MTAZAME RUBANI MDOGO TANZANIA/WAZAZI WANGU NDIO CHANZO/NIMEISHIA KIDATO CHA NNE/NDEGE NI NYEPESI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 кві 2020
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 592

  • @lucyburetta5831
    @lucyburetta5831 2 місяці тому +3

    Hongera sana Rubani wetu. Damu ya Yesu ikufunikie siku zote za maisha yako.

  • @user-qh6ek4kc7n
    @user-qh6ek4kc7n 3 місяці тому +4

    Asee Mimi Ni mama wewe Kama mwanangu Mungu akuinue japo skujui da kweri ukitia Nia yote yanawezekana

  • @user-ne9mq5rc3k
    @user-ne9mq5rc3k 3 місяці тому +2

    Hongera sanaaaa,lakn kwa unavyoelezea tu naona pia na nyumbani pia kuna uwezo wa kipesaa.

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 роки тому +4

    Tunafunguka na elimu na Tanzania bado kunakiritimba nafasi za kusoma zinapatikana kwa kujuwana kijana unafunguwa upeo kwa watanzania. Hongera sana kijana mungu atubariki.

  • @aminielelimringimaro7791
    @aminielelimringimaro7791 3 місяці тому +2

    Hongera sana rubani mdogo kuliko wengine nchini. Nami mzazi ninaye Rubani kwenye familia yangu. PGM ni muhimu ili kuwa rubani. Pia PCM ni muhimu kuwa mhandisi wa ndege. Kila la heri Rubani wetu. Jitahidi kuongeza masaa ya kuruka hewani.

    • @JoyceShilla
      @JoyceShilla 3 місяці тому +1

      Hongera sana kazana usiishie hapo

  • @liliankessy-fx6hx
    @liliankessy-fx6hx Місяць тому

    Asante kwa elimu sababu sikujua haya yote. Mungu akulinde, akusimamie kwenye maisha yako.

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 роки тому +9

    Big up kijana wengine igeni juhudi za huyu mwenzenu. Msihofie malipo Mungu ni mwema kama nia ipo.

  • @happygervas7489
    @happygervas7489 3 місяці тому +1

    Hongera sana mdogo wangu Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaid ❤

  • @IreneNide
    @IreneNide 3 місяці тому +2

    Jitahidi urudishe nusu ya gharama alizotumia baba na mama kukusomesha huko Africa kusini🎉

  • @alfredjoshua8625
    @alfredjoshua8625 4 роки тому +5

    HONGERA SANA RUBANI WETU, UNAHAMASISHA WAZAZI KATIKA KUTIMIZA AU KUHAKIKISHA WAZAZI WANAWASAIDIA WATOTO WAO KUTIMIZA NDOTO ZAO.

    • @LilianKimaro-yv1py
      @LilianKimaro-yv1py 3 місяці тому

      Mimi nina kaschana kangu kana ndoto hyo Mungu asaidie,mana sio Kwa hyo ada

  • @zainabsimbamtoro6790
    @zainabsimbamtoro6790 3 місяці тому +1

    Kaka umenifuraisha sana umenikumbusha Bali nikiwa mdugo ilikuwa Naipenda sana Roket ANaile mistari Mpeni Hongera sana kijana Wetu Mungu Amuongoze lNshallaah 🌹🌹🌹🌹

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 4 роки тому +5

    Aiseeee umenihamasisha sana,kiukweli kila mtu anakuwaga na ndoto ila umasikini ndo unaotufanya tushindwe kuzifikia ndoto zetu

  • @khadijamohamed6853
    @khadijamohamed6853 2 місяці тому

    Hongera Sana mwanangu Mungu akulinde nyakati zote maana wengi hata hawawezi kuwajulisha watu hii elimu kwa kuona Ni wa viwango vya juu. Mungu akubariki Sana Nina mtoto siku zote anatamani kuwa rubani

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 3 місяці тому +3

    Damu ya Yesu ikutunze kijana wetu mdogo

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 роки тому +11

    Safi sana , na hongera sana wazazi wa huyu kijana,

  • @maryntigizu1565
    @maryntigizu1565 4 роки тому +19

    He is very humble.. he really deserve it .. humble people gets far💪

    • @bellhdjdbdjd6495
      @bellhdjdbdjd6495 4 роки тому

      Exactly my dia

    • @khaldiabdallah3993
      @khaldiabdallah3993 5 місяців тому

      Sahan hello. Nauliz Ivo. ATI. Mwenye ndoto izo. Kapata. Phys. D ,math. C, na. Geo B. Inakubaliwa au. Kam. Vip. Natak. No. Za uyo. Ruban. Kupat. Taatif. Zaidi

  • @user-vl1kz6em3x
    @user-vl1kz6em3x 3 місяці тому

    Hongera kaka no maombi ya watanzania wengi ambapo tumekuskilixa mungu akuongoze vema uwe na umakin zaidi na ukumbuke kumuomba mungu zaidi man bi yy usingefika hapo ulipo kwako ni jitihada na ndoto ulizakuwa nazo shukran kubwa Kwa Baba na mama ulinzi wa mungu uwe Juu Yao wavune matunda walioyapanda hongera❤❤❤

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 4 роки тому +3

    Maa shaa Allah
    Hongera sana kijana
    Mungu akuzidishie Elimu na watu wote kila mwenye ndoto yake njema Mungu amuwezeshe
    kuitimiza
    Aamiyn

  • @modestaissa1947
    @modestaissa1947 4 роки тому +7

    Hongera mdogo wangu.MUNGU akulinde ufike mbali zaidi ya ulipo.

  • @liliangabriel3953
    @liliangabriel3953 3 роки тому +3

    Dooooooooh,I like de way He's speaking,ana gud speaking.
    To be Honest I like de Pilot.
    He's gud on Everything.

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому +2

    Safi sana Mdogo wangu..yaaani una wa Inspire wengi...Big up sana

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 4 роки тому +1

    Mashallaah Mungu akuzidishie baraka Wa Tanzania tuko juu kumbe love and all the blessings from Uk

  • @hassanlubola414
    @hassanlubola414 4 роки тому +5

    Hongera sana bro you have made ur dream true

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 4 роки тому +6

    Rubani mdogo Tz umetisha ubarikiwe

  • @steboyswillah6787
    @steboyswillah6787 4 роки тому +2

    Mtangaxaji.kazi.nzr umeuliz mswal.mzr xna pia lubni anafaa kuwa mwalimuu

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 4 роки тому +6

    Damu ya Yesu ikulinde daima...kwa kweli umejua kuiheshimu pesa ya wazazi wako tena kwa muda mfupi ukaelewa vzr sana .Ubarikiwe sana David Matonya.

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 3 місяці тому +3

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika utafutaji wako

  • @liliangabriel3953
    @liliangabriel3953 3 роки тому +2

    Dooooooooh,this guy jmn ana gud Smile as dat.
    God be with Him.

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому +1

    Allah akupe nguvu na ujasiri zaidi uweze kufanya na wengine waweze

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 4 роки тому +2

    Hongera kijana nimekupenda bure kwa uwezo ulio nao umenisuuza sn

  • @peninathomas2190
    @peninathomas2190 4 роки тому +8

    Hongera sana David. Wahongere wazazi wako pia kwa kukufanya ndoto yako itimie. Barikiwa zaidi.

  • @MshauriAbdullaKhamis
    @MshauriAbdullaKhamis 2 місяці тому

    Mungu akubariki zaidi na akuepushe na misukosuko ya safari zako zote kipenzi. Umenihamasisha mwanangu ana 10 yrs aliniambia sana anataka kazi ya urubani. Umenipa moyo lkn hiyo ada nauomba Serikali isaidie hata kama kwa mkopo. Ahsanteni waandishi kwa kusaidia kutuelimisha.

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 4 роки тому +4

    Tanzanian young brother to be Inspired as pilot due to ur story, bro uko vizuri sana, kwa ada hiyo ya mil 200 nimeanza kuotesha miti ili vijana wangu wakifika form 4 niwalipie ada, nilichokupendea unawatia moyo vijana wenzio waione hiyo fani ya upilot inawezekana kama wakiwa na moyo wakujituma kama ulivyo wewe.

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 3 місяці тому

    mungu akufunike kwa dam ya yesu katka safari yako zote uishi maisha marefu

  • @sammasadika8561
    @sammasadika8561 4 роки тому +11

    Mashaallah ongera rubani Allah akulinde🤲🤲😊

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 роки тому +1

    Vidimpozi kakaa mashaallah..umzuri..mngu akulinde na husda za waja wake...

  • @halimaburusi1776
    @halimaburusi1776 4 роки тому +8

    Devid hongera sana mwanangu maana my son called devid to.na ako bright sana shule namuombea nae aje kutimiza ndoto zake km wewe.hongera sana son devid love you

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 4 роки тому +9

    Kumbe ndiyo rubani mdogo, hongera sana

  • @marrywilliam8978
    @marrywilliam8978 3 місяці тому

    Mungu atupe maisha malefu ya ni nimekubali sijui niombeeje natamani nione atawazazi wako niwashukulu jani ningekuwa na uwezo ingeleta zawadi

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 4 роки тому +17

    Mashaallah. Pilot Matonya Allah azidi kukuinua uendelee mbele mpaka uendeshe madege makubwa InShaaAllah

    • @ashwramashallah7242
      @ashwramashallah7242 4 роки тому

      Amiiin

    • @issakafago5531
      @issakafago5531 3 роки тому +1

      Jambo lakwanza nikusapoti bwana matonya atamimi natamani kuwendesha tatizo pesa naskiya ninyingi san

  • @user-ht8tw4zr6j
    @user-ht8tw4zr6j 3 місяці тому

    Hongera sana, Mungu azidi kukuinua, uzidi kupanda viwango vyaa juu

  • @tumsifushoo6400
    @tumsifushoo6400 4 роки тому +11

    Hongera sana kijana,,umenisaidia sana na mimi kujua jinsi ndege inavyotembea angani,Mungu akusaidie ufike mbali

    • @chocolatedrop3968
      @chocolatedrop3968 4 роки тому

      hatari sana mm pia nimejifunza nimepanda ndege sana ila sikujua ina ruka sana. hii no baraka 🙏

  • @barakadicksonkalula3542
    @barakadicksonkalula3542 4 роки тому +1

    David well done kijana ##proud of Dodoma ##proud of gogo tribe

  • @habibagysi5751
    @habibagysi5751 4 роки тому +1

    Mashaallah mashaallah tabarakallah nimekupenda jinsi unavyoongea na huna majivuno mungu akusimamie

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 4 роки тому +3

    Hongera kaka mungu azidi kukufanyia wepesi inshaallah

  • @HalimaMousa-xu3qt
    @HalimaMousa-xu3qt 3 місяці тому

    Mashallwa mashallwa mungu akulinde na husida na akupe afya nzuri nakutakiya Kilala heri kwenye pirika zako na maisha yako 😘🙏🙏🙏

  • @elizalwakatare8070
    @elizalwakatare8070 4 роки тому +7

    Nimejikuta naipenda tu interview nilitamani isiishe na tabasamu 👌

  • @user-cs1jf8mc9g
    @user-cs1jf8mc9g 3 місяці тому +1

    Honge sana kwa kutimiza ndoto zako

  • @emmybassumbul3875
    @emmybassumbul3875 4 роки тому +3

    Great !!!
    TZ Boy
    Mwanangu wa Dodoma !!
    Keep it up

  • @bitishoriziki1113
    @bitishoriziki1113 3 місяці тому

    Mbarikiwe nyote nawapenda sana nyote 🥰🥰👏🏽🤲🏽🙏🏽👌🏽👌🏽 all 😊🎉🎉

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 3 місяці тому

    Ndiyo maana hukutakiwa kuwa rubani mungu hawezi kukubariki kea sababu maombi yako ni mabaya.

  • @lomaboydany7802
    @lomaboydany7802 4 роки тому +1

    Daah honger david mungu akutangulie

  • @aminahamisi2837
    @aminahamisi2837 4 роки тому +1

    Rubani lkn Hana maringo mashaallah Mungu akutangulie

  • @alesarjohn8091
    @alesarjohn8091 4 роки тому

    Oooh, my God, nimekupenda bure, sipat picha mama ako akikuona anajisikiaje, hongera, nakuombea Mungu akufikishe mbali zaidi, na akulinde! big up! Mdogo etu!

  • @pendobaharia6922
    @pendobaharia6922 4 роки тому +2

    Bigup kalumbu brother from another mother

  • @Scorpion08726
    @Scorpion08726 4 роки тому +13

    Ananikumbusha wakati nipo shule kuwa rubani ilikua ni my dream na Hilda Ringo alikua ni role model wangu as the youngest female pilot wakat nipo O-level....but now nasomea udaktari and enjoying my career 😊😊😊😊

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 роки тому +11

    Daaah kweli mungu anajua wakuwapa sipati picha ningekuwa mimi!!ha ha bravo bro huna majivuno

    • @bellhdjdbdjd6495
      @bellhdjdbdjd6495 4 роки тому

      Kabisa yan hadi nimempenda 😁

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 3 місяці тому

      nafikiri cha kwanza,ungeipaisha mpaka kiraeni uwanja wa shule ya msingi kustua wanakijiji😅

    • @Colethabahati
      @Colethabahati 3 місяці тому

      kingereza kingekua kingi

  • @aminamohamed3106
    @aminamohamed3106 4 роки тому

    Hongera Sana mungu akuzidishie Kila laher ufanikishe ndoto zako

  • @machoonline304
    @machoonline304 4 роки тому

    Mwanang katisha kweli kasoma sio mjanja mjanja!!! Daa ndege kutoa moshi nimependa jibu lake na jibu la frequency!! Salute bro

  • @annaglorykabuni6890
    @annaglorykabuni6890 4 роки тому +1

    Hongera sana kaka mwanangu anapenda sana kua pilot natumaini siku moja atakua

  • @rehemagisunte1271
    @rehemagisunte1271 4 роки тому +7

    Hatariii may God bless you🙏

  • @alexandershauri2704
    @alexandershauri2704 4 роки тому

    Aaaiii poa sana my bro duuuuh pilot 👨‍✈️ wetu uyooo.

  • @exalttarimo5083
    @exalttarimo5083 4 роки тому +3

    Ooh kumbe wazaz wake walikuwa wanasafir sanaa nje.aya sisi wakwetu wanachoma mikaaa basi tutawauzia mikaaa sanaaaaa

  • @irenesikha7636
    @irenesikha7636 4 роки тому +2

    Mungu akusaidiee ufike mbaliii

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 4 роки тому +5

    Congratulations 🎊 and God bless you my kaka

    • @safijuma3148
      @safijuma3148 4 роки тому

      Hongera sana pilot mungu akutangulieee

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 роки тому

    Yaani natamani ningepata mtu wa kunielekeza nilikuwa napenda kusomea urubani ila dah ndio imeshakula kwangu umri umeenda, hongera sana kijana.

  • @wemamoses7836
    @wemamoses7836 4 роки тому +3

    Hongera sana kaka aisee msalato sasa inawasomi

  • @racheljuma2064
    @racheljuma2064 4 роки тому +4

    Mungu akutie nguvu Dav #Dasen Endelea kukua kiroho,kimwili na kiakili zaid
    Na hongera sana kwa kupigania Ndoto yako.#Be Blessed

  • @erasmuskwayu5643
    @erasmuskwayu5643 3 місяці тому

    Nzuri sana ...nimeipenda haya mahojiano

  • @zbtn517
    @zbtn517 3 роки тому +1

    Hivi kumbe wagogo hawavumi kumbe wamo🤗

    • @user-ht8tw4zr6j
      @user-ht8tw4zr6j 3 місяці тому

      Siyo huyu tu, alikuwepo na ki Jana mmoja anaitwa Aman mgogoro, alikuwa ni balaa, alipata ajali ndege ikaanguka morogoro alifariki tukamzika mkonze Dodoma, ndiyo kwao.

  • @nusaibahrobert638
    @nusaibahrobert638 4 роки тому

    mashallah mungu amuongoze kwa kila jambo aje kutufuata huku tusha choka kutizamana na waraab

  • @FatumaMsumari-wv7gm
    @FatumaMsumari-wv7gm 3 місяці тому

    Mashaalah kijana mstaarabu sana,,Allah akuhifadhi

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 4 роки тому +5

    Kaka unajielewa sana unajibu maswali kwa busara sana

  • @mauwarashid4823
    @mauwarashid4823 4 роки тому

    Ongera sana rubani wetu mungu akubariki kaka yangu

  • @jrarsatety1467
    @jrarsatety1467 4 роки тому

    Very nice, god bless you David Matonya

  • @azizachudah9806
    @azizachudah9806 4 роки тому +1

    Na alivyo handsome ivyo lazima asumbuliwe😩, mi mwenyw nimependa😝🤗❤️

  • @emmanuelkornel4440
    @emmanuelkornel4440 4 роки тому +1

    Mpaka uive kwel big up brother

  • @captendunga1392
    @captendunga1392 4 роки тому +3

    Sauti iko chini sana bana na nyinyi media kubwa hivo mnashindwa kubalanc sauti mnashindwa na MBENGO ON LAIN.. sema acha kumkufuri mungu dogo maisha yako so ya kawaida bwana usijilinganishe na sisi ada ya milion 200 ndo unasema maisha ya kawaida acha uongo mshukuru mungu kwa maisha ya familia yako yalivo au hujawah kuwaona watu wenye maisha ya kawaida?

    • @Cambarada
      @Cambarada 4 роки тому +1

      CAPTEN DUNGA ukiachana na hao wanao omba like wewe ndo umeandika kitu hapa

    • @marymbwambo6595
      @marymbwambo6595 4 роки тому

      Mwambie maana mm nimeshtuka hiyo ada

    • @user-ht8tw4zr6j
      @user-ht8tw4zr6j 3 місяці тому

      Wengine wanapata wafadhili wana wasapoti

  • @Wamikogo
    @Wamikogo 4 роки тому +20

    Hongera kaka kwa kuwa na baba mwenye akili anae kusikiliza mm mwenyew niliutaman ila baba yangu kanipeleka kusiko julikana

  • @asimwetheonest5280
    @asimwetheonest5280 4 роки тому

    Aise mungu akuzishiye maarifa zaidi na zaidi

  • @assilaa2007
    @assilaa2007 4 роки тому +9

    Hivi ni mim tu nd nahis saut ndogo sanaa! Ama sim yng jmn saut ndogoo mnooo ,,,,but honger bro God bless you 🥰🙏

  • @afterx3172
    @afterx3172 4 роки тому +7

    DAAH BROTHER SIAMINI KAMA N WEWE LAST TIME (2013) DCT MVUMI TULIKUWA TUNAPIGA STORY PALE ANNEX PUB DOMITORY ULKUWA UNASEMA ONE DAY UTAKUJA KUWA RUBANI NILICHUKULIA EASY BT DAAH SIAMINI MZEE BIG UP XANA MGOGO WA KWANZA KUWA RUBANI MWANANGU DAVID MATONYA

    • @shabanabdallah6895
      @shabanabdallah6895 4 роки тому

      Duh

    • @neemamsuta2650
      @neemamsuta2650 4 роки тому

      Aisee Ni zao letu tunajivunia dct sec kutoa rubani itangazeni shule huko mliko

    • @haidaromar2079
      @haidaromar2079 4 роки тому

      Masha Allah

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 4 роки тому

      Walishakuwepo,sema hakukuwa na mitandao
      Kijiji natoka alikuwepo rubani wa ndege za jeshi

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому

    Mungu atakusaidia ndg yng kwenye kazi yako

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 роки тому

    Ma sha Allah Allah akusimamie in sha Allah

  • @officialnurukftmusic3442
    @officialnurukftmusic3442 4 роки тому +1

    Mungu atakupa nguvu fanya kazi broo usilembe kazkaz

  • @hellenshayo3454
    @hellenshayo3454 4 роки тому +3

    Hongera sana mdogo wangu mimi mtoto wangu yuko darasa la 3 anapenda sana kuwa rubani

  • @priscakaaya1177
    @priscakaaya1177 4 роки тому +2

    HONGERA UTAFUFUA NDOTO ZA WENGI KIJANA MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @rashidahmed7504
    @rashidahmed7504 4 роки тому +2

    masha allah mungu azid kukuongoza kama ila nimependa tabacam lako na uchezi wako 😙

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 3 місяці тому

    Hongera sana Ruban na watangazaji.

  • @hellenelias8854
    @hellenelias8854 4 роки тому +1

    Hongera sanaa, very humble

  • @ZanzibarTanzania-hc4sy
    @ZanzibarTanzania-hc4sy 3 місяці тому

    Hongera baba m mungu kulinde na hassad

  • @user-dw1lv3pe3i
    @user-dw1lv3pe3i 3 місяці тому

    Hongera sana kijana umebobea maelezo yako yamenyooka

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 6 місяців тому

    Hongera sana. Humble boy God bless you

  • @leilathomas4950
    @leilathomas4950 4 роки тому

    Hata Mimi nilikuwa naita loket duu hongera sana devi

  • @banguha
    @banguha 3 місяці тому

    Kwanza uyu kaka katulia sana hata maelezo yake yamenyooka kuna wengine wakina kuhojiwa wanakuwa na mbwembwe nyingi hata mjibu yanakuwa hayajanyooka wanakatisha watu tamaa uyu anaeleza vzr sana kumbe hata unachosoma darasan sio kitakachotumika ktk masomo yako ya uruban haviusian na upande wa ada kanyoosha maelezo wengine wana mizunguko mingi kujibu swali la ada asnte bro

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 4 роки тому +6

    Hongera sn mdogo wanting mwenyezi mungu akijalie uishi udum

  • @placidchaka214
    @placidchaka214 3 місяці тому

    Matonya,kichwa kimetulia!HONGERA.

  • @pendojackison8822
    @pendojackison8822 4 роки тому +2

    Halee karumbu mulungu alumbwee na kuwa baba bora kwa wanao baadae kama baba na mama yako kwa kukusikiliza na kutimiza ndoto yako

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 2 місяці тому

    Wagogo tuko juu hongera mwanakwetu matonya wa dodoma

  • @stellandege5594
    @stellandege5594 4 роки тому

    Hahhaah nmecheka sn kuhusu mstri du !!!nmekuelewa bro💪👊🙏