MAJALIWA: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 гру 2022

КОМЕНТАРІ • 94

  • @rasterimani9055
    @rasterimani9055 Рік тому +28

    Aya jamani nimekua wa kwanza nipeni like kumi 2 one love

  • @esthermibaleo1900
    @esthermibaleo1900 Рік тому +5

    Bonge la story kweli. I appreciate it uncle J never disappoint me when it comes about beautiful stories ❤ 💕. THANK YOU UNCLE J ♥

  • @hassanhawa9954
    @hassanhawa9954 3 місяці тому +3

    Hiyo simulizi imeshinda zote,nilizi zi sikiriza❤❤❤❤❤❤❤ Amina

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 Рік тому +4

    Kwakweli simulizi hii imetuliza kwelikweli,bonge la simulizi,hongera sana mtunzi ulitulia sana katika uandaaji wa simulizi hii,ngoja nimi nianze mazoezi ya utunzi wasimulizi,pia pongezi nyingi kwa musimuliaji Anko jay.

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s Місяць тому +2

    Majaliw kafanya nn nipen.like..

  • @user-uj4ji5ek5d
    @user-uj4ji5ek5d 5 місяців тому +1

    Mungu akubariki Storio nzuri sana

  • @Adonai810
    @Adonai810 Рік тому +3

    INTERESTING STORY 🔥🔥ANKO JAY.

  • @mariamrashid6880
    @mariamrashid6880 Рік тому +8

    Kweli ni bonge la story kweli hayo ni majaaliwa ya ALLah Mtukufu (QadaraLLah)
    Shukran sana Anko Jay, Mwandishi na crew nzima ya Simulizi Mix ALLah Barik

  • @gratuskatembo207
    @gratuskatembo207 Рік тому +1

    Daaah siwah kucoment story yoyt hap simuliz mix na ingali ni msikilizaj mkubw wa hiz story za anko j lkn leo niseme hongera sana kwa mtunzi coz ni ametisha na big up kwako ankor j una kipaj cha kusisimua nakukubali Mpk naumwa 🥰❤️

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 Рік тому +1

    Uongo na ukweli ni mafuta na maji kamwe haviwez kuwa pamoja daima vitajitenga such a good and educated story bravo anko J and whole simuliz mix team 👏👏👏👏👏👏

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +6

    Anko jay mwenyewe like zenu kwa simulizi mix 🥰🥰

    • @ashamenza2212
      @ashamenza2212 Рік тому

      Pamoja saana saana dear. Utamu juu ya utam
      t
      I
      M
      L
      A
      H

  • @lucykarii6860
    @lucykarii6860 11 місяців тому +1

    Hakika ni bonge la stori iko n kisa kizuri sana ❤❤

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 Рік тому +2

    Yees! Ahsante Smix kwa muendelezo...I'm no.1 👍🏻❤

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 Рік тому +2

    Hakika anko j wewe ni tishio la maana simulizi hazichokeshi hata kama ina mda mrefu ajee ila Kwa utaratibu wako na usimulizi wako waaoow raha tuuu Hadi mpaka mwishooo ahsante Sana anko j I salute you bro hongereni wanasimulizi mix

  • @NatashaHope-ot1cw
    @NatashaHope-ot1cw 3 місяці тому

    Asante anko jay kwa simulizi fupi tamu God bless you

  • @athmanramadhan19
    @athmanramadhan19 11 місяців тому +1

    This is more than Indian movie, big up bro 👌

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 Рік тому +1

    Hakika haya ni majaliwa ya mwenyezi mungu shukran sana Anko Jay

  • @wanjirubens
    @wanjirubens Рік тому +1

    Love it Anko jay

  • @Kuwait-tf2mj
    @Kuwait-tf2mj 2 місяці тому

    Kweli haya ni majaliwa👏👏👏👏

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 Рік тому +1

    God is good all the time.Mungu wetu huwa hamtupi mja wake na hulipa hapahapa duniani matendo yote wanayofanya wanadamu mbinguni hubaki hesabu tu.Amen

  • @jumannemassegesse7270
    @jumannemassegesse7270 Рік тому +1

    Tamu sana

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 Рік тому +1

    Duuh kitu kitamu hasa hongera yako mtunzi na msimuliaji nawapenda sana simulizi mix mungu awabarki sana inshaallah

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 Рік тому

    What a nice stroy sometime anciul l anatufuza mengi sasa we all 💕 u bro always

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 Рік тому +1

    Ewaaaaaah asnt sana Kwa simuliz yak tam 💜🤍 Yan daaaaaah ni majaliwa🙏🌺🇧🇮🇦🇪

  • @nasramchekw6394
    @nasramchekw6394 Рік тому +2

    Ankoj asante like jmn

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh Рік тому

    Asante simulizi mix by simulizi fupi kwa burdani nzuri 👌 ♥

  • @shazyqull2547
    @shazyqull2547 Рік тому

    Dah leo ni tamu nadhani mrembo aliefariki alimsaidia sana doc Imm kumkutanisha na familia yake ndipo tunajifunza kila changamoto hua sababu zababu zake tusiwe tuna kufuru Mwenyzi Mungu. Ni majaliwa

  • @khadijaali9861
    @khadijaali9861 Рік тому +1

    Hongera zako Anko J

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 Рік тому +1

    Nice anko j

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 місяців тому

    Anko jay ukumbuke alvnlisa tunasubiri kwa ham 🎉❤

  • @user-qf2tx1bx3t
    @user-qf2tx1bx3t 6 місяців тому

    Bonge lá story dah eu amei

  • @mahmoudalimwinyi5860
    @mahmoudalimwinyi5860 Рік тому

    Big UP very nice one Anko J

  • @esthermmary9172
    @esthermmary9172 Рік тому +1

    👏👏👏kweli haya ni majaliwa

  • @fatmasaidfhghj9801
    @fatmasaidfhghj9801 Рік тому

    I say story nzuri sanaa. Nime enjoy tu sana

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 місяців тому

    Hiii story ni nomaa wanaume wengine nwapuzi🏑🤔

  • @user-my3zy9kj8c
    @user-my3zy9kj8c 7 місяців тому

    ❤anko

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 Рік тому +2

    Simulizi hii imetisha 👍

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому

    Nice one uncle J

  • @mariamsalum640
    @mariamsalum640 Рік тому +1

    Alhamdulillah kila maturity yanasababu yake

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 Рік тому +2

    Woyoooo yaan tunadaka. Kama. Tonge kinywani🤣

  • @emmanueltesha7638
    @emmanueltesha7638 Рік тому

    Anko jay mwenyew , unajua san kupangilia sauti umetisha mnoo

  • @janetsimiyu479
    @janetsimiyu479 Рік тому

    Wow kweli ni bonge la simulizi

  • @ghm1711
    @ghm1711 Рік тому

    🥰🥰🥰👌

  • @user-uj4ji5ek5d
    @user-uj4ji5ek5d 5 місяців тому

    Panapo kuwa ukweli uhongo utengwa pebeni🙏🙏🙏🙏

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Рік тому

    Ctory ya kuccmua sana haya kweli ni majaliwa ya allah

  • @tallerinhanna982
    @tallerinhanna982 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 Рік тому

    Waaaoooh kweli ni majaliwa hakika maajabu ya MUNGU na pia milima na milima haikutani Ila wanadamu hukutana

  • @momylaviel
    @momylaviel 2 місяці тому

    Hii hadithi imenigusa sana

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    😂😂😂😂Nimejikuta nacheka tu jamani ndah kajikuta a naingia mtengoni

  • @paulinemutheu8165
    @paulinemutheu8165 Рік тому

    Hatimaye familia imekutana 😅😅❤❤❤

  • @RehemMosh-io9bt
    @RehemMosh-io9bt 7 днів тому

    Unatufundisha san

  • @ygggggg9762
    @ygggggg9762 Рік тому +1

    Duh haya tupo ndani na anko j

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 6 місяців тому

    🤔🤔poooooooh

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we Рік тому +2

    Leo tunakitu cha majaliwa haya nisikilize kilochomo ndan kwanza baadae nitakurejea

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 Рік тому

    Nice

  • @zamzamyusuphukagemulo
    @zamzamyusuphukagemulo Рік тому

    Nimrcheka sana

  • @bintimrope
    @bintimrope Рік тому +1

    💃💃💃💃💃❤️😘

  • @moviesandinfotv9933
    @moviesandinfotv9933 Рік тому

    Nan mtunz jmn nmeipenda hongera

  • @deboraamos7718
    @deboraamos7718 Рік тому

    Nzurii saaanaa

  • @user-eb5fp4fc9i
    @user-eb5fp4fc9i 10 місяців тому

    Katika stori zote nilowahi kuskiliza kwako anko jey hii kiboko haswa

  • @latifaally2429
    @latifaally2429 Рік тому

    ❤❤❤ pa1

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @mariamhaliki411
    @mariamhaliki411 Рік тому

    Mh tamu jmn.asanten

  • @marcygreathouse3987
    @marcygreathouse3987 Рік тому

  • @mwajumamkandawile6459
    @mwajumamkandawile6459 Рік тому

    Anko jay nawezaje kujiunga na simulizi mix mm pia ni mtunzi nahitaji stori zangu zisomwe hapa plz🙏🙏🙏

  • @matesomoci6376
    @matesomoci6376 Рік тому

    🙏🙏🙏🙏❤️❤️

  • @annasituma8810
    @annasituma8810 Рік тому

    Kwa kweli huyo ni mungu

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤🇰🇪

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 Рік тому

    Mie nimelia jaman mafua😢😊

  • @joykatakana1099
    @joykatakana1099 Рік тому

    Haki nitamu ubarikiwe waaaaa yaan c amini waaaa mtunzi na huyo musumulizi mungu azidi kuinua kipaji chenu haki nmefurahia

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Рік тому

    Twende sawa

  • @elradjabubosingwa5026
    @elradjabubosingwa5026 9 місяців тому

    Kwakweli yaduniya yanachosha

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому

    😘😘❤❤

  • @kipendofariji2588
    @kipendofariji2588 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊

  • @giftfrances9083
    @giftfrances9083 Рік тому

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 Рік тому

    Kweli mungu mkubwa

  • @Mopao17
    @Mopao17 Рік тому

    Anko unatisha Sana simuliz nzuri bandika bandua we ni mkali

  • @marcygreathouse3987
    @marcygreathouse3987 Рік тому

    ❤❤❤❤❤💥💥💥💥💥💥

  • @araftaraft9761
    @araftaraft9761 Рік тому

    Kama s ft sh

  • @mwanamisihamisi6594
    @mwanamisihamisi6594 Рік тому

    Kweli simulizi iko tamu sn nimeipend sn

  • @lindazawadi732
    @lindazawadi732 11 місяців тому

    Bonge la story when it comes to ankojay is awesome ❤❤❤

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 Рік тому

    Bonge moja la simuulizi hatar

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 Рік тому

    Vita ya mapenz ni ngumu jmn mpaka kusingiziana kisa majina yote ni majaliwa ya mungu

    • @maryambakari4858
      @maryambakari4858 Рік тому

      🤣🤣🤣

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 Рік тому

      @@maryambakari4858 omba mungu yasikukute hata kama sio majina yani mapenzi kinamshinda Kila mtu

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 Рік тому

    Utu muhandishi ni kibokooooo

  • @dianabrownie1829
    @dianabrownie1829 Рік тому

    Nimeshakuwa mlemavuu nikionaa story naaangalia saauti ni nan kwanzaa 😂😂😂😂😂

    • @cesiliakessy3691
      @cesiliakessy3691 10 місяців тому

      Uko kama mimi yaaani 😂😂😂😂 na nikiona lissa Mwalla roho kwatu❤

    • @NajlazezyNaj
      @NajlazezyNaj 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂

  • @user-uj4ji5ek5d
    @user-uj4ji5ek5d 5 місяців тому

    Panapo kuwa ukweli uhongo utengwa pebeni🙏🙏🙏🙏