17 Yalomkuta Saleh Sadalla
Вставка
- Опубліковано 11 бер 2016
- Saleh Sadalla aligombana na Karume kwa sababu ya mwanamke. Karume alimtukana Sasalla kwenye kikao cha baraza la mapinduzi. Karume kataka kumpiga Sadalla na Sadalla akataka kumpiga risasi Karume, hakufaulu. Kwahivyo Sadalla kafungwa na baadae Karume kamuua.
Allah akupe pepo ya hali ya juu kabisa shehe Aman Than kiukweli mlipata mateso makubwa sana.
Allah(SW) akuweke mahali pema peponi amin. Haya mambo hayasemwi na wanaendelea kupotosha ukweli huu kwenye misingi ya elimu.
Watesaji wateswaji wote wameshafika kwa Hakim muadilifu
sasa kiduchu nimeanza kupata ukweli wa mambo yalivyokua wakati wa utawala wa serikali ya kwanza ya mapinduzi. inaonekana tulivyosomeshwa skuli sivyo kabisa.
Allah mrehemu mzee huyu kwa kutupa ukweli wa mambo na umuingize kwenye pepo yako tukufu.
Mwenyezi Mungu anatufundisha:
"Wanataka kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu anakataa ila aitimize Nuru yake ijapo kuwa makafiri watachukia." (9:33)
Na Abraham Lincoln anatuambia:
"Unaweza kudanganya watu kwa muda mchache na baadhi ya watu milele, lakin huwezi kudanganya watu wote milele"
@@MzeeBarwani ,
Baada ya miaka 3 najibu message yako. Allah akubarik.
Kila nikipata muda humaikiliza marehemu Thani, hakika katufumbua macho.
Naomba Ruhusa Kuzitumia Hizi Video zako Ndugu yangu, Zitasaidia sana Kusaidia Tanzania Kuona Umuhimu wa Kujali haki.
MZEE THAN WAS SO GENIUS
kumbe wakati wa utawala wa mwanzo yalifanyika mambo mazito
Wamegeuka mbogo wakaanza kulana wenyewe kwa wenyewe dhambi ya damu bana
✌️👊🙏.
Inshallah kher
Ukweli ni huu kuusuta ni uwongo
Yule baharia alikuwa mshenzi sana
Na kizuri walifanyiana ubaya wenyewe kwa wenyewe.
Eti tunamuondoa muarabu madhalim wakubwa washirazi wangapi muliwaangamiza
Kumbe mambo ndivyo yalivyokua hivyo
wazee wali teseka san jamani
Unamutoleya rais bastola. ? Unafikikiya nn. ? Kisa kuma za Kizanji za wote haya limekukuta majuto mjukuu yote hii elimu Dunia angekuwa nayo yasingemukuta Karume hajasoma harafu unashindana naye
Wamegeuka mbogo wakaanza kulana wenyewe kwa wenyewe dhambi ya damu bana