9 Kutoka kwa Mandera Kurudi Jela
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2016
- Bwana Aman Thani Fairuz anaendelea kueleza yaliyompata Zanzibar ya MAVAMIZI. Baada ya kuadhibiwa na kupigwa na Mandera huko kwa Bamkwe mpaka kakaribia kufa,amerejeshwa jela. Kufika jela wameambiwa mumehukumiwa kufungwa miaka kumi tena.
Jela wamefika kutoka kwa Bamkwe viongozi wa Afro-Shirazi, Abduaziz Twala, Mdungi Usi, Jaha Ubwa, Ngwengwe na mzee Abbas Kenyata. Pia wameletwa Saleh Masta, na Mohamed Amor Barwani.
Allah atawalipa madhalim hao na wao wamesha fika mbele ya haki walifikiria wao wataishi milele
Haya wameyaficha kisha wanifanya km hawayajuai laanatuAllha
Kesho kiyama kuna mambo wallai
Inna lillah wainna ilaih raajiuun.Allah atawalipa inshaallah
Allha wajaalie hawa pepo ya frdausi
Jaman kumbe hali ili kuwa mbaya sana
👍✌️👊.
Pole Mzee
Subhanaallah
Shkhe Allha atakulipa
Lakusikitisha mpka kesho ccm
Wanaendeleza kuua kwa kweli
Dunia hii tunapita tu walouliwa
NA walioua wote wapo mbele ya Allah walo baki hai hata 100
Hawafiki
Inasikitisha sana
karume na nyerere walikua wauwaji na waikuta hesabu yao mbele ya allah