Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

RIDHIWANI AFUNGUKA: Ni kuhusu kukamatwa kwa Yusuph Manji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2017
  • Kwenye On Air With Millard Ayo Ridhiwani Kikwete ambaye ni Mbunge wa Chalinze amezungumzia swala la Yusuph Manji ambapo alikamatwa kwa ajili ishu ya matumizi ya Dawa za Kulevya,

КОМЕНТАРІ • 23

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 років тому +4

    barikiwa Sanaa mwana wa kikwete daa umemgusia manji roho imeniuma na yanga yetu

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 7 років тому +3

    Umeongeya point,

  • @danielmwaipopo1858
    @danielmwaipopo1858 7 років тому +2

    mh upo vzur

  • @fafi9092
    @fafi9092 7 років тому +2

    Bagamoyo tanzania kuzur sana

  • @peterherman4279
    @peterherman4279 7 років тому +3

    unabusara sana kaka

  • @summanelson3718
    @summanelson3718 7 років тому +1

    Riziwani kaongea point sana. Ndiyo maana watu walimtetea manji pamoja na tuhuma nyingi alizonazo.

  • @eliajonathan6090
    @eliajonathan6090 7 років тому +2

    MUNGU AKUINUE KAKA

  • @aikadonath812
    @aikadonath812 7 років тому +1

    Subscribe kwene UA-cam Channel yangu kupata Fursa mpya za Elimu na Ujasiriamali kila wiki.

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 3 роки тому +1

    Yani lazima ujiamini Sana kama hv hakika hakuna wakukutisha kbs mzee hawamjui tu alipotoka na nchi hii... hahahahahaha uliwachana vzur kbs kbs sasa habari yao imekwisha...walikua wanaongoza nchi kwa misifa tu na kuaibisha watu hadharani..walikua wanaropoka na walijawa na roho za visasi...na hili wasituharibie nchi yetu na maendeleo yake amewawahi mapema sana

  • @romanomlanda7184
    @romanomlanda7184 6 років тому

    kila la kheri ridhiwani

  • @saladaniel907
    @saladaniel907 6 років тому

    mtoto WA baba yangu kikwete , umenena vema

  • @husnaaliy6158
    @husnaaliy6158 3 роки тому

    unaongea point lkn uwongzi huupati ww mwenywe muuza madawa mzri tu

  • @stormingfoh
    @stormingfoh 7 років тому +2

    Ridhwani..Ndugu yangu...
    Umeongea mambo mazito...yenye akili!
    Hakika unastahili Uongozi..
    Wewe ni nyayo za kipenzi chetu Jakaya Kikwete!
    Wewe ni mzao wa CCM kweli kweli
    Mola Akubariki..Akujalie mema...
    Aminia

    • @marblebaswige614
      @marblebaswige614 7 років тому

      StormingFo HADI huyu ana busara na hekima kama baba yake big up sana

    • @stormingfoh
      @stormingfoh 7 років тому

      Safi

  • @ShashuMihayo
    @ShashuMihayo 7 років тому +1

    msomi ni msomi tu, mh, Rizone kaongea point, hili janga nitaratibu tu lisifananishwe na kutawanya machinga kariakoo ,

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 7 років тому

    mi napita njia tu.

  • @mekikileo5702
    @mekikileo5702 3 роки тому

    LIAR