BREAKING: Mahakama imemuachia huru Yusuf Manji kesi ya dawa za kulevya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2017
  • Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya kutumia dawa za kulevya baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa hilo.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 64

  • @user-nf3dc9fb6v
    @user-nf3dc9fb6v Місяць тому +2

    Mungu akupumzishe kwaamani

  • @gordiansoko5921
    @gordiansoko5921 6 років тому +4

    Waswahili acheni kuendekeza njaa mmevaa Manji muonekane kwamba mnamjali sana.Alipokuwa Segerea mliwahi kumpelekea chai au hata kumjulia hali acheni hizo.Manji nenda kajipumzikie achana na hawa waswahili wako kwa ajili ya kutaka kufyonza mihela yako tu.

  • @johncapera537
    @johncapera537 6 років тому +2

    Pole sana Yusuph manji

  • @britonmwaipopo6085
    @britonmwaipopo6085 6 років тому +2

    Mungu hufanya njia pasipo na njia.

  • @frankernest1986
    @frankernest1986 6 років тому +1

    Mungu ni mwema tu nashukuru kwa kija jambo ambalo amepitia

  • @issaramadhan3941
    @issaramadhan3941 6 років тому

    Acheni Mungu Afanye Kazi Yake Asante Mungu Kwa Kusikia Kilio Chake Huyu Mja Wako Jamani

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 років тому +1

    Wamemuonea bure, ili wachukue mali zake, Magu mungu ana kuona, pumbavu zako

  • @zuhuraally171
    @zuhuraally171 6 років тому +2

    Mungu mkubwa akuepushe na mengine

  • @mutalemwakalangari1117
    @mutalemwakalangari1117 6 років тому +6

    Nifaraja kwetu sisi wana jangwani kusikia boss kaachiwa huru

  • @veronicalucas580
    @veronicalucas580 6 років тому +1

    pole sana baba dunia mapito be strong

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 6 років тому +4

    Nimefrahia kupna moment zinazosema kanji ashukuru mingu kuliko wanaochukulia ameshinda wakati upande qa mashitaka umeshindwa kuthibitisha.

  • @devotanarberty4180
    @devotanarberty4180 6 років тому +1

    Mungu alkua p1 nawe akujarie afyaaaaa

  • @cynobaby50
    @cynobaby50 6 років тому +2

    Love you manjiiii.. Mwaaaaah

    • @saedmakongoro8633
      @saedmakongoro8633 6 років тому

      excuseme may I say something private with you!?? please

  • @josephsetebe8294
    @josephsetebe8294 6 років тому

    sikuzote mchunga ng'mbe atabakikua mchunga ng'mbe 2.mungu alikua bamoja nawe ndugu manji.akubariki wabaya atahukumiwa siku moja namalipo hapahapa duniani.

  • @veaninkyiee3832
    @veaninkyiee3832 6 років тому +2

    Mungu amsimamie kwani haya yote ni mapito

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 6 років тому +1

    Mwanaume aliye kamilika lazima apate misukosuko, kifupi Manji pamoja na Yanga imezalilishwa sana kitaasisi na kibinadamu itabidi tulipwe fidia kwa usumbufu kwa yule aliye tutu humu ilo alikwepeki wana Yanga pamoja na Manji haki inalipwa hapapa duniani na sipengine...Waswahili wanasema hivi akuchomae mchome.

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 6 років тому

    pole and be strong

  • @mariammapate6148
    @mariammapate6148 6 років тому

    mwacheni mungu aitwe mungu tuna kila sababu ya kumshukuru

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 6 років тому

    Mungu ni mwema

  • @marumbamgeni4796
    @marumbamgeni4796 6 років тому +1

    POLE SANA MUNGU NDIYE AJUAE YOTE KABLA NA HATA MWISHO .KILA MMOJA ATALIPWA KADLI YA MATENDO YAKE.

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 6 років тому +1

    alhamudulilahi

  • @barakafikirini1881
    @barakafikirini1881 6 років тому +4

    Penye haki uongo hujitenga

  • @maryshirima3049
    @maryshirima3049 6 років тому

    And if the bad guys wann stop me running.....in Manji's voice

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 років тому +1

    Sasa mrudishieni vitu vyake vyoote mlivovichukua.! card zake za bank n.k.. Mnawatesa watu tu Lo.!!🤔

  • @mikehjackson2277
    @mikehjackson2277 6 років тому

    Wana wa islael walipita katika ya maji na maadui zao wakafia kwenye maji wakati wa Mungu ukifika hakuna wa kuzuia ashukuliwe Mungu

  • @swedially4911
    @swedially4911 4 роки тому +1

    Wakili mzungu? Huyu wa Bei ghali sna

  • @husseinseif9856
    @husseinseif9856 6 років тому

    Hata ck moja uongo haujawahi kushinda mbele ya ukweli

  • @ashatadei5639
    @ashatadei5639 6 років тому +2

    mungu mwema sijawahi ona mwenye haki ameachwa

    • @rashiddaudi7120
      @rashiddaudi7120 6 років тому

      Asha Tadei mimi nilifahamu ilikuwa ni visasi tu pumbavuuuuu Mungu yupo tutaona malipo yao

    • @MariamsLifestyle
      @MariamsLifestyle 6 років тому

      Mungu nwema sana

  • @emmanuelsamwel2865
    @emmanuelsamwel2865 6 років тому +1

    rengo lao lilikuwa wamtoe kwenye udiwani na wamefanikiwa ok mungu yup asante ayo mkubwa

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 років тому

      Emmanuel Samwel kama keel unampenda manji huwezi mchochea na serikali. Coz, pamoja na kuachiwa yy alikubali anatumia.kuachiwa guru no mambo y kiufundi c kwamba hakuwa na hatia.

  • @ahmedalshammari9372
    @ahmedalshammari9372 6 років тому +1

    jaman mtamuua huyu mwanaume wa watu

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 6 років тому +1

    Filing limechezwa hapa JAMANI msitudanganye KULA mani ANAKWENDA KUWAPA VIZURI yameshwa zungumzwa haya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pasa inatembea mkwanja wanguvu unatembea ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 5 років тому

    inchi imeshikwa na kichaa alisema aliye juu lazima ashuke sasa fanyeni biyo sana mtowe pesa zenu tz sivyo mtajuta

  • @ovenymahenge2528
    @ovenymahenge2528 6 років тому

    daaah afadhari

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 6 років тому +2

    Kanji pls umeachiwa guru haimanishi hukuwa na hatia. Be honest to your government don't use people's blein and ploud pls.

    • @rashiddaudi7120
      @rashiddaudi7120 6 років тому +1

      Imma Mlowe wewe mwehu ndio unaosapoti ujinga visasi sio atia

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 років тому

      Rashid Daudi tumia ubongo wako mpenz

    • @mikehjackson2277
      @mikehjackson2277 6 років тому

      Imma Mlowe sasa kama anamakosa mbona kaachiwa huru sasa ???

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 6 років тому +1

    Safi acha aje uraiani

  • @magnucjames1855
    @magnucjames1855 6 років тому

    mi naona raia wanalia tu kunde zao hazina soko, coz boss unaonewa na wenye roho mbaya. ila inabd wakulipe fidia kwa kukusumbua na kukudharirisha

  • @blandnakonkii7470
    @blandnakonkii7470 3 роки тому

    Huruma bas tu

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 Місяць тому

    Magufuli alimtesa huyuanji

  • @chechemoto
    @chechemoto 6 років тому

    Kesi za kubambikiziwa. Serikali ya visasi

  • @bathromeochengula5895
    @bathromeochengula5895 6 років тому +1

    je akiwashinda watamlipa maana wanampotezea mda tu visa binafsi sawa na enzi za Babuseya

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 6 років тому +1

    Yusufu manji umeshinda haimanishi hukuwa na makosa.tudi upya shirikiana na serikali usilaghaiwe na upinzani unafanya mengi kwa hira.

    • @erastomwakalukwa3594
      @erastomwakalukwa3594 6 років тому +1

      wapinzani ndio walimfungulia mashtaka

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      Imma Mlowe ashilikiane nao nn wakati wamemsweka ndani miezi yote iyo

  • @halimakhalfan1196
    @halimakhalfan1196 6 років тому

    mungu cyo paulo wala athuman

    • @isaackedward6984
      @isaackedward6984 6 років тому

      Pole xana manji mungu atawalipa hao wababe wa nchi hii watakufa kama bwaa hao. Japo wewe ni ccm moyo uliniuma xana kwa yale mateso maana ubinadamu kwanza chama baadaye

  • @erastomwakalinga7079
    @erastomwakalinga7079 6 років тому

    bashitee ndo chanzo cha yote hayo maana uliwataha watu bila ushahid mwisho wa siku wanateseka bila makisa ila mungu yupo

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 6 років тому +1

    Mmama umeganda ganduuuuu

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 років тому

      abdallah hamza we umeongea LA maana klko wengine weng

  • @diwanilemomo3117
    @diwanilemomo3117 6 років тому +1

    bado wana sema makonda amesoma

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 років тому

      Diwani Lemomo mpumbavu we.ametoka so kama hakuwa na makosa.

    • @immamlowe734
      @immamlowe734 6 років тому

      Diwani Lemomo Nazi ya makonda inahitaji yeye ajue kusoma na kuandika tu BC.haihitaji awe musomi. Simanishi hajasoma,amesoma kuliko wewe.

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 років тому

      Diwani Lemomo ndoapo sasa