HUTOAMINI SIRI ZILIZOJIFICHA KWENYE AIR FORCE ONE NDEGE YA RAIS, KUZUIA MABOMU, CHUMBA CHA SIRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @idrishassan9547
    @idrishassan9547 3 роки тому +47

    Yote hayo ni Mambo ya dunia ila.mwisho wake ni kaburini Tu tumuombe mungu atupe mwisho mwema

  • @rajabsospeter7666
    @rajabsospeter7666 3 роки тому +5

    Asante

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 роки тому +1

    Nice

  • @henrypeter6874
    @henrypeter6874 3 роки тому +4

    But when the day comes nobody can dodge that

  • @isayamgaza7716
    @isayamgaza7716 3 роки тому +5

    Naona mnajitahidi kubishana na Mungu lakini
    Kamwe hamtoweza, maana maamuzi ya Mungu ni zaidi ya hio secrepa yenu mlio itengeneza,, ni kama mnamuogopa mwanadamu lakini hamumuogopi Mungu, siku zenu zinahesabika,, maana mtakuja kuiona hio ndege kama karatasi litakalo ungua kwa sekunde moja, na hii yote mnamuogopa mwanadamu kwa mabaya munayo mtendea bila hatia yoyote ile, adhabu ya Mungu kwa kuingamiza roho yake alioiumba ni theruth ya sekunde..

    • @gunbizzo1970
      @gunbizzo1970 3 роки тому +2

      Una ushahidi au bando bei nafuu

    • @abdul-bz1cy
      @abdul-bz1cy 3 роки тому +4

      watu wenye wivu na wavivu ndio kauli zenu hizo

    • @isayamgaza7716
      @isayamgaza7716 3 роки тому +1

      Hebu niambieni kua huo ulinzi wote huo wa hio ndege wamemkwepa mwenzi Mungu au wamewakwepa wanadamu! Na unaogopa nini mpaka kujiwekea ulinzi Kama huo! Au pesa zimekua madafu! 🤣🤣🤣,,

    • @ndiiyolazaro769
      @ndiiyolazaro769 3 роки тому +2

      Ujaambiwa wanashinda na mungu

    • @gadluck4362
      @gadluck4362 3 роки тому +1

      mambo ya Mungu yametoka wap tena mzee

  • @sirmswagiro9485
    @sirmswagiro9485 3 роки тому +2

    Kizuizi cha kutoa roho mbona hakuna ¿¿¿

  • @msaniithebarber1297
    @msaniithebarber1297 3 роки тому +3

    Finally uzeen watakufa tu dunia nimapito...tuwacheni kubabaika ....

    • @husseniamiri2159
      @husseniamiri2159 3 роки тому

      Acha usenge we hutakufa acha wivu dogo fatuta hela

    • @v_i_p1109
      @v_i_p1109 3 роки тому

      @@husseniamiri2159 mm cjaona wivu hapo na ukimwelewesha mtu usimtukane kwan ni wazo lake

  • @bwiganeuswege2366
    @bwiganeuswege2366 3 роки тому +2

    Gharama si kitoto ni zaidi ya $1 billion ndege ya gharama kuliko zote dunia

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 Рік тому

    Je inauwezo wa kuzuia kamikaze iliyofanya maajabu ukrein?

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 роки тому +4

    Lol. Waafrica kama tupo kwenye ulimwengu mwingine ivi,,,, Wenzetu wapo kwenye technologia kubwa, sisi ndio tunazindua matundu ya vyoo na mawaziri.

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 5 місяців тому

    Hakuna wa kushindana na marekani katika Dunia hii wengine wanajitahid kuiga wanaishia kufanya maigizo tuu

  • @wilfredkuyonza675
    @wilfredkuyonza675 3 роки тому +5

    Kama ni siri wewe umejuaje

    • @husseniamiri2159
      @husseniamiri2159 3 роки тому +1

      Shule ulienda kula vishet dogo msikilize vizur kasema INA usiri ndani yake MKUBWA ila yy kakudokezea anavyovijua

  • @nusrathussein521
    @nusrathussein521 3 роки тому

    Mmmh

  • @alykhan9054
    @alykhan9054 3 роки тому +4

    Miaka 100 ya magufuli amuielezei wasenge nyiee

  • @hamishalidy9090
    @hamishalidy9090 3 роки тому

    Hili ni balaaa

  • @emmanuelyenderew7684
    @emmanuelyenderew7684 3 роки тому

    Chumba mahalum chakujificha rais huitwa escape pord acha ushambaa

  • @maswimadaraka3818
    @maswimadaraka3818 3 роки тому

    😳😳

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 роки тому

    Mmh nihatari

  • @BakariAlly-dm1vf
    @BakariAlly-dm1vf 5 місяців тому

    Putin ndo dawa yao

  • @sondayumbu6502
    @sondayumbu6502 3 роки тому

    Na ya Samia inaulinzi Kama huo

  • @aburayhana7614
    @aburayhana7614 3 роки тому +1

    Ona VITUKO VYA DALADALA, Kubambiana, kutongoza, wizi
    ua-cam.com/video/aP90gvbTFEM/v-deo.html

  • @maryammohd5994
    @maryammohd5994 3 роки тому

    Magufuli air force.. Au chato air force... Me thimooo

  • @dawinlemarkerlemarker2143
    @dawinlemarkerlemarker2143 3 роки тому

    Hahaha washa uongo,,,wewe ulijuaje

    • @johnsonbernald11
      @johnsonbernald11 3 роки тому

      Unadhani wewe na huyo mnaendana? Alipofikia huyo wewe ni miaka 2000 upambane

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 3 роки тому +2

    INGEKUWA SIRI USINGEJUWA WEWE HIZO NI SIFA ZAKE TU

  • @mosesmtumishi3818
    @mosesmtumishi3818 3 роки тому

    U

  • @jenniphermwakasita6830
    @jenniphermwakasita6830 3 роки тому

    Kujazwa mafuta angani daah

    • @abdul-bz1cy
      @abdul-bz1cy 3 роки тому +1

      takribani ndege zote Air Force zinauwezo wa kujazwa mafuta angani huku zinatembea

    • @donardmsomi8451
      @donardmsomi8451 3 роки тому

      Inajazwaje mafuta ikiwa angani? Process gani zinatumiwa

    • @khalidmnjovu4463
      @khalidmnjovu4463 3 роки тому

      @@donardmsomi8451 ndege maalumu yenye tank za mafuta hujaza ndege nyingine, hata badhi ya ndege za kivita zinamfumo huo.. kwaajili ya usalama na kuokoa muda. Zikikutana zinaenda kwa speed inayofanana na kupitisha pipe kutoka kwenye ndege sheli 😃😃😃 kwenda kwa ndege mteja. Mfumo wakufungua na kufunga tanks zinakuwa ni za kielectronic

  • @namandamzuma5478
    @namandamzuma5478 3 роки тому

    Ahahahaaaaa.....sina neno

  • @aboubakarahmad234
    @aboubakarahmad234 3 роки тому +3

    Ila mmesahau Mtoa roho kokote anapita

  • @ezekielmubofu234
    @ezekielmubofu234 3 роки тому

    🚮🚮🚮

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 роки тому

    ULIWAHI KUFANYA INTERVIEW NA MAREHEMU SIR ANDY CHANDE KATI YA 2012-2013.
    VIPI TUNAIPAJE INTERVIEW HAPA. ITAPATA VIEWERS WENGI SANA.

  • @mabruksaidi6674
    @mabruksaidi6674 3 роки тому

    Nice