RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA KIBAONI KATAVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wananchi wa Kibaoni Mkoa Katavi Njiani akielekea Mkoa Rukwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 15 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @bekajoo1825
    @bekajoo1825 Місяць тому +4

    Maashaaalh mama mitano Tena na tunakuombea dua japo tupo mbali ira dua azina umbali waona Tupo UAE Dubai 🇦🇪 tunakuombea upiteee na utapita inshaaaaaaalh 🤲

  • @ShawazMruma
    @ShawazMruma Місяць тому +1

    Hongera sana Raisi wetu mama Samia Suluhu Hassan Kwa kazi nzuri sana unayofanya,hakika unastahili mitano tena

  • @hboywasasa
    @hboywasasa Місяць тому

    ❤tunakupenda mama 2025 kula yangu ushindi wako

  • @mtumepauljames3271
    @mtumepauljames3271 Місяць тому

    Kwakweli mama unaupiga mwingi lakini kwenye bei ya mahindi umetukosea sana pembejeo zinagalama afu bei haifai kabisa😢😢😂😭

  • @EliakimSabuni
    @EliakimSabuni Місяць тому

    nice

  • @nasiburamadhan9170
    @nasiburamadhan9170 Місяць тому

    🤑🤑🤑

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 Місяць тому

    Duh ...😂🙌