RUBANI MSTAAFU ANENA MAKUBWA KAZI YA KURUSHA NDEGE "HALI YA HEWA MBAYA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • #uhondo #uhondotv

КОМЕНТАРІ • 35

  • @parma786
    @parma786 Рік тому +1

    Well done my brother I like yours experience as pilot mungu akubariki Amin thanks very much

  • @magazimahushi6417
    @magazimahushi6417 Рік тому +1

    Nimependa mazungumzo ya huyu Capt.Magoti. Ni rubani mzoefu na hana papara. Watu kama hawa ndo wanaotakiwa Tanzania.
    Hongera capt.Magoti. Mungu akupe maisha marefu

  • @mohamedallympungi9898
    @mohamedallympungi9898 Рік тому +1

    Capten mwijuma hongera sana nimepata bahati ya kukuona kwara nyingine mungu akubariki sana ni miaka mingi imepita Ally Mohamed Mpungi

  • @kaburumacha315
    @kaburumacha315 Рік тому +1

    Huyu Rubani amenikumbusha Mzee Butiku. Big up sana

  • @nassoryusuf6923
    @nassoryusuf6923 Рік тому +3

    Mashallah

  • @mohamedhamdan4956
    @mohamedhamdan4956 Рік тому

    MashaAllah captain mzuri sana

  • @habibnjowele7751
    @habibnjowele7751 Рік тому +3

    RUBANI NIMEMWELEWA SANA VIWANJA HIVYO VYA NEWALA, MASASI NA NACHINGWEA NI KWELI NI VIGUMU KWELI ILA SIKU HIZI AFADHALI

  • @leonardsilago4221
    @leonardsilago4221 Рік тому

    Hongera jaji

  • @jirehpatrick5960
    @jirehpatrick5960 Рік тому +3

    Huyu Mshua ninoma

  • @maridadifarid9734
    @maridadifarid9734 Рік тому

    Salute to him, Capt.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому

    Hongera ruban lakin tunataka utupe ya bukoba

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 Рік тому

    Kweli kabisa kwanini utue wakati mahali hapaeleweki vijana wasikuhizi computer zimewafanya kua na mamuzi yakizembe

  • @majaliwamj872
    @majaliwamj872 Рік тому

    Dd

  • @khalfanibobewe4278
    @khalfanibobewe4278 Рік тому +2

    Shida kwamba ni subra

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +3

    Bed weather

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +10

    Mmefeli sana,huyu rubani angetakiwa kutoa tathmini ya hii ajali iliotokea ya precision, mfano, nini kinaweza kua chanzo, ikitokea dharura kipi cha kufanyika, sasa nyie mnaenda hoji rubani atoe historia yake tuu?? Tunajifunza nini sasa??😒

    • @geofreymtasingwa742
      @geofreymtasingwa742 Рік тому +1

      Hajaulizwa swali hilo namuandishi

    • @rukanugachiza4672
      @rukanugachiza4672 Рік тому +5

      Kuhusu ajali ya Ndege iliyotokea Mkaoni Kagera tayari serikali imeunda kamati maalam ya kufanya uchaguzi ili kubaini chanzo Cha ajali, kwa sasa kila mtu akifanya tathimin na kuja na majibu yake inaweza kuleta shida. Kwa utaratibu baada ya kamati kuja na ripoti ndiyo watu wanaweza kuhoji na kutoa tathimin yao kulingana na mazingira ya tukio na ripoti ya kamati.

    • @HotBeautifulGirl269
      @HotBeautifulGirl269 Рік тому +1

      Sio kazi yakeee kuna mamraka inayooo usika na taharifaaaa hzi hap wanakusanya mawazoo tuuu mkuuu

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 Рік тому +3

      Kaeleweka vizuri sana,ukumsikiliza vizuri unapata idea ya what might have been the cause of that unfortunate flight.

    • @stellahmichael789
      @stellahmichael789 Рік тому

      ​@@rukanugachiza4672

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 Рік тому +1

    Huyu rubani ni mwanafunzi wangu alikuwa vzr sana darasani nimemfundisha kurusha ndege huyu ....🤭🤭🤭

  • @abrahamreginald8118
    @abrahamreginald8118 Рік тому

    huyu si ndiye aLiyerusha ile ndege ya shujaa wetu majaliwa jamani!. ila naskia alichomoka na parachuti dadadeki.