КОМЕНТАРІ •

  • @bakarbakarali-cw3gc
    @bakarbakarali-cw3gc 11 місяців тому +1

    Nyerere.alijiona yeye ataishi milele

  • @mohamedatismail
    @mohamedatismail 11 місяців тому

    Kama kawaida uwongo mwingi, general knowledge yako ni ndogo, Kiswahili chako ni kibovu na baadhi ya majina huyajui. Unababaisha tu. Nani asiyejua kwamba kiongozi mwanzilishi wa USSR alikuwa akiitwa V I LeNin na sio "LeMin"? Zungumza kichaga. Tutatumia Google Translate.

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 Рік тому

    Huyu alikuwa anajiona yeye mwarabu 😂😂😂 safi sana ilitakiwa aondoke

  • @barwani890
    @barwani890 Рік тому +1

    Semeni ukweli ulivyo

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d Рік тому +2

    Karume sio shekh yeye ni karume tu😊

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Рік тому

    Balaa yote hii iliyo ipata zanzibari ni chini ya kichwa ya nyerere alikwa anaplani ya kuiteka zanzibari NA imetekwa karume aliuzwa NA nyerere NA akampa dola halali ya zanzibari ujinga wa hali ya juu sana mtu kuuza dola yake halali NA kupoteza mamlaka ya nchi ya zanzibari NA kutekwa NA tanganika uzembe ya hali ya juu sana sasa mpaka leo wazanzibari wanaoba uhuru wao lakini hawatapata milele maana milioni stini watapigana hadi mtu wa mwisho wala hawataacha zanzibari kamwe

  • @bakolimaster3849
    @bakolimaster3849 Рік тому +1

    Tunaomba uwe unatutumia vidio za historia tofauti,kwa kuwa sauti yako inavutia kuzisikiliza.pia unapangilia matukio kwa usanifu

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 Рік тому +1

    Ni vitu vinavyopangwa kuzima Moto utaoteketeza maslahi ya kundi fulani lenye nguvu au mamlaka kuu yenye kitalu hivyo hao watumikao kufanya ubaya huu kwa ahadi fulani pia ufanywa ngazi tu Kisha wafanikishapo haya kesho uwekwa pembeni na kutumiwa wengine kuwapoteza watumishi wa kabla hata kwa sindano ya saratani halafu nyota wa Kalikenya anabakia
    mkoloni tu.

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Рік тому

    Kweli alipigwa risasi na mtu wakaribu kabisaa

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 Рік тому +3

    Mtangazaji unasema Uhongo bora ungetafuta ukweli alafu ndo ukarudi kwanza Jamaa anaitwa Umudi na alikua peke yake pia alikua captain wa keshi

  • @verityngoda268
    @verityngoda268 Рік тому

    Yay Sikitisha Kwa hakika

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Рік тому +5

    Nyerere laa3nat Allah

  • @lillaahilhamdutv5383
    @lillaahilhamdutv5383 Рік тому +3

    Aliye muua karume ni jambazi nyerere

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому +1

    Walikamatwa ni owongoo mtupuu

  • @barakashamte3273
    @barakashamte3273 Рік тому

    Huyu kachanganya mambo KISA hakijui ukweli wake

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 2 роки тому +4

    Nyerere ndio alimuua karume baada ya karume kumuita Nyerere na kufanya mazungumzo

  • @umojaninguvukubwa631
    @umojaninguvukubwa631 2 роки тому

    Nice one good voice

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 2 роки тому

    Shemeji yake

  • @cytkl
    @cytkl 2 роки тому +1

    Wakoloni weusi, maumbwa za wazungu are always used kuua wenzao. Kama magufuli. Weusi pumbavu walitumiwa pia wananjua what happened