MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA NA KUONA SHUGHULI ZA WAJASIRIAMALI ENEO LA NZEGA PARKING

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2023
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuona shughuli za wajasiriamali la eneo la Nzega Parking wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18 Oktoba, 2023
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 5

  • @adolfmjunguz9794
    @adolfmjunguz9794 9 місяців тому +1

    Kazi liendeleee,🇹🇿salama tunakupenda mama

  • @husseinjumanne
    @husseinjumanne 9 місяців тому +1

    Mama kweli hakuna Kama mama

  • @Tanzania.
    @Tanzania. 9 місяців тому

    Mama congratulation Kwa kuwatembelea wajasiliamali hawa
    Ila mama itapendeza ukiwatembelea wakulima hasa wale wa jembe la mkono huku vijijini maana wenye nacho ndo waamua kutimiza neno la biblia mwenye nacho ataongezwa na yule asiye nacho ata kile kidogo atanyanganywa😢😢😢

  • @enockfumbuka6843
    @enockfumbuka6843 9 місяців тому

    Haya Mambo ya machawa wa ssh hayafuti wizi na uuzaji wa Bandari zetu.Hatudanganyiki.

  • @user-ji1sj5fn1p
    @user-ji1sj5fn1p 9 місяців тому

    Baba tunakuaubili na sisi wakazi wa tabora mjini