Pitio la Kitabu: Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Kwa lugha nyepesi ya Kiswahili fasaha, Kiunguja, Ibrahim Mohammed Hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa Rais wa Kwanza wa iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, na Mwenyekiti wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Mohamed Said na Mohammed Ghassani wanakipitia kitabu hiki kipya kilichochapishwa na Buluu Publishing baada ya kuhaririwa na Mohamed Saleh na kuwekewa dibaji na Ahmed Rajab. Karibu.
nitakitafuta inshaAllah. shukran kwa ufafanuzi, Allah awalipe kheir
Wallahi inasikitisha na kuliza. Dhulma haiwezi kudumu!
Asalaam aleykum bb daah baba ww umeleta kitu ambacho nilikuwa najiuliza maswali bila majibu kupata lkn ww umenipa majibu yenye kuutosheleza moyo wangu yn ni huzuni kubwa sana kwa ndgu zetu wa zanzibar maelf ya wazanzibar wamepoteza maisha bila sababu masikini ya mngu eeh mola wetu tunakuomba yalipe hya madhalimu yaliyotendeka ktk nchi hii yarabi naumia sana kusikia hzi hbr ijapokuwa mimi si mzanzibar lkn wale ni binadam kama nilivyo mimi wallah inauma sanaa
Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Kuna ulazima wa mambo haya kusimuliwa na kuelezwa kila mahala ili sisi kizazi cha leo tuyajue kwa sababu kuna mengi ambayo tulikuwa hatuyajui.
Hakika
Watawala hawataki vizazi vya Leo wajue ukweli wa udhalim uliofanyika Zanzibar,wanajua kuwa ni dhuman isionamfano
Hapana aliejifunza kwa sababu Serikali inayaficha ili watesaji wazidi kutesa watu kwa maslahi ya CCM
Nakipenda Kiswahili cha Zenji jamani. Kina vionjo vyake vilivyojaa Lahaja busara za mtu mwenye hekima kama kiarabu vile. Waooo!
Hakina tofauti na wazaliwa wa visiwa vya Kenya
Wapi tutakipata kitabu na kiasi gani
Allah awalinde na akupeni umri mrefu na akulipeni heri nyinyi na familia zenu na akupeni husni hatma njema ameen
Baba sheikh mohammed said wallah ningelijua unapatikana wapi ningelikuja mpk ulipo nije angalau siku moja tu huenda kichwa changu kingetulia kutokana na maswali niliyonayo kichwani mwangu mzee said mngu akupe kheir na barka tele kwani tulijazwa ujinga mwingi sana vichwani mwetu yani mauaji ya ndgu zetu umwagaji wa damu za watu leo iwe ni utakatifu kwa waliotekeleza mauaji ya watu kwa ajili ya maslahi ya mtu fulani iwe ni utakatifu,!!!!insh allah mngu ndie atakayelipa pia tunaomba aziweke roho za ndgu zetu mahala pema peponi Aamin
Nakumbuka marehemu Aunty khadija baramia alilia siku ya mwanzo kuiimba hii nyumba nakumbuka nilikuwa mdogo
Mashaalah jazakallah kher
Nafikiri tukipe jina kabisa hcho kitabu cha " walio jifanya waungu watu" Mwisho wa maji n'tope
Shekh mohd lazima ujue kama wengine hawana uwezo wa kukipata hicho kitabu,,tunategemea hivi vipindi vyenu kuelimika,,sasa mkificha baadhi ya vitu muhimu ,mnatughini sana
Ndio maana Zanzibar (Unguja na Pemba) haikai sawa wala haina barka kwa dhulma na mabaya walofanyiwa. NCHI imejaa watu lakini hawaijuwi nini Zanzibar na wangeijuwa kweli Zanzibar basi wote wangekimbia.
Dunia Mapito na hawa wauaji watakufa Watayakuta waliyoyatenda
Mungu akupeni afya yenye neema...na baraka 1:19
Pole bi khadija
Na yeye pia ameshatangulia
@@FadhilyOthman Mungu awalaze pema. Amin
Hassan leo nimependa sana jinsi video ya leo ilivyo clear
Wallah machozi yananitoka wallah tena
Zanzibar yarudi kwa bamkwe😂
Mwandishi ana hekma nzuri hataki fitna yaani ukimjua mtu alokutesea mtu wako itakua kisasi.anakuacha kwenye suspense utambue mwenyewe
Ungemuachia jusa akakichambua kitabu bila kuficha
Alf mabruk Muhammad Said. Kazi kubwa umeifanya.
Inauma na inasikitisha mnoooo la kushangaza mpka leo yanaendelezwa licha ya watu kushinda kwenye vibla vya misikiti kila ijumaa lkn wanaendeleza mauaji mabakaji na ulawiti kila siku za uchaguzi zanzibar na wakubwa hawasomi
Good alhasan
Kama pataandikwa mwisho wa watesaji kina Mandera itakuwa ni somo tosha . Nakubaliana na wazo la muandishi alomuandikia sh. Mohammed said. Na wewe kaka Mohammed Ghasan ulisimamie hilo.
Tunanunua wapi kitabu hichi, kupitia kitabu hichi tuletee Jussa
Samahani kaka ghassani hvo vitabu vyko vyote uloandika na hvi vinavoelezewa mm niko dar navipata wapi navitaka
Naomba kujua kitabu tunaweza kukipata wapi?
Kitabu hiki kinapatikana wapi ?na thamani yake ngapi ?
Kwenye kitabu hichi tuletee Jussa atupe Raha
Hichi kitabu kinapatikana wapi
HILI NI KOSA LA WAZANZIBARI WOTE TUMEIDHARAU HISTORIA YETU BAYA ZAIDI TUMECHOMA MABUKU YOTE ILI IWE SIRI YAO
So sad kwakweli
Mbona musifanye vikao vya ana kwa ana kama inawezekana?
Meza moja ina utamu wake.
Ni kama kuangalia mpira kupitia T. V na kuwa kiwanjani kujionea mwenyewe
Mmmmmmmmmmmhhh
Kaka tushamiss vipind kma hivi ni mda san
Yani tmevimis sana, Kuanzia Prof Ibrahim Noor, Sheikh Riadh Al busaid, Sheikh Abdul Mutalib (Mutta)Miss them badly!
Kilipigwa stop kuzinduliwa ilikuwaje tena? Kinapatikana kweli
Kinapatikana online kupitia Amazon
,Jina la kitabu please na kinapatikana wapi kwa gharama zipi please 🙏
@@imraniqbal00765 www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4
Dhulma haidumu Yana MWISHO haya
Upuuzi
Ni sawa andika kilichowakuta
Tunaomba kujua wapi tutakipata hicho kitabu
@@nassoromarelbajouny4462 www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4
Thanks bro@@GumzolaGhassani
kitabu kama hicho kwa Zanzibar tunakipata wap
Tupo sawa
Wapi kinapatikana
www.lulu.com/shop/ibrahim-mohammed-hussein-and-ahmed-rajab-and-mohamed-a-saleh/baraza-ya-majestic-na-machinjioni-kwa-bamkwe/paperback/product-gjgkyde.html?q=Ibrahim+Hussein+&page=1&pageSize=4