SIMULIZI FUPI. Mwanajeshi Mrembo.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 29 днів тому +1

    Nipo pamoja na mrembo

  • @user-vt3uq3xv3s
    @user-vt3uq3xv3s 26 днів тому

    Mimi niko kwa beni asije kuliwa kisa demu wapowengi 🎉🎉🎉 beni 🎉🎉🎉

  • @fatumajumapili2907
    @fatumajumapili2907 Місяць тому +2

    Wakwaza leo 😊

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Місяць тому +1

    Kila king'aacho sio dhahabu😊

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z Місяць тому +1

    Hehehe sasa hapa kwa mimba jamani. 😢..ila nimefurahi jenerali kafaa....fupi tamu..❤❤thanks director..🎉🎉

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n Місяць тому +2

    😁😁😁belle m2 mbaya!!

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters Місяць тому +2

    Nyanga mkaliaini wake anaharusi😂😂😂 jamani.

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i Місяць тому +3

    Jeneral kauzo kwel ujanakatumia nawengine🌹🌹🙏

  • @user-jy1pz7nd6o
    @user-jy1pz7nd6o Місяць тому

    WOYOYOAOOOOOO JAMANI AWAWATU WAWIR WANA NIKOSHYA ASWAAAAA KWANZIYA NYUMA YA PAZIYA WANA NI UWAAAA MIM NABVYOPENDA SAUT ZAWO WANAO PENDA SAUTI ZA OENE FELIX MUNIP MAUWAAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 Місяць тому

    Nilimis sana sauti hii❤❤❤

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion Місяць тому +2

    Mie nahisi mwanajeshi mrembo hajakosea .ile sema tu huyo mchumba wake Ben sio muelewa yani😢😢😢

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 9 годин тому

    😢😢😢

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 29 днів тому

    Ila mrembo anakufaje sasa

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n Місяць тому +6

    Woyooooooooooooo🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍😍😍😍😍😍😋😍😍Mmmmmmmmwaaaaaaaaaaaaaah hawa ndio Smix bwanaaaaaa jamaniiiiiiiiiii njooooooooon kitu kipyaaaaaaaaaaaaa kipo hewaaaaaaaan ile saut tamu isiyochosha ipo nyuma ya 🎤 Director embu kunywa soda nakuja kulipa

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas Місяць тому

    🔥🔥🔥🥰🥰

  • @lindaanyango
    @lindaanyango Місяць тому +1

    Mrembo ila mkatili😢😢😢

    • @mporipori99
      @mporipori99 Місяць тому

      Ila usimuige ukatili, sawa Linda mrembo

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l Місяць тому +1

    W

  • @bintimrope
    @bintimrope Місяць тому +1

    ❤❤❤🎉

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l Місяць тому

    Owen hii imekuja Kwa wakati wanadamu wanasahau kuwa mapenzi ni hisia na siyo ubabe na uninja

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 Місяць тому

    Me nahisi huyu dada mjeda Ako sawa hajakosea yupo sahihi ila sema huyo beni ni bwege kweli yaaaani kalipiwa Hadi mahali but sorry girl 😢😢😢

  • @user-ke1ox6zl6k
    @user-ke1ox6zl6k Місяць тому

    Kwa sasa mi siko upande wowote kwa sasa maana hayo ya wanajeshi wanayajua wenyewe tu na siri zao najiuliza kwa nini huyo mrembo hakupeleka swali hili kwa wakuu alipokuwa akisumbuliwa huku kwa Benny naye ata sijui nimshauri nini

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 Місяць тому +1

    Mwanajeshi Mrembo amekosea kutomuweka mchumba wake wazi na huyo mwanajeshi mrembo hatumiyi hakiri, japo kuwa Ben arikuwa ametekwa asinge lala na General plus amelala na lafiki yake Ben mwanamke mujinga sana bola angevujisha hizo sili za General kama bwayi bwayi tuu sio kujiachia kihiivyo.

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters Місяць тому +1

    Ninashida vipenzi vyangu naomba msaada.iko hivi siku hizi kama wiki moja hivi nimekuwa nikiona vitu nilivyo ziona kitambo sana ama najikuta na tukio nililo fanya kitambo ama nilifanyiwa niko serious kweli,yaani matukio ya leo nayakuta nishawahi kunitokea maisha ya sai nayaona nishawahi kuyaishii naombaa kujua shida nini😢

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i Місяць тому +1

      ukiona ipo hvo nahaikupi amani ingia maombi maana hiyo nihali yamaangano namaagao humtesa mtu bila kujua huenda kunaroho inaleta halihyo kiwa waliweka angano wazazi au mababu iyo inaondolewa na maombi yakutaa roho za ma zaangano ulioangana au waliongana wazazi au mababu na mabibi

    • @Rais__772daughters
      @Rais__772daughters Місяць тому

      @@user-rc3om5hs9i 🥺🥺🥺asnte kwa sababu inanitokea karibu kila siku mpka naogopa

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion Місяць тому

      Pole mpenzi kama alivokushauri hapo mwenzangu nami naongezea kikubwa mkimbilie Mungu ingia katika Maombi ikibidi teua siku ufunge ili kuzikataa hizo roho Ama muone mchungaji ambae unamwamnini umuelezee atakusaidia kuziondoa hizo roho

    • @Rais__772daughters
      @Rais__772daughters Місяць тому

      @@AnnaMelikion hizi sounds zinaniogopesha,nitafanya hvyo my wangu🙏🙏🙏🙏🙏💓

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc Місяць тому +3

      Anza kuomba kwa bidii hiyo Hali itapotea ila kwa upande mwingine uwenda unaishi na nafsi ya mtu ambaye alishakufa miaka ya nyuma, maana katika kifo mwili ndio hufa ila sio nafsi, ingawa hivi ni vitu visivyoaminika sana katika jamii zetu, pole