzíbar 👍

  • @MaulidKhalfan-kx8gw
    @MaulidKhalfan-kx8gw 3 місяці тому

    Huu wakat wa sasa si uleeeee mzeee sema kila ki2

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 4 місяці тому +6

    Na hata Leo kisonge wana mabango yao ya kuukana uislam, mnalikumbuka bango lililoandikwa "hatuna uchungu na uislam tunauchungu na ccm hatumpi maalim serikali tukimpa ccm itakufa"

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 4 місяці тому +6

    Hayo mambo ilitakiwa uyaongelee hadharani ili wale waliolishwa rangi ya kijani waelewe

  • @IddrisIsco
    @IddrisIsco 4 місяці тому +7

    Allah atakulipa kwa ufumbuz inshaa Allah...

  • @yustusmalende9263
    @yustusmalende9263 4 місяці тому +1

    Najaribu kuelewa lakini bado..So maisha kabla ya mapinduzi yalikuwa mazuri sana.daaah na wakti kulikuwa na ubaguzi mkubwa wa rangi huyu Mzee embu watafute wazee walioishi maisha ya kubaguliwa alafu ndo uje hapa kaaah..

    • @AhmedCalling
      @AhmedCalling 4 місяці тому

      unabishana na wazee waliokuwepo

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 4 місяці тому +3

    Mohammed said, msimuliaji mahiri sana, ana kipaji sana.
    Asemayo ni ya kweli na kweli tupu Mungu ndio Anajua lkn anatoa msaada mkubwa wa mawazo kinzani kuhusu Historia ya Mapinduzi Zanzibar ambayo mashuhuda wa kweli wa jambo hilo wengi wametangulia mbele ya haki.
    Wasiwasi wangu ni kana kwamba Zanzibar ilivyoumbwa TU hakukuwa na dini tofauti za wenyeji ila uislamu TU na sio dini zingine.
    Haya ni makovu ya kutawaliwa na wazungu na warabu.
    Zetu duua

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 місяці тому +1

      Nimeishi Zanzibar kwa muda fulani. Hiyo hali mimi pia imenishangaza kuona waafrika weusi kama wewe na mimi wanasema asili ya Zanzibar ni uislam na wengi hawana majina ya kiafrika kabisa na wanajivunia kuwa hivyo.

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 4 місяці тому +2

      ​@@Joe-tr2vksisi tunaa akili zetu tunajua kupambanua tofauti na nyie wagalatia

    • @Youngchimodzi823
      @Youngchimodzi823 4 місяці тому +2

      Jibu hoja za Joe,bwana Omar bila Munkari Wala matusi,hakuna aliye na umiliki wa akili katika jambo lolote Lile iwe ktk kupambana, kupigania au la na haijalishi huyu au wewe ni mpagani,mgalatia au Tip Tip.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 4 місяці тому +1

      @@omarissamashaallahpresiden2920 Ukweli ni kinyume chake. Nyinyi waarabu wamekutoeni akili,mpo tayari kumuua mwafrika mwenzenu ati kwa sababu hakubali uongo wa waarabu na ukatili wao. Mnaua watu kila leo Nigeria,Burkina Fasso,Mali. Nyinyi na Boko Haram si mnatumia kitabu kimoja? Bado mnajiita mnajua kupambanua? Hovyo kabisa

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      UO uislam uliletwa. Na nani HAPO Zanzibar na msikiti WA kwanza ni upi?

  • @hafihajumoneworld7884
    @hafihajumoneworld7884 4 місяці тому +1

    Zanzibar 😢

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 3 місяці тому +5

    Nimeisikiliza sana historia hii shukrani. Matatizo ya Tanganyika na Zanzibar yalianza muda huo. Kuna udini na utanganyika na uzanzibari toka mwanzo. Nimeyaelewa masikitiko ya Zanzibar kwani wanavyojielezea ni kama Tanganyika ililazimisha mapinduzi Zanzibar. Na ınsine kana Wazi Zanzibar ilipenda bado iwe himaye ya waarabu.Na huu mkanganyiko ndio unaotugawa mpaka sasa.
    Kwa watanganyika kurudi kwa waarabu kiuchumi hawapendezewi. Wazanzibari bado wanapenda uhusiano mkubwa wa kibiashara na Waarabu. Kwani kuna waarabu waliokimbia ambao wana mahusiano ya kindugu na waarabu. Kwa hiyo malalamiko yote ya bandari, Serengeti na ngorongoro na madini, kwa wazanzibari wengi wao wanao a ni poa tu. Ni ndugu. Kwa watanganyika, wana wains waarabu utumwa, mauaji na sasa wamerudi. Huu ndio mgongano mkuu wa kısımda tulionao.
    Je utaishaje.

    • @CarlMagi
      @CarlMagi Місяць тому

      Kwa sasa Tanganyika imekosa mtetesi. Imegeuzwa shamba la bibi na Wazanzibar, wanavuna watakavyo. Halafu sasa wameleta Waarabu..

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 3 дні тому

      Untaka kupelekwa tu! ila jiulize Nani kakabidhiwa uhuru Wa Zanzibar , wapi je ni Muarabu, Hapna Bali ni Mpemba baba na Mama Muhammad shamte ambae alikua ni Waziri mkuu wa Kwnza wa Zanzibar . Wtangnyk kuongelea Waarabu ni Propaganda ambazo wmeptiwa na mkoloni Alaziendeleza mkatoliki NYERERE.

  • @ismailsaidsalim296
    @ismailsaidsalim296 4 місяці тому +4

    Kumbe ujinga wa Waislamu ulianzia zamani hivi, sikua nikijua kwakweli. 😅🤣😂

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 4 місяці тому

    Ukweli umenifanya nijue kuwa
    Uhuru wa tanganyika umeletwa na uislamu ahsante maalim Said kwa history

  • @Ibrahim-b9x2q
    @Ibrahim-b9x2q 3 місяці тому

    Such a sad story 😢

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 місяці тому +2

    Kongole kwa Babu yangu Oscar Kambona. ✌️

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 4 місяці тому +6

    Ukweli utabakia kua ukweli tu,sisi tunaelewa nyerere alitumwa kupindua uislam ili kueneza ukristo Zanzibar,

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      Uislam na ukristo izi dini zililetwa kwetu,,,ukiangalia historia uislam umekuja MWAKA Gani na kwanini bara ni wakristo na Zanzibar ni waislam NDIO utajua,,,,Mimi na wewe tuamini tuu

    • @dakxirdakxir5897
      @dakxirdakxir5897 4 місяці тому

      ​@@josephwilliam5813 bala waislam ni wengi kuliko wakristo...wakristo wengi mbeya. arusha .moshi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 місяці тому

      ​@@josephwilliam5813Kama kubeba imani ya Ukristo basi Zanzibar wangekua ndio wa kwanza kua na imani hiyo, ila hawakuona ni imani ya maana, ukristo ulianzia Zanzibar, wazee waliukataa, ulipofika Tanganyika ndio wakaona wamepata tena.

    • @saadmuhandosaad6231
      @saadmuhandosaad6231 3 місяці тому

      Acah uongo hata bara ni waislam wakiristo mmetokea vijiini ​@@josephwilliam5813

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 17 днів тому

    Naam uko sahih nyererre hakuupenda uislam ila meenyezi mungu azidi kumnyosha kwa marungu ya moto

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 місяці тому +1

    Mauaji ya Zanzibar kumbe ilikuwa hatari😢😢

  • @sunganyerembe6943
    @sunganyerembe6943 4 місяці тому

    ilikuwa ni serikali ya weusi?

  • @AbAlhuraas
    @AbAlhuraas 4 місяці тому +2

    Mzee Wangu nakuonea huruma Sana Ukwli umeusema lkn hawa watu hawataki ukwli ,tunahofia usalam wako baada ya Ukwli huo kuutoa hadharani

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 3 місяці тому

      Hawawezi huyo ni muislamu ingekuwa kipindi cha Magu....

  • @IssaRwechungura
    @IssaRwechungura 4 місяці тому +3

    Njama dhidi ya Uislamu ni ya kimataifa kuanzia Vita vya Msalaba huko Ulaya kuanzia Karne ya 10 kwa miaka 175 ambapo takriban Waislamu million 50 walichinjwa. Aidha hapa kwetu kuwadhulumu waislamu itabakia laana ya mile, inauma sana kuwatendea maovu waliojitoa mhanga kuleta UHURU. Maelezo yako juu ya East African Muslim Welfare Society ni ukweli mtupu na msiba wa milele kwa Waislamu. SHUKRAN.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 3 місяці тому

      Dini nyingine wanachinjwa na waislamu hadi leo. Lebanon,Syria,Iraq,Armenia,Nigeria,DRC. Uislamu hadi vitabu vyenu vinaeleza muwachinje watu wengine wanaokataa kufuata ubatili wenu,shenzi kabisa.

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 3 місяці тому

      Utajijua . Ukweli mchungu eee!. Hapa inazungumziwa Zanzibar sio huko kwengine​.@@Joe-tr2vk

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 місяці тому

      ​@@Joe-tr2vk😂😂😂ume panic sana iyo dini yetu ulisoma au ulikaririshwa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 3 місяці тому

      @@MohamedAhmada-ie7ke Taarifa siku hizi ni bure kabisa,kasome historia za nchi za kiarabu uone jinsi wanavyowatesa watu wa dini nyingine. ISIS walichinja watu wengi wakiwemo WaYazidi na Wakristo walipoteka na kuanzisha caliphate eneo la Iraq na Syria kabla hawajafurushwa,Boko haram wanachinja watu wasiokubali uongo wa mtume wao hadi leo ninapoandika. DRC kuna kundi linajiita ADF ni waislam hao wanachinja watu kwa jina la mtume wao kila uchao kule mashariki. Hauhitaji nguvu yoyote kwa sasa kupata taarifa labda uamue mwenyewe kuwa gizani.

  • @salyali7807
    @salyali7807 4 місяці тому +12

    Wameanza zamani kumbe kuleta watu wa bara kupiga kura. Hivi sasa ni uendelezo tu

    • @matm.s
      @matm.s 4 місяці тому

      Wazee wako na Babu zako wa Kwanza walikuwa watumwa waliuzwa kutoka bars. Acheni nyodo, chimbuko lenu wote nyie ni bara. Uislam mmeukuta kwa waraabu walitawala na kufanya biashara ya utumwa, mababu watumwa walilazimishwa kuchukua dini ya watawala wao!

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 4 місяці тому

      ​@@matm.sBiashara ya utumwa ilifanywa na wazungu na sio waarabu na ndio maana huko ulaya na America wakachukua watu weusi na wahindi weusi kila kona ya dunia na kupeleka nchini mwao huko ulaya na Amerika, waarabu wametumika km watumishi tu wa wazungu kwenye hiyo biashara

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 місяці тому

      ​@@matm.sKwaiyo awo warabu biashara ya utumwa wakaifanya kanisani ss kama wa islam kwa nini wasifanye mskitn lakin history ya utumwa zanzibar ipo kanisani

  • @DumishaTanzania
    @DumishaTanzania 4 місяці тому +2

    Nimekusikiliza uzuri, sioni shida na hayo yaliyofanyika. Nafikiri yalikuwa bora zaidi kuliko yale ungetamani. Ni masuala ya kimtazamo zaidi ya uhalisia.

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 4 місяці тому

      Inshaalla kama mazuri yalotokea unayaona siku moja wende kwako uwakute wazee wako watoto wako mkeo wote weshauliwa halafu uone si tatizo ni mtizamo tu

    • @DumishaTanzania
      @DumishaTanzania 4 місяці тому

      @@AhmedZahor Kuuwa watu ni tatizo tena kubwa. Haiwezi kuwa sawa.

    • @FarhanahannanaHassanah
      @FarhanahannanaHassanah 3 місяці тому

      Alouwa mleteni nimuuwe
      Ili amani iendelee

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 2 місяці тому

    Kumbe Waislamu ndio waliopigania Uhuru na sio Watanzania! 😂😅🤣
    Hongereni!
    😂🤣 😂

  • @Num3er22
    @Num3er22 3 місяці тому

    Wa"zanzibar ubinafsi utawatafuna mpaka mkute sehemu wameandika 'The End' Poleni sana, na hulka iyo ni urithi toka kwa waarabu.

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 4 місяці тому +12

    Nyerere anazambi kubwa xna na ccm

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      Nyerere Anadhambi? Ulimshuhudia akitenda dhambi

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 місяці тому

      @@josephwilliam5813 muuwaji wa watu wa zanzibar na yeye ndio aliepanga kumuuwa karume kisa muungano

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 4 місяці тому

      @@josephwilliam5813 kabisa muuwaji aduwi wa uislam

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 3 місяці тому

      ​@@josephwilliam5813ko bado huamini? 😂😂😂

  • @rashidalbalushi8355
    @rashidalbalushi8355 4 місяці тому +2

    Ukweli ndo huu kumtoa ldd Amin Uganda na kusaidia wapinzani Nigeria ( Biafra) ni wazi wa chuki ya Nyerere kwa uislaam

  • @hassanjuamchipua9384
    @hassanjuamchipua9384 3 місяці тому

    Naomba uiweke hii historia full hapa ni yakusisimua ni Kenya lkn nieipenda sana

  • @CashKassim
    @CashKassim 3 місяці тому

    Ni maneno ya uchungu sana yanauma sana Hila hazijawahi kumuacha mtuu salama

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 3 місяці тому +3

    Nyerer arikua anaumwa nakutumia mnafiki yule mungu anamuadhibu kutoa roho zawatu kisa dini sijui tuliwafanyia nini waisilamu Jaman 😢😢

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 3 місяці тому +1

      Lengo la Nyerere ni kuwatoa warabu Tanganyika na Zanzibar ili tuwe huru aliondisha utumwa sio uislaam

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 2 місяці тому

      @@Nailaty564 Unaota wewe. Lengo la nyerere ni kuukandamiza Uislamu

  • @MwasamaniGunda
    @MwasamaniGunda 4 місяці тому

    Umeeleweka vema sana, na hiki ndo kitabu cha kweli.

  • @Husseinmohammed-b8q
    @Husseinmohammed-b8q 3 місяці тому

    Sisi hatutaki muungano na wanyamwez bhan hatuna jinxi t😢

  • @sanaf8367
    @sanaf8367 4 місяці тому +6

    Watasema wapi na wao wapo ktk kutia chuki na kupandikiza mambo ya uwongo tu.

  • @ayubutewele5241
    @ayubutewele5241 4 місяці тому +1

    Joke walikuwa waarabu au wazanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣?

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 4 місяці тому +3

    Ukweli utakuacha HURU❤
    Zanzibar ilikuwa Nchi HURU tangu Desemba 1963

  • @ProsperUlungi
    @ProsperUlungi 4 місяці тому +5

    Eti mtu mweusi anaumia mwarabu kuuliwa😂😂😂

    • @mrishoally55
      @mrishoally55 4 місяці тому +2

      Kwani unataka mtu mweusi afurahi muarabu kuuliwa

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 4 місяці тому +5

      @@mrishoally55 wewe ukiuliwa muarabu ataumia🤣🤣 mfano2 mauwaji yanayotokea huku africa congo lini ulisha sikia muarabu kuyakemea ila sisi ngozi nyeusi Shobo kibao

    • @material_liv4674
      @material_liv4674 4 місяці тому +1

      ​@ProsperUlungi hawa watu hawana elimu na wala hawajui walikotoka na wanakokwenda we mwarabu alivyo na chuki na watu weusi na bado eti wanawag'an'gania na hata ukiwa rangi nyeupe kwenda uharabuni hawakutaki sasa mwarabu atakusaidiaje kama hujui history yako na hujatembea duniani mafhara yake ndii hayo unakua mpumbavu.

    • @jilalamaligisa4854
      @jilalamaligisa4854 4 місяці тому

      Siku tukiamua kutoka katika unasaba wa uarabu na uzungu ndipo tutakuwa tumejikomboa kweli, Waafrika tuna utamaduni wetu ulio sahihi kabisa​@@ProsperUlungi

    • @Khalid-mf3iu
      @Khalid-mf3iu 4 місяці тому

      ​@@ProsperUlungimwaarabu ndo alikufundisha wewe uungwana kaa ukijua jina la zanzibar na uchumi wake uliinuliwa na waarabu

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 4 місяці тому +2

    Moja kati ya maelezo adhimu kabisa katika historia ya visiwani na Tanganyika

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 3 місяці тому +1

    Kuna Mzee namjua yupo Mbeya Kwa sasa alikuwa mwanajeshi enzi izo natena karibu kabisa na karume anajua Kila kitu kuhusu mauwaji ya karume

  • @OmarSaidy-i1m
    @OmarSaidy-i1m 8 днів тому

    Nyerere lana za allha ziwe juu yakeee

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 місяці тому +2

    Mimi kila cku nasema wazanzabar wakaye kwao wakija bara waje na passport kelele kila cku wakati tnaenda kulala sehemu size ya mabega 😏

    • @omarissamashaallahpresiden2920
      @omarissamashaallahpresiden2920 4 місяці тому

      Siku Moja ingieni bara barani semeni wazanzibari warudishwe kwao ndio tutaflai wasemavyo wa bara

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      ​@@omarissamashaallahpresiden2920wabara hatuna IZO kama unasubiri wabara tuandamane basi sahau

  • @alimau7939
    @alimau7939 4 місяці тому

    Ipo siku inshaallah haki itarudi

  • @rwabu
    @rwabu 4 місяці тому

    Treni kutoka wapi kwenda wapi?!?

  • @Binmabruk273
    @Binmabruk273 4 місяці тому

    Nipashe Really store

  • @MohamedAbdallahSaid
    @MohamedAbdallahSaid 4 місяці тому

    Nyerere yuko wapi sasa.Nguvu yake iko wapi sasa?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      Kama Muhammad alikufa kwanini ushangae Nyerere kufa? Ungeshangaaa Muhammad mnaesema kipenzi Cha Allah kalamba mchanga KULIKO Nyerere

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 місяці тому

      ​@@josephwilliam5813baba yenu nyerere naye pia amekufa, ila yupo Jehanam sasa hivi.
      Usimfananishe na Muhammad, sasa unata kusema Yesu na nyerere ni sawa, kwa vile Yesu mnasema ni mkristo na nyerere ni mkristo, ndio wanakua sawa?
      Nyerere yupo Jehanam huko, anaangamia motoni.

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 4 місяці тому +4

    Agakhan japo ni shia khoja lakini kawasaidia waisilamu sana msikiti wa ijumaa malindi znz kuna msaada wake mwingi alitoa

    • @hamynas
      @hamynas 4 місяці тому +3

      sasa shia mbaya lakini msaada wake mtamu?hapo waislamu ndipo tulipotawaliwa na akili za kikoloni na kinyererenyerere hadi leo tupo makundi na tumekua dhaifu kabisa na wanyonge na wapumbavu

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 4 місяці тому +1

      Agakhan si shia

    • @Desireyakubu
      @Desireyakubu 4 місяці тому

      @@oopsm3574ni kina nani sasa?

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 місяці тому +2

      Aga Khan ni SHIA ISMAILIA

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 4 місяці тому

      Pia ni jamii za wahindi waislam sehem nyingi wameacha asari ikiwemo kilwa na znz

  • @muddylikwena128
    @muddylikwena128 3 місяці тому

    Tunahitaji kubwa la kutaka kujua NCHI yetu ilipotokea..MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI MZEE..tupe madini

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 4 місяці тому

    Take it with a grain of salt

  • @ahmadahassan-cx5fz
    @ahmadahassan-cx5fz 4 місяці тому +2

    Ukweli utabakia kuwa ukweli tu ata mukatae vipi.uhalifu alooufanya mr × ni mkubwa sana kwa wazanzibar mungu azidi kumchomaa huko aliko ishaaalah

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому +1

      MUNGU anajua nani alie wake usingundishe MUNGU KAZI ya kuhukum,,,LKN unaaminije tuhuma BILA kumsikiliza mtuhumiwa?

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 3 місяці тому

      ​@@josephwilliam5813angekua hai angesema?

  • @funnysmile8666
    @funnysmile8666 4 місяці тому +3

    mabunju hawato pendaa kusikia ukwelii kama huu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 4 місяці тому +4

    Muuaji nae Huuliwa, ndo mana karume wakaamuua

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 3 місяці тому

      Na wewe utakufa hata bila kuuliwa...RIP Karume

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena Місяць тому

    Kumbe Hanga alipata mshahara wa unafiki wake umauti MUNGU mkubwa

  • @mahmoudhamisi673
    @mahmoudhamisi673 4 місяці тому

    Dah innaah lillaahi wainnaah ilaihi raajiuun

  • @abudulahiali9676
    @abudulahiali9676 24 дні тому

    Kutangulia sikufika

  • @saidhemed6360
    @saidhemed6360 4 місяці тому +2

    Ukweli mtupuuu ambao wengi hawapendi kuusikia

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 3 місяці тому

    Mbn unalenga sana waislam kwa hiyo ulipenda Zanzibar iwe islamic state huo ni upotoshaji

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 місяці тому +4

    Msema ukweli ni mpenzi wa Allah

  • @Omrankasiga
    @Omrankasiga 3 місяці тому

    Unasema kweli kabisa

  • @karmelibob
    @karmelibob Місяць тому

    Hivi vitabu ni tunu, natamani kuvisoma!

  • @AdaedDeroon
    @AdaedDeroon 4 місяці тому

    Hasbu haanallahu wanimal wakuli

  • @albogast
    @albogast 4 місяці тому

    Tukiweka dini pembeni huwenda baba wa taifa alikua na nia nzuri, lakini pia najiuliza mapinduzi yalifanyika ilikua ni nia ya wazanzibari wengi au wachache, na baada ya mapinduzi wazanzibari wanajutia Mapinduzi?

  • @maase2023
    @maase2023 3 місяці тому

    Hii znz imejaa fitna na majungu tupu

  • @DuuSaid
    @DuuSaid 4 місяці тому

    Mpaka Leo ndio hayo hayo

  • @Tdotkido
    @Tdotkido 2 місяці тому

    Unbelievable

  • @Kijana-wa-Tanzania
    @Kijana-wa-Tanzania 3 місяці тому

    Uhuru wa Tanganyika uliletwa na Watanganyika hebu tuache kukubali utumwa pasipokujitambua.
    Nani anayedhani dini ni bora kuliko taifa letu?

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 місяці тому +2

    Mkataa kwao mtumwa huo ndo ukweli kuhusu zanzibar yetu

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 3 місяці тому

    Udini ni tatizo mnoo Africa.
    Kwenye udini ni chuki tu..

  • @ramadhanomar8346
    @ramadhanomar8346 3 місяці тому

    Muandishi upo vizuri ila umekosea uliposem hakuna kitabu kinachoelez kam kun watu walifunga kambi na kwenda ZANZIBAR kwa ajili ya mapinduzi, hemu kasome kitabu cha Jonh Martial Okelo , ameeleza kila kitu hajaacha kitu.

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 4 місяці тому

    Ikisha kunawaisilamu waznz utasikia mapinduzi nyokooooo

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 4 місяці тому +1

    Inawezekana ni kweli hapa ukiangalia kuna maaazo ya aina mbili moja ya wasomi wa kiarabu mbili kwa wasiosoma waafrika ambao ni ASP sasa hapa inatuchanya zipo hadirhi zinasema kuwa waarabu waliwagawa waswahili kwa hio inahitajika busara sana kwenye hili jambo

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 місяці тому

      Waraabu waliwagawa waswahili kivipi, hebu tueleze? Halafu nakuuliza suali unajuwa warabu walikuja tokea lini Zanzibar? Na east africa? Nawalitokea wapi? Na kwanini wakaja? Km kweli unajuwa history nitakujuwa k mm you are educated

    • @patrickkazinja4435
      @patrickkazinja4435 4 місяці тому +1

      Umenena vyema kabisa, ukiangalia maelezo ya huyu mzee anaelezea historia kwa kuwa na maelezo ya upande mmoja, yaani hao hao waarabu wamwalike huko Mascat ndio wamwelezee ukweli halisi?, kweli yeye pekee ndio kakutana na watu sahihi na wamweleze ukweli halisi?, weusi wa Zanzibar mpaka kesho wanakumbuka mateso waliyopitia chini ya uongozi wa kiarabu, inafikirisha kutuaminisha kwamba weusi wa Zanzibar wangekuwa na maisha bora chini ya waarabu, tuangalie hata nchi nyingine za Africa ambapo waarabu wametawala, je weusi wa maeneo hayo wamekuwa na maisha bora?, mzee anafanya propaganda.

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 4 місяці тому +5

    TUAMBIE NA WAKATI HUO ZANZIBAR ILIKUWA NA POPULATION YA WATU WANGAPI?? MWARABU

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 4 місяці тому +1

      kwenye jumla ya raia wote wa zanzibar asilimia 20 tu watu wenye asili ya kiarabu ilo baki ni wenye asili ya bara ambayo sio kubwa kama ya washirazi pia kulikua na wahindi wahadimu na watumbatu

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 4 місяці тому +1

      pia iyo afro shiraz party imetokan na association ya african association ambao sio wazanzibar wazaliwa ikaungana na washirazi ndio ikawa afro shirazi coz of union ndio ikapat power

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 місяці тому

      ​@@zaeexploreinaonesha hata history ya Zanzibar huijui, warabu walikuwa ni zaid ya asilimia 20,Zanzibar, nitakwambia ni ngapi, lakini nakuuliza maswali na nijibu, unawajuwa waswahili ni nani?unawajuwa watumbatu ni nani? Unawajuwa wahadimu ni nani? Unawajuwa washirazi ni nani? Nitakuwa km wewe educated kweli au ni mbumba tu na unafwa ushabiki, yaani watu wengine na ni wengi history ya kweli hawazitaki

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 місяці тому

      Watu weupe na si waarabu ni karibu 65% Watu toka bara arab ni 30% hawa walikua wakiishi hata vijijini kwenye kilimo cha mikarafuu, na minazi, Mwera, kiboje, Muyuni, na Pemba huko, na 35 ndio wahindi na weupe wengine.
      Mchanganyiko wa watu wa Zanzibar huko nyuma ilikua kama vile Seychelles, ndio maana Zanzibar ilipiga hatua za kimaendeleo kwa wakati huo, kwa sababu watu weupe ni wenye kujitahidi sana kujiletea maendeleo, uwepo wao Zanzibar ilileta manufaa, hata leo hii ndio unaambiwa treni, nyumba ya gorofa, barabara ya lami, taa za barabarani zilikuwepo hata wakati huo Tanganyika ni pori tu.

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 3 місяці тому

      @@Sheba4651 wewe ndio unaakili sanaa

  • @awadhkatuli7977
    @awadhkatuli7977 3 місяці тому

    Kuna kilwa kisiwani

  • @sitamgeta7565
    @sitamgeta7565 4 місяці тому +5

    ZANZIBAR ILIKUWA NDIYO SOKO KUU LA MWARABU LA KUUZA WATUMWA KUTOKA AFRIKA. UISLAMU wakati mwenzako anapiga HELA.

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 4 місяці тому +1

      @@sitamgeta7565 Zanzibar ndio ilikuwa Soko kuu la Kuuwa mkundu wako kufirwa na Wazungu mbwaaaa wewe Mbona hutaji Wazungu? Fack youuuuuu

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 4 місяці тому +1

      @@sitamgeta7565 BWEGEE wewe Zanzibar ndio ilikuwa Soko kuu la Kk kuuza mkundu wako Mbwaaaa Koko kuma la Mama yako mbona hutaji Wazungu?

    • @Jack-bx6go
      @Jack-bx6go 3 місяці тому

      ​@@nasseralhatmi1762 kaka wazungu ni matatizo hata hao waarabu mnaongangania ni matatizo, dini isiwafumbe macho wengi tumefungwa macho

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 4 місяці тому +1

    Mzee mdini muongo na mpandikizi wa chuki kati ya jamii ya Kitanzania. Kibaraka wa mwarabu

    • @wedmoosa3503
      @wedmoosa3503 4 місяці тому

      Ukweli wee hutaki sababu moyoni una lako

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 4 місяці тому

      @@wedmoosa3503 ukweli upi?! Huyo anatumika na waarabu kugawa Watanzania kwa misingi ya dini.

    • @arafatali1327
      @arafatali1327 4 місяці тому

      Ni ukweli mtupu na ukweli unuchungu

  • @saidmakombeni5155
    @saidmakombeni5155 4 місяці тому

    Umefadhiliwa na muungwana hukuwa na budi bali nikulipa fadhila za watu.
    Wiki moja Oman kwa umahiri wako tulidhani bei hiyo ni ya kutupa.

  • @kizomontana5918
    @kizomontana5918 4 місяці тому +1

    Vizur sana....Kwahyo Zanzobar Ilikuwa Njema Wakat wa utawala wa Sultan(WAARABU WA OMAN)....Maisha yakawa Magumu baada ya Wazanzibar kutaka kuwa huru na Kuleta MAPINDUZI........kama ni hivyo Mwarabu alikuwa na Faida kwa Wazanzibar....Wazanzibar Semeni Ukweli Mnataka Kuwa Huru kutoka Kwenye Muungano au MWARABU ARUDI KUTAWALA TENA

    • @zaeexplore
      @zaeexplore 4 місяці тому +1

      icho ni impossible zanzibar mtu anakuja kufanya nn wakat zanzibar hakuna chochote cha kuwazidi waarab wa nchi yoyote ile

    • @alfamody6286
      @alfamody6286 4 місяці тому +2

      yani uwepo wa waarabu kipindi hicho kulikuwa na neema kubwa, ila uwepo wa wabongo sasa hakuna zaid ya utapeli na ufisadi

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 4 місяці тому

      @@alfamody6286kwa hiyo mnataka mwarabu arudi kuwafanya watumwa tena?

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 4 місяці тому

      ​@@zaeexploresi unaona wenzako wanavyo laani mapundunzi ya Zanzibar kwani yaliwaondoa waarabu

  • @ShabaniMussa-de2hk
    @ShabaniMussa-de2hk 4 місяці тому

    Nani alikuwa mtawala kabla 1964 zanzibar. Nairobi,Maputo,Harare nk Afrika. Je nchi hizi zisingepigania uhuru wao kwa kuwa miji hii ilikuwa mizuri sana.

    • @wedmoosa3503
      @wedmoosa3503 4 місяці тому

      Uhuru walio utaka ni kuiba

  • @abdallahkimbute1255
    @abdallahkimbute1255 4 місяці тому

    Watanzania wengi hatuna utaratibu wa kusoma vitabu(historia)