KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA - 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 76

  • @mariama1490
    @mariama1490 7 років тому +9

    Tulidanganywa Ila ahsante sana sheikh Aman Thani, Allah anakulipieni Kwa dhulma mliofanyiwa, malipo ni duniani, znz na Tanzania haiwezi kuendelea Kwa dhulma na damu zilomwagika za watu walokua hawana hatia, Kwasasa tumeujua ukweli, hatudanganyiki tena na historia zao za uongo.

  • @samirs764
    @samirs764 4 роки тому +3

    Pole sanaa mashekhe Allha atakulipa frdausi inshallaa kwa sote

  • @halimaomary7158
    @halimaomary7158 7 років тому +7

    ahsante sana sheikh amani thani hakika ukweli ni lazima usimame mola amekulinda ili upate kusimulia ukweli huu.

  • @drnow1528
    @drnow1528 Рік тому +3

    Nyerere na Karume wako Jehanam

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 7 місяців тому +1

      Sasa munokaa mukamsifu karume hiyo ndio ilokuwa amali yake mukikaa father K father K kumbe hivi ndivyo alivyokuwa akiwazalilisha wazanzibar kwa kutaka sifa kwa nyerere na baadae hawo wazanzibar waloshirikiana nao kufanya Mapinduzi kawatafuna sijui kina Twala mdungi ussi : karume alikuwa ni mtwana kutoka Mawawi alishirikiana na jahili mwenziwe

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 7 місяців тому +1

      kumamamae ningekuwa mimi ndio huyo kinyozi ningeanza kumnyoa nyele za nyuma na hilo bichwa ningelinyambuwa kwa viwembe kama uso wa mmakonde kwa sababu mwanzo alishirikiana na majajili kuwadhalilisha wazanzibar

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 7 місяців тому

      aaa Diria kibaraka wa nyerere
      sasa ulipapa faida gani au ulikuwa ukijipendekeza

  • @yaakoubmohammedalbarwaniy716
    @yaakoubmohammedalbarwaniy716 8 років тому +7

    Mola akuhifadhi ewe Aman ibnu Thani.

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 2 роки тому

    Waswahili...wapwani...waislaimu...tuamkeni tulidhulumiwa... Bilaal from Tanga

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Рік тому

      Mpaka leo tunadhulumiwa.

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 роки тому +3

    Ahsante sana Mzee wetu.

  • @asilclub
    @asilclub 7 років тому +6

    الله يحفظك يا شيخ امان ثاني

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 4 роки тому +1

    Laaanatullah
    Kila aloshiriki mapiinduzi
    NA kila anae sherehekea
    Mapinduzi laaanatullah

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 3 роки тому +1

      Waliuliwa kinyama ilfu ishirini uvamizi ungereza NA nyerere waarbu ni watu wawema waaslaam wenzetu NA wote hao ni wazaliwa zanzibari ni wanainchi watu wa oman ni watu wawema sana sio watu wamagomvi wanzetu tu wanatupenda wala sio wazungu wala americani wamechinjwa kama mbuzi

  • @hassanally9468
    @hassanally9468 6 років тому +3

    Ahsante mzee wetu kwa kutufunza Allah akulipe kila la kheri na akujaalie jannat firdaus yawe ndo makazi yako

  • @muhammadmochenje1409
    @muhammadmochenje1409 Рік тому

    Nyerere in nadhani uko alipo mola anamlipa na karume mwenzake

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому

    DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 9 місяців тому +1

    Hakika sichoki kusikiliza historia hii tamu yenye kusikitisha juu udhalimu waliofanyiwa ndugu zetu wazanzibari

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 8 місяців тому

    Subhanallah, sasa wako wapi hukmu mbele ya haki

  • @ashuraatanas5967
    @ashuraatanas5967 6 років тому +3

    Simulizi hizi sichoki kuzisikiliza ahsante Mzee aman thani

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 6 років тому

      Is that you who may I know Bint Atanas?

    • @yusufige7030
      @yusufige7030 5 років тому +1

      miye vile nimesikiya haya nikiwa mdongo kwa maalim yetu sheikh mohamed Ahmed mzee wa mcomoro chunya

    • @davidmpulumba4039
      @davidmpulumba4039 2 роки тому

      Hata mimi dada angu

  • @mariama1490
    @mariama1490 7 років тому +6

    Hawa ccm wameanza kuongozwa na vilaza toka zamani na ASP, alianza Baba Yao ndio maana hawataki wasomi Hadi leo. Maendeleo hayaji Kwa ubinafsi kama huu. Roho inaniuma wallahi Kwa hii historia.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 6 років тому +2

    Mwenyezi mungu atawalipia na atawapa hao wapinduzi wanacho stahiki kutokana na waliyoyafanya
    Allah ni muadilifu na ni hakim Wa mahakim

  • @negwakomwasanyula6951
    @negwakomwasanyula6951 8 місяців тому

    Daaaa😢😢😢😢😢

  • @yaakoubmohammedalbarwaniy716
    @yaakoubmohammedalbarwaniy716 8 років тому +5

    Mola akurehemu

    • @hzalloo
      @hzalloo 8 років тому +2

      IT LOOKS like nyerere approved all the crimes that karume and the members of MBM,committed and till today no apology or aknowledgement by CCM for the atrocites,but the paradox is the same is reapeted now by the people in power in Zbar,who were subjected to terror and now are commiting the same!!!

    • @jamalnassib2679
      @jamalnassib2679 8 років тому +2

      ť.

  • @Abu-Khalid-
    @Abu-Khalid- 5 років тому +1

    42:00: Abdullah Kassim Hanga

  • @alikabeya138
    @alikabeya138 3 роки тому +1

    Zilikuwa Serikali za madhalimu sana, makatili wakubwa na wauwaji

    • @husseinfarid2883
      @husseinfarid2883 3 роки тому +1

      na ndio iko madarakani mpaka leo, inshort since 1964 till now same story

  • @franciscoivo1591
    @franciscoivo1591 Рік тому +1

    She sijalala juzi toka saa Tatum mpaka saa kumi na Moja asbh nakusikiliza,kumbe mapinduzi yalikuwa hivyo... it's shameful

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    👊✌️🙏.

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 10 місяців тому +1

    Huyo mzee hataongopa kumbe watoto wadogo hawajui thulma hiyo kwa zanzibari eti ni waaslaam au waarabu sasa hao waarbu walijikuta wamezaliwa hapo hapo toka miyaka mia tisa 900 iliyopita ni wananchi tu walipendwa hata hawajui kiyarabu wala hawajui kwao wala hawakwenda ni mashutara tu hata mama zao waafrika

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 років тому +2

    Allah akurehem huko uliko

  • @bawhizzy6202
    @bawhizzy6202 3 роки тому

    Nimeumizwa sana na historia hizo

  • @sirzicco
    @sirzicco 2 роки тому

    Nasikitika sana kwa kuchelewa kukufahamu, Mungu awe nawe

  • @hassanburhan9796
    @hassanburhan9796 4 роки тому +1

    صدقتا، صدقتا

  • @mussaali2707
    @mussaali2707 6 місяців тому +1

    Huyu mzee bado hupo dunia 3:52

  • @kilosa2000
    @kilosa2000 5 років тому +3

    Allah atawalipia na waliowadhulumu Allah atawahukumu milele

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 роки тому

    Alla yuko pamoja na walio dhulumiwa⁰

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 5 років тому +1

    Hakuna sharia. Mpaka sasa

  • @abdullkilawi5504
    @abdullkilawi5504 8 років тому +4

    Fallen hero's

  • @alikabeya138
    @alikabeya138 2 роки тому +2

    Hizi Serikali zetu udhalimu ulianza siku nyingi, wayatendayo sasa wamerithi na wamezoweya kutesa na kuteka watu aka Torture and Abduction

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 2 роки тому

    Subhaanallah 😢

  • @yusufige7030
    @yusufige7030 5 років тому +1

    wasema kweli kabisaaa mfumo kristo

    • @mwinyimvuaomari5616
      @mwinyimvuaomari5616 2 роки тому

      التقوا الدعوة المظلوم فإنه ليس بيها وبين الله حجاب،ويقول عز وجل لانصرنك ولو بعد حين،

  • @franciscoivo1591
    @franciscoivo1591 Рік тому

    Nimejua history ya Zanzibar aseee

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 20 днів тому

    Ahmed Diria alikuwa ni mbwa sana

  • @alimohd8427
    @alimohd8427 2 роки тому +1

    Kumbe yule Idiria alikua mshenzi?

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 роки тому +2

    auwae kwa upanga ufa kwa upanga, karume alikua mshenzi sana

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 4 роки тому

    Yu
    You are right

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 Рік тому +1

    kiukweli haha mambo bado hayajaisha yapo kila chaguzi tumeshuhudia ata mashehe wa uamsho waliekwa ndani miaka 10 unguja na tanganyika mbinu zao mateso yao ni yale yale Alla azilipe damu za bibi na Babu zetu

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 4 роки тому +1

    Ccm kuuwa na kudhulumu
    Kupo Ndani ya damu yao
    Tunawauliza ccm hawa wananchi wanotajwa wako jela gani akina
    Hanga, othman sharif, mdungi ussi. Jimy Ringo, saleh sadaka,jaha ubwa
    NA wenzao wapo wapi???

  • @bekajr4463
    @bekajr4463 5 років тому +2

    Wallah roho yaniuma sana

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 роки тому

    Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu awa laani kila alie husika na mambo hayo. Allahumma ameen yaarab

  • @gresmorutatinisibwa7210
    @gresmorutatinisibwa7210 4 роки тому

    Daah! Hadi Mandela Kumbe Sio

  • @isaackiptoo5833
    @isaackiptoo5833 Рік тому

    You mean Zanzibar ilikuwa hivi? Na vile nilikuwa nikimheshimu Karume?
    Yenye tulisoma kwa GHC huku Kenya ni opposite! Poleni wazanzibari.

    • @muhammadmochenje1409
      @muhammadmochenje1409 Рік тому +2

      Historia za shuleni nyingi hazina ukweli urongo mtupu na kuwasifu makatili eti wapiganiaji uhuru sijui baba wa taifa lakini wapi ndio waovu wa mwisho

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 років тому +1

    Walio dhulumu walio dhulimiwa wote mbele ya hakki

  • @zainabkhatib6509
    @zainabkhatib6509 5 років тому +2

    Hakika malipo wayatapata

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Рік тому

    Huu utamaduni wa kupiga watu hadharani unatoka wapi?

  • @aginiwetandala2305
    @aginiwetandala2305 23 дні тому

    Hicho kitabu kinaitwaje

  • @Abu-Khalid-
    @Abu-Khalid- 5 років тому +1

    28:38 Saleh Saadallah

  • @asilclub
    @asilclub 7 років тому +4

    صبرا ال ياسر موعدطم الجمة

  • @asilclub
    @asilclub 7 років тому +3

    اللهم ينتقم من كل من عذبكم يا شيخ

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 9 місяців тому

    Hakika sichoki kusikiliza historia hii tamu yenye kusikitisha juu ya udhalimu waliofanyiwa ndugu zetu wazanzibari

  • @bawhizzy6202
    @bawhizzy6202 3 роки тому

    Nimeumizwa sana na historia hizo

  • @AmraniRamadhani
    @AmraniRamadhani 9 місяців тому

    Hakika sichoki kusikiliza historia hii tamu yenye kusikitisha juu ya udhalimu waliofanyiwa ndugu zetu wazanzibari