Sijawahi kukupinga jaman simulizi zako zinanifundisha mambo mengi sana silent killer uje chapu uchukue maua yako uyanuse angali uko hai yaan unajua halafu unajua tena jaman hongera sana
Hap d'oen tutakwenda sambamba maan kweny hz za malavidav unanimalizaga wee so wa mchezo mchezo kaka pia pongez zang nying zimfikie silent killer kwa kutuletea vitu vizur Allah ampe maisha marefu
Shukran Sanaa kaka d'oen simulizi mpya jamn naon kali alafu d'oen tusaidie leo utupe mbili siku hizi unatu acha na hamu kama leo nilijua nilie ya ule mama atauwa ona sasa leo ni mpya ten
Guys nime mic kusikia simulizi za kifalime 😊 naomba watunzi wa simulizi mix watu andalie simulizi ya kifalime jamn 😊😊 walio mic kusikiliza simulizi za kifalime tafadhar mikono juu🤚🤚🤚🤚
Natamani kutuma voice ili munielewe zaidi mupate kunikumbusha ilikuwa simulizi gani maana inashabiana na hii.wanamke na mumewe alichelewa kupata mtoto na kupitia shindikizo la familia alifanya maigizo ya ujauzito na kupanga mipango na daktari ili siku ya kujifungua waibe mtoto. Ila mipango Yao haikufaulu lkn mwishowe walipata mtoto ametupwa na mama mmoja aitwae bi Maryam aliekuwa km changudoa. Huyo ndie akawa anaziba pango na ule ujauzito fake. Km mwakumbuka huyu mama baadae alipata ujauzito na kubarikiwa kijana. Hapo Sasa ndio matatizo yalianza. Kulikuwa na mambo ya umiliki wa kampuni.... Kupigania mschana pia Yani ilikuwa story tamu Sana. Basi shabiki yeyote wa simulizi anikumbushe au Kaka oen nikumbushe Jina la hio simulizi
Nami stori hiyoo naikumbuka nzuri sn titre sijuwi inaitwaje kama ndoo tajiri mudogo sijuwiii daaah ila sombaya story Nzuri tu yaani kama hujawahi sikiliza basi unaweza kuyipata pia huku UA-cam kuanzia mwanzo hadi mwisho Hapahapa simulizi mix ❤❤❤❤
Bila shaka kila mtu ashapata team yake mm team L
Huyo mama namwanae wanataka kumuua mxee ili wamiliki campany. Sijui kama mtafaulu. Mm team Lewis damu
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao 😂😂😂😂
Wow thanks so much we miss guy silent killer
Nzuri sana
Sijawahi kukupinga jaman simulizi zako zinanifundisha mambo mengi sana silent killer uje chapu uchukue maua yako uyanuse angali uko hai yaan unajua halafu unajua tena jaman hongera sana
Young bilionea
Hap d'oen tutakwenda sambamba maan kweny hz za malavidav unanimalizaga wee so wa mchezo mchezo kaka pia pongez zang nying zimfikie silent killer kwa kutuletea vitu vizur Allah ampe maisha marefu
Tumo ndani
Wa kwanza 😮
🙏🙏🔥
👌🏿👌🏿
❤❤❤❤❤🎉
Naikubali sana ❤
❤❤❤
😂😂😂😂hii nizaid ya burudan❤. Asante mtunz na D. Oen
Ok kwa ajili ya mapenzi boss asante
Aya sasa tuanze na kitu kipya🥳🥳🥳🥳❣️
Sauti ndogo bro
Shukran kwako mtunzi silent killer na msimuliaji D oen na wanasimulizi mix wote kwa jumla kwa burudani swafy ❤❤,😂😂hope leo sijakosea Jina la mtunzi
💃💃💃💃🌹🌹🌹Asate sana simlizi mix d oen Mbalikiwe sana
Uyo 😂😂😂😂
Asante sana simulizi mpia 😊
Saf sanaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mutuekee 1 na 2 jmn cku izi mnaachia moja moja
Wanatukatili kweli
🥳🥳🥳🥳🥳piga keleleeee kwa SILENT KILLER Wetuuuuuu weweeeeee 🥳🥳🥳D hiii yako 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘❤
Weweee mambo ya silent killer haya, ata kama niko busy aje i must listen
Because of love mm hapo niko pamoja mpak mwisho❤❤❤❤
Nakupenda kaka D❤
😂😂😂😂domiii penz ni km kikohoz huwez kuficha kusikia tu lewis ana mchumba umevurugwaa
utamu utamuni ausioo pamoja Sana wadau❤
Silent killer ur back again,huwaga sipishi smx zake kwa kweli 👌👌👌❤then D'Oen awe nyuma ya maic🎤ndo hpa ss enjoy 😊
Huyu mtunzi hadithi nyingine zinaitwaje?
@@epifaniamponda6050 peniela,scandal,I miss you, Jamii ya siri,kwa kweli ni nyingi tu ndugu yangu sna tena tamu sna🥰🥰
@@epifaniamponda6050
My Valentine, Bora nife, I miss you, Bora ungesema, if I die & Kichaa kwa ajili yako. Zipo humu humu Simulizi mix
Shukran Sanaa kaka d'oen simulizi mpya jamn naon kali alafu d'oen tusaidie leo utupe mbili siku hizi unatu acha na hamu kama leo nilijua nilie ya ule mama atauwa ona sasa leo ni mpya ten
Shukrani ❤❤🎉
Wadau kweli hamlali kabisa😂😂 natumai mko salama 🤝 vipenzi vya simulizi mix
𝙽𝚊𝚊𝚖 𝙰𝚕𝚑𝚊𝚖𝚍𝚞𝚕𝚒𝚕𝚕𝚊𝚊𝚑 𝚝𝚞𝚔𝚘 𝚜𝚊𝚕𝚊𝚖𝚊 ❤❤❤❤
Guys nime mic kusikia simulizi za kifalime 😊 naomba watunzi wa simulizi mix watu andalie simulizi ya kifalime jamn 😊😊 walio mic kusikiliza simulizi za kifalime tafadhar mikono juu🤚🤚🤚🤚
I hope kutakua na part 2 saa saba sio
Asant sana kwa simulizi mpya japo beet ya simulizi ilinishitua nikajiuliza Felix Mwenda FM na simulizi za asubuh wapi na wapi😂😂😂
Natamani kutuma voice ili munielewe zaidi mupate kunikumbusha ilikuwa simulizi gani maana inashabiana na hii.wanamke na mumewe alichelewa kupata mtoto na kupitia shindikizo la familia alifanya maigizo ya ujauzito na kupanga mipango na daktari ili siku ya kujifungua waibe mtoto. Ila mipango Yao haikufaulu lkn mwishowe walipata mtoto ametupwa na mama mmoja aitwae bi Maryam aliekuwa km changudoa. Huyo ndie akawa anaziba pango na ule ujauzito fake. Km mwakumbuka huyu mama baadae alipata ujauzito na kubarikiwa kijana. Hapo Sasa ndio matatizo yalianza. Kulikuwa na mambo ya umiliki wa kampuni.... Kupigania mschana pia Yani ilikuwa story tamu Sana. Basi shabiki yeyote wa simulizi anikumbushe au Kaka oen nikumbushe Jina la hio simulizi
Tunakumbuka story lakin kukumbuka jina ndo inakua mtihani
Nami stori hiyoo naikumbuka nzuri sn titre sijuwi inaitwaje kama ndoo tajiri mudogo sijuwiii daaah ila sombaya story Nzuri tu yaani kama hujawahi sikiliza basi unaweza kuyipata pia huku UA-cam kuanzia mwanzo hadi mwisho
Hapahapa simulizi mix ❤❤❤❤
Yong bilinea
Young billionaire au tajiri mtoto hatar iyo simulizi
❤❤❤❤
Tamenza siku na because of love ❤