MCH. HANANJA afunguka SAKATA la KIBOKO YA WACHAWI, akiwa Congo amuomba Muumini Milioni 10 ya maombi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 364

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 3 місяці тому +28

    Huyu mzee japo anachekesha ila kuna mengi anaongea yenye point aisee! 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 3 місяці тому +5

    Kwa kwel baba hananja nakupenda na kukuheshim huwa nafatilia mafundishi yako umebaki kuwa baba mwenye hekima katika mafundisho ya bibilia ❤ubarikiwe sana baba hananja

  • @christopherbuyah4679
    @christopherbuyah4679 3 місяці тому +16

    Vijana wengi tunakuitaji sana Mchungaji ubarikiwe sana

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 3 місяці тому +2

    Duuu mchungaji nakuelewa sanaa watuwengi niwavivu sanaa awataki kufanya kazii hasaa vijana niatarii sanaa mungu atatusaidia tukifanya kazii sio kwamba wewe nimvivu eti mungu akusaidie akuna kitu kama hichooo kazi kazii💪💪💪💪💪

  • @AyoubMajuto
    @AyoubMajuto 2 місяці тому +1

    Huyu mzee anahekima ya MUNGU sana...Glory to God

  • @saidyabdalla7410
    @saidyabdalla7410 3 місяці тому +34

    Uy mzee nampenda amesema kwel

  • @mialanomanqobo6639
    @mialanomanqobo6639 2 місяці тому +1

    He always speaks truth only truth which hurt

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 3 місяці тому +12

    Mzee umenifuraisha saaana 😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @swalehdiesel8340
    @swalehdiesel8340 2 місяці тому +1

    Mzee hananja uko na hikma kwenye kujibu maswali....unaeleza vizuri kwa jinsi ya maisha ya watu wanaopitia....mimi ni muislamu na napenda majibu Yako... Mombasa Kenya 🇰🇪

  • @NgenaLukala
    @NgenaLukala 2 місяці тому

    Ubarikiwe mzee uko sahi kweli kabisa

  • @VenancyMorice
    @VenancyMorice 3 місяці тому +22

    Daaa huyu mchungaji namkubali sana anaongea ile kweli yake ya neno la mungu

  • @rachel-mwashikuhenga342
    @rachel-mwashikuhenga342 3 місяці тому +7

    Umeongea kweli kabisa pastor

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 місяці тому +17

    Jamaa anaongeaga vizuri sana na anamafundisho yaa ukweli sana

  • @Manyanya_255
    @Manyanya_255 3 місяці тому +6

    Haujaongea vibaya ❤❤❤

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 3 місяці тому +12

    Wanawake wa tanzania ndio wateja wakubwa wa wachungaji feki

  • @salimakida95
    @salimakida95 3 місяці тому +3

    Mimi ni muislam lakinj huyu mzee namkubali sana,anaongea point sana

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 місяці тому +37

    Mzee ANANJA UPO SMART SANA
    KWENYE INTERVIEW ZAKO FATHER
    I am muslim lakin upo makin unaongea
    Ukweri sana mzee wew

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 3 місяці тому +1

      Mwambie asilimu kwanza

    • @omarymbonde6748
      @omarymbonde6748 3 місяці тому

      ​@@abdallahdataguySio uongo

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 місяці тому

      ​@@abdallahdataguyacha upuuzi😢

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 місяці тому

      ​@@abdallahdataguyacha upuuzi😢

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 3 місяці тому

      ​@@abdallahdataguyacha upuuzi😢

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 3 місяці тому +19

    Shida leo hii watu wanaamini sana Miujiza, kuliko ibada na maombi(Dua). Ni hatari asee

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 3 місяці тому +5

      Kweli kabisa...na sana wanawake wanakuwa victims.

    • @putilegamagama6049
      @putilegamagama6049 3 місяці тому +1

      @@saidnoumani7244 We acha tu kaka yani Dah!

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 3 місяці тому

      ​@@saidnoumani7244na Wanaume wamo

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 місяці тому +14

    😂😂😂😂😂😂😂hii nayo kali😂😂😂ndo kwaza mwezi wa 8😂😂mpaka ifike December tumecheka mpaka basi

  • @NgenaLukala
    @NgenaLukala 2 місяці тому

    Ndio shuka namandiko mzee ❤❤❤

  • @MaryNzioka-jt5fw
    @MaryNzioka-jt5fw 3 місяці тому +18

    Huyu mtumishi Mungu anmtumia kwa nja ya maajabu sana.Mungu ni mwaminifu atatenda.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому

      TUKO PAMOJA SANA YESU HAJAWAHI KUSHINDWA

    • @OmegaChurch-t5g
      @OmegaChurch-t5g 3 місяці тому

      Umeongea point

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 3 місяці тому +1

      Ondoa ujinga we.mkristo mpumbavu

    • @fideschacky
      @fideschacky 3 місяці тому

      Hee wewe unanichekesĥa

    • @RuthSilaa
      @RuthSilaa 3 місяці тому

      Kwani yeah alidai pesa kuponya watu ? Acheni utapeli huyo kiboko ya wachawi nayeye ni mchawi vikama wachawi wengine na anatumia pepo la utambuzi kujua shida za watu mungu atuepushe na Hilo balaa neno linasema mmepewa bure toeni bure uponyaji wa mungu ni bure mbona mnadai pesa watu wa mungu fungukeni macho muone

  • @shadrackmijjinga9793
    @shadrackmijjinga9793 3 місяці тому +11

    Miongoni mwa wachungaji wachache wakweli waliosalia hapa Duniani

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 3 місяці тому

    Barikiwa sana baba kwakututia moyo ususani sisi vijana Amina

  • @RICHARDMBUKWA-r9e
    @RICHARDMBUKWA-r9e 2 місяці тому

    Ubarikiwe sana muchungaji

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 місяці тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣koo linakauka motomoto hata juic hakuna koo linakauka

  • @abdunasiriathumani9011
    @abdunasiriathumani9011 3 місяці тому +9

    Jmn hamtaki miujiza ya yesu kristo!!kiboko ya wachawi ameletwa na mungu kufanya miujiza

    • @samorajama8833
      @samorajama8833 3 місяці тому

      BAADA YA MASAA 24 UNAKUFA

    • @jesusfirstchurch4162
      @jesusfirstchurch4162 3 місяці тому +1

      Kaletwa na Mungu angesema yeye hataki utakatifu?Mungu wa wapi huyo aliyemleta kama siyo wa shimoni..jifunze maana ya mavazi anayovaa na kofia zake utajua ni wa ufalme UPI..au vibuyu vitatu ulimpa wewe?muulize roho wa Mungu kabla hujamshabikia MTU..kujaza watu kwa lengo la kukusanya pesa na kutangaza ukweli kwamba wewe hutaki utakatifu basi 😅huyo si wa Mungu maana haongozi watu ktk kweli. Si kanisa Hilo..hamna toba hamna uadilifu..kama wewe hukuingia ktk taratibu zake nyamaza Tu.

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 3 місяці тому

      😂😂😂

    • @abdunasiriathumani9011
      @abdunasiriathumani9011 3 місяці тому

      Wewe nakupa masaa 8 kuanzia Sasa hauna uhai

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 3 місяці тому

    hongera sana mchungaji hannanja kwa kujali watu waliotengwa

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 місяці тому +21

    Tatizo la wakristo wanapenda sana miujiza namaombi mengi ya ajabu yasiyo na msingi keklele nyingi hata majirani hawapati usingizi maombi yakitapeli tu dini yakisanii tu haijulikani imeletwa na mtume nani na imetoka wapi hata Mungu wamjui imekuwa shida sasa

    • @nicksonlyimofundivyunguvya6220
      @nicksonlyimofundivyunguvya6220 3 місяці тому +2

      Jidanganye wakirsto na waisilam

    • @mussamdoe4619
      @mussamdoe4619 3 місяці тому +1

      Naukiwaambia ukweli wakari sana

    • @neemansasu9761
      @neemansasu9761 3 місяці тому +6

      Ukifuatilia wanaojaa huko ni waisilamu

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 3 місяці тому

      Wewe ndiyo haujitambui maombi. yanakele kwamajilani aise unapepo lakiloho. mungu akusaidi au ukaishi makabulini. hapo wamelala hakuna kelele

    • @africa7479
      @africa7479 3 місяці тому

      ​@@neemansasu9761 hao ni wa mchongo tu nikupashe sasa dada neema wa kwetu singida..

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 місяці тому

    ❤❤❤Mchunqaji anajielewa sana❤❤❤Munqu.akuweke zaidi❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @StephanoLihedule
    @StephanoLihedule 3 місяці тому

    Mchungaji safi sana kwa kuelimisha. changamoto ya watanzania hawataki kujishugulisha wao wenyewe kumtafuta Mungu wanataka mambo ya rahisi rahisi wakikumbwa na changamoto hawaelewi changamoto za kulogwa ni zipi na changamoto za maisha ni zipi wenyewe wanakimbilia miujiza

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 3 місяці тому +1

    😂😂😂iyokali sana Mungu awabariki sana Tunakupata sana 5/5 Stockholm Sweden

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 місяці тому +2

    Mi nakupenda bureee

  • @AsiaDismas
    @AsiaDismas 3 місяці тому +2

    Hapo umejiby vizuri hananja

  • @AmiriJumaLema
    @AmiriJumaLema 3 місяці тому

    Pole kwa hilo mchungaji iko vizuri mno

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo 3 місяці тому +10

    Mchungaji wa ukweli,sio wale wanangata maneno

  • @SayuniHokelai
    @SayuniHokelai 3 місяці тому

    Mungu ambari sana anaerimisha

  • @JacquesLaitbébe
    @JacquesLaitbébe 2 місяці тому

    Niko evengeliste kutoka Congo Ila papa wangu Mungu akutiye nguvu nakupenda

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 3 місяці тому +12

    Kifupi nasubutu kusema hata hawa wanaouza mafuta maji mawe Apple 🍎 wote matapeli

  • @BABAGVANY
    @BABAGVANY 3 місяці тому +3

    Napenda anatowa na neno lililoko kweny Bibilia,kila akisema andiko na noti na kupitia yupo vizuri huyu mzee

  • @CharlesDororo
    @CharlesDororo 3 місяці тому

    Upo vizuri mzee

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 3 місяці тому +1

    Acha kuendekeza utapeli, tofautisha utapeli na huduma ya kanisa. Kuna utaratibu wa kuwawezesha na kuwahudumia watumishi wa Mungu, siyo wizi

  • @LeahEmmanuel-y7f
    @LeahEmmanuel-y7f 3 місяці тому

    D Hananja we n mchungaji mkweli sana mungu akulinde sana

  • @GeniusThimoc
    @GeniusThimoc 3 місяці тому +15

    Kiboko nakushauri mtu yyte akipiga cm anataka huduma mwambie akupe ela yyte utakayo maana watanzania wanataka vya bure. Sema milioni 100 wakome.

  • @lucasmveyange3339
    @lucasmveyange3339 3 місяці тому +1

    Pastor Dominick kiboko ya wachawi .Kwanza nalipongeza kwa kuwaponya watu walipoona kwenye huduma yako . Sisi tumeona watu walipona walifika mmoja Kigoma tena ulisema asingepona ingeweza wapi uso wako ulisema inashukuru Yesu kristo mwanangu Mwana wa Mungu ametenda . Pastor Dominick kiboko ya wachawi naomba sema neno moja tu na Roho yangu nipone.Amina

    • @soloartist_ivanvespalusind1609
      @soloartist_ivanvespalusind1609 3 місяці тому

      DAWA YA KUTODANGANYWA NA MANABII WA UONGO HII HAPA👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      Kiini cha BIBLIA ni "AMRI 10 ZA MUNGU", zile zilizoandikwa kwa chanda chake mwenyewe KUTOKA 20:1-18, mengine yote katika BIBLIA ni maelezo yake kwamba ukizishika unapata nini na ukizikanyaga unapata nini.
      Ndugu; usiruhusu kumuamini au kulishwa kiroho na mtu yeyote aliyeikanyaga kwa makusudi mojawapo ya amri hizo 10.
      Yakobo 2:10
      [10]Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.Yohana 16:13
      [13]Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye "KWELI YOTE"; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake.
      Zingatia neno "KWELI YOTE ", sio kisa umesikia tu anatajwa Mungu basi unaamini ni mtumishi wa Mungu.
      Isaya 8:20
      [20]Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asuhi.
      Hao wanaojiita Vyeo vikubwa vya kiutumishi wanaijua vizuri tu BIBLIA ila wanazikanyaga Amri za Mungu (sio kukosea au kuanguka dhambini kama ilivyo na kwasisi wengine, la!) Wanazikataa kwa makusudi kwa maslahi yao binafsi, wamejitoa kwa kiwango chote kutumika na yule adui.
      Pia tuzingatie sana hili; kipaumbele chetu kwa Mungu ni Uzima wa milele.
      Mathayo 6:33
      [33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
      Hao wanaohubiri vice versa si watumishi wa Mungu. Wanahubiri mibaraka ndicho kipaumbele chao, si sawa na mpango wa Mungu bali ni makusudi ya yule adui kutuangamiza.
      Marko 8:36
      [36]Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
      BARIKIWA.

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 3 місяці тому

      😂😂😂

  • @PhinaEdmund
    @PhinaEdmund 3 місяці тому

    Yesu alisema mimi ndimi njaa ya kweli na uzima mtu hafiki kwa baba ila kwa njia ya Mimi.. Ndg zangu tusome sana maandiko na Tutengeze mda wakitafuta uso wa Mungu.. Mungu atanivusha na anatuepusha na mafundisho ya mafundisho ya mashetani

  • @zamdanamwenje9415
    @zamdanamwenje9415 3 місяці тому +9

    Uyo ndo hananja huchoki kumsikiliza

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 3 місяці тому

      Kabisa yaan amenifanya nimalizie interview bila kutarajia, kama kaclip kafupi vile 🤣🤣🤣

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 3 місяці тому +5

    Mm binafsi namkupe sana huyu baba MUNGU akupe maisha marefu❤❤❤wasema hii game ni ngumu 😂😂😂

  • @mtushindirena2981
    @mtushindirena2981 3 місяці тому +4

    MATHAYO 10: 8 neno linasema
    Pozeni wagonjwa,fufueni watu,takaseni wenye ukoma,toeni pepo;mmepata bure,toeni bure.

    • @geofreyj.1986
      @geofreyj.1986 3 місяці тому +1

      Ww ukiumwa uwe unaenda kwa mchungaji wako upozwe sawa!! Hata mtoto wako akiumwa malaria mpeleke kanisani akapozwe sawa kichwa boga

  • @benedictmichael2425
    @benedictmichael2425 3 місяці тому +1

    Mzee Hananja maneno yako yawekee breki. Wakati mwingine unapitiliza. Utanaswa kwa ukiri wa maneno ya kinywa chako.

  • @Njeriii536
    @Njeriii536 3 місяці тому +8

    Yaan hili tapeli la kimataifa libaki hukohuko

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 3 місяці тому +8

    Yaani watz kwakutapeliwa jmni khaaa

  • @NuruJara
    @NuruJara 3 місяці тому +5

    Mm mkenya lakini huyu rev nimempenda Ako sawa nikija tiz nitakutafuta mch

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 3 місяці тому +5

    dunia inaelekea dakika za jiooni...mtaona mengi tu hayo madogo...shinda nafsi yako achana na dunia

  • @AmaniRashidi-i9b
    @AmaniRashidi-i9b 3 місяці тому +6

    From south Africa Durban tunawapata vizuri kutokea hapa

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 місяці тому +28

    Tapeli sn uyo mkongo amekutana na kiboko wa TANZANIA 🇹🇿😂😂😂

  • @StelahElias
    @StelahElias 3 місяці тому +2

    Mch, hongera kwa kipindi chako kizuri, bila shaka tumejifunza mengi sana kupitia kipindi hiki.

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 3 місяці тому +35

    Kwanini mnapenda kutudanganya. Alichokuwa akifanya huyu tapeli si huduma bali hujuma. Ninachoweza kusema ni kwamba Tanzania imegeuka taifa la mataahira na wanaotapatapa wakiogopa kubuni na kuchapa kazi badala yake wakitegemea maombi. Huyu mbwa ni shetani na mchawi wala si kiboko ya wachawi. Tatizo ni taifa la hovyo lenye kujaa wajinga wengi. Serikali iko wapi? Hawa ndiyo wanaojisifu eti wameleta maendeleo wakati wameeneza uchawa na ujinga mtupu.

    • @florencemushi6561
      @florencemushi6561 3 місяці тому +2

      Wewe ingekuwa unaumwa ugonjwa ulioshindikana kwa waganga na mahospitalini ie cancer alafu kiboko akuombee upone hiyo lugha yako ingebadilika. Mungu akuhurumie

    • @Extraordinarynation
      @Extraordinarynation 3 місяці тому +2

      @@florencemushi6561😂😂daah aloooh sasa kiboko ya wachawi ndio mungu wako mbaka akuponye 😂🤣kweli watanzania wengi mna matatizo yaan auhamini kuwa wewe mwenyewe ukisali na kumuomba mungu ata kusaidia utapona bali unakaa una muamini binadamu mwenzio anae kutoza hela si bora izo hela utoe kwa watu wenye maitaji kuliko kuumpa uyo tapeli wenu😂

    • @ElishaMakuza-i2p
      @ElishaMakuza-i2p 3 місяці тому

      Hahahahahahahaha

    • @VeronicaRugoyi
      @VeronicaRugoyi 3 місяці тому

      ​@@florencemushi6561wewe utakuwa una shida ya akili kumtegemea tapeli na siyo mungu

    • @nkwazigatsha
      @nkwazigatsha 3 місяці тому

      @@florencemushi6561 Acha ukumbaff. Mbona hakujiponya pale alipokabiliwa? Kwa sababu ya kutojua, hawa matapeli huwaletea watu wao kushuhudia kuwa waliombewa wakapona magonjwa mbali mbali bila ya nyinyi kutaka ushahidi au kushuku kama mimi. Nawajua vizuri sana. Nimesoma saikolojia yao hadi PhD mwanangu. Siongei kwa chuki wala ujinga elewa. Naona jina lako la kichaga. Japo si wote, wachaga wengi wana tatizo hili kutokana na mila zao. Nawajua wanawake wengi walioharibikiwa ndoa zao wakatembea na waganga wa kienyeji tokana na malezi mabaya ya uhuria hasa wamachame. Namjua mmoja toka kimbushi Hai. Alifanya uhuni hadi na kaka. na wajomba zake. Alipoolewa alipendwa sana. Lakini mumewe alipogundua uhusiano wa kingono na kaka na wajomba zake, alimuacha bila maelezo. Na bahati mbaya aliyemripoti ni ndugu yake mtoto wa mama yake mdogo. Unanipata hapa?

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 місяці тому

    Yule Katumwa Kuja Kualibu Amani Ya Nchi Kwa Kuwalubuni Wananchi Kutokua Na Imani Mwisho Wa Siku Tz Tuwe Kama Congo

  • @Milla_2024
    @Milla_2024 3 місяці тому +5

    Wale wa Proud to be, tuna-like wapi??😅

    • @RayChausa
      @RayChausa 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂tulia kwanza

  • @EdwardMandikilo
    @EdwardMandikilo 2 місяці тому

    Kweli baba

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 3 місяці тому +20

    Abaki huko huko kwao congo, tunaomba asirudi uku

    • @iddykwangaya2794
      @iddykwangaya2794 3 місяці тому +3

      Sasa arudi bongo tena aje kufanya nini,wakati mtu kashamaliza kazi,

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 3 місяці тому +2

      Akae huko congo " Kwa jina la Yesu"😂

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 3 місяці тому

      ​@@iddykwangaya2794bado hajamaliza huon analilia kurud😂😂😂😂

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому +2

      ATARUDI KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI. Wachawi MTAKOMESWA SANA MWAKA HUU. Wachawi wanaumia ni kipindi cha kukomesha wachawi kwa MOTO ULAO KWA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETI.

    • @dandy_unique
      @dandy_unique 3 місяці тому

      Weendo omba asirud sababu nyie ndo mnamfata

  • @AdamusonKomba
    @AdamusonKomba 3 місяці тому

    😂😂😂😂 umeongea point mzeed

  • @LeonceMushy
    @LeonceMushy 3 місяці тому

    Kweli🔥🙏🙏

  • @JaxBeatKiller
    @JaxBeatKiller 3 місяці тому

    Mung akup maish maref mzee Hananja

  • @ElishaMakuza-i2p
    @ElishaMakuza-i2p 3 місяці тому

    Uyo kiboko wa wachawi Afai kuendelea na Neno La Yesu

  • @gabrielfurahas5723
    @gabrielfurahas5723 3 місяці тому

    How do I communicate with sky workers?

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 місяці тому

    Ananja ni mchungaji bora mungu amlinde

  • @OmegaChurch-t5g
    @OmegaChurch-t5g 3 місяці тому

    Umeingia point

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 3 місяці тому

    Safi mtumishi

  • @joshuasimon598
    @joshuasimon598 3 місяці тому

    Mchungaji una hekima sana maneno yako yanarekebisha na kuelimisha na sio kuhukumu

  • @johnchatanda6759
    @johnchatanda6759 3 місяці тому +3

    Mchungaji muongo ulikuwepo kwenye wanavua izo braxia yaani bongo bwana 😊

  • @habarinjema7663
    @habarinjema7663 3 місяці тому

    Mtumishi katika siku ambayo umeongea vitu vya maana ni leo nimekuelewa by mchJose

  • @mtushindirena2981
    @mtushindirena2981 3 місяці тому

    2 WAKORINTHO 11:12-15 soma andiko hilo liwa saidie Ndugu zangu

  • @Keyjop
    @Keyjop 3 місяці тому +2

    😂😂😂 Kuna kitu nakiona 😂😂

  • @dalalimrembo
    @dalalimrembo 3 місяці тому +1

    Mzee hananja hapo kachoka sana na hanafuraha yaani uso wake hauja changamka

  • @felixniyibitanga
    @felixniyibitanga 3 місяці тому

    Muze wahekima sana

  • @sebastianmushi6247
    @sebastianmushi6247 3 місяці тому +1

    kun watu wamebarikiwa akiongea unatamani hasimalize,sijawai kukusikiliza nkaacha kucheka,Mungu akupe umri mrefu husio na mateso

  • @habarinjema7663
    @habarinjema7663 3 місяці тому

    Mtumishi katika siku ambayo umeongea vitu vya maana ni leo nimekuelewa by mch Jose

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 3 місяці тому

    Kibnoko wala siotapeli mmem yanyapaa kwaaslahi binafc na hiyo sauti imefanya kutengenezwa waandishi mungu awape maisha mpate kutubu huyo mwanamke alieigiza kama mgonjwa mungu anamuona iko cku mungu atamlipa

    • @benardmapuga4737
      @benardmapuga4737 3 місяці тому

      Tumia akili kufikiria usitumie miguu na makalio

    • @geofreyj.1986
      @geofreyj.1986 3 місяці тому

      Halafu ww Una akili kweli?? Au zuzu?? Kwamba mtu anaomba million 10 Ili atibu kwani anatibu yy Au anatibu Mungu.....akili huna...sasa na ww uwe na mtoto af umchape wakati hata ww hauna akili😂

  • @benedictogasper9977
    @benedictogasper9977 3 місяці тому

    Namkubali hananja

  • @saxo-mm4me
    @saxo-mm4me 3 місяці тому

    Huyo ni noma namjua moigaji mbaya

  • @cassianhaule3681
    @cassianhaule3681 3 місяці тому +1

    Moja anatuma kwa watu wote nikastuka sasa kila mtu anadanganywa na huyu kiboko

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 3 місяці тому +5

    Namuonea huruma sana mke wake huyu baba ni tapeli

    • @lilyg2134
      @lilyg2134 3 місяці тому +1

      wote matapeli bwanawee...unadhani alikua hajui au vipi? funguka

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 місяці тому

    Huyo ndugu asirudi tena huku Tanzania.Aende kuwaponyesha wakongo😢 Alikotoka

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 місяці тому

    HIYO NI SAUTI YAKE KABISA. KIBOKO YA WACHAWI😊😊😊

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 3 місяці тому +7

    Nafungua kanisa jamani naombeni sappot laki sitaki kuanzia miloni 😂😂😂😂😂

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 3 місяці тому +1

      We fungua tu wajinga wapo wengitu utapiga hela wakristo ni kama samak...unawavua unavyotaka

    • @Badvoice707
      @Badvoice707 3 місяці тому +1

      @@saidymbagalla6622 😂😂😂😂karibu nitakuponya unaonekana unahitaji kuokoka

    • @DivNg27
      @DivNg27 3 місяці тому

      😂😂😂​@@Badvoice707

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 3 місяці тому

      ​@@saidymbagalla6622😂😂😂

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 3 місяці тому +4

    Shida ni kwamba mko kibiashara dini hailazimishi mchango wala kuombewa unaomba mwenyewe

  • @ElizaWilliam-z6y
    @ElizaWilliam-z6y 3 місяці тому

    Mama yangu alinisimulia kisa cha mjomba wake alipotoka kanisani akiwa ana chakula na waumini wake walikuwa watu maskini wafamilia moja tena mama wafamilia alikuwa mgonjwa walipofika nyumbani mchungaji alisema fumbeni kumshukuru Mungu walipomaliza kuomba tu watu watatu wakapiga hodi kwa nyakati tofauti wakiwa na chakula mikononi

  • @godblesshudson1564
    @godblesshudson1564 3 місяці тому +4

    Mwandishi amecheka mpaka basi , hasa kwenye TANZANIA YA VIWANDA.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 місяці тому

    Msafara wa Yesu, anaingia Yerusalemu, watu waliweka nguo barabarani. Ni utatratibu, tahadhari

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 3 місяці тому

    Kaonewa tu! Kwani huyo kiboko ya wachawi na ccm wanatofauti gani😢

  • @TeddyPonera
    @TeddyPonera 3 місяці тому +1

    Hakuna huduma bila gharama wememuona kiboko tu watumishi wangapi wanatonza hela?? Au kwa sababu sio mtz. Waliousika kiama kinakuja yule sio wakawaida viwango n vya juu hatari Sana

  • @igweemsuto6141
    @igweemsuto6141 3 місяці тому +1

    Mzee sim laumu kwa sababu ameogopa kuongea kwani inaonekana hao wapigaji wanamtishia sana
    Ila nakupa heko mtangazaji upo vizuri umetumia akili nyingi kumuhoji mzee

  • @westonnchimbi2917
    @westonnchimbi2917 3 місяці тому

    Jamani kwahali ilivyofika kwasasa tz acha watu wapigwe mpaka waelewe kuwa hatuendi sehemu sahii.watuwangu wanaangamia kwa kukosa maalifa

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 3 місяці тому +1

    😂hananja anacheka kwa mbaaali kimoyo moyo😂😂 ah dunia ina mambo hii

  • @CHAMSATV
    @CHAMSATV 3 місяці тому

    yamda sana iyo niliisikia times fm pale

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 місяці тому

    Uyu Mzee Uzee Unamsumbua Ujana Uwe Kwenye Uduma Ya Imani We Zee Zima Ovo Kweli

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 3 місяці тому +2

      Nadhani wewe ndiye wa ajabu, afu hujui kama ni wa ajabu

    • @anthonymsemakweli9250
      @anthonymsemakweli9250 3 місяці тому

      Dah sasa hapa kakosea nini Hanaja???? Kweli binadamu tunatofautia sana

  • @KabnasNyangi
    @KabnasNyangi 3 місяці тому

    Kwa nmna hii ni dhahiri kuna uongo mwingi kwenye miujiza hii ya manabii sasa unawezajuuliza wangapi wamedanganya kwa sababu nabii wa Mungu aliyehai aliyetumwa na Mungu hawez kutabiri uongo kwani anakuwa ameongozwa na Roho Mtakatifu

  • @jumamwaramoyo8603
    @jumamwaramoyo8603 2 місяці тому

    Lakini kwanini watu wanafungua kanisa alafu zinafungwa kama mchungaji anavyosema kwani kanisa ni nyumba ya ibada ama ni nyumba ya biashara,maana kile naelewa ile ni sehemu ya kuabudu kama msikiti mahali mtu anaenda kuongea na Mungu wake mbna ifunguliwe alafu ifungwe kisa hakuna sadaka hapa sijaelewa

  • @Abanakure
    @Abanakure 3 місяці тому

    Kasema ukweli kabisa majaribu ya njaa anaua karama isipokua Mtumishi awe benet na Roho Mtakatifu