EXCLUSIVE: RUBANI KIJANA ALIYEISHIA KIDATO CHA NNE, ANARUSHA NDEGE ZA ATCL "NIMESOMA MAREKANI".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Рік тому +6

    Neno TUISHI lina maana kubwa kwangu.
    Mimi nimepata mwangaza wa elimu tu. Ila nilijitahidi nisifeli maisha.
    Tuwe na haya:
    1. Imani.
    2 ujasiri.
    3. Lengo.
    4. Kutovunjika moyo.
    Asante kijana. Mungu akuhifadhie kazi yako.
    Unaupendo sana wewe na jamii.

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 Рік тому +7

    Hongera kijana wetu wa kitanzania Big 👆 up

  • @wachuswalehe5882
    @wachuswalehe5882 Рік тому +2

    Congratulation ndugu

  • @haroonmarco490
    @haroonmarco490 Рік тому +4

    Nice one my brother 💪🏿💪🏿💪🏿TUISHI

  • @JacknJacksosanga
    @JacknJacksosanga Місяць тому

    Barikiwa brother

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +3

    Hongera zake TZ tatizo tumekalili kwamba mtu akifaulu Physics basi ndo atakuwa rubani

  • @abdulkarimshabanmhandeni847
    @abdulkarimshabanmhandeni847 Рік тому +2

    Hongera sana Captain. Umefanya vema kutoa elimu kwa vijana wengine

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 Рік тому +3

    Captain bulindi uko vizuri sana

  • @jamesgeofrey8692
    @jamesgeofrey8692 Рік тому +5

    Lakini pamoja na yote ila naona kuna connection kubwa kati ya urubani na ufamilia bora au tunaita wakishua

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    Congratulations

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 Рік тому +3

    Captain Bryan🔥🔥

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +2

    Hongera sana bro Mungu akubariki

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 Рік тому +3

    Safi kabisa capt,maelezo mazuri liwe fundisho kwa wasioelewa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +4

    Na mimi nita soma Inshalllha 😢😢naota 😀

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 Рік тому +2

    Hongera Sana kaka

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 10 місяців тому +2

    Hizi media zina waandishi wa hovyo sana ndo mana hakuna tena waandishi kutoka Tanzania katika media za kimataifa, unaandikaje kaishia form 4, wakati mwenyewe anataja degree alizochukua Malaysia?

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 Рік тому +9

    Rubani kitu chakawaida2 si pia tunaendesha zabibi zetu kyakimya

  • @sarahbuberwa7219
    @sarahbuberwa7219 Місяць тому

    Hongera sana, nami nina mtoto ana ndoto hizo

  • @shineforever1995
    @shineforever1995 Рік тому +3

    Brian jamaniiiiii

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 Рік тому +16

    Jmn msidnganyane kbsa huyu mwmaba tangu na mwanzo kwao Hela ipo we izo$72,000 za kusmea sio mchezo maan sie wengne mpk tutakufa hatufikii ata ile robo yke t ya kuzmilik izo Hela maskin hawez akawa ruban yaan tusidanganyane kbsa ukimuona mtu ruban uyo Ujue tangu na mwnz kwao Hela zipo

  • @chekapromax5116
    @chekapromax5116 Рік тому +3

    Sawa nikiendesha simulator inatosha ayo mapesa ya kusomea hzo mambo Sina

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +2

    Okkkk

  • @chacha-255
    @chacha-255 Рік тому +4

    Siri ya kusomea urubani kwa uhakika ni pesa tu, Baada ya form 4 andaa milioni 100 ya ada kusomea urubani, ni fasta tu, lakini kujidanganya huku sijui usomee PGM form 6 unajidanganya tu, unamaliza hio PGM form 6 na bado ada ya milioni 100 haikwepeki.

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +2

    Daah mungu tusaidie 'na sisi ndoto zetu zisiishie mtaani maana tunatamani kuziendeleza ila nguvu haaaaaa hatuna ila uyu familia kidogo ilikuwa 'na uwezo kidogo mpka kwenda malesia si mchezo 'na ndo maana akafika alipo saiv

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 Рік тому +7

    Ndo watu wajue kuwa urubani ni fani kama udereva wa gari .wengine eti ooh lazima usome PGM.
    Ndo waone ushuhuda wa wahusika(marubani)
    Hata ATCL chief pilot capt.Shaid alisema hakuna uhusiano kati ya PGM na urubani

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 9 місяців тому

      Wengine wanakuwaga na mbwembwee tyuu kukatisha tamaa

  • @ms123ru
    @ms123ru Рік тому +2

    Wakishua uyoo

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 Рік тому +4

    Mimi nimeishia la 3 ila narusha maneno ile mbaya

  • @RamaNyerere
    @RamaNyerere Місяць тому

    Unaweza ukasoma ukiwa na Miaka 38

  • @danielshonde5497
    @danielshonde5497 Рік тому +5

    Masomo ya Urubani sio magumu shida mpunga tuuu
    Acha mandege yaongezeke tuwe mafundi tu

  • @adveraprophilio3778
    @adveraprophilio3778 4 місяці тому

    Pressure ya hali ya hewa??????

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 Рік тому +13

    Hata Rais mstaafu wa America George W.Bush hakusoma kabisa physics wala hesabu, lakini akawa pilot wa ndege za kivita marekani

  • @Official83640
    @Official83640 Рік тому +5

    Bora tumjue maana wadada wanavyojibebisha kwenye live zake Insta hatari sana

    • @aminaam281
      @aminaam281 Рік тому

      We 🤣🤣🤣

    • @Hasnspop
      @Hasnspop Рік тому

      @@aminaam281 mda wake wakuwatomba

    • @Official83640
      @Official83640 Рік тому

      @@Hasnspop Yaani hd mwenyewe anakereka anawaambia wanavuka mipaka hd aibu kwakweli

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 Рік тому

      @@Hasnspop 😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜😜

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 Рік тому +1

      Wacha awachinje inavyotakiwa atabloo yy tu huwez shindna na ulipotoka

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +7

    Insta mbona handsome zaidi jmn wadada tumepigwa na kitu kizito huku kama msomar wa sudan kusini kama mmasai yaan anakuja anakataa, ila kule insta anaonekana kama mmarekani 😂😂😂

    • @Official83640
      @Official83640 Рік тому +1

      Ndy nyie mnaouliza umeoa unaishi wapi 🤣🤣🤣

    • @frankmtei3017
      @frankmtei3017 Рік тому +1

      Kwahyo hapo uhendsome umepungua au

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Рік тому +1

      Tumikeni tu ndo muda wa kuwapiga mashine madem...mana videm vya Tz vinataka Six pack mara sijui handsome sasa tulien jamaa aonyeshe ufundi wa Kuto......Mm hata sijui lakin nimeangalia comment nyingi za madem wanamfuatilia live Insta daaaah msiba kweli.

    • @naimanuran2663
      @naimanuran2663 Рік тому +1

      Haifoniiii😆😆😆💔na jua

    • @Official83640
      @Official83640 Рік тому +1

      @@MtuSafi Ila mbona wakaka wapo wengi wanamfatilia hd live wanapiga cm tunawaona wanaingia

  • @BahatiIsmail
    @BahatiIsmail 3 місяці тому

    Nimekuelewa mkuu, hivi ni umri gani sahihi kujifunza urubani?

  • @Bizzy176
    @Bizzy176 Рік тому +2

    Kwani kuendeaha ndege uwe na elimu gani

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 Рік тому

    Pamoja na ndoto lakini bila ela itabakia kua ndototo TU 😥😥

  • @twalibuchilumbe7751
    @twalibuchilumbe7751 Рік тому

    Si sawa na deleva tu lesen tu kama ya Magar sema wanazingua sana

  • @erickmsimbe5424
    @erickmsimbe5424 4 місяці тому

    Mwanangu anatamani urubani shida ni garama

  • @mcmambo8774
    @mcmambo8774 Рік тому +4

    IFIKE WAKATI TUSIWAZIBIE WATU ET MPAKA PGM MBONA HUYU AMEWEZA? TUNAKWAMISHANA BWANA. YAPO MAMBO MENGI YANAYO FANANA NA HILI SO TUCHEK UPYA MITAALA NA TARATIBU ZETU

    • @samwa9496
      @samwa9496 Рік тому

      Ni kweli kufeli shule sio kuwa huna akili ni hizi elimu za kuona huyu afeli tumpe yule kwa kupenda pesa unashangaa unafeli siku unamaliza mtihani tangu msingi hadi unafika 4 upo vizuri unafanya mtihani eti unafeli

    • @izobinyoizobinyo
      @izobinyoizobinyo Рік тому

      Urubani ni kazi kama udereva wa vyombo vingine sema tofauti yake na vyombo vingine vya moto au meli ni ghalama kupata elimu yake.We andaa mil 700 bila kujali mambo ya pgm uone kama ujahitimu.Kwa jamii zetu bado tunamshangaa mwanamke akiendesha gari sababu hivi vitu ndo sasa vinaingia Afrika wakati duniani washaona mambo ya kawaida

  • @trendingfootshorts
    @trendingfootshorts Рік тому +2

    Adi unakua rubani inabidi uandae million 700+ tofauti naapo achana naiyo ndoto

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +3

    Alaf nyie millard ayo achen mambo ya umotiveta spika😀kafika degree mnasema form four mna wazimu au mhaho

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 Рік тому +2

      Yes Hakwenda Advance

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 Рік тому +2

      @@binhussain3445 wamekosea kusema aliyeishia kidato cha nne wakat elimu yake iliendelea

  • @cocotz1892
    @cocotz1892 Рік тому +3

    Tuishi

    • @nemeskimbe376
      @nemeskimbe376 Рік тому

      Ngoja awabwage ndo mtaanza kulalama alikuwa speed mbuzi kaenda sokoni

  • @capvictor2211
    @capvictor2211 10 місяців тому

    Kitu cha kawaida