Jua Kali | Ijumaa Hii 12/07/2024 | FULL HD 4K

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 360

  • @user-vw6fd3kf7k
    @user-vw6fd3kf7k 23 дні тому +10

    Eva umetisha na hongera kuwa jasiri

  • @esterester3628
    @esterester3628 24 дні тому +28

    Atleast Eva maskini umepumzika moyo mpira sasa Kwa Bill tuone kama kweli anakupenda🎉🎉

  • @user-vk1ph3xv6g
    @user-vk1ph3xv6g 23 дні тому +10

    Biri naeva nawapenda sana 😢jmn❤❤❤❤❤❤❤

  • @SaadaHaroun
    @SaadaHaroun 24 дні тому +51

    Annah ataend na hlo wigi lake na hatosifiwa kwa ninavomjua davis atamchek kwa kejel😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-rf8oq1jd6u
    @user-rf8oq1jd6u 23 дні тому +3

    Anita nmrembo mashalla

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 24 дні тому +6

    Eva pole ht waginjwa nao wanahaki yakumpenda mtu tusiwanyanyapae

  • @SamiraGodfrey
    @SamiraGodfrey 23 дні тому +3

    Jua kali bhana unaweza lia na unacheka jamn😂😂😂anna

  • @user-tp4sn4ko1f
    @user-tp4sn4ko1f 21 день тому

    Anna master of the game nakupenda inaonyesha hali halisi ya Mapenzi siku hizi pamoja na Maria

  • @radhiamohamedi9318
    @radhiamohamedi9318 23 дні тому +3

    Jamani maria hayo macho na baba kijacho wako wakweli😂😂😂😂😂

  • @user-kc2vq5gc3g
    @user-kc2vq5gc3g 24 дні тому +6

    Anna hatukuelewi ujue x unaondoa x watakaawigi upendwe Weye Larkin ujue x maria ana nyota yake

  • @mwanamisiomari8189
    @mwanamisiomari8189 24 дні тому +6

    Hii sauti mbona

  • @asnathally18
    @asnathally18 23 дні тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣ila anna ni kichwa maji jmn inàmaana keshajiona anapendwa na Davis mungu wangu ngoja naisubri zarau

  • @sadiyasadiya571
    @sadiyasadiya571 24 дні тому +6

    Dj hapo sawa

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k 24 дні тому +4

    Sophia sophia sophia mwenzio atakuchoresha pole aisee 😢😂😂

  • @winnieseba2257
    @winnieseba2257 23 дні тому

    Asante dj

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 23 дні тому +14

    Bill na Eva mnaniumiza sana😢😢

  • @getrudaleonard8323
    @getrudaleonard8323 23 дні тому +2

    Anitha wa Juakali me hua nakupenda bure

  • @user-oz9zy5ck1i
    @user-oz9zy5ck1i 24 дні тому +10

    Mm jaman Eva umetia huruma Bill pls mstiri Eva ila kilanga cha Sofia atajua mwenyewe Fala huyo

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 24 дні тому +14

    Kupendwa raha maria weeee😂😂

    • @HudhaimaYussuf
      @HudhaimaYussuf 23 дні тому

      Maria mwenyew sasa atahajali 😂😂😂

  • @user-bi9zi1ex7t
    @user-bi9zi1ex7t 23 дні тому +3

    Lakin Viviani Mie sikuwezii😂😂😂

  • @glorymuro5411
    @glorymuro5411 24 дні тому +8

    Anna anamtafuta wa kumlipizia kisasi kwa Diba

  • @user-iz7vs9my9z
    @user-iz7vs9my9z 23 дні тому +2

    😂😂😂Ila anna nimechekaa😅 jmni devis anaenda kukuchukulia wew😢 Eva kanitia huruma na Kaniliza mwwee😢😢😢

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 24 дні тому +7

    Sofia nyege mbayaa khaaa unahangaikia nn jmn mbn ulimpenda vzr idi kabla.hajakuoa

    • @SeriesTz
      @SeriesTz 24 дні тому

      Umeonaeee

    • @fatmaomary8437
      @fatmaomary8437 24 дні тому +2

      Yaan apo mwsho wa siku atafumaniwa na talaka yake juu .

    • @user-hy9pp5rp9i
      @user-hy9pp5rp9i 23 дні тому +1

      Madevu huo mdomo kama umeramba ukwaju😅

  • @suzanafromomani2973
    @suzanafromomani2973 23 дні тому +2

    Anna kanunua wigi😅😅😂😂

  • @chrispinsaumu
    @chrispinsaumu 23 дні тому +7

    kwan anti zai shida ako nn kama atadanganywa😅😅😅 wivu mbaya adi kwa mwanao

    • @user-bc3jg6py2h
      @user-bc3jg6py2h 23 дні тому

      Roho mbayaa tu ananikela mm na visirani vyake😢

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf 24 дні тому +12

    Mmenikosha na haka ka wimbo ka kiheheeeee😂😂😂

  • @sameraamiry3849
    @sameraamiry3849 23 дні тому +3

    Kikubwa nimeona jua Kali mengine me sijui DJ Maua yako❤❤

  • @user-mx7fq5vc8o
    @user-mx7fq5vc8o 23 дні тому +3

    Mungu aninusuru na mwanaume aina ya professor ,watu sample hi wanauzi sana hivi huwa wanahisia kweliii!😒 mana jitu gumu halishauriki haliambiliki akaaa!

  • @user-tp4sn4ko1f
    @user-tp4sn4ko1f 21 день тому

    Ana ndo staring wa hii Tamthilia na Maria watazamaji wengine hamjui burudan tu. Haya ndo mambo halisi Dunian sasa kwa vijana wetu

  • @glorytarimo2788
    @glorytarimo2788 23 дні тому +4

    Kimeumana uku ana ameshapenda tena mtoto wamtu kamsahau bobo na dibaaa

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 23 дні тому +2

    Anna sijui yuataka Nini ndipo.hajui apende nani kwenye maisha yake.mapenzi yanamchanganya

  • @user-co5nh1rx1t
    @user-co5nh1rx1t 23 дні тому +2

    Awe Vivian anajua banaaa

  • @user-mc5zb3ox9c
    @user-mc5zb3ox9c 23 дні тому +1

    Hahahahaaaa ana umeyakanyanga

  • @user-rn8tl6pl4j
    @user-rn8tl6pl4j 24 дні тому +2

    Eva wangu pôle sana kwa kweli 😢😢

  • @user-st2ig6ds3f
    @user-st2ig6ds3f 23 дні тому

    Anna crazy love😂😂

  • @user-co5ed6xr5c
    @user-co5ed6xr5c 24 дні тому +8

    Ann anajichqnganya kweli 😂😂😂

  • @neemamakori6152
    @neemamakori6152 24 дні тому +5

    Dah Anna,aibu naona mm 😂

    • @LatifahKhamis
      @LatifahKhamis 24 дні тому

      Ata mm nimeona aibu vo watamsemaj mfano

  • @lucybudeba6561
    @lucybudeba6561 23 дні тому +4

    Huyu aty zai ingekua mm evaa namjibu natoka kuliwa😂😂😂 kufatilianatu

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 23 дні тому +4

    Yaani sauti Iko juu kama kwaya !!!

  • @EsterAidanmadati
    @EsterAidanmadati 23 дні тому +3

    Jaman ana aibu naona mm

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 23 дні тому +3

    Kwan anah anawivu kiasi,gani😂😂acha tuone kwa ofs itakuaje hpo ni kicheko,tu

  • @SaraphinaLyelu
    @SaraphinaLyelu 22 дні тому +2

    Pongeze Kwa eva maana wanawake kama Wewe walikufa tangu Enzi za kinjeketile na majina yao yalisombwa na kimbunga Hidaya... Haya na Wewe Anna hiv moyo wako una vyumba vinne kama Sisi mbona napata wasiwasi wamekushinda wanyakyusa utawaweza Hao watoto wa mjini 😂😂😂😂😂

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 24 дні тому +11

    Hatimae maria tumesha mzoea 😅😅😅

  • @BahatiNjemo-of9lx
    @BahatiNjemo-of9lx 24 дні тому

    Nimengi ninayo taka kuongea bt acha niseme jua kali hoyeeeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @rechalmussa6085
    @rechalmussa6085 23 дні тому +2

    Mbona ana simuelewi Yani kanunua wigi kama la malia au aliona devidi alivyo msifia Malia kua yeyé uwa anapenda mwana mke anaesuka

  • @stellayusuph7662
    @stellayusuph7662 23 дні тому +20

    Tupo na Anna bega kwa bega mpaka pale atakapo aibika kwa devis 😂😂

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 23 дні тому

      Mi naomba apate ukichaa tena maana Anna na Maria hawana utofauti kbs

    • @stellayusuph7662
      @stellayusuph7662 23 дні тому

      @@pikanaauntzuu1466 😂😂watakuja kufa vby hawa

    • @rithakiondo1099
      @rithakiondo1099 22 дні тому

      Jmn Anna hapana kavurugwa hyu dada 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rithakiondo1099
      @rithakiondo1099 22 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 22 дні тому

      😂😂

  • @user-gu2zg8lr3m
    @user-gu2zg8lr3m 23 дні тому

    Kazi nzur dj🎉🎉🎉🎉❤❤ 17:19

  • @user-cc4ky9zo9z
    @user-cc4ky9zo9z 23 дні тому +2

    Lianti zayi linakera balaaa

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 23 дні тому +1

    Anna Anna kujifanya kutompenda devis kumbe ndio likuw umeshampenda hadi kumuonea wivu tyr umeenda hadi kununua mawig kisa kamsifia maria..naona hivi ukijichora nalo hilo wigi lako..mana vivian anakusubir

  • @FurahafutakazaGloria
    @FurahafutakazaGloria 23 дні тому +2

    Ila umalaya unamtasa ana mpaka nacoka ninavyo muangaliya iyi sini ya ana inamtiyani hum

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 23 дні тому +2

    Ila Ana akili zako unazijua mwenyew 😂😂😂😂😂maan ni mpofu wa mapenzi 😂😂

  • @user-ph9ds9dm7w
    @user-ph9ds9dm7w 20 днів тому +1

    Anna kujifanya mgumuu kote kumbe hana lolote keshapenda teari.

  • @linahwandera4638
    @linahwandera4638 23 дні тому +2

    Sasa Anna Mazengo hata miaka yako na akina maria inakataa vitu vingine ni vya aibu Devis alisema ukweli aliposema Wacha kujichanganya nyinyi ni partners si lovers 😅

  • @user-bf3ij2ie5k
    @user-bf3ij2ie5k 23 дні тому +1

    Hahaa kma naona wigi la anah litakavyo vumuliwa kazin na kuanguka hili hahaa

  • @Walden-tb6ic
    @Walden-tb6ic 22 дні тому

    Napenda sana nyumbani kwa iddy nipamoto

  • @user-sc5gt6gs3s
    @user-sc5gt6gs3s 24 дні тому +1

    Ya leo ni moto jmn. Moja kwa moja kwa semeni ananyoosha miguu ya mme we akiva suruwari 😂😂

  • @witnessgeorge1976
    @witnessgeorge1976 23 дні тому +4

    Ivi huyu Anna anamatatizo gani😂😂😂😂😂

    • @mercynina6288
      @mercynina6288 23 дні тому +1

      Anna tumuache kama alivyo Yaan 😅😅

  • @RoidaSimfukwe
    @RoidaSimfukwe 19 днів тому

    feel free

  • @lilianelisamehe9586
    @lilianelisamehe9586 23 дні тому +2

    Kwahiyo bill na Eva ndo wameamua kutuliza eee😭😭

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 23 дні тому +2

    Mroho wa cake nimebaki mdomo wazi😢😢😢

  • @user-ub3xy9qu5q
    @user-ub3xy9qu5q 23 дні тому +1

    Eva wangu jmn😢😢😢😢😢Jmn

  • @Shineyra
    @Shineyra 24 дні тому +5

    Ila uyu aunty zai anaboa sikuhizi aaah

  • @saumukiduma
    @saumukiduma 18 днів тому

    Viviani hodar

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 23 дні тому +1

    Sophie kacanganyikiwa na mapenzi ya shemeji😂😂😂

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 24 дні тому +8

    Kijana wetu Fure,ipo siku jua litamuwakia sana

  • @marthapaul3708
    @marthapaul3708 23 дні тому +1

    Jmn ntacheka mimi wigi livutwe alafu lianguke hahaha

  • @DayanaPeter-pd9yf
    @DayanaPeter-pd9yf 24 дні тому +2

    Mnakesha huku Guys😂😂😂😂😂🎉🎉🎉haya

  • @user-qm2kb1ln7p
    @user-qm2kb1ln7p 23 дні тому +2

    Kazi nzuri sana. Eva. KWakumuereza ukweri. Bri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @silvanusjohn987
    @silvanusjohn987 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤

  • @edinamathews7717
    @edinamathews7717 23 дні тому +3

    Kwan anti zai unataka mwanao bill akupelekee moto wewe au

  • @silvanusjohn987
    @silvanusjohn987 23 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @ChristinaHamisi-sb3gq
    @ChristinaHamisi-sb3gq 24 дні тому +4

    Kama wanawake wa aina ya sofia tupo aisee izi nyege ni MBAYA ana nyege msenge uyo khaa

  • @user-oe7ui9td3l
    @user-oe7ui9td3l 18 днів тому

    Jamani sipo mda humu Anna na diba waliishiaje

  • @tinnaalphonce8197
    @tinnaalphonce8197 23 дні тому +1

    Vivian mama usipitwe...

  • @user-tiffanyc
    @user-tiffanyc 23 дні тому +1

    Anna bora angebaki na low cut yake😂😂

  • @user-gn3wd1us4b
    @user-gn3wd1us4b 21 день тому

    Anna ni kichaa

  • @devothaalfredy3803
    @devothaalfredy3803 23 дні тому +1

    Dah ila frenk ni zuzu kah😮

  • @siannko7597
    @siannko7597 23 дні тому +3

    Anna Anna anado ndo huyu sasa😂😂

  • @gracekibona3931
    @gracekibona3931 23 дні тому +1

    Aunt zai amekuwaje jamani anafoka foka tu

  • @lizabeth6305
    @lizabeth6305 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @mrikongosi3151
    @mrikongosi3151 23 дні тому

    Eva nimekuelewa sana jaman

  • @claudiakanyembo5949
    @claudiakanyembo5949 23 дні тому

    Ma mdogo aunty huyu ni kiboko!!!!noma maria

  • @LizybethGodfrey
    @LizybethGodfrey 23 дні тому +4

    Adi nimelia bil wew nimwanaume❤❤❤❤

  • @user-do9fo3cj5u
    @user-do9fo3cj5u 22 дні тому

    Pole sana eva wangu 😢😢😢

  • @TatiayMlelwa
    @TatiayMlelwa 23 дні тому +1

    anna ata mshipa wa aibuu hana ata kidg😂😂😂

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 23 дні тому +1

    Anna bwana kisa maria alisifiwa nayy anataka device akamsifie🤣🤣

  • @user-bf3ij2ie5k
    @user-bf3ij2ie5k 23 дні тому +2

    Kuna uwezekano Eva asiachike kwa bill nyie

  • @ShabaniJUMAmashaka
    @ShabaniJUMAmashaka 22 дні тому

    Ana jmn khaaaaa

  • @MeryMathias-od5mu
    @MeryMathias-od5mu 23 дні тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Tomas ilo jicho

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 23 дні тому +1

    JUA NI KALI HASWAAA

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to 23 дні тому

    Aki Thomas n Maria mwanibamba😂😂🎉🎉🎉

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 20 днів тому

    Eva na Bill mnaniumiza sana jamani

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 23 дні тому +1

    Anna wewe nimzuri tu achana na Hilo wingi 😅😅😅😅

  • @BimRamadan
    @BimRamadan 23 дні тому +1

    Move tamu mno

  • @user-jy5jg4cy8x
    @user-jy5jg4cy8x 24 дні тому +1

    Uyu anna anataka nini kwenye maisha yake jamani😮

  • @goodhoperunyoro7057
    @goodhoperunyoro7057 23 дні тому

    Aunt zai ana wivu anataka aliwe yete

  • @MwanajemaPharmacy
    @MwanajemaPharmacy 23 дні тому

    Nyie kwahiyo juma kaukwaa 🙆🏻‍♀️🥹🥹

  • @kimlamar9444
    @kimlamar9444 24 дні тому +2

    Wapili leo😂😂😂

  • @user-sb7wf2ep7f
    @user-sb7wf2ep7f 24 дні тому +1

    Tomas na anita hua mwachekesha

  • @aminamputa6695
    @aminamputa6695 23 дні тому +1

    Ila annah saikolojia yake ipo pambee😂😂