S O L - 8 season II KUSIMAMISHWA KWA UPENDO, SIMULIZI ZA MAPENZI

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 54

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 15 днів тому +2

    Kiukweli hii simulizi imeisha nautamu wake na imeisha vizuri kweli kweli, hongera sana Herry kwa kitu hiki cha ❤ Na kaka D'oen kwa kusimulia vyema. Nawapenda nyote kwaajili ya Allah Subhan wa Taallah 🥰

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 15 днів тому +1

    Natoa saluti 🫡🫡🫡🫡kwa mtaalamu wetu kaka yetu DESOUZER kwa kutukosha nafsi zetu kupitiya hii simulizi mungu akupe ulinzi,ujuzi na hekima kama ilivyo kuwa kweye hii simulizi kama tulivyo achiwa maneno na mababu zetu kila kizuri chajihuza na kila kibaya chajitembeza

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 15 днів тому +1

    Ninamkubaki sana mwandishi Herry maana ujuzi na matendo ni uhalisia wa maisha ya wanadamu tangu kuumbwa Kwa ulimwengu mpaka sasa Mungu aturehemu

  • @user-tc8zn1sl6s
    @user-tc8zn1sl6s 15 днів тому +1

    ASANTE SANA TUNAZIDI KUSONGAMBELE 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-sj8ti3nu9o
    @user-sj8ti3nu9o 15 днів тому +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @user-ct6vd7ld7s
    @user-ct6vd7ld7s 15 днів тому +1

    Asante sana kwa simulizi nzur

  • @emmanuelmwatujobe8450
    @emmanuelmwatujobe8450 15 днів тому +1

    Mh yani jana nimeisubiri kinyama Yani🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 15 днів тому +6

    Ndan ya mjengo director nyuma ya 🎤 wadauuuuuuuuuuuuuuuuuuu njooon tujue hatma ya Herry na Candy mambo ni moto🔥

  • @maryamsimai5395
    @maryamsimai5395 3 дні тому

    Hakika hakuna rafiki wa kweli l,v u D,oen,pamoja sna mwamba 🎉

  • @Neema-qr7lg
    @Neema-qr7lg 11 днів тому

    Duuu hii simulizi nimeipenda sana nakuona kitu nimejifunza dharau sio nzuri

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 15 днів тому +3

    Wapili 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 14 днів тому

    Oooh alhamdullah 🙏🏽 Mungu n mwema kwa kuitimisha simulizi yetu tamu na yenye mafunzo kem kem herry mwenye Moyo wa kipekee hakuna kamwe leo hii mwenye moyo Safi na wa huruma shukran za dhati kwa mtunzi silent killer na simulizi wote kwa ujumla big up my pple ❤u so much

  • @user-lq6kr2gl7n
    @user-lq6kr2gl7n 15 днів тому +2

    😆😆😆😆😆😆😆😆hatimae herry kapewa tamuuuuuuuuu kapona kabisaaaaa ama kweli shikamoo mapenz marahaba hisia hapana chezea msambaaa

  • @user-sj8ti3nu9o
    @user-sj8ti3nu9o 15 днів тому +1

    ❤❤❤❤

  • @user-sj8ti3nu9o
    @user-sj8ti3nu9o 15 днів тому +1

    Hiii simulizi nitamu sana na mzuli aikutakiwa kuisha alaka ivyi ilitakiwa iendelee

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 15 днів тому +1

    Nimekua wa kwanza leo🎉🎉🎉🎉❤

  • @sabrakhamis4585
    @sabrakhamis4585 15 днів тому +1

    Shukran saaanaaaa❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉ilove this story

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 15 днів тому

    😢😢😢jamanieee msicheze na hisia za watu kwan moyo ukichoka hayo ndo madhara yake😭😭😭mapenzi yanauwa asikwambie mtu.Thanks soo much Mr.silent killer na director wetu pmoja na wadau 🫡🫡🫡🫡🫡🫡love u all🫰🫰🫰🫰🫰

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 15 днів тому +1

    Wawooooooooowadau munakuwa murara umu kwa Oen awo? Nintarudi badaye ninuucu wagusikieiza mwisho wa Herr

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 15 днів тому

    Salute kwako engineer herry santoc desauza 👮🏾‍♀️🫡

  • @NaheelHamil
    @NaheelHamil 15 днів тому

    Asantee sn kwa kutupa vitu vzr

  • @samsonphilipo7153
    @samsonphilipo7153 15 днів тому

    Nimependa inafundisha Sana

  • @nadhradude4895
    @nadhradude4895 15 днів тому

    ❤❤❤❤ this is soul of love 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 14 днів тому

    Sema mm simlaumu baisa yot ni sababu ya mapenz.

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 15 днів тому

    Pamoja sn❤❤

  • @msimhassan
    @msimhassan 15 днів тому

    🔥🔥🔥

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas 15 днів тому +1

    😢m naogopa kuskiliza hii s.o.l bhn ntaliaaa😭

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 15 днів тому

    Asante sana kaka OEN kwa kufikiya mwisho wa simulizi yetu ila nangoja movie yake Kama ulivyo tuhahidi mwanzoni mwasimulizi hii mimi mpaka sasa niko kama nahihota kupenda huku kutatupeleka kwa herry na candy ❤❤❤❤kuwa damu kwa damu.😂😂😂😂

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z 15 днів тому

    Waaaah!! Kina balsa jamani wamemaliza na uchungu kweli ..ila usidharau mtu yeyote kwani hujui kesho yake ..congrats desauza..shukuran Director hii ilikua extremely awesome ..mafunzo kede kede..❤❤

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 14 днів тому

    Dah! Machoz yamenitok, ni mbaya san kufanya maamuzi bila kuchunguza kiundan.

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 15 днів тому

    ❤❤❤❤❤

  • @FutebolRei
    @FutebolRei 15 днів тому +2

    Fiz um short do espirro que só vem quando o Sol aparece

  • @teddyvenance6284
    @teddyvenance6284 15 днів тому +2

    Wakwanza Leo ngoja tuitimixhe

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 14 днів тому

    Eeeee kusimamishwaa kwaupendoo hadi mtu akazaliwaa anaitwa baisaa😁😁😁😁😁😁😁😁😁wale wamatawii yajuuu yotee wako chini mpka wanakuja kuoshe yule walimuiita mashamba nayy huyo huyoo ndoamempa mtajii siku zote usizarau usiemjua

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 15 днів тому

    Nmelia hapa mtoto wa qher na cand quitwa jina baiser😭😭😭

  • @user-ct6vd7ld7s
    @user-ct6vd7ld7s 15 днів тому +1

    Yani hapa adi nimetoa machozi imenikumbusha miaka kumi iliopita yalinitokea km heri 😢

  • @SabrinaAlimas
    @SabrinaAlimas 15 днів тому +1

    Yaan simulizi za heri haziniachagi salama jamanii lazma niliee 😭😭😔

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 15 днів тому +1

    Mapenzi yanauma nyie 😢😢 sikia tu hivi anasimulia D oen ila usiombe yakukute .hapo Ndio utajua kuwa bora usingkuwepo dunian .pia huwa nawaza hivi mapenzi ni kitu gn lakini mpaka Sasa sijapata jibu.Asante San kheri Disous kwa simulizi Nzuri Big up 🫡🫡

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 15 днів тому +1

      Wewe tena yalikusibu yapi😂😂😂 mwaya

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 15 днів тому +1

      @@swabrarashidi1082 umesahau ulivonichukulia mume Wang 😂😂😂😭😭😭😭

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 15 днів тому

      @@AnnaMelikion mume wa konyo utakufa we jitie unajua kupenda tu😅😅😅

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion 15 днів тому

      @@swabrarashidi1082 najua kupenda Sasa Ndio umuibe mume Wang Jmn 😂

    • @swabrarashidi1082
      @swabrarashidi1082 14 днів тому

      @@AnnaMelikion toka apa kwanza mumeo mwenyewe siyo hensamu

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 15 днів тому

    Lugoko lugoko lugiko......nimekuita marangp😢

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 15 днів тому

    Salute kwako engineer herry santoc desauza 👮🏾‍♀️🫡