Mnafanya vizuri sana aongee bila kumkatiza au kuingilia maongezi kila baada ya sekunde kadhaa, yako very professional haya maongezi! safi sana kwa waandaji.
Nyie wakristo mnakumbushwa ukweli wa kupigania uhuru wa Tanganyika Nyie mlikaa pembenii waislaam Ndio waliompokea Nyerere. Ulipopatikana Uhuru Nyerere akawageuka Waislaam. Someni kitabu cha wakatoliki Siasa ya Tanganyika na Kanisa katoliki 1954-1984.
Ukatoliki si ukristo peke yake ile ni taasisi ya kiitaliano itabidi muainishe kwakusema ukatoliki nasi ukristo pia makala ijikite kwenye uzalendo maana wasabato wa kkkt moloviani aic hizi zote ni taasisi haziipigi vita dini ya kiislam na ndio maana utaona hapajawahi kuwa na rais msabato moloviani wala kkkt sasa je huo ukristo gani iwe rais anatoka katholic peke yake nafasi za juu nchini yaani uraisi ni mkatoliki na muislam vip
Wangekuwa wakoloni ni waarabu ndio wanatawalaTanganyika ,basi waislamu wasingetumia nguvu sana kudai Uhuru,maana wangeona waarab kama waumini wenzao ,na hali hiyo haina tatizo, hali hiyo ndio waliokuwa nayo wakristo dhidi ya Wakoloni wajerumani na waingereza ,it's very natural kwa msomi kuelewa haya.
Pamoja kuwa shkh hassan bin ameir ni mtu wa mungu, hakuwa nao lakini uwelewa wa mambo ya mbeleni ambayo baadae yalikuja kumkuta kwa huyohuyo ambae aliemfanyia wema wa kumuunga mkono, naamini angelikuwa anayajua hayo yaliyomkuta katu asingelimuunga mkono hata kidogo kwa vile kuwa alikuwa ni mtu wa mungu na hakupeda dhulma... Soma historia kwa umakini uwelewe ndugu
Kwaunavodai hii nchi ni yetu sote kimaneno lkn kiundani kabisa wakristo wanaona hii nchi ni yao wao pekeayo, lkn ndio ivo mkismbiwa ukweli mnakua wakali
Kama ni kweli hayo unayoyasema mbona historia inatwambia kuwa katika kipindi cha harakati za kudai uhuru kanisa (wakristo) lilijitenga mbali na jambo hilo, waislamu wakawa ndio wanaokwenda mbio kudai uhuru peke yao?..na baada ya kupatikana uhuru hao waislamu wakamkabidhi kwa moyo safi nyerere uongozi wa kuliongoza taifa la mzizima (Tanganyika) mwisho akawageukia wale waliokwenda mbio peke yao kipindi cha kupigania uhuru kwa kutanguliza kwake dini yake kwanza kabla ya usawa?
@@bonifacedanielmwakisunga9638 Hoja ya ubara na upwani unailet vwewe. Kama harakati zingeanzishwa Bara ,historia ingeandikwa kama ilivyo na kwakuwa harakati zimeasisiwa Pwani ,acha historia iandikwe kama mambo yalivyokuwa. Mwanahistoria Mohamed Said wewe humuelewi vizuri. Ameanza kusoma st Joseph na wanafunzi wengi wakiwa wakristo,ndiyo rafiki zake. Anachokiandika na kukielezea ni ukweli wa historia. Tokea aandike na kukitoa kita cha maisha na nyakati za Abdulwahid Sykes ,kina Mwalimu Nyerere,John Rupia na wanasiasa wengine walikuwa hao lkn hawakukanusha wala kukipinga kitabu hicho
@@MohdJuma-w6l hizo ni hisia zenu udini umewajaa wote wawili huyo anaona waislam wanaona nchi Yao na wewe unaona wakristo wanaona hii nchi Yao ni upuuzi mtupu nyinyi madam mnaishi inatosha tumie nguvu zetu kufanya mambo mazur yenye kumjenga sio kuibua chokochoko sasa itasaidia ni nini hata tukisema nchi hii ya waislam au wakristo
Nadhani tuzungumzie zaidi utaifa wote walikuwa Watanganyika regardless ya dini zao. Nyerere aliteuliwa na wenzake Kwa sababu ya sifa alizokuwanazo. Si Kwa sababu ya dini yake na kama kigezo ingekuwa ni dini yake asingeteuliwa. Yawezekana kabisa kama wewe ungehusika katika uteuzi usingemteua Nyerere Kwa sababu ya dini.
Wakati kanisa linatunga nyimbo ya kwaya na kuwaimbia watu kuwa kama sio juhudi zake nyerere na uhuru tungepata wapi, mulidhani watu hawatojua kuwa sio juhudi za nyerere kama mulivyoaminishwa, kufeni kwa uchungu.
Nyerere alichaguliwa kwa sifa alizokuwanazo na moja ya sifa hizo ilikuwa dini yake. Hamza Mwapachu alisema ni muhimu Nyerere aongoze harakati za kudai uhuru kwa sababu kama Mkristo ataondoa ile "stigma" ya kuwa harakati za uhuru ni za Waislam peke yao. Nyerere kuwa kiongozi wa TANU kutaleta umoja wa Watanganyika wote lau kama Waislam wako mstari wa mbele.
Huwezi kukwepa ukweli wa historia ya political movement kuelekea uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kuzungumzia nguvu au mchango wa waislam by then. TAA hadi TANU haikuwa na ushiriki mkubwa wa Ukristo ,Ubudha au Uyahudi. Sauti ya Muft sheikh Hassan bin Ameir kwa wakati ule, angemtaka Julius Nyerere asiwe kiongozi wa TAA baadae TANU , historia yake ingeandikwa vingine si kama inavyosomeka leo
RAIS MKATOLIKI NYERERE ALICHANGANYA UKATOLIKI ✝️ NA SIASA. 1) Bila Udini wa Nyerere na Msaada wa Chama Cha Makanisa (CCM) yafuatayo yasingekuwepo: a) Afro-Shirazi Party. b) Mapinduzi ya Zanzibar. c) Muungano. d) Kero za Muungano. e) Tanzania. f) Karume asingeuliwa g) Chama Cha Mapinduzi h) Waislam wa Zanzibar wasinbygeuzwa Wahanga kila Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi. i) Maaskofu wa Kanisa wasingependekeza Baba wa Taifa kuwa MTAKATIFU. 2) Nyerere alichanganya Siasa na Udini mara tu baada ya kuvunja TAA na K😢uwafukuza Waislam na Kuwaingiza Mkatoliki. 3) Nyerere alilazimisha Ujamaa wa Kiafrika kumbe ni Liberation Theology ya Kanisa la Katoliki. 4) Kwa nia ya kupinga Dini ya Kiislam Tanganyika na Zanzibar, Nyerere alitaka watu wasichanganye Dini (Uislam) na Siasa Nchini. 5) Waislam hawajui kuwa kutochanganya Dini na Siasa ni Imani ya Mfalme Julius kwenye Biblia. 6) Kambarage alibatizwa kuitwa jina JULIUS na kuandika kitabu JULIUS KAIZARI, Mwasisi wa Kutokuchanganya Dini (Ukiristo) na Siasa.✝️ 7) Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi na Mashekhe wenzake waliopinga Siasa ya Ujamaa aliwafukuza nchini, akiwemo Mufti Hassan bin Ameir na wengine kufungwa jela. 8) Nyerere ni Rais wa kwanza kuwaunga Mkono Wakatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Muungano wa Nigeria. Alifuatiwa na Marais Makatoliki wa Zambia, Gabon na Ivory Coast. 9) Kwanini Mkatoliki Julius Nyerere aliwavamia na kuwatawala Waislam wa Zanzibar kwa Muungano wa Kanisa Katoliki?✝️ 10) Kwanini Julius Nyerere alipoivamia Uganda na kumwondosha Iddi Amin hakuitawala Uganda kama alivyofanya Zanzibar? 11) Waislam wakitetea Dini yao wanambiwa eti wanaleta Udini. Mashekhe wa Uamsho wa Zanzibar walifungwa Tanganyika na Hussain Ali zaidi ya Miaka Minane. Dodoma Pombe alimchaguwa kuwa Rais wa Zanzibar kwa Maslahi ya Kanisa Katoliki. 12) Wakiristo wakitetea Dini yao hawaambiwi wana Udini. Mfano William Lukuvi alipotetea Ukiristo wake na Kupinga Uislam wa Zanzibar Kanisani ni Uhuru wa Mawazo yake. KILA UKILA NA KIPOFU USIMKATE MKONO
@@king3-q1s ni Kanisa gani huo wimbo ulitungwa, na wanaimba kwenye ibada? Ndio maana hata akili za kawaida hamnazo. Shule zetu zimejaa watoto wenu. Jengeni zenu, mnakuwa na chuki na watu wanaowasaidia! Kweli akili zenu bovu.
Ukisoma comments utagundua waislam Wana udini mno adi kwenye siasa na ndomana nchi nyingi zenye sheria ya kihislam wanagomban na hawana amani..UDINI MNOOO ,,na mkoipewa nchi mnabagua wengine na kuwanyanyasa
Mzungumzaji hapo si mwenye hii channel hivyo hoja yako ya yeye kutafuta viewers ni miflis,Pili Hata mwalimu nyerere alikuwa namjua Muhammad Said na hakuwahi thubutu mjibu wala kutuma watu wamkamate,unajua kwanini?Soma,usifate mkumbo,kazi yetu ni kukuletea Chapisho zetu,pokea kisha fanya upembuzi yakinifu.Kisha utaamua nani mkweli nani muongo
Shida yenu hamtaki ukweli hii nchi imepiganiwa sana na waislamu, mwaka 1985 nyerere anaondoka madarakani aliwaita wazee wa Islam wa mji wa dar es salaam kuwaaga na ndio siku hiyo anawaambia ukweli "bila ninyi nisingekuwa raisi" wewe unabisha kitu gani sumbua akili yako kufikilia
Uislam ni hatar sana ndo mana Rais wa Poland kasema waislam wakizid 30% nchi iko hatarini..agenda yao ni kutawala dunia na Quran inawambia wapigane na wasio muamini mungu wao adi wawaue ..hawana amani wala syo dini ya aman
Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998. Kitabu kipo sasa miaka 25 na kimechapwa mara kadhaa tafsiri ya Kiswahili imechapwa na Phoenix Publishers, Nairobi 2002 na ikachapwa tena 2014. Ama kuhusu mambo ya maendeleo. Kitabu hiki kimeleta maendeleo makubwa katika utafiti wa historia ya Julius Nyerere na katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Wazalendo waliosahauliwa katika historia ya Tanganyika sasa wanafahamika mfano wa Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe kwa kuwataja wachache halikadhalika wazalendo kama Hamza Mwapachu na wanawake waliopigania uhuru: Tatu bint Mzee, Hawa bint Maftah, Shariffa bint Mzee, Halima bint Khamis, Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Mwalimu, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande kwa kuwataja wachache. Kleist Abdallah Sykes na wanae wametiwa katika Dictionary of African Biography. Mambo mengi. Nimekuwapo siku zote ila wewe hukuwa unanifahamu. Nimeandika vitabu kadhaa vya historia ya uhuru wa Tanganyika.
Kusomesha historia ya Tanganyika imekuwa ugaidi? Kusomesha historia ya watu ni kueneza chuki? Wewe unachukia kujifunza historia hii ambayo haikuwa inafahamika na wewe hukuijua? Au moyo unakuuma kwa kusikia historia ya Waislam?
@@johnmichaellukindo21Serikali imshughulikie, ndio itajulikana ni sirikali ya kutesa waislamu. Hamtaki kusikia muislamu alifanya zuri kwa Tanganyika yenu, iwe Nyerere tu.
Sijawahi kuvutiwa wala kumwelewa huyu mzee maana anahubiri zaidi udini na sio historia, kwa nini vitu kama hivi vinaruhusiwa? Sisi hatuna UDINI, angezungumza tu historia angekuwa wa maana sana.
Nikuulize wewe. ni nini maana ya historia? pia nikuulize tangu umeanza kusoma shule darasa la kwanza hadi umemaliza huko uliko fika ulishamsoma sheikh huyo anaetajwa kwenye historia ya uhuru wa tanzania? je ni yanayosemwa si kweli? hakuwamo kwenye siasa. basi acheni chuki. Nyerer tumemsoma sana, acha tuwasome na wengine nao.
Wewe huyo lazima ahubiri udini kwasababu sisi tumeaminishwa kuwa wakristo ndo wametoa mchango mkubwa kwenye kupatikana uhuru wa Tanganyika kinyume chake kumbe waislamu walishiriki moja kwa moja na mukitaka musitake nyerere hakuwapenda waislamu ndo mana akawabadilikia wakati waislamu walimkunjulia mioyo yao yote
Mm nimemuelewa sana huyu mzee kwamba wazanzibar na watanganyika huwezi kuwatenganisha ktk ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar. Chengine ni kwamba ukweli usemwe usipindushwe. Tatizo letu tunapenda kupotosha mambo . Mzee hongera sana kwa kutueleza tuliyokuwa hatuyajuwi leo tumepata kuyajuwa Allah akupe afya njema na umri zaidi tuelimike kutoka kwako Nakupongeza sana pia hongera kwa kiswahili fasaha
True always remains true sheikh Hassan was great person Allah amfanyie wepesi
Mnafanya vizuri sana aongee bila kumkatiza au kuingilia maongezi kila baada ya sekunde kadhaa, yako very professional haya maongezi! safi sana kwa waandaji.
Hao wanaosema huyu anamchukia Nyerere kwa Sababu Mkiristo itakuwa hujamuelewa na kama Munaona anatunga Watueleze yaliokuwa na Ukweli kam sio huuu
MashaAllah. Allah akuongezee umri ilinasi tupate japo kidogo kutoka kwako
Nyie wakristo mnakumbushwa ukweli wa kupigania uhuru wa Tanganyika Nyie mlikaa pembenii waislaam Ndio waliompokea Nyerere. Ulipopatikana Uhuru Nyerere akawageuka Waislaam. Someni kitabu cha wakatoliki Siasa ya Tanganyika na Kanisa katoliki 1954-1984.
Haya yote yatakuletea faida gani? Mnateseka kuunda uwongo ili mfaidike na nini! Watu wa Upanga!
Waislamu bhana!😅 😁 😂 😂
Ukatoliki si ukristo peke yake ile ni taasisi ya kiitaliano itabidi muainishe kwakusema ukatoliki nasi ukristo pia makala ijikite kwenye uzalendo maana wasabato wa kkkt moloviani aic hizi zote ni taasisi haziipigi vita dini ya kiislam na ndio maana utaona hapajawahi kuwa na rais msabato moloviani wala kkkt sasa je huo ukristo gani iwe rais anatoka katholic peke yake nafasi za juu nchini yaani uraisi ni mkatoliki na muislam vip
Eleza basi huo ukweli tope ulionao
Wangekuwa wakoloni ni waarabu ndio wanatawalaTanganyika ,basi waislamu wasingetumia nguvu sana kudai Uhuru,maana wangeona waarab kama waumini wenzao ,na hali hiyo haina tatizo, hali hiyo ndio waliokuwa nayo wakristo dhidi ya Wakoloni wajerumani na waingereza ,it's very natural kwa msomi kuelewa haya.
@@Winford-f4l kwaivo Zanzibar walioudai uhuru walikua nani
Maashaa'allah shukran Kwa ukumbusho
Boniface Ww hujui chochote KuhusuHistoria ya kweli ya Tanganyika Jifunze usilaumu.
Hahaha
Sheikh Ameir alikua mtu wa Mungu na msafi na Mungu alimtumia kumunga mkono Nyerere ila ungekua wewe I believe ungepinga Mwalimu asiwe kiongozi wetu
Pamoja kuwa shkh hassan bin ameir ni mtu wa mungu, hakuwa nao lakini uwelewa wa mambo ya mbeleni ambayo baadae yalikuja kumkuta kwa huyohuyo ambae aliemfanyia wema wa kumuunga mkono, naamini angelikuwa anayajua hayo yaliyomkuta katu asingelimuunga mkono hata kidogo kwa vile kuwa alikuwa ni mtu wa mungu na hakupeda dhulma...
Soma historia kwa umakini uwelewe ndugu
Huyu yeye kajikita kumchukia Nyerere kisa mkristo huwa simwelewi kabisa kwani hii nchi si yetu sote mtu wa bara na pwani
Kwaunavodai hii nchi ni yetu sote kimaneno lkn kiundani kabisa wakristo wanaona hii nchi ni yao wao pekeayo, lkn ndio ivo mkismbiwa ukweli mnakua wakali
Kama ni kweli hayo unayoyasema mbona historia inatwambia kuwa katika kipindi cha harakati za kudai uhuru kanisa (wakristo) lilijitenga mbali na jambo hilo, waislamu wakawa ndio wanaokwenda mbio kudai uhuru peke yao?..na baada ya kupatikana uhuru hao waislamu wakamkabidhi kwa moyo safi nyerere uongozi wa kuliongoza taifa la mzizima (Tanganyika) mwisho akawageukia wale waliokwenda mbio peke yao kipindi cha kupigania uhuru kwa kutanguliza kwake dini yake kwanza kabla ya usawa?
@@bonifacedanielmwakisunga9638 Hoja ya ubara na upwani unailet vwewe. Kama harakati zingeanzishwa Bara ,historia ingeandikwa kama ilivyo na kwakuwa harakati zimeasisiwa Pwani ,acha historia iandikwe kama mambo yalivyokuwa.
Mwanahistoria Mohamed Said wewe humuelewi vizuri. Ameanza kusoma st Joseph na wanafunzi wengi wakiwa wakristo,ndiyo rafiki zake. Anachokiandika na kukielezea ni ukweli wa historia.
Tokea aandike na kukitoa kita cha maisha na nyakati za Abdulwahid Sykes ,kina Mwalimu Nyerere,John Rupia na wanasiasa wengine walikuwa hao lkn hawakukanusha wala kukipinga kitabu hicho
Huyu Amir alukuwa ni nani sasa
@@MohdJuma-w6l hizo ni hisia zenu udini umewajaa wote wawili huyo anaona waislam wanaona nchi Yao na wewe unaona wakristo wanaona hii nchi Yao ni upuuzi mtupu nyinyi madam mnaishi inatosha tumie nguvu zetu kufanya mambo mazur yenye kumjenga sio kuibua chokochoko sasa itasaidia ni nini hata tukisema nchi hii ya waislam au wakristo
Nadhani tuzungumzie zaidi utaifa wote walikuwa Watanganyika regardless ya dini zao.
Nyerere aliteuliwa na wenzake Kwa sababu ya sifa alizokuwanazo. Si Kwa sababu ya dini yake na kama kigezo ingekuwa ni dini yake asingeteuliwa.
Yawezekana kabisa kama wewe ungehusika katika uteuzi usingemteua Nyerere Kwa sababu ya dini.
Wakati kanisa linatunga nyimbo ya kwaya na kuwaimbia watu kuwa kama sio juhudi zake nyerere na uhuru tungepata wapi, mulidhani watu hawatojua kuwa sio juhudi za nyerere kama mulivyoaminishwa, kufeni kwa uchungu.
Nyerere alichaguliwa kwa sifa alizokuwanazo na moja ya sifa hizo ilikuwa dini yake.
Hamza Mwapachu alisema ni muhimu Nyerere aongoze harakati za kudai uhuru kwa sababu kama Mkristo ataondoa ile "stigma" ya kuwa harakati za uhuru ni za Waislam peke yao.
Nyerere kuwa kiongozi wa TANU kutaleta umoja wa Watanganyika wote lau kama Waislam wako mstari wa mbele.
Huwezi kukwepa ukweli wa historia ya political movement kuelekea uhuru wa Tanganyika haikamiliki bila kuzungumzia nguvu au mchango wa waislam by then.
TAA hadi TANU haikuwa na ushiriki mkubwa wa Ukristo ,Ubudha au Uyahudi.
Sauti ya Muft sheikh Hassan bin Ameir kwa wakati ule, angemtaka Julius Nyerere asiwe kiongozi wa TAA baadae TANU , historia yake ingeandikwa vingine si kama inavyosomeka leo
RAIS MKATOLIKI NYERERE
ALICHANGANYA
UKATOLIKI ✝️ NA SIASA.
1) Bila Udini wa Nyerere na Msaada wa Chama Cha Makanisa (CCM) yafuatayo yasingekuwepo:
a) Afro-Shirazi Party.
b) Mapinduzi ya Zanzibar.
c) Muungano.
d) Kero za Muungano.
e) Tanzania.
f) Karume asingeuliwa
g) Chama Cha Mapinduzi
h) Waislam wa Zanzibar wasinbygeuzwa Wahanga kila Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi.
i) Maaskofu wa Kanisa wasingependekeza Baba wa Taifa kuwa MTAKATIFU.
2) Nyerere alichanganya Siasa na Udini mara tu baada ya kuvunja TAA na K😢uwafukuza Waislam na Kuwaingiza Mkatoliki.
3) Nyerere alilazimisha Ujamaa wa Kiafrika kumbe ni Liberation Theology ya Kanisa la Katoliki.
4) Kwa nia ya kupinga Dini ya Kiislam Tanganyika na Zanzibar, Nyerere alitaka watu wasichanganye Dini (Uislam) na Siasa Nchini.
5) Waislam hawajui kuwa kutochanganya Dini na Siasa ni Imani ya Mfalme Julius kwenye Biblia.
6) Kambarage alibatizwa kuitwa jina JULIUS na kuandika kitabu JULIUS KAIZARI, Mwasisi wa Kutokuchanganya Dini (Ukiristo) na Siasa.✝️
7) Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi na Mashekhe wenzake waliopinga Siasa ya Ujamaa aliwafukuza nchini, akiwemo Mufti Hassan bin Ameir na wengine kufungwa jela.
8) Nyerere ni Rais wa kwanza kuwaunga Mkono Wakatoliki wenzake wa Biafra kujitenga na Muungano wa Nigeria. Alifuatiwa na Marais Makatoliki wa Zambia, Gabon na Ivory Coast.
9) Kwanini Mkatoliki Julius Nyerere aliwavamia na kuwatawala Waislam wa Zanzibar kwa Muungano wa Kanisa Katoliki?✝️
10) Kwanini Julius Nyerere alipoivamia Uganda na kumwondosha Iddi Amin hakuitawala Uganda kama alivyofanya Zanzibar?
11) Waislam wakitetea Dini yao wanambiwa eti wanaleta Udini. Mashekhe wa Uamsho wa Zanzibar walifungwa Tanganyika na Hussain Ali zaidi ya Miaka Minane. Dodoma Pombe alimchaguwa kuwa Rais wa Zanzibar kwa Maslahi
ya Kanisa Katoliki.
12) Wakiristo wakitetea Dini yao hawaambiwi wana Udini. Mfano William Lukuvi alipotetea Ukiristo wake na Kupinga Uislam wa Zanzibar Kanisani ni Uhuru wa Mawazo yake.
KILA UKILA NA KIPOFU
USIMKATE MKONO
@@king3-q1s ni Kanisa gani huo wimbo ulitungwa, na wanaimba kwenye ibada? Ndio maana hata akili za kawaida hamnazo. Shule zetu zimejaa watoto wenu. Jengeni zenu, mnakuwa na chuki na watu wanaowasaidia! Kweli akili zenu bovu.
Baraka nyingi kwako
Shk duka la Vitabu li WaPi?
Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani bei 10,000.00.
Ukisoma comments utagundua waislam Wana udini mno adi kwenye siasa na ndomana nchi nyingi zenye sheria ya kihislam wanagomban na hawana amani..UDINI MNOOO ,,na mkoipewa nchi mnabagua wengine na kuwanyanyasa
Hii itasaidia nini hiyo ndio siasa za kupigania uhuru. Wewe unataka nini je wewe hukupenda umoja huo
Ndio haikuwa sasa.
Miaka yoye alikuwa wapi aje leo kusema kwamba ndio anajua kumbukumbu ya nchi hii msanii tu anataka apate vyuwa wengi alipwe mkijua
Mzungumzaji hapo si mwenye hii channel hivyo hoja yako ya yeye kutafuta viewers ni miflis,Pili Hata mwalimu nyerere alikuwa namjua Muhammad Said na hakuwahi thubutu mjibu wala kutuma watu wamkamate,unajua kwanini?Soma,usifate mkumbo,kazi yetu ni kukuletea Chapisho zetu,pokea kisha fanya upembuzi yakinifu.Kisha utaamua nani mkweli nani muongo
Shida yenu hamtaki ukweli hii nchi imepiganiwa sana na waislamu, mwaka 1985 nyerere anaondoka madarakani aliwaita wazee wa Islam wa mji wa dar es salaam kuwaaga na ndio siku hiyo anawaambia ukweli "bila ninyi nisingekuwa raisi" wewe unabisha kitu gani sumbua akili yako kufikilia
Historia ya Tanzania ilifichwa Sana ili isijulikane.
👍👊✌️
Uislam ni hatar sana ndo mana Rais wa Poland kasema waislam wakizid 30% nchi iko hatarini..agenda yao ni kutawala dunia na Quran inawambia wapigane na wasio muamini mungu wao adi wawaue ..hawana amani wala syo dini ya aman
Alikuwa wapi siku zote kuelezea hayo yote ebu tuongelee mambo ya maendeleo.
Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998.
Kitabu kipo sasa miaka 25 na kimechapwa mara kadhaa tafsiri ya Kiswahili imechapwa na Phoenix Publishers, Nairobi 2002 na ikachapwa tena 2014.
Ama kuhusu mambo ya maendeleo.
Kitabu hiki kimeleta maendeleo makubwa katika utafiti wa historia ya Julius Nyerere na katika historia ya uhuru wa Tanganyika.
Wazalendo waliosahauliwa katika historia ya Tanganyika sasa wanafahamika mfano wa Sheikh Suleiman Takadir, Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Sheikh Abdallah Rashid Sembe kwa kuwataja wachache halikadhalika wazalendo kama Hamza Mwapachu na wanawake waliopigania uhuru: Tatu bint Mzee, Hawa bint Maftah, Shariffa bint Mzee, Halima bint Khamis, Halima Selengia, Amina Kinabo, Mama bint Mwalimu, Zarula bint Abdulrahman, Nyange bint Chande kwa kuwataja wachache.
Kleist Abdallah Sykes na wanae wametiwa katika Dictionary of African Biography.
Mambo mengi.
Nimekuwapo siku zote ila wewe hukuwa unanifahamu.
Nimeandika vitabu kadhaa vya historia ya uhuru wa Tanganyika.
@@GeorgeMuhongole bila ya kujua ulipotoka, ulipo, na unapoelekea maendeleo ni ndoto tu hhhhhhhh
😂😂
Acheni kuanza udini sisi tunaangalia mambo ya uchaguzi 2025 msianze kutuvuruga
Uchaguzi mama anaendelea kuwepo mitano ijayo In Sha Allah
Huyu mzeee pngekuwa uarabuni saivi mngeskia kaunda kundi la kigaidi ,
Ana udini usio na faida wala maana ni kueneza chuki tu
Hoja hujibiwa kwa hoja na si pety talk
Kwa kuwa anasema ukweli
Tena sana mdini ile mbaya kwanini serikali wasimshughulikie?
Kusomesha historia ya Tanganyika imekuwa ugaidi?
Kusomesha historia ya watu ni kueneza chuki?
Wewe unachukia kujifunza historia hii ambayo haikuwa inafahamika na wewe hukuijua?
Au moyo unakuuma kwa kusikia historia ya Waislam?
@@johnmichaellukindo21Serikali imshughulikie, ndio itajulikana ni sirikali ya kutesa waislamu. Hamtaki kusikia muislamu alifanya zuri kwa Tanganyika yenu, iwe Nyerere tu.
Sijawahi kuvutiwa wala kumwelewa huyu mzee maana anahubiri zaidi udini na sio historia, kwa nini vitu kama hivi vinaruhusiwa? Sisi hatuna UDINI, angezungumza tu historia angekuwa wa maana sana.
Historia yenyewe ndiyo hiyo Waislam na viongozi wao hatuwezi kuibadili.
Hakuna historia ya Tanganyika ilio kamilika bila ya mapitio hayo usio yapenda, sikiliza vumilia na ujifunze.
Huyu mzee anashida ya udini nna chuki na elimu yake inaonekana ipo chini sana
Mbona watu huwa happening kusikia ukweli
Watu wa roho mtakatifu ngumu kumeza hii
Wewe una Advocate uislam. Ni mdini. Hutufai
@@asamulinda8017 ukweli mchungu Meza hata kama mchungu
Tulia dawa ikuingie wanaojua tanganyika ilipotoka hawawez kuandika huo upuuzi wako
True anazingua na udini wake
Nikuulize wewe. ni nini maana ya historia?
pia nikuulize tangu umeanza kusoma shule darasa la kwanza hadi umemaliza huko uliko fika ulishamsoma sheikh huyo anaetajwa kwenye historia ya uhuru wa tanzania? je ni yanayosemwa si kweli? hakuwamo kwenye siasa. basi acheni chuki. Nyerer tumemsoma sana, acha tuwasome na wengine nao.
Wewe huyo lazima ahubiri udini kwasababu sisi tumeaminishwa kuwa wakristo ndo wametoa mchango mkubwa kwenye kupatikana uhuru wa Tanganyika kinyume chake kumbe waislamu walishiriki moja kwa moja na mukitaka musitake nyerere hakuwapenda waislamu ndo mana akawabadilikia wakati waislamu walimkunjulia mioyo yao yote
Huwa sielewi maudhui ya hii clip
Kwani umelazimishwa kuiangalia
makafiri huwa hawataki kusikia ukweli na hasa ukweli huo ukiwa unahusisha waislam, na ndio maana huelewi.
@@king3-q1sni wajing sana makafir
@@shabantelack5716daah huu sio uislam jamani, mweleweshe tuu atakuelewa usiwe mjinga na ww kumkaripia.
Mm nimemuelewa sana huyu mzee kwamba wazanzibar na watanganyika huwezi kuwatenganisha ktk ukombozi wa Tanganyika na Zanzibar.
Chengine ni kwamba ukweli usemwe usipindushwe.
Tatizo letu tunapenda kupotosha mambo .
Mzee hongera sana kwa kutueleza tuliyokuwa hatuyajuwi leo tumepata kuyajuwa Allah akupe afya njema na umri zaidi tuelimike kutoka kwako Nakupongeza sana pia hongera kwa kiswahili fasaha
Hawa kawaida yao, vichwa mavimavi Hamna kitu