IRAN yadaiwa kujipanga kupata ndege za kivita za URUSI za S-35 (Sukhoi Su-35)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 138

  • @theonedjbonny3952
    @theonedjbonny3952 4 місяці тому +3

    This guy is a professional you know how to answer the questions better than the other one

  • @shebbylove3140
    @shebbylove3140 4 місяці тому +1

    You guys are the best indeed tunashukuru saana kwa news maana tunawafatilia daily

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 4 місяці тому +1

    SNS YOU NUMBER ONE IN TANZANIA 🎶🎶🎶🎶🔊🔊🎼🎼VERY NICE SONG..
    #SNS_TANZANIA

  • @omarisombi9284
    @omarisombi9284 3 місяці тому

    Shukrani sana

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 3 місяці тому

    Wewe Johanes uko pamoja nami.tena wee muelewa.

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 4 місяці тому +4

    Su 35. Su 57. Hizo ni moyo wa Russia. Lkn kuna Su 34. Usisahau Mig 35. Hii inapiga mbali!! Jumla za ndege ya Russia ni 7000. Ana ndege mingi sana huyu Putin. Russia iko mbaliii sana kiteknolojia.

    • @salumumakombo
      @salumumakombo 4 місяці тому +1

      😅😅😅 hatariiii

    • @rashidmollel529
      @rashidmollel529 4 місяці тому +1

      NKukubali mkuu

    • @baloz8974
      @baloz8974 4 місяці тому +1

      Bila shaka urusi iko juu sema america ndio wanadharau tu

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 4 місяці тому +6

    Ila sns hapa kwenye wimbo msanii kaupatia mana anavyoitamka sns namba one Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 місяці тому +5

    Hizi ni noma ila Kuna noma zaidi ya izi ni Sukhoi 57 (su-57) hizi ni jini zilizoshindikana

    • @francisnyaji5000
      @francisnyaji5000 4 місяці тому +1

      Hahahaha izo hazifai zimetoka 2020 ni balaa zina manuvability ya hatari....

    • @salumumakombo
      @salumumakombo 4 місяці тому

      😅😅😅 inaitwa crazy jet

  • @saidalkassaby1795
    @saidalkassaby1795 4 місяці тому +4

    SEMA KWELI WEWE IRAN INAOGOZA KWA MAKOMBORA YA MASAFA MAREFU LONG BALISTIC MISSILE HUSEMI KWELI

  • @saidalkassaby1795
    @saidalkassaby1795 4 місяці тому +7

    ISRAEL hampati irani kwa kua na makombora ya masafa ya mbali

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому +3

      Kwani tangu unakua kwenye maisha yako adi sasa, ushawai kuona au kuskia Israel inaonyesha silaa zake?

    • @kibeyomuhongo8451
      @kibeyomuhongo8451 4 місяці тому +1

      Nduguyanguu Israel anatechnologia kubwa sana. Mmekaa kimia aty nyuklia Israel anazalisha nyingi sana. Poa mjue like bomu lililopigwa vita kuu ya pili ya Dunia alielitengeneza pia ni muisrael aliekua anaish America.

    • @kibeyomuhongo8451
      @kibeyomuhongo8451 4 місяці тому

      ​@@johannesssamsonambogo4125Israel ana technology kubwa SANA

    • @annassuleiman4508
      @annassuleiman4508 4 місяці тому

      ​​@@kibeyomuhongo8451wewe Ndivyo unavyojidanganya?? Mbona anahitaji Msaada wa silaha toka Marekani??

    • @barakabosco4407
      @barakabosco4407 4 місяці тому

      Umekosea ni mjerumani

  • @sultanbakary4292
    @sultanbakary4292 4 місяці тому +1

    Asant kwa kutuhabarisha

  • @gauchogaucho7583
    @gauchogaucho7583 4 місяці тому +3

    SUKHOI-35 SIOO KIZAZII CHAA 5 KIZAZI NI KIZAZI CHA 4 KIZAZI CHA 5 NI SUKHOI -57 AMBAYOO HAWAWEZI PEWA ATA KIDOGOO

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 4 місяці тому +2

    Kiukweli habari zinavutia dah

  • @DedeDerrick
    @DedeDerrick 4 місяці тому

    Can you guys bring back that Congo content?it was so nice I wonder why you deleted

  • @saidalkassaby1795
    @saidalkassaby1795 4 місяці тому +8

    Saiv Rusia China Uturuki wote hao hawatumii tena dola ya marekani

    • @KingRomyJay
      @KingRomyJay 4 місяці тому +2

      nikweli ila bado dunia ina nnchi nyingi na bado zinatumia dollar kwenye mfumo wa malipo

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule 4 місяці тому

      Kasome article ya juz uone China De dollarization ilivyo feli,Huwez kwepa USD hata investors wakichina hawana imani na Yuan

    • @izack9191
      @izack9191 4 місяці тому

      ​@@tumlakimwaitumulehizi habari unazitoa wapi dungu yangu

    • @TygerPixels
      @TygerPixels 4 місяці тому

      Wewe hujui kitu Bora ukanyamaza

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 місяці тому

      Kwani kutoitumia dola Kuna tatizo Gani ? Mifumo ya biashara na fedha iko mingi Sana ,lakini ujue nchi asilimia 89. -90 zinaitegemea marekani ,na wengi wanaisujudua Ili mambo Yao yaende bila hivyo my friend utakoma ,hiyo china unayoisema asilimia 65 viwanda vyake ni vya wamarekani ,uingereza ,ujerumani nk labda hujui tuu kua wachina ndio wanaopewa tenda duniani leo kupitia makampuni makubwa Ili kuufikia ulimwengu ki ujenzi nk .

  • @tonitonito90
    @tonitonito90 4 місяці тому +1

    Hivi vita vya Mashiriki ya Kati vinaenda kuwa vikubwa mda si Mrefu

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 4 місяці тому +5

    Israel ni moto

  • @kimbwapulekig8126
    @kimbwapulekig8126 4 місяці тому

    mim bwana napenda sana hii mivutana matambo vitisho na ubabe kwan naona jinsi gani nchi zinapenda kuwa juu na kuwa zao ndo kila kitu kwenye uso wa dunia

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 4 місяці тому

    S-300 inaweza kutungua kombora lililopo kilomita 300 wakati S-400 inaweza kutungua kombora lililo umbali wa kilomita 400 hivyo tu lakini mifumo yote ni bora sana naona umeshindwa kuliweka kitaalam

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Iyo ndege ukrane alisha ilipua

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 4 місяці тому

    👊👍✌️.

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 4 місяці тому

    Lkn huu upuzi wa.kutowana roo utaisha kweli

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 4 місяці тому

    Kapewa ndege 35

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 4 місяці тому

    Ndege kaishapelekewa mbonamda2

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Maboksi

  • @ammielnzala344
    @ammielnzala344 4 місяці тому +1

    Ishmael na isaka

    • @puregamers4215
      @puregamers4215 4 місяці тому

      No

    • @puregamers4215
      @puregamers4215 4 місяці тому

      Iran sio warabu

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 4 місяці тому +2

      Mjinga wewe dunia IPO kabla yaibrahimu achana nasiasa za biblia matango poll yawazungu

    • @izack9191
      @izack9191 4 місяці тому

      Ishmael na isaka ndo nn, we vipi mambo ya ukoloni unaingia nayo 2024, amka ndugu acha kubweteka hizo ni story za kuundwa tu.

  • @officialstar_walker
    @officialstar_walker 4 місяці тому +7

    Hii sasa ishakua ni channel ya kijeshi😂😂😂😂

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 4 місяці тому +1

    Badala ya the third world countries kuzuia vita, wanaendelea kushawisha nchi hizi zipigane😔

  • @raymondmushi9019
    @raymondmushi9019 3 місяці тому

    Kwa kifupi mkubwa ni mkubwa tu.ndiyo kitu mrusi hataki kuona amerika anakuwa powerfull.kitu ambacho ndiyo ukweli.lakini atafika mahali ataelewa tu.

  • @user-tq5di6mv9c
    @user-tq5di6mv9c 4 місяці тому +1

    Yani hapa sisi ndio tutaoteseka nahaya mafuriko kazi ipo

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 місяці тому

    Kwani iyo sokoi ndio Nini wakat Kuna f35 Yani inafananiswa na f16 bado sn

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh 4 місяці тому

    Ndugu yangu nakushangaa ujue unapokuwa unatowa comment uwe unafikiria ujue putin anawagusagusa hao ndugu zake wa ukreine kama hatakapo kasirika hatakuja kuifuta ukreine yote sijui utasema nini sisi team russia ni swala muda yaani mtakaa kimya😢

    • @sadammkinga2946
      @sadammkinga2946 3 місяці тому

      Wakati mpaka sasa kashakula kichapo cha wanajeshi 500000

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 4 місяці тому

    Sukhoi Su 35 kenya tuko nazo 1500 tuko tayari kivita nanchi yoyote hapa africa😏😏

    • @Amaniulaya
      @Amaniulaya 4 місяці тому

      Katombwe huko na ww una mavi tuuu huko nyuma

    • @Amaniulaya
      @Amaniulaya 4 місяці тому

      Shoga ww kafe huko

    • @gugahmediaafrica9405
      @gugahmediaafrica9405 4 місяці тому

      @@Amaniulaya tuko tayari kwa vita na. Wewe

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 4 місяці тому

    Mbona mnamsifia Sana urusi kuwa ana siraha Kali kuliko marekani mbona ameshindwa kuiangusha serikali ya Ukraine mwaka wa tatu mpaka sasa? Acheni kuchambua habar kiushabiki

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 4 місяці тому

    urusi wako vizuli mno

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule 4 місяці тому

    Inamaana Iran inahofia Comeback ya Israel?

    • @salumumakombo
      @salumumakombo 4 місяці тому

      Hapana Ila Kama atakuja mazima

  • @andrewsifuna5673
    @andrewsifuna5673 4 місяці тому

    Budget ya urusi haiwezi kuliko ya marekani kivioviote marekani ndie mshindi

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 4 місяці тому +1

    Urusi muongo,anajitangaza,ivi uliwahikuona marekani wanaonyesha silahazake? Acheni upuuzi Putin ni muoga vitisho vingi Hana lolote

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 місяці тому

      Uko sawa kabisa ,big up ,hata Sadam husein na Osama walitishia watu na Leo hawapo hao wasio tishiwa ndio waliowatokomeza.

    • @allyhuyu1892
      @allyhuyu1892 4 місяці тому +1

      Kama marekani haoneshi silaha zake hii ndege ya kimarekani f-16 ilijulikanaje duniani kama si kwa kujitangaza? Au kuzioneaha hizo slaha, urusi kama unavyosema ni muoga, nato na urusi nani muoga? Hao nato ni kundi kubwa urusi ni moja wanasema kuishambulia urusi lkn wapo mpaka hivi wanashindwa kufanya jambo lolote dhidi ya urusi moja nato na marekani ni waoga kama shoga akh! Kumbe ni mashoga

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 4 місяці тому

      @@allyhuyu1892 pole sana ,mashoga wapo Mombasa, Mungu awarehemu ,lakini ujue tuu nchi yoyote yenye ubabe Hainaga mbwembwe na vitisho ,hata mtu WA kawaida akiwa na nguvu huwezi muona akiwa na mdomo mwingi, ujue kua marekani tangia vita kuu ya 2 ya Dunia amekua akisimamia Dunia yote kijeshi ,unaweza usielewe lakini popote palipofanyika ghasia ngumu aliingia kijeshi na kukomesha mambo na kua shwari ndio nchi pekee yenye uwezo wa kupigana vita kwa kuingia ndani ya nchi nyingine na kutoka kifua mbele
      Jambo jingine ujue wakati urusi ikiwa USSR marekani ndio aliisambaratisha urusi Hadi Leo ikawa kama ilivyo ,hata Putin anaujua ubabe wa marekani ndio maana amekua akilalamika Kila siku kwakua Hana la kufanya ,
      Wewe unazungimzia NATO, Nation Atlantic Treaty Organization hao NATO urusi anawajua vizuri na ndio maana anatishia Nuclear ndio waliomchakaza Slobodan Milosovc wa Yugoslavia kwenye vita ya wa Bosnia na Serbia ,usiichukulie nato kiwepesi ni chombo hatari Sana kinatisha na haijawahi shindwa ,sijui Kama umeshajua urusi sasahivi anapigana vita vya kuvizia kama rafiki zake waarabu ,hasubutu kwenda Ukraine kwa vita vya kukabiliana ,Bali anarusha makombora tuu ,kwani amepoteza askari wengi na ndege na vifaru kibao na ndio maana amekua mwoga amebaki kulalamika tuuu.

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 4 місяці тому

    Putin afe

    • @chachamturi259
      @chachamturi259 4 місяці тому +1

      Alafu akishakufa mmalekani anakuja kwenu kuwafungishandoa zajinsia moja babaako naolewa nakakaako, ukotayali we mbwa

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 місяці тому

      Mashoga wafe

  • @KingRomyJay
    @KingRomyJay 4 місяці тому

    ivi inakuaje mfumo wa malipo ni mmoja tu duniani kote tena ni dollar tu yan apo ndy nashindwa kuelewa nguvu ya marekani

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 4 місяці тому

      Dunia inatawaliwa na mashetan wa marekani ulaya

    • @khalidibero
      @khalidibero 4 місяці тому +2

      Baada ya vita ya pili kuisha nchi nyingi zilikuwa hoi kiuchumi.Marekani ndio ilikuwa imara ikalazimisha nchi zote ili azipe misaada na mikopo ya kusimamisha chumi zao basi zisaini mkataba wa makubaliano kuwa sarafu yake ndio itakayotumika kwa manunuzi duniani kote.
      Kwahiyo kinachoendelea sasa ni muendelezo wa mkataba huo .

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому +2

      Mungu alipoumba Dunia alimpa mwanadamu atawale vyote, Ata kwenye vita yupo Mkubwa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 4 місяці тому

      Dollar sio mfumo wa malipo mkuu, Bali dollar ndo international monetary business standards of exchange.Kuna mifumo mbalimbali ya malipo ila ya kuaminika ni mfumo wa SWIFT ambao unamilikiwa na wamarekani pia Kuna Chinese swift Yao pia ambayo kwa sasa unatumiwa na nchi Kama urusi, Iran, North-korea na Syria pia.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 місяці тому

      ​@@johannesssamsonambogo4125MUNGU hampi mamlaka shoga

  • @user-dy5fn6qj1q
    @user-dy5fn6qj1q 4 місяці тому

    Tatiza ni mrubani na mbinu goliati alipigwa na kombeo kuwa silaha sio dawa unavyo pigana na adui cha ni kujua silaha alizo nazo pili asjue silaha zako tatukujiamini nne tarifa unazopata kwa wapelelezi wako kutoka kwa adui sahihi na mwisho kuto kurudia kosaaa

    • @izack9191
      @izack9191 4 місяці тому

      Acha umama huu sio mvutano wa kidini. Na pia unakosa kuweka picha ya mamako au babako ukutani Ila unamuweka mzungu(yesu) asiyekujua. Dini za kuletewa ujue. Baba na mama hao ndo mungu wako na sio vingine

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 місяці тому

      Nenda kwa papa Kuna jambo lako

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 4 місяці тому

    Irani nimewambia nipunje TU kwenye mchere ngoja tumalizane na urusi inayo wapa jeuri inchi zakibabe babe wasio penda kukosorewa Yani inchi zakiimra viongozi wawo wapo kama mngu watu

    • @bakarimusa6297
      @bakarimusa6297 4 місяці тому

      Apo wanazungumzia angan ila Iran ni mwamba wa makombora sasa jichanganyeni tuwafute kwenye ramani ya dunia. Uyo babaenu marekani ameambiwa akiwasaidia Kambi zake zitalipuliwa

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 4 місяці тому

      Kule hawataki ushoga kama kwen kwenu uko machoko nyie ushawah kuona mashoga wakashinda

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 4 місяці тому

      ukapimwe akili, ubongo wako umeganda

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 4 місяці тому

    We jamaa unaechambua hauko na details kama DJ sma jamaa apone tu akupokee kazi huna fact unachoongea ni propoganda zile zile tu

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому +6

    KUAZIMANA NDEGE SIYO SOLUTION, IKIBIDI WAJIUNGE KAMA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, ILA KIPIGO KIPO PALE PALE, NYIE CHEZENI NA MAREKANI MJE MFE WOTE TUBAKI SISI TUNAO ESHIMU WAKUBWA. 😂😂

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 4 місяці тому +5

      Iran ni wanaume kamili sio kama nyie mashoga mnatawaliwa kenge nyie

    • @johannesssamsonambogo4125
      @johannesssamsonambogo4125 4 місяці тому

      @@sultanbakary4292 Sawa wanaume kamili Movie linaendelea itajulikana nani Shoga tu. 😃😃

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 4 місяці тому +1

      Bado upo marekani , saiv mbabe ni Russia , marekani ni wa pili

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 4 місяці тому +3

      Nchi inayoitwa Russia, kibiblia ni taifa kuu la kaskazini. Hili taifa haiwezi kushindwa mpaka mwisho wa dunia. Upo. Usiwe mjinga, niulize mimi Michael. Hello!!¿

    • @izack9191
      @izack9191 4 місяці тому +1

      ​@@user-cw8zn2dn6m😂😂😂 mambo ya ukoloni unaleta vitani, we vp, dini tumeletewa ndugu yangu, nakubali urusi ni nchi Tata sana kivita lakini usichanganye na mambo ya kishoga(dini)