BINTI LISA - PART 82

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 чер 2024
  • Wote watatu walizungumza na kutaniana. Ilikuwa ni muda mrefu sana hawakupata wakati mzuri vile.
    Kwa kweli, kifo cha Charity kilikuwa kimewatia wasiwasi Lisa na Pamela. Kila walipokuwa wakikumbuka kumbukumbu hizo, walijihisi wanyonge sana.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 277

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 2 місяці тому +32

    Isiwe shida sana muhimu binty lisa yupo kwa hewa tupite nayo kwa like waungwana kwa pamoja sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Linalina-mo8xg
    @Linalina-mo8xg 2 місяці тому +41

    Tunaoisubili milele sehemu ya mwisho Kwa hamu kubwa tujuane😂❤❤

    • @user-wt2nj2lv5z
      @user-wt2nj2lv5z 2 місяці тому +1

      Anko tupee muendekezo bac... 😢😢

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому +1

      🙏🙏🙏🙏🏃

    • @user-dp7bf5ss4y
      @user-dp7bf5ss4y 2 місяці тому

      Mpaka nimeisaau

    • @DorcasMuomba-gd3sw
      @DorcasMuomba-gd3sw 2 місяці тому +1

      Tunasubili jela ya mapenzi iyo milele tunasubili 🎉🎉🎉 Zaidi ni Binti Lisa ndio kiboko

  • @aminakiondo-gh9el
    @aminakiondo-gh9el 2 місяці тому +100

    Tuliomisi milele gonga like

    • @nahimanahawa
      @nahimanahawa 2 місяці тому +6

      Acha kuulizia milele maana ukiulizia tu ndo inazidi kukawia muacheni mi nimeipa wiki 1 ila ikizidi duuuh sitokubiria tena

    • @jasecsjasecs5775
      @jasecsjasecs5775 2 місяці тому +2

      But now day's ankojay anatutesa sana jamani but ankojay ukiendelea ivi unaeza kupoteza shapiki zako maana tunasubiri hadi kieleweke jamani tuuzie simulizi refu kama binti liza lakini izi fupi tutunukie jamani​@@nahimanahawa

    • @yalalakashindi4594
      @yalalakashindi4594 2 місяці тому +1

      Tumehiss kweli kweli Anko anatutesa sana 😂😂😂

    • @HawaaAbbas
      @HawaaAbbas 2 місяці тому +1

      ank simuliz ya milele lin jmn tumeinis

    • @magrethjilya7663
      @magrethjilya7663 2 місяці тому +2

      ​@@jasecsjasecs5775 hvi kwan anauzaga shingap dear 😢

  • @fadhiliachinda418
    @fadhiliachinda418 2 місяці тому +19

    Wakwazaaa familia ya Lissa
    Like zangu my love’s ♥️♥️♥️♥️
    Nawapenda sanaaaaaa

  • @MoshiMoshi-qy8dq
    @MoshiMoshi-qy8dq 2 місяці тому +38

    Team viporo mko poa gongen like hapo kama mko poa 😊😊😊tunajivunia chanel yehu pendwa

    • @lonakirao5275
      @lonakirao5275 2 місяці тому +1

      Lazima tujivunie kula viporo bwana😂😂😂 tupo poa labda hii

    • @umi-je4qm
      @umi-je4qm 2 місяці тому +1

      Tuna vumilia tuuu kwa anko kutupuza 😢😢😢

    • @AaAa-jw6ue
      @AaAa-jw6ue 2 місяці тому

      😅😅😅😅

    • @user-zj7hd6sg3y
      @user-zj7hd6sg3y 2 місяці тому +1

      Tuko pamoja dear❤❤❤

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu Місяць тому

      Viporo huwa vitamu sanaa wengine washakula kitambo alafu sisi tunakula huku tunapitia maoni yao napata ladha halisi😊😅❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 2 місяці тому +22

    Charity nimekuvulia kofia😂😂,,wangapi tunafurahia kwa chesta kupewa funzo na Charity ama ukipenda unaweza kumuita Elizabeth 😂😂

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 2 місяці тому

      Jeuri zake mfukon shenzi sana huyo chesta

    • @user-nn7vp7yu2g
      @user-nn7vp7yu2g 23 дні тому

      Yan ninomasana kuliko wotee😂kaninyooshea mtu mbadi😂😂

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 2 місяці тому +25

    Team viporo come come 😂😂kitu kipya kwa anko J simulizi ❤❤🎉🎉 na like kidog jomon 😢😢

  • @user-qj9ig6bw2n
    @user-qj9ig6bw2n 2 місяці тому +21

    Asante ankoj kwa mwendelezo wa bint Lisa ngoja niisikilize nikiwa npo jikoni kwa mwarabu napika😅😅 team fulus gongeni like hapa najua nanyie mpo majikoni😂😂

    • @user-fu6ew1jb6e
      @user-fu6ew1jb6e 2 місяці тому

      Ww km mm napk huk napta budan napga pas huk napta burdn cjip prsha mm😂😂😂😂😂😂

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 2 місяці тому +30

    Kama mtaninyima like ni sawa

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 2 місяці тому +13

    Ndio naingia online swa swa na notification ya BINTI LISA❤❤❤❤

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 2 місяці тому +12

    Wadau WA anko jay munasikia simulizi motomoto 💥 imebamba like nitapata ata tano Tu,

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e 2 місяці тому +13

    Wakwnz team viporo like zng🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 2 місяці тому +12

    Waa leo nimekuwa wa 100 sijuwi nifanye wap nitume voice ❤❤❤❤ ankojay🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉from kenya 🇰🇪 😍

  • @amissanzeyimana3895
    @amissanzeyimana3895 2 місяці тому +15

    Jamani nimewah😂😂 ila wanao isubiri milele kwahamu tujuwane 🎉🎉🎉

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому +12

    ❤❤❤1tim viporo njoon sahem ya82 leo nimewahi namuwah charty binti hodar hana mbambamba shukurani kwa jomba wanjo na ankojy mapesa nyie watu mwaka mmeugawa kwautam toka umeanza binti lisa inazid kua tam na🔥🔥🔥💯 wanda na wapenz wa ankojy gonga hapo bs🙏🏃

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому +2

      Ankojy mujomba wetu tuonee huruma sisi familia tupe kiporo Cha milele sio eti hatutak kukushika mkono huko vlp ilatu nihal navile mwezie huu ulivo namikimiki nazani unaelewa tupe tuneomba

  • @AishaJuma-wd8xd
    @AishaJuma-wd8xd 2 місяці тому +9

    Alvin na Lisa nawapenda sana

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 2 місяці тому +11

    Asantee anko jay shukrani tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo surprise 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 team alvilisa tunasonga mbele team Elizabeth tunapambana

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 2 місяці тому +10

    Kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love .

  • @violetmulya
    @violetmulya 2 місяці тому +9

    Wale wa kusubiri viporo hatimae tumekumbukwa leo❤❤❤

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 2 місяці тому +9

    Ahh wa 3❤❤❤❤
    Mauwaa Ankoooò

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 2 місяці тому +7

    Ahsante anko Jay
    Ligi imeisha plss anko Jay usitusahau sana tutakufa na stress wenzio

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +13

    TEAM VIPORO WEZANGU MPO HAYA TUJUANE LIKE 10 VIPORO WEZANGU 😂😂😂

  • @user-hk9jo2pp9n
    @user-hk9jo2pp9n 2 місяці тому +7

    Tumesubiri sana Ank jey mbona viporo tutakoma kusubiri embe chini ya mnazi ila twashukuru watuletea kazi nzuri🙏❤

  • @violethezekiel251
    @violethezekiel251 2 місяці тому +8

    Waooo! Asante Anko Jay, Mungu akubariki

  • @user-wy3mo9fg6k
    @user-wy3mo9fg6k 2 місяці тому +6

    Aiseeee siku imekuwa sawa sasa asante kwa simulizi❤❤

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 2 місяці тому +6

    Wale wote tulokuw wamwishoo gonna hapa😊😂 tupate mautamuu🎉❤

  • @user-rh6vp7bx1u
    @user-rh6vp7bx1u 2 місяці тому +7

    Jmani nipeni laki maana sjachewa sana 🎉🎉🎉🎉

  • @yalalakashindi4594
    @yalalakashindi4594 2 місяці тому +15

    Wapili like jamani 😂😂

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 2 місяці тому +7

    Nyie watu muko faster kwli 😂😂😂😂

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 2 місяці тому +8

    😂😂😂😂😂😂 chesta chesta mbona utaisoma namba kaa kwakutulia maana nimwendo wakukutia adabu chezea charity wewe 😂😂😂😂😂

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 місяці тому +6

    Asante anko j kwa kutukumbuka sisi wanyonge

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 2 місяці тому +6

    Hod hum ndani asante kipenz chetu anko jay

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 2 місяці тому +6

    Bwana anko Jay simulizi unatunyima usingizi lkn pia ahsante sana❤❤❤❤

  • @MishyYusuph
    @MishyYusuph 2 місяці тому +10

    Nimewahi na mm leo,Ahsante sana Anko kwa muendelezo wetu huu mzuri wa bint Lisa, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤️.

  • @EliasMwakanyamale-ru9zt
    @EliasMwakanyamale-ru9zt 2 місяці тому +6

    Safi sana anko jay MUNGU mwema azidi kukupa afya njema

  • @zainabmohamed9439
    @zainabmohamed9439 2 місяці тому +7

    Hi guy leo miye number one

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 2 місяці тому +7

    Wa mwisho jamani nipeni pole kwa kuchelewa😂😂

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 2 місяці тому +6

    Wow Anko J good job❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-th7rl5bt3e
    @user-th7rl5bt3e 2 місяці тому +5

    Asantaaa sanaaa ankoo jay wetu kipenziiii hoyeeeeee

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 2 місяці тому +6

    🇨🇦 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦Toronto Ontario mpo tujuane hata wale wa Hamilton tujuane❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MsallamDule
    @MsallamDule 2 місяці тому +6

    Wakwanza leo tujuane kwa like

  • @user-cw8uo1jp6m
    @user-cw8uo1jp6m 2 місяці тому +4

    Team wa vipolo mkuje hapa kwa simuliza Asante sana anko Jay

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 2 місяці тому +4

    Asante Ankojay 🙏 listening 🎧🎧 from 🇰🇪🇰🇪❤❤❤

  • @user-xc4tn4lu7t
    @user-xc4tn4lu7t 2 місяці тому +6

    Duh kweli Pata pesa tujue tabia yako 😅😅

    • @user-yk8em1bh8g
      @user-yk8em1bh8g 2 місяці тому +1

      Wanawapa somo wameteseka mno 😁😁😁

  • @florenceakoth8700
    @florenceakoth8700 2 місяці тому +5

    Leo mapemaaa❤❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 2 місяці тому +7

    Morning everybody naona mmewahi 😂😂😂😂❤❤❤❤

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i 2 місяці тому

      Chartty anatufamya tusilale chesta anapewa somo lake apate adabu nakujua kuifunga zip kwa umakini

  • @user-cp5fp8gx8c
    @user-cp5fp8gx8c 2 місяці тому +4

    Kitu ndani ya njengoooo! Sante sana Anko jay kipenzi cha wengi.

  • @SalamaMwaga-co3st
    @SalamaMwaga-co3st 2 місяці тому +5

    Nimempenda kipande cha Alvin na Lisa kitandan

  • @fideanamadengwa3391
    @fideanamadengwa3391 2 місяці тому +6

    Asanteeee nitalala sasa

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 2 місяці тому +3

    🤭😂🤣 Yan family Lisa wetu atakama nimechelia kwakweli lakini siombaa Acha 🪑🎧 niinjoi AnkoJay ahsante Sana 💐💕

  • @user-yl4zp5qd7t
    @user-yl4zp5qd7t 2 місяці тому +6

    Barikiwa saana kipenzi chetu❤❤❤❤❤

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 2 місяці тому +2

    Mwendo wakobe jaman cjuwe nimchelewa cjuwi nimewahi familia ya anko jay simulizi nipen like ht 2 tu🎉🎉🎉🎉

  • @user-pj5zp1zr4o
    @user-pj5zp1zr4o 2 місяці тому +8

    Naomba like atakama nimechelewa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 2 місяці тому +6

    Asante sana ankojay Allah akujaalie afya njema Inshaallah ❤❤❤❤❤❤❤

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 2 місяці тому +4

    Thanks ankojay mapesa tuna kupenda sana 🥰🥰

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo 2 місяці тому +3

    Asante anko wetu tunakupenda sana Kwa simuliz tamu sana❤❤❤sisi tuendelee kuinjoi

  • @madawakemikali776
    @madawakemikali776 2 місяці тому +3

    Ankojjjjjjjjjjj kpz nakupenda nitakupa yoteeeee namaanisha big lunch bby wangu angusha 83 maana tayari nimemaliza 82 plzzzzz

  • @latifaalfa1034
    @latifaalfa1034 2 місяці тому +4

    Yaan dah anko naon umegoma kutuletea milele😥

  • @FatmaHassankhamisi
    @FatmaHassankhamisi 2 місяці тому +3

    Asante anko jey 🪑🪑🎧🎧🎧🎧🇴🇲👏👏👏

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 2 місяці тому +6

    Elizabeth umekwenda mbili mnooooooo kwanini usimsamee bwana choka kwa ni yy alikuwa ajui Sara ndio alikuwa chanzo Cha ww kupitiya hayo yote yy aliwateka wanaume wote watatu ivyo alikuwa sio niya yake umelipa na inatosha usilipe ubaya kwa ubaya nilipa wema na nenda zako akika imetosha msamee bwana choka 😂😂😂

    • @user-rw6tu9wn3m
      @user-rw6tu9wn3m 2 місяці тому

      Kwali kabisa

    • @neronystudios1928
      @neronystudios1928 2 місяці тому

      Bado sijalizika, Chester ana dharau sana inatakiwa apewe somo zaidi na zaidi

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu Місяць тому +1

      Ngoja dawa imuingie kwanza kama wengine dawa ilivyowaingia kila mtu karma lazima imfikie acha huruma , wamezoea kunyanyasa wanawake

  • @user-fv5se6iu9r
    @user-fv5se6iu9r 2 місяці тому +4

    Asante sana ank J

  • @user-vv6en8nh1c
    @user-vv6en8nh1c 2 місяці тому +3

    Tumeikuta Binti Lisa jamani tumeimisi haya twende kazi tumsikilize anko jay

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 2 місяці тому +3

    Woyooooo tunayoyoyomatu mambo 🔥🔥🇴🇲🇴🇲 Anko jay shukran 🙏 sana Kwa mwendelezo kwani uwongo wanapitwa mautamu

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 місяці тому +6

    Ahsante

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 2 місяці тому +3

    Asante sana anko J be blessed broo nakupenda nakupenda nakupenda sana napenda kilaaaa kitu kutoka kwako 😅😂

  • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
    @ChristinesifaRuwa-jx4qw 2 місяці тому +3

    Niko ndani na mm nmewahi waaaah maajabu jamani haya tusikie sasa

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 2 місяці тому +5

    Wakwanza mim leo

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 2 місяці тому +3

    hila pia Lisa na Pamela pia Sasa wameaza kuwa na jeuli kwa waume zao hii ni jeuli ya pesa 😂😂😂

  • @user-bc8so6tt8i
    @user-bc8so6tt8i 2 місяці тому +3

    Jamani alvini nakupenda sana wewee tushindanie kitandani

  • @sadatsadiq5183
    @sadatsadiq5183 2 місяці тому +3

    Asant sanaa ankojay 🎉❤

  • @vailethmwakipesile6698
    @vailethmwakipesile6698 2 місяці тому +3

    Chart upendo unanguvu Sana ngoja tuone my kipi unafanya 🎉🎉😂

  • @user-vm5gq7nz3s
    @user-vm5gq7nz3s 2 місяці тому +4

    Lete raha

  • @Asiaabdull
    @Asiaabdull Місяць тому +1

    Like kwa Tim Lisa Pamela na charity a. k. a Liz hakika walipitia milima na mabonde ss malipizo kwa wanaume zao waliowatenda😂😂

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 2 місяці тому +1

    Asante sana Eliza kwa kumpapresha chestar, aya tunasubiri bonge la arusi ya Alvlissa

  • @user-di5td5gt4u
    @user-di5td5gt4u 2 місяці тому +2

    Leo mapemaa sana tu❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @joyfayla12
    @joyfayla12 2 місяці тому +5

    Nimewai jamani

  • @user-hb4jh2rr7w
    @user-hb4jh2rr7w 2 місяці тому +1

    aucle jmn tunakupenda 💞sana vip kuhusu Rodney wetu jmn apone bc umemsahau sana😔😔😔

  • @mumbikibathi7036
    @mumbikibathi7036 2 місяці тому +5

    Mumbi Wa Naivasha Ndani Ndani likes

  • @aminah9557
    @aminah9557 2 місяці тому +2

    Wangapi wamefrahia ukweli wa charity kwa Lisa na Pamela

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 місяці тому +2

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao ankojy

  • @shakiramohamed8824
    @shakiramohamed8824 2 місяці тому +3

    Nime fika jamani ❤❤❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 23 дні тому

    Nice story be blessed anko Jay Asante sana kaka yetu ankooooo ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-xz6wb1hp7n
    @user-xz6wb1hp7n 2 місяці тому +2

    Kweli hakuna mkate mkavu mbele ya chai chesta kapatikana😅😅

  • @user-tv6ii7pc4z
    @user-tv6ii7pc4z Місяць тому

    Eliza kazi nzuri sana kumpa Chester somo 😂😂😂umetumia njia nzuri sana Anko Jay Asante Kwa kazi nzuri ❤❤❤

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 2 місяці тому +2

    Kabisaa alvin

  • @sabrinarashid7990
    @sabrinarashid7990 2 місяці тому +4

    Shukrann anko jay uishi miaka mingi inshalah❤

  • @Pendokayuni
    @Pendokayuni 2 місяці тому +1

    Ukweli matendo ya chalite sijaya penda kisasi ni cha Mungu tuuu

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 місяці тому +2

    Asante unatusahau sana ankoj

  • @Pendokayuni
    @Pendokayuni 2 місяці тому +1

    Uwo ni utapeli unaofanywa eliza

  • @user-zj7hd6sg3y
    @user-zj7hd6sg3y 2 місяці тому

    Sante sana Ankojay kutukumbuka mungu akuzidishee

  • @MarimGodifrey
    @MarimGodifrey Місяць тому +1

    Mambo zenu wapenzi wa anko jey like kwenu wapenzi wangu

  • @EmmeMrrras
    @EmmeMrrras 2 місяці тому +2

    Asanteeee anko🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JanethMgunya
    @JanethMgunya 2 місяці тому +2

    Tupooooo❤❤

  • @user-qh9jj5xz3p
    @user-qh9jj5xz3p 2 місяці тому

    Hongere sana charity unahekma ya hali ya juu dada ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mariamsaidi1658
    @mariamsaidi1658 2 місяці тому +2

    Wow Asante sana Ankojay ❤💋

  • @EdithaJoseph-zt2xu
    @EdithaJoseph-zt2xu Місяць тому

    Mm naona kama Alvin amekua mtu mzuri❤😂😂

  • @user-nu8or5ks9b
    @user-nu8or5ks9b 2 місяці тому +2

    Binti milele vp anko

  • @user-vl1ts1eh8s
    @user-vl1ts1eh8s 2 місяці тому +1

    Jamn nimechelewa sana mambo moto sana❤❤❤❤

  • @mamudequeen
    @mamudequeen 2 місяці тому

    Rodney na Chesta ndio aliopata mafunzo ya kwli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Alvin lisa alimuokoa ❤❤

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 Місяць тому

    Woooow nice ❤❤❤