Sheria za Allah hazifai Waislamu Znz wameleta sheria zao mimi mtoto wa dada yangu aliuliwa pia kwa kuiba kuku Msuka pemba siku ya kuamkia sikukua ya mfunguo tata mwaka jana
Asalam alaykum shkh Mohammed, huyu kijana wa pili alie chomwa kisu uliemuonesha pcha yke ni ndg yana anaitwa Ahmed Suleiman. Kama ulivyosema pungufu ya pesa ya dafu ndio ilio mtoa roho yke. Kwahakika ni kitu ambcho kinanipa unyonge sana😭😭😭
@@sleemhamoud4394 ww huajui wizi naona si km tunaunga mkono laa ila wizi wanakera wanaumiza na wanarejesha nyuma utakwenda kwa wazee utashtaki mpk huendi tena unawaonea huruma wazee wake kubwa dua tuu mana haachi wizi kubwa kumtia khasara mzee wake.
Hayo yoote yanakuja kua nchi haina sheria ipo shaghala baghala tuu raia nao kila siku kuibiwa na hamna chochote kinachochukuliwa, mwisho hujichukulia wao tena mikononi mwao Hata wakimpeleka police wakitoka tuu na mwizi anachiwa haya ndio nn sasa hakuna fain wala kukaa ndani hayo ndio matokeo yke.
Watu wamechoka na vijana hawa leo mtu anakuja usiku watu wamelala anavunja mlango anaingia ndani na silaha jee makusudio yake nini? Jee mtu anakuja na silaha kukusudia ubaya mimi nimuachie anidhuru nipate ushahidi ndio sheria? inamaana huyo mwizi anahaki kuiba na kuua? lakini mwenye kuibiwa hana haki kujihami asubiri ushahidi?
Pemba peremba ukienda na joho utarudi na kilemba imani bado ikaliko Pemba sio mtu akaibe naende akamuombe mwenye nacho atapewa tu sio akaibe anakwenda kuiba ndizi analisha watoto haramu au anakwenda kuuza jee huyu mwenye kua na ndizi kweli atashindwa kumgaia aende kula na watoto? wanajitakia wenyewe vijana .
Hilo ndio linarudisha nyuma na kukata tamaa mimi hivi juzi huko Pemba mtu alichomoa pipe ya chemba na kuondoka nayo baada ya siku 3 akaonekana kijana anaiuza jee huu ni utu gani?

Mtihan Allah amlaze pema marehem
Subuhallah roho mbaya tu una muuwa mtu kwa buku
Huyo kija ni mwizi sana sana alikua tena anaingia hadi majumbani kuvua watu nguo
amepata anachostahili ingawa si jambo zuri
Asalam alaykum shkh Mohammed, huyu kijana wa pili alie chomwa kisu uliemuonesha pcha yke ni ndg yana anaitwa Ahmed Suleiman. Kama ulivyosema pungufu ya pesa ya dafu ndio ilio mtoa roho yke. Kwahakika ni kitu ambcho kinanipa unyonge sana😭😭😭
Innalillahi wainna ilayhir raajiun. Pole sana ndugu yangu. Allah amrahamu ndugu yetu.
Yote hayo yanajitokeza kwasababu nchi yetu haina hukumu ya kiislaam , na pia umezungumza maneno sahihi hayo ya mwisho sheikh Mohammed Ghassan
Anaiba mbuzi,ngombe,kuku,hadi anaingia katika majumba ya watu
Unsema tu
Asalam alaikum, VP upo nchi Gani Bro nahitaji vitabu me nipo Germany
Alaykum salaam warahmatullah. Nipo Ujerumani nami akhuy. Unataka vitabu gani? Niandikie kwa kghassany@gmail.com.
Mwizi sheria yake akatwe mkono na walo uwa nao wauliwe
Imani imetutoka, yaani unamuua mtu kwa kuku tu, je iyo ndo humu yake?
Weee muandishi na msimulizi
Tatizo pia polic wana sababisha huyo juma kapelekwa police zaidi ya mara 100 hawaja mpelekapo mahakamani
Kaka ulichokisema ktk shairi sisi wazanzibari tumekuelewi na izo ndo athari zake na tusiojielewa bs hii ndo hatma yetu
Ah siku hizi nyumbani ikifika siku 3 tuu km hujasikia tukio baya basi ushkur wallah stress tupu kumebadilika khasaa.
Alla àmhfadhi
Mohd hyo kijna kachosha mwanye aende2
@@HafidhOmar-rs4tymm nahis angepigwa ikisha wanaenda kwa familia yake na kumtahadharisha
@@sleemhamoud4394 ww huajui wizi naona si km tunaunga mkono laa ila wizi wanakera wanaumiza na wanarejesha nyuma utakwenda kwa wazee utashtaki mpk huendi tena unawaonea huruma wazee wake kubwa dua tuu mana haachi wizi kubwa kumtia khasara mzee wake.
Sheha kazungumzia negtive tyuú lakini piaa iwe funzo maana hao wezi vijna ni wababe snaa
HAYA YOTE WAMEJIFUNZA UPANDE WA PILI AWALI YALIKUA HAYAPO HAYA
Apunguze wizi wa kuku, ama tutanyonga yeye. Ingekua Oman ama Saudi, shingo ingekatwa na upanga, kichwa kianguke chini kando ya mwili.
Muongo hakatwi kichwa kisa kuiba kuku lete ushahidi
Mbona sielewi kutoka kwenye mauji ya kuku kwebda kwenda kwenye siasa mantiki yake nini
@@omarkapula588 Ushahidi uko humo matakoni mwako.
akipatikana mwingine mpe zawadi ikibidi mpe mwanao aowe maana atakuwa mwkeo huyo
Halafu naona wewe muandishi pia mnafiki tu
SHEHA YUPO SAHIHI YEYE MWENYEWE KESHA CHOSHWA NA KAPIGWA NA WANANCHI WA VIJIJI VITATU WATU ZAIDI YA 400
Huyo JUMA ABRAHAMAN ni mwizi mkubwa alikua anaibia watu hadi anaingia majumbani kwa watu usiku
Nimwizi huyo alikua kesha shindikana
Hayo yoote yanakuja kua nchi haina sheria ipo shaghala baghala tuu raia nao kila siku kuibiwa na hamna chochote kinachochukuliwa, mwisho hujichukulia wao tena mikononi mwao Hata wakimpeleka police wakitoka tuu na mwizi anachiwa haya ndio nn sasa hakuna fain wala kukaa ndani hayo ndio matokeo yke.
Wangempiga tu sio.kumuua kumbuka kaacha mayatima maskin