UTAPENDA: NYUMBA YA KISASA RAIS SAMIA ALIYOMJENGEA MTOTO HUYU, AMBADILISHIA MAISHA, ATIBIWA BURE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 507

  • @EdnaLugano
    @EdnaLugano Рік тому +24

    Hii ndio Raha ya kuwa na mama hasa mama mwema .Mungu akupe maisha marefu na akutangulie ktk majukumu yako mama yetu mh Rais Samia

  • @marthasanga6740
    @marthasanga6740 Рік тому +15

    Daaah sahiv Mpka Amepona,,,,,Mungu Akubariki mno Raisi wetu mzuri ❤️❤️❤️❤️

  • @mkanamc8341
    @mkanamc8341 Рік тому +12

    Mungu akubariki Rais Dr Samia, 👏👏 Nimeipenda ramani ya nyumba

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 Рік тому +3

    Neno mama linamaana nyingi sana.
    Mama kapewa sehemu tatu na M.Mungu. Baba kapewa moja.
    Mimi nilijuwa kuwa Nchi kapewa mama wengi tutafarijika kwa huruma zake.
    Mungu akulinde na maadui na akulinde na kila baya.
    Actual is sign humanity no comment no argument.
    My eccept my solute mama Samia.
    Nakupenda sana. Naomba Mungu anikutanishe na wewe. Amiin.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 Рік тому +42

    Mama Samia ana moyo wa kipekee ni matajiri wangapi hata ndugu zao hawawasaidii. Mungu azidi kukulinda Mama Samia 🙏🏽🙏🏽 kwa hili uliofanya umenifurahisha sana

  • @mwambaD
    @mwambaD Рік тому +18

    Mungu akupe maisha malefu mama ni ngumu kuwafikia wote ila umeonyesha upendo wa juu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +12

    Unalala Maskini unaamka tajiri kwenye Maisha never give up 😅😅Allah amzidishie kheri Mama na barka na Kwa wanao mpiga vita Mungu awasogeze mbali 🎉🎉🎉🎉

  • @jacksonmichael799
    @jacksonmichael799 Рік тому +12

    You touch our hearts, As poor people we have been suffer a lot in our own country......Doing such a thing make us feel valued God bless you madam president for this.

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 Рік тому +12

    Mungu ni mwema pongezi kwa mama yetu kipenzi cha watanzania ❤❤❤🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +4

    Mashallah uwezi kuwafikia wote mmoja tu mungu a akubariki, Asante Dr rais wetu

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Рік тому +11

    😢😢😢jmni naliaa Kwa furahaa wallah Allah amzidishiee mama etu

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv Рік тому +3

    Mashallha kwa hili tumpe mauwq yake raisi kwakweli Mungu amtupi mja wake nyumba nzuri mno

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 Рік тому +1

    Jazzakah llahu kheir Amirat Samia Suluhu Hassan🤲...kweli wakati wa Mungu ni wakati sahihi

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Рік тому +12

    ❤❤❤ hongera raisi wetu tunakupenda Sana wewe ni mama Bora hongera ni mfano mzuri kwetu mashallah Allah akupe Kila Aina ya kheri

  • @isaactweve2114
    @isaactweve2114 Рік тому +37

    Hongera sana raisi wetu mpendwa una moyo wa pekee sana, Mwenyezi Mungu akulinde na apigane na wote wanaopigana nawe. Tunakupenda mheshimiwa raisi wetu

  • @danielmungure
    @danielmungure Рік тому +4

    Mwenyenzi mungu azidi kukubariki uendelee na afya njema uzidi kiwasaidia na wengine mama Samia

  • @khamisabdallah1618
    @khamisabdallah1618 Рік тому +3

    Na hili lifanyeni lionekane baya maana munamfanya raisi wetu kua hana jema na jitihada zake munaziona kama hizi Mashallah

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 5 місяців тому

    Mashallwah mh rais samia mungu akulinde naakupe nguvu na afyaa ishallwah iwe nisababu yakuipata pepo

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 Рік тому +5

    Hivi ndivyo Mungu hufanya ukifika wakati wa kukumbukwa.!! Sifa na utukufu kwa Mungu.Mungu akubariki Mama Samia,Mungu akulinde mtoto Hamimu.# KAMWE!!USIKATE TAMAA!

    • @MiragorethLaswai
      @MiragorethLaswai Рік тому

      Kabisa MUngu hukumbuka kwa wakati unaofaa tusikate tamaaa

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf Рік тому +2

    Asante mama kwa upendo mwenyezi mungu hatanyamaza kwa wema wako kwa wahitaji

  • @saniakhalfan1325
    @saniakhalfan1325 Рік тому +3

    Mashallah
    Allah Amlinde mamaetu
    Rais wetu❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Рік тому

    Masha'allah Tabarakallah Mwenyeez Mungu amzidishie alipotoa Mheshimiwa Rais Samia.Kijana Hamimu anaakili sana. Anajua kujielezea.

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 9 місяців тому

    Mwenyeezi Mungu
    Ampe Rais Dr. Samiha
    Hassan umri mrefu ili
    Azidi kuwasaidia wengine wenye shida
    Palipo na uwezo.
    Aameen...

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 Рік тому +3

    Hongera sana mama Samia kwa hili Mungu akuzidishie afya njema napia kijana wetu naye Mungu amponye kabisa maradhi yake.

  • @humphreyjoseph1203
    @humphreyjoseph1203 Рік тому +2

    Alafu anatokea mjinga flani na anamtusi President makini na Safi Madam Samia. Nakasirika sana
    Hongera Mama Samia usichoke

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 Рік тому +1

      Aise wanakera sana.Wajinga na majambazi madhulumati ndo wanamchukia Raisi

  • @user-hw3cs1oo9m
    @user-hw3cs1oo9m Рік тому +1

    Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassann amefanya jambo jema sana, lenye utu, ubinadamu na heshima kwa uamuzi wa kumjengea Nyumba Mtoto Hamimu Mustafa Balanyukwa.
    Mungu akubariki sana Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan.

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому +1

    Mashallah ❤ Allah akulipe kheri rais wetu,hyo nyumba aandikwe Jina lake wasomzulum

  • @thomasdimme7899
    @thomasdimme7899 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu akubariki sana mhe dkt SSH Rais wetu mpendwa.hakika upendo mkubwa

  • @rajabmohammed234
    @rajabmohammed234 Рік тому +7

    Ma-shaa-llah 💕...Allah Barik Ms President Samia

  • @user-qw7un1nf2f
    @user-qw7un1nf2f Рік тому +3

    Ongera mama Allah akupe maisha marefu na tija

  • @ericmellau3783
    @ericmellau3783 Рік тому +4

    Mungu awajalie wote walio shiriki kwa namna moja au nyingne kurejesha furaha na tumaini kwa mtot na familia nzma

  • @user-ih9nd1yt8s
    @user-ih9nd1yt8s 9 місяців тому +1

    Hongera sana mama yetu mama Samia umefanya jukumu lako kama raisi umeweza kumtetea mtoto hiyu na kumfanya awe bora kama walivyo wengine mungu akusimamie katika kutenda majukumu yako nakupenda sana rais wangu ❤❤❤❤❤

  • @VictorZimba-kg3xr
    @VictorZimba-kg3xr 9 місяців тому

    Mh rais honorable Sana kazi nzuri uliofanya

  • @richardmasasi668
    @richardmasasi668 Рік тому +5

    Wasikaloge sasa jamn wachawi wa bihalamlo mmeelewa...

  • @aminasaleh7875
    @aminasaleh7875 Рік тому +6

    Nyumba ni masha Allah Mungu awabariki wote

  • @tatukarume6140
    @tatukarume6140 Рік тому +2

    Hongera mama Allah atakulipa kwawem na imani aliyokup mungu hakika mung atakulip nakuweza kuwasaidia wengn weny uhitaji

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +4

    Amaa kweli watoto ni hazina kubwa sana ndomaana kipindi nahitaji mtoto nliumia sana na sasa namshukuru mungu kunijalia watoto,

  • @jehovajonas9284
    @jehovajonas9284 Рік тому +1

    Mungu azidi kukulinda mama jambo hili ni la Baraka sana

  • @happycarloss6726
    @happycarloss6726 Рік тому +3

    Mungu mbariki Rais wetu

  • @KisikaAwili-tw4pe
    @KisikaAwili-tw4pe Рік тому +2

    Hongera san mama mungu akupe maisha marefu raha ya kuwa na mama watoto wanafurahia

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +4

    Hongera mama Samia wewe ni mama na nusu🥰

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 Рік тому +2

    Kwa hili nimeamini ya kuwa Mungu ni wa watu wote,huwanyeshea mvua wema na wabaya na pia huwaangazia juu lake wema na wabaya!Mungu akubariki mh Rais,umeweka tabasamu kwa familia hii maskini

  • @IsraelKisaila
    @IsraelKisaila Рік тому +1

    Hapo ndugu wote watahamia,kama nawaona wanavyokimbizana kutaka kuhamia hapo😂😂😂😂😂

  • @pastormalitiushuhuda9965
    @pastormalitiushuhuda9965 10 місяців тому

    Barikiwa Sana mh Rais wangu nakupenda na Mungu wa mbinguni akujalie maisha marefu Sana

  • @EmanuelLoishiye-pf1ki
    @EmanuelLoishiye-pf1ki Рік тому +1

    Mungu ambariki Rais Samia jmn

  • @suzanbegas4139
    @suzanbegas4139 11 місяців тому

    Nzuri Sn Mungu Ambariki Mama❤❤❤

  • @paulosamwel9853
    @paulosamwel9853 Рік тому +2

    Mama hongera piga kazi,hakuna aliye mkamilifu chini ya jua,binafsi nasema piga kazi na ukifanya kazi mkono utafika kinywani.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu mpe afya na umri mrefu Rais wetu SSH na wote wanao mshauri na kumsaidia majukumu yake

  • @carolinepius8610
    @carolinepius8610 Рік тому +1

    Hongera sana mama Samia natamani na mimi uniongezee hela kidogo nimalizie yakwangu

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 Рік тому +1

    Kwa hili mama kura yangu ushaichukua yan nakupa Asante sanaa mama samia

  • @halimaali1042
    @halimaali1042 Рік тому

    MASHAALLAH MASHAALLAH :ALLAH azidi kukuogoza kwakila jia ya kheri mama SAMIA .ALLAH barik

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому +2

    Saf sana rais wetu hongera sana

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 9 місяців тому

    Maraisi nikama hao wengine nikushidikisa tu raisi samiya mungu akutangulie ❤

  • @swama9820
    @swama9820 Рік тому +5

    Hongera sana Mama Mungu akuzidishie na kukulinda na kila lilo baya

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 11 місяців тому

    Mashallah Allah akupe pepo Rais samiya

  • @richardmagaka9525
    @richardmagaka9525 Рік тому +5

    Rais wangu pokea maua yako huyu ndo Rais wa wanyonge nawaombea kwa MUNGU wote wenye vipato katika maisha mjitoe kusaidia wahitaji na wagonjwa badara ya kufanya anasa za kidunia huku wengine wanateseka

  • @mborawakiche7564
    @mborawakiche7564 10 місяців тому +1

    Bwana ambariki Rais wetu kwa kuvaa viatu vya Hamimu! Nimejikuta natokwa na machozi ya furaha ❤🎉🎉

  • @BagashekiFelix-jr9cu
    @BagashekiFelix-jr9cu 9 місяців тому

    Nakushukuru sana Rais wetu mpendwa Mh. SSH kwa moyo na upendo huu upendo wa Agape. Ushauri watu wa namba hii wapo wengi Tanzania nzima tena hata zaidi ya huyo kijana wetu. Ikikupendeza pata wa namna hiyo angalau kila wilaya mmoja mmoja ili nao waupate utume wa Mungu kupitia kwango. Asante mama Mungu akuongoze akupe afya njema akulinde katika uongozi wako. Amina

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 Рік тому +1

    Mashallah alhamdulillah,allah akuhifashi samiha my love

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 10 місяців тому

    Mashallah ! M.mungu Akubariki sn mama Rais kwa kuguswa na hali za wananchi wako wasio na uwezo. Allah atakulipa ujira wako inshaallah 🤲

  • @user-ox1ce7iu8i
    @user-ox1ce7iu8i 9 місяців тому

    THANK U SOOO SOOO MUCH MAMA SAMIA
    ALLAH AKLIPE KILA LA KHERI

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 Рік тому +1

    Mungu akulinde mama yetu kipenzi Dr. Samia Suluhu Hassan

  • @jackmukundwa7856
    @jackmukundwa7856 11 місяців тому

    From DRCongo kwa hilo alilo lifanya Raisi Mama Samia Suluhu ni jambo la Ku mushukuru Mungu Na yeye Pia,anaonekana kuwa ana moyo Sana Na anae wajali wana inchi wake,maisha marefu Mama Samia ❤❤

  • @madinahemed3650
    @madinahemed3650 11 місяців тому

    Maashallah. Mama ni mama tu. Allah akuhifadhi. Amin

  • @bongo39
    @bongo39 Рік тому +1

    Mashaallah mama mungu akulinde na kila shari hasada maradhi na hao laana wanao kufuata fata hasbiallah laana tullah mungu atawaangamiza wasifike popote

  • @fifo262
    @fifo262 9 місяців тому

    Mashallah mungu akulinde mama na kila baya mama la watanzani na wageni

  • @zainabjuma7460
    @zainabjuma7460 9 місяців тому +1

    Mashalah mama Samia🙏

  • @jacksonclavery6062
    @jacksonclavery6062 Рік тому +5

    Mungu akubariki mama Samia. Libarikiwe tumbo ambalo ndani yake ulikaa miezi tisa wabalikiwe wazazi wako ambao walikulea Kwa malezi mazuri sana na mwisho nikushukuru Kwa kujari utu wa mtoto hamimu hakika mungu atakulipa Kwa mema yote unayoendelea kufanya

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Рік тому +2

    Uchungu wa mwana aujuaye mama🙌🏾

  • @user-gc9rc7it9r
    @user-gc9rc7it9r Рік тому +1

    hongera sana rais samia kwa kumfanya mtoto huyu kurudi katika tabasam lake

  • @IsraelKisaila
    @IsraelKisaila Рік тому +2

    Nimefurahia mnoooo,jamani ,Mungu akulinde RAIS wetu Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN

  • @user-wb4wf8tb9m
    @user-wb4wf8tb9m Рік тому

    IAsante mama Mungu akuzidishie ulipotoa🙏

  • @NeemaKa
    @NeemaKa Рік тому +1

    😅😅😅😅eti, hatuachi kulia kilio kuhusu bandari, maana msiba ni mkubwa mno. Mashallah.

  • @yustinaandrew7335
    @yustinaandrew7335 10 місяців тому

    Mungu akubariki sana Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan Raisi wetu. Mungu aendelee kustawisha ndani yako moyo wa upendo uliojaa huruma na unyenyekevu kwa masikini. Hongera sana Mama yetu uliojaa Umama.

  • @mohamedmwinyi3261
    @mohamedmwinyi3261 Рік тому +1

    Hongera mama wa taifa la Tanzania umefundisha wengine utu wa kujali watu mola akuzidishie moyo huo wa huruma na akujaze jaza njema insha'Allah

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 Рік тому +1

    MashaaAllah tabaraka Allah

  • @user-zo8sk1ht4v
    @user-zo8sk1ht4v Рік тому +1

    Mungu akubariki mama samia akulinde hata kwa hayo mema unayoyafanya

  • @mhozastephenkagoroba4661
    @mhozastephenkagoroba4661 Рік тому +10

    This is great, may God bless her indeed

  • @doktamdiro9387
    @doktamdiro9387 Рік тому

    Sasa wasije wakafikili kisha raisi kamjengea ndo waingieingie kwake bila hodi Mungu ambariki Mama Samia.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +2

    Hongera kwako Madame President Kwa uungwana wako mkubwa!!

  • @GraceShao-ef8lx
    @GraceShao-ef8lx 9 місяців тому

    Haya ndiyo matendo ya huruma ambayo Mungu hupendezwa nayo ubarikiwe mama kwa ulichokitenda

  • @user-sy1rc2fd8y
    @user-sy1rc2fd8y Рік тому +1

    Mungu ambariki raisi wetu

  • @ziadajoisa8752
    @ziadajoisa8752 Рік тому

    Hakika wewe ni mama mungu akujalie Uzima na hekima zaidi tuko nyuma yako kipenzi

  • @munic6686
    @munic6686 Рік тому +1

    Tungekuwa tunaishi kwa kusaidiana hivi tungekuwa mbali wengine waige kwa Rais wetu

  • @amrytweve1998
    @amrytweve1998 Рік тому +2

    Mungu ambariki mama kwa Jambo hili..! Wema Ni akiba

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz Рік тому +1

    Ee mwenyezi mungu mpe afya ukawe mlinzi wa rais wetu mama hasani Samia suruhu. Mama mwenye huruma mama mcha mungu. Mama mama mama. Nani kama mama.

  • @amryzarcky6030
    @amryzarcky6030 10 місяців тому

    Nani kama Mama jamani ,ubarikiwe sana na mungu Jemedari wetu Rais,Dk, Samia Suruhu Hassan

  • @siashao169
    @siashao169 Рік тому +2

    Mama Samia Raisi wetu mpendwa! ufalme wa Mbinguni ni wako.

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 Рік тому

    Asante Mama Samia Mungu akutangulie

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 Рік тому +1

    Mama anaupiga mwingi👏👏👏

  • @mellenondieki6329
    @mellenondieki6329 11 місяців тому

    Mama samia,,Raisi,wa Tanzania Ashante sana,may God give you long life,you are the best in Africa,,l wish you the best mom,....for building agood ahouse for the poor boy,,Nenda,mama president to give more.God will bless you more....l IN USA 🇺🇸

  • @WachajiWaForo
    @WachajiWaForo Рік тому

    Hongera sana Rais wetu. Na ingekuwa maskini wanafikiriwa kujengewa kama hivi au hata nyumba ndogo tu nzuri ya kuishi basi umasikini ungepungua siku Hadi siku Tanzania. Kila awamu wangejengewa masikini kiasi Cha bajeti inavyoruhusu. Asante

  • @yolonimojohn7792
    @yolonimojohn7792 Рік тому +3

    Raisi wetu anaonesha kabisa kuwa eye nikaka mwenye huduma,mungu akubariki mama yetu

  • @dennisvenant7357
    @dennisvenant7357 Рік тому

    Watamuroga huyo mtoto..wahaya nawajua vizuri jaman..jaman mungu Amlinde 🎉

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Рік тому +4

    Asante mama kwa hili tendo lahuruma ulilomfanyia huyu mtoto umenifunga mdomo hata bandari siongelei Tena keengele Mimi🤐🤐🤐

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 Рік тому +10

    "Basi kisha muombeeni "Dua" ya kheri na baraka! Msimuangalie na jicho la uhasidi kwani ni majaliwa yake! Good job MUM!

  • @soozeymerick31
    @soozeymerick31 Рік тому +1

    Safi mama mungu akubariki kwa ku saidia mtoto

  • @rahmambugi1950
    @rahmambugi1950 Рік тому +1

    Mama yangu Rais wangu, mungu akupe maisha marefu yasiokua na maradhi🙏❤️

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio 10 місяців тому

    Mungu akulinde mama kutoka moz,,🇲🇿🙏

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 Рік тому +2

    Nyumba nzuri ushauri wangu kwa wale wazee au walezi wamtunzie mtoto maana nikiangalia hii nyumba inataka usafi wa hali ya juu ili iweze kupendeza na isijekua kinyume chake.
    Taizi na kuta zikawa hazitamaniki.

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 Рік тому

      Kwani unawaonaje wazazi wake 😂😂wanadamu mnanogwa

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 Рік тому

      @@prettynayally2177
      Sio nongwa ila kwa sisi ambao tupo kwenye field hii tunajua,sio kwamba nongwa.

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 Рік тому

      @@hatibbaraka3956 field ya nn fata kilichokupeleka