TAZAMA RUBANI WA KIKE NEEMA SWAI ALIVYO ISHUSHA NDEGE YA MIZIGO KATIKA ARDHI YA TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2023
  • Mtazame Mwanamke wa kwanza Mtanzania alivyo ishusha ndege ya mizigo katika Ardhi ya Tanzania

КОМЕНТАРІ • 34

  • @DullaSelemani

    Doctor samia suluhu hassan chapa kazi rais wetu.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Рік тому +1

    Miss Swai hongera!

  • @julianaedward4190
    @julianaedward4190 Рік тому

    Neema Swai beautiful with brain...hongera Neema Mungu akulinde daima

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Рік тому +3

    Magufuli oyeeee

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 Рік тому +3

    Magu oyeeee tunakukumbuka

  • @yuzzob
    @yuzzob Рік тому +2

    Nikitaka kusafirisha mzigo dar to kigoma ni chap kwa haraka 🙌🙌

  • @user-ym6hw2ks8x

    Raha San wanawake juu

  • @gellangi9694
    @gellangi9694 Рік тому +1

    Ndege imenunuliwa na Watanzania.

  • @ayubungimba8292

    Samia kanunua ndege aise .

  • @charlesmoshi6581

    Nadhani usahihi ni iliyonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania au kama nimekosea nisahihishwe

  • @isabujoisabujo1214

    Acha kutudanganya yy co Wa Kwanza kurusha ndege kubwa. Wa Kwanza Alikuwa Yule Mtoto Wa Mwakasege ndio Aliyeanza kuendeshw Bombadia

  • @isabujoisabujo1214

    Miradi Yote Iliacha Na Magu ko Mctuchanganye hakuna alichonunua huyo

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Рік тому +1

    Kwa wale wanaouliza pea za Tozo na kodi zinakwenda wapi haya ndio majibu.

  • @emiliomutethia9052
    @emiliomutethia9052 Рік тому +3

    Ndege imenunuliwa na serikali ya tanzania sio samia

  • @user-fo9jw2gb2h

    Ivi Yule rubani waruvuma swai uyu ni mtoto wake ama

  • @Lodrickmwambene

    Viporo vya magufuli

  • @isabujoisabujo1214

    Ma Rubani wa Kike ni Wengi hata Yule Mtoto Wa Mwakasege aliyerusha Ndenge Miliyokuwa imebeba Mwili Wa Mangu na yy Alikuww Mwanamke

  • @ayubungimba8292

    Report ya CAG .Hazijawahi leta faida ni hasara tu .mnalijua Hilo .

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Рік тому

    Neema.

  • @DullaSelemani

    Huyu mkuu wa nchi ni jembe na muombea apewe mitano mingine bira kupingwa.