S O L - 7 season II KUSIMAMISHWA KWA UPENDO, SIMULIZI ZA MAPENZI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 36

  • @user-tc8zn1sl6s
    @user-tc8zn1sl6s 24 дні тому +2

    Ubarikiwe 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 24 дні тому +4

    Wapili 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @user-kd4cx3rp3m
    @user-kd4cx3rp3m 24 дні тому +2

    Wow 🎉🎉ndani ya mjengo😂😂❤❤❤

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 24 дні тому +2

    Nisawa tu ..Heri tuko nawewe hadi kieleweke

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 24 дні тому +3

    Ubaya wako heri hutilii manani maneno umeambiwaa na karo ...sasa wewe kendy unalia nn mshezi tuuu mmoja huezi kumsikixaa mwezako umeboa sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 24 дні тому +3

    Yani moyo wangu unaenda mbio utafikiria mm ndo heri. Baisa unafanyia mwingine hivyoo jamani😳😳😳😳😳😥😥😥😥😭😭😭😭😭😭 masikini kendy jamani masikini pole jamani..lkn siku moja ukweli utajulikana tuuu

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 24 дні тому +2

    Hakika nimesha fika kwani muda ndio huu acha nikae nisikilize

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 24 дні тому +2

    Huyu kendy kwann hakumsikiza heri hajui mwisho utajua ukweli na mybe utakua amechelewaa... pili kendy Caro alikuambia heri anampenda lkn hukulifanyia kazi

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 24 дні тому +2

    Izi sehemu mbili zimenihacha na Machozi 😭😭😭😭huku mwishoni nimepata Faraja kuhona mtahalamu wetu anahenda kujuwa ukweli hote ila mwisho wazambi ni mahuti itawakuta hote hapo mwisho

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 24 дні тому +2

    Huyu Kelly amefanya vixuri sana amemwambia ukweli kabisaaa heri

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 24 дні тому +4

    Rafiki wa leo ndo adui wa kesho (lugiko)…adui Wa leo ndo rafiki wa keaho (hija)….. ukimchukia mtu asimchukie kupitiliza na ukimpenda mtu usimpende kupitiliza ✊

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 24 дні тому +2

    Kweli karma huwa haiwachii mtuu salama Caro utajutia shauri yako mwambie tuu ukweli tena ukisema vibayaa naona hiyoo group itakufanyia vibayaa

  • @bintimrope
    @bintimrope 24 дні тому +2

    Hayaya wacha tuone ila daah😢😢😢❤❤

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 24 дні тому +2

    Siku zote ukiwa mwema basi wema utakufata nyuma hatimaye wema alio mfanyia Hija ummfuata kwa kumueleza ukweli kuhusu usaliti adui aliye jivicha kwa kivuli cha urafiki

  • @user-fp8gf3ik8p
    @user-fp8gf3ik8p 24 дні тому +2

    😭😭😭😭🤭🤭🤭🤭🤭🤭daaah. Dunia. Haina. Ulum🎉🎉🎉🎉😢😢😢

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 24 дні тому +3

    Ndani ya mda shukran sana director kwa mwendelezo

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters 24 дні тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 24 дні тому +1

    Candy naye wala hata kufikiriya amekubali moja kwa moja kuchunguza kitu atakapo juwa ukweli atabaki na ukumu lake mwenyewe lakumwendekeza baisa

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 24 дні тому +3

    Kwanini Sasa nalia 😭😭😭😭🙌🙌🙌

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 24 дні тому +1

      Kwasababu heri kasingiziwaa mm pia nimelia jamani moyo unauma utafikiri ni mm

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 24 дні тому +1

      @@nurafedrick378 Dah hiki kipanda cha Saba kimeniliza kwakwel

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 24 дні тому +2

    Wa kwanza leo ngoja tuone wasaliti wanavojinadi

  • @user-ct8kv9gs8s
    @user-ct8kv9gs8s 24 дні тому +2

    Taste d oen

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 24 дні тому +3

    Hv candy umeshindwa kabisaa kukaa ukaihusisha halmashaur ya kichwa chako na umeamua kuachana na mtaalam wetu😔😔umeyasahau kabisa maneno alowah kukwambia kwamb chcht utakachokisikia kuhus yy usiamin moja kwa moja bila kuchunguza kwanza daaah ila sawa bhn ndivyo ulivyoamua😒😒

  • @RosemaryChemli
    @RosemaryChemli 22 дні тому

    Kaka unazingua achia bas kituicho tuinyoi

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 24 дні тому

    hijja muokoe mtaalamu kwenye njia yamapenzi😢😢😢😢nimeumia adui mkubwa ni rafiki wakaribu😢😢😢

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 21 день тому

    Hi 😢😢sehem imenitowa machozi

  • @msimhassan
    @msimhassan 23 дні тому +1

    😭😭

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 21 день тому

    Caroo pumba sana 😢😢

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 22 дні тому

    Nimutihani ila yatapita tupemwisho basi kikuraco rafiki munafi😭😭😭😭

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 24 дні тому +5

    Izi sehemu mbili zimenihacha na Machozi 😭😭😭😭huku mwishoni nimepata Faraja kuhona mtahalamu wetu anahenda kujuwa ukweli hote ila mwisho wazambi ni mahuti itawakuta hote hapo mwisho

    • @ayshaothman3995
      @ayshaothman3995 19 днів тому

      Polesana kwauchungu Mbona H Ninyingi sana😂😂😂

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 21 день тому

    Caroo pumba sana 😢😢