Hataji mabaya anataja sifa zao nihaki yao kutajwa mbona mapinduzi yana sherehekewa kila mwaka ?? Mbona hamsemi yasiadhimishwe kwa sababu uanatonesha bidonda ??ndio kwanza mnasherehekea wacha ataje sifa zao tuzijue hizo anazo eleza huyu Mzee Ni sifa sio ubaya kama ni ubaya waambieni wasisherehekee mapinduzi Huyu Mzee anaelezea mapinduzi ambayo ndio damu yenu na mnaifurahia kila mwaka
Tupe tusiyoyajua maana hata hayo tulikuwa hajui baba tufumbuwe macho na dhuluma ufisadi wizi kumbe iko zamani CCM wanaendeleza tu mkubukeni Allah iko siku mutakwenda kujibu muliyoyanya
✌️👊👍.
Mitandao itafichua mengi
Hatari
Hataji mabaya anataja sifa zao nihaki yao kutajwa mbona mapinduzi yana sherehekewa kila mwaka ?? Mbona hamsemi yasiadhimishwe kwa sababu uanatonesha bidonda ??ndio kwanza mnasherehekea wacha ataje sifa zao tuzijue hizo anazo eleza huyu Mzee Ni sifa sio ubaya kama ni ubaya waambieni wasisherehekee mapinduzi
Huyu Mzee anaelezea mapinduzi ambayo ndio damu yenu na mnaifurahia kila mwaka
Baba sema uwone kitakacho kukuta
Tupe tusiyoyajua maana hata hayo tulikuwa hajui baba tufumbuwe macho na dhuluma ufisadi wizi kumbe iko zamani CCM wanaendeleza tu mkubukeni Allah iko siku mutakwenda kujibu muliyoyanya
we mzee usitaje mabaya ya maiti ni kosa kubwa sana kua na heshima
Wameyaka wenye kuuwa na kuifanya ufisadi katika ardhi ya zanzibar
Yeye anayelezeya histoire yalompitia
Funga mkundu wako mshenzi wa CCM wewe...Ukweli unauma eeh
Yatengemea na huyo maiti
Wewe mpumbavu sana wanatajwa vita ya badru je mavamizi ya zanzibar mkundu wewe au ndiwo mulofanya mavamizi nyinyi wamakonde
Definitely for life wewe bwege sana.
Kama huna mchango basi kaa kimyaaa.
Mambo ya firauni au hitler
Yazungumwa mpaka leo. .
Suleiman Said Allah atakulipa Amin