Hapa kuna cha kujifunza kwa wazazi 1.mpe mtoto anachostahiloi na sio anachokitaka siku akikosa atafanya juu chini akipate hata kama ni kwa njia isiyo halali 2.mtoto afundishwi kwa kulinganishwa na mtu mwingine bali ni kwa kumuonya aache matendo maovu Big up sana brother
Daaah nimetoka kuangalia ii muvi aki nusu nitoe machoz ni bonge Ya kitu ii 👍👍👍💘
Uyo mtoto wa mfanya kazi mi mzuri balaa
@@rajjunior287 mashaallah yaani kazur san
Long life konka you make us happy
🎉
Daaaah mzigo mzuri sana aloooo❤❤❤ polesana kwa mimi mateso alopitia😢😢😢😢
Mwanangu unajua sana mwenyezi mungu akubariki sana kwa kazi yako nzuri🙏
❤❤❤ dah nlikuw na nawaz kinom lakin nimechek story yak uwez amin nik safi I umetisha kaka
Sijawah kukoment lakin Leo big up Sana 😂🥰
Nzuri sanaa alafu uyu mimi ni pisi ataRiiii
Niko hapa mpeni saport konkaaaa awe anatuwekea mizigo kila siku
Ata si tunaona
Hataree sana yaan weka na sehem ya 2 mana kila dongo unalotoa ni ❤️🔥❤️🔥
Unyama toka Manyara APA ❤❤
Jamani naombeni likes zenu
We jamaa hata kama story ya movie sio nzuri ,ila una isound poa sana mpaka inakua nzur ,big up man
Tulio comment ili zifike buku 😂😂😂 ila goma tamu bhana
Ameizing unyama sanaa story Kali sana leta mpya❤
Wa kwanza Leo nipeni like zangu
Jamaa unajuaaa yaani mm nikishaangalia Recap zako nakuwa nimeangalia muvi yote tena kwa Mb chache tu Kazi nzuri 👏👏👏👏👏
twende nalo on fire 🔥🔥🔥
Wooouu. Ubaya hauna fadhila .❤shukuran mtunzi
Konkaaa😂😂😂una hatari mwanangu
Good good Mr Skonka.....Like From Mozambican Producer Klassik Beatxz Wanaman Mz 🇲🇿
Me Leo wa kwanza kucomment
Nimekupendaaa naomba urafik
AsSrSrDeD 🩶♥️🤍🖤🩶
Daah nmeipenda sana Tena imeniliza sana
Wa kwanza Leo naomben like 😂
Hiii tamu sana aiseeeeee❤❤❤
Wakwanza Leo 😂😂😂
Nimependa
Rsw3r❤❤❤❤
Napenda sana kazi Safi sana bro
Wakwanza Mimi nipen like zngu
Hii kazi imesimama
Good job man 👨
Congratulations Kaka napenda sana mobiles kutokeya Congo🇨🇩
Wa kwanza Leo naombeni like mie mgeni😍😍😍
Pole sana dada yangu usikate tamaa ❤❤❤
Siombagi likes but Leo please naomba❤
Nimeipenda bro 🎉🎉
Noma nipeni like zangu hapa
Konka ww ni noma 🔥🔥🔥
Gonga like mpak niseme baaaasiii
duh sio poa kbs kaka unaweza iv vitu 👌👌
Leo wakwanza leo ku comment nipe like zangu 😢😢😢
❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas
yani ww nomasana❤❤❤kunakajamaa eti kanakuiga yani kana sauti mbaya sana
After school nazipenda sana hii Mimi and Alex 🙌🙌 mama Mimi ❤
Kama una kubali tuna enjoy gonga like 🎉
Mazee mbona safi sana lete ingine uganisha na hii
Nice ❤❤❤❤
Umeua🔥💯
I love mimi and Alex ❤❤❤😘
❤❤❤❤ nimeinjoy sana
Unajua
Wow nimeinjoi sna
Tulio toka tiktok kuja kuangalia huku tujuane
Hahah nakoxaje😂
Ndo ss
Pamoja sana😅😅😅
Ndo cc bro
Tamu sana❤❤
Izkonka Kazi nzuri Mungu akutnze kwa talanta Yako hii aliyokupa.
Afadhali ya hukuuuu wanatoa ushauri wanasifia Kuna sehemu Kwa boncena wA Love bite utackia nipe like Kila MTU utazani chakula 😅😅😅
🎉🎉🎉🎉 hongera mwanangu krip zako zinaenda sanaa🎉
Kbsaaaaaa
Huyo mschana ni mzuri
Wow watoto wakitajiri Wana lolote kazi n maringo tu n matusi
❤❤
Bigup bro unajua tunaomba mwendelezo🎉😢
NADRA
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤ hadi rahaaa
Konka zeee la kutune zee la town
Zee la siga😂
@@mwageni4wear680 busu flani hivi la kuwaleta kati kati mikuno kadhalika ikzingqntiwa
Safi dj🎉🎉🎉🎉
Akiii❤❤❤ meinjoyyy jomonii doooh🎉🎉😊
Wahooo! Story tam sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ekini muenderezo
Unajuwa man💯💯
Wew baba toa vituuuu 🔥🔥🔥
Nzur sana
Yan me huwa na enjoy t brother
Nzur mno❤❤
Nakukubali sana unajua
Duu siku hizi unachelewa sana kutuma movie yaani hiii movie 🎥 nimeshaiyona wenzako wameshawahi kuituma yaani wewe umeirudia acha izo izkonka ❤😂😂😂😂😅😅😅
But nakukubali sana izkonka ❤❤
wouaugwons gonsyf9na fibwf9mwf8bwgubwonns sgojstons sfushbwjsojsnwohwbw gwiw9
Hapa kuna cha kujifunza kwa wazazi
1.mpe mtoto anachostahiloi na sio anachokitaka siku akikosa atafanya juu chini akipate hata kama ni kwa njia isiyo halali
2.mtoto afundishwi kwa kulinganishwa na mtu mwingine bali ni kwa kumuonya aache matendo maovu
Big up sana brother
Kali Sanaa ❤❤❤
tupo pamoja kaka bonge la story
Nzur sana❤❤❤🎉
Napenda sauti yangu 🥰🥰unatafsiri vizuri sanaa ongeraa🎉
Sauti Yako au sauti yake yeye
Daaah iko vzr kaka weka mambooooo
Ze msuko style of Joan ch roho mbaya is like mine😂😂#meliasana😢😢kufanan nae msuko style
Nabapenda sana❤❤❤❤❤
Nzur Sana nimeipenda Sana❤️❤️
Aiseeee nimeipenda iyoooo🥰🥰🥰
Nimeipend upew mauw yak brother🎉🎉
Hapa umetisha sana muzee ❤
Saf sana bro good job
Wow nice kazi nzuri kwa kwlinamafunzo
Nimeipenda hadithi zako shukurani zije kwako
Ni nzuri sana🎉❤
Daah babulah hii story umeua sana
Mmetishaa
Nice story 🎉🎉🎉❤
Nakubali sana ❤❤❤❤
DA nimeipenda sana❤❤❤❤❤❤
Nakukupale sana, from Mozambique kooooonnka
Jaman huyo mdada mzuri(MIMI) jina lake la kwel anaitwa nan😍😍na ni w nchi gan
Mzigo uko poa sana big up❤❤
Kaka daaah we🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ninzuri sana❤❤❤❤
Filamu nzuri sana tupe nyingi ❤
Inaitwa after school
Nzr leta nyingine