MAONGEZI YA ANA KWA ANA KATI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA TIDO MHANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Maongezi ya ana kwa ana kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando.
    #AzamTVUpdates #RaisSamiaNaTidoMhando #RaisSamia #TidoMhando #TidoMhandoIkulu

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @SWAHILINATION
    @SWAHILINATION 2 роки тому +61

    We need more journalists like you Tido, people who can ask difficult questions fearlessly. Well done Azam TV
    Hongera mama yetu! Well done with the Russia-Ukraine war that was a smart move indeed. Tunakuombea Mungu akutie nguvu uiongoze nchi yetu kwa uweledi mkubwa. May God protect you always. Hurray Tanzania 🇹🇿

    • @moa4122
      @moa4122 2 роки тому +2

      Ameen Allahuma Ameen

    • @werun.1674
      @werun.1674 2 роки тому +1

      That Mama Samia is granting this kind of interview without pre-determined questions, going by the kind of questions asked is exemplary. Tanzania is in good hands.

    • @nyandwiomar7683
      @nyandwiomar7683 2 роки тому

      .
      X;c,,

    • @philojia2744
      @philojia2744 2 роки тому +2

      Hongera mama samia kwa kazi nzuri mungu akujalie kuongoza nchi hii

    • @juliuskavumo1937
      @juliuskavumo1937 2 роки тому

  • @prospermagali
    @prospermagali 2 роки тому +4

    Mahojiano bora kabisa. Asante Azam, Asante Tido kwa kuuliza maswali yote muhimu...

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 2 роки тому +39

    Maongezi yamekuwa mazuri sana hongera sana ndugu Tido Mhando kwa kuendelea kuweka historia nzuri ya kufanya mahojiano mazuri na viongozi wakuu wa nchi

    • @boniphacewambura1427
      @boniphacewambura1427 2 роки тому +1

      Evarist mrope
      Umeongea point sana ndugu 💪

    • @evaristmrope
      @evaristmrope 2 роки тому +1

      @@boniphacewambura1427 asante sana kaka

    • @johnsonndegwa5945
      @johnsonndegwa5945 5 місяців тому

      Quite good kwa president Samia suluhu president Tanzania you're fearfully beautifully and wonderfully made by God's favor and grace

  • @ziadiibrahim4665
    @ziadiibrahim4665 2 роки тому +3

    Mungu ibariki Tanzania nchi yetu watanzania.wabariki viongozi wetu, wabariki pia Azam TV

  • @mansouraltamim
    @mansouraltamim 2 роки тому +9

    Hongera sana Mama Samia Suluhu Hassan umefanya interview nzuri na umejibu masuali yote vizuri na kwa hekima kubwa sanaa. Mungu akulinde sana mama kila la kheir katika kujenga nchi yetu. Hongera snaa Mr. Tido Muhando kwa interview nzuri.

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 2 роки тому +4

    MashaAllah MashaAllah, Mwenyezi Mungu akupe nguvu InshaAllah Amina Thumma Amina

  • @rosebudkurwijila1092
    @rosebudkurwijila1092 2 роки тому +2

    Well done Madame President. Very informative. Hongera Tido, maongezi mazuri sana

  • @rizikally7594
    @rizikally7594 2 роки тому +10

    Kila la kheri mama yetu Allah akupe afya njema na akuzidishie hekma na imani, tunakuamini sana

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 роки тому +11

    Tido the Best Journalist 👍👍👍

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 2 роки тому +12

    Hongera Mhe. Rais niseme kwa mara ya kwanza na mm unaupiga mwingi. Tido Muhando wewe ni bonge la journalist na wengine waige kwako. Wewe ni mfano wa kuigwa

  • @martinsntonyo8537
    @martinsntonyo8537 2 роки тому +7

    It was a nice conversation between our president mama Samia suluhu Hassan and Tido mhando great responses indeed bravo madam president

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 6 місяців тому +1

    Mnimeipenda sana hii interview mashaalah mama Samia hodari kujibu maswali

  • @raboymziki336
    @raboymziki336 2 роки тому +43

    Kama unamuelewa Tido gonga like!!

  • @salumali9312
    @salumali9312 2 роки тому +15

    Hongera Azam lakini hongera zaidi Mama yetu mpenzi. Wazanzibari tunajiproud sana. Kwa hakika unatuwakilisha vizuri sana. Allah akupe kheri na baraka nyingi.

  • @harrietmalesi4222
    @harrietmalesi4222 2 роки тому +1

    We thank God Mrs president
    You work is promising be blessed so much we are proud of you mother Care

  • @user-gj2il6fo4t
    @user-gj2il6fo4t 5 місяців тому +2

    Mama endelea kuchapa kazi zaidi❤❤❤❤Tunakipenda,kujali na kuthamini.
    Juhudi unaifanya kwa kla sekta ili wananchi wanufaike .
    M.Mungu skype afya na umri mrefu pia kukuengezea hekima,ubunifu upole na huruma kwa wananchi wake.❤❤❤❤ Chapa kazi Kuheshimiwa Rais Samia.

  • @salimamoshi619
    @salimamoshi619 2 роки тому +8

    Hongera sana kaka yangu Tido Mhando
    Kweli wewe ni gwiji
    Sijachoka naomba uwahoji viongozi wote
    from USA

    • @abuumatingasi1332
      @abuumatingasi1332 2 роки тому +2

      Mama samia unatisha unaridhisha kwa majibu yako mm nimeshiba

    • @asilasaidsalim6138
      @asilasaidsalim6138 4 місяці тому

      Jaman mama kasha choka kuongea mpumzishe kwanza yuko taaban

  • @waihura2039
    @waihura2039 2 роки тому +5

    Good interview right there Tido. Me like that Mama. Kazi mzuri

  • @user-hp1le5wd6l
    @user-hp1le5wd6l 4 місяці тому

    Thanks your excellence for thy standard elaboration on our development

  • @philiposimioni2854
    @philiposimioni2854 2 роки тому +2

    Asante sana mweshimiwa raisi kwa kuwaelezea uma kwa mahojiano mazuri na ndg tido

  • @charleshaule4008
    @charleshaule4008 2 роки тому +13

    This is one among best production ever in Tanzania. Tido Mhando composed himself so well.
    Mama Samia's scope of knowledge and response skills towards challenging questions has been so high.
    I rate the whole thing GOLD medal as far as my journalism experience is concern.

  • @victormahimbo
    @victormahimbo 2 роки тому +3

    Brother Tido umeupiga mwingi. Classic interview. Bado nakumbuka kazi yako nzuri RTD miaka ya 1970s ukiwa na fundi wako wa mitambo James Mhilu.

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 2 роки тому

    Waandishi wa habari kwa mtini jifunzeni, hongera sana Tido Mhando aisee this is the powerful interview ,

  • @user-tp8fq9mb8e
    @user-tp8fq9mb8e 3 місяці тому

    Dear Mrs Samia Suluhu Hassan
    and as a politician, men and women from Africa especially East Africa where I come from, we ask us as young men and women.us and the next generation and the present generation not to just look away. I thank you very much and look forward to our positive unity East Africa from Somali capital Mogadishu Thank you family and friends we are one family and we must stay together work and help one another we Love africa ❤

  • @mbwanakassim418
    @mbwanakassim418 2 роки тому +7

    I am proud of my president,anajibu maswali kiufasaha,nikiongozi mwenye taarifa ya kila sekta ya uchumi,anatoa majibu sahihi kwa swali sahihi,anaeleza ukweli bila kupepesa ,ni jambo zuri sana wananchi tunapopata taarifa sahihi kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi,bravo mama Samia.
    Tido you are the best interviewer,relaxed and asking the right questions with discipline and integrity.

  • @mitchellyt4649
    @mitchellyt4649 2 роки тому +2

    Good interview atasijutii kumaliza bundle langu.. Mungu tulindie amani yetu

  • @berthakalori195
    @berthakalori195 4 місяці тому

    Raisi wangu samia hongera sana unajibu vizirii sana hongera raisi wangu mweshimiwa rais wangu

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 роки тому +25

    Du! Excellent Mr. Tido Muhando, Hawa ndio wabobezi wa Habari. Nimependa jinsi alivyoonza haya mahojiano. Jamaa lonajua.

    • @venantrugabela6798
      @venantrugabela6798 2 роки тому +1

      Zamani Tiddo hakuwa hivi. Enzi akiwa BBC. Mtu angetoka jasho kila mahali

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 2 роки тому

      Ninakubaliana na wewe kuhusu hili.
      Ila kwa nini mama alivyo compare Tanzania na United States of America Tido hakumuambia mama kuwa do not compare United States of America na Tanzania.
      Hapo ndipo Tido alipokosea.
      Tanzania yetu 99% ni maskini.
      Mama huyu anatukosea sana! Watanzania.

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 роки тому +3

    Hongera sana Mama kwa majibu mazuri kwa mwandishi m'bobezi Tido Mhando. Tanzania tunakuhitaji sana. Hakika nchi inahitaji katiba ibadilishwe ili Rais Mama Samia atawale kama alivyotutawala Rais wa kwanza hayati Maalim Julias Nyeyere.

  • @mbekurelaon8820
    @mbekurelaon8820 2 роки тому +1

    Hongera Azam tv kwa mahojiano haya ya moja kwa moja na Rais
    Mmechagua gwiji wa habari hongera Mheshimiwa Tido Mhando
    Lakini kuna kazi inafanywa na watu wanao mwakilisha Rais Ngorongoro na Loliondo hatuamini Kama ni mama ndio amewagiza waje kutuonea
    Tunalia kwa sababu damu zilizomwagwa tukinyang'wa ardhi yetu
    Watumishi wanachonganisha wananchi na serikali ya Mama Samia

  • @annarathanthony5801
    @annarathanthony5801 Рік тому

    Asante sana mama kwa kutuelewesha kama hivi nasi tunakuwa na Imani nawe pamoja na Uongozi wako kwa wananchi unaotuongoza mungu akupe moyo huo ukweli umeweka mtu huru kwa kimaadili

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +9

    Mama Maneno machache kazi kubwa.ingefaa huo msemo utumike maana kwa aliemgundua mama anachapa kazi kubwa sana ila kimyakimya.welldone mama❤❤

  • @deogratiasmacha7646
    @deogratiasmacha7646 2 роки тому +5

    Mzee Tido na kukubali sana Tokea Radio Tanzania hadi Leo,nimependa sana haya Maojiano yako na Rais Samia ni yaubunifu wa hali ya juu,Unaviwango vya hali ya juu kimataifa zaidi.

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 8 місяців тому

    Mzee Tido hongera sana kwa interview huko vizuri sana hongera sana mtani

  • @mizingayaudongo1097
    @mizingayaudongo1097 5 місяців тому +1

    Excellent !

  • @doricemalisa5712
    @doricemalisa5712 2 роки тому +4

    Mungu atakusaidia tu Rais wetu ,utafanikiwa kwa kila jambo ninakuombea sana kila siku

  • @habibndyeshobora6848
    @habibndyeshobora6848 2 роки тому +2

    Mama uko vizuri sana,na umenikosha zaidi kwa kuonyesha kiwango cha halo ya juu ,ya kujiamini na kuonyesha kiwango cha juu cha akili,kuchuja ,tafakuri, response of abrupt questions !!!!!! Congratulations Madame President !!!!!!!!!!!!

  • @ruispeter7706
    @ruispeter7706 2 роки тому +1

    Interview nzuri imetulia hongera sana Azam hongera Mzee Tido I get more

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 місяці тому

    Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu jamani samahani kama nakosea mwenyewe umejitolea kutubeba na kutuhangaikia iktaifa na kimataifa kiasi cha kupata digree 4 za Udaktari jamani jamani Madamu Rais hakika hongera sana tunakukubali

  • @doramalisa2061
    @doramalisa2061 2 роки тому +14

    Hongera sana mama, Kuna tatizo kwenye viwango vya ajali, ni changamoto kubwa Kuna vile kama miaka miwili imepita Hali ilikua shwari,

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 2 роки тому +5

    Mama, Binafsi Nakupongeza sana, Mwenyezi Mungu atakuinua na Kukulinda daima, URaisi wako Ni Mpango wa Mungu, Hukujaza fomu Kuomba URais, Mungu Ibariki Tanzania Yetu, Aamina.

  • @joachimmbosha5796
    @joachimmbosha5796 2 роки тому

    Hongera mh rais wetu, Mungu akujalie nguvu kutimiza majukumu ya Ujenzi wa. Taifa letu,,unandoto njema kwa watanzania.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 роки тому +4

    Our lady was prepared as a leader. Shez has all the details of many sectors in our country. Great information which are on point and briefly insightful. She needs contest for this seat by the Will of God. Congrats mama Samia bindi yake Suluhu wa Hassan.

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 роки тому +19

    Kwa kweli haya mahojiano ni ya standard ya hali ya juu sana. Mazingira, hadhira mpaka ujumbe wenyewe. Waandishi wa habari wengine wajitahidi kuiga kwa Mh Tido Mhando, Mama Samia tunakushukuru kwa jitihada zako za kukuza nchi yetu, tunakuombea sana

  • @harunamaboyi8937
    @harunamaboyi8937 2 роки тому +1

    Honge raisi wetu wa afrika hongera sana

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 роки тому

    Mweshimiwa.Rais Samia Suluhu hakika ni mwarubaini kwa maswala ya nchi.
    HAKIKA MAMA TUNAYE. MWENYEZI MU GU AKUTUMIE UTUMIKIE WATU WA TAIFA TEULE TANZANIA. UZOEFU WAKO UNATIKISA NA KUSAWAZISHA HAKIKA. 👍

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 2 роки тому +7

    Tido Mhando unamuuliza maswali mazuri,rushwa,madawa kulevya,anachenga sana

  • @honomaria7279
    @honomaria7279 2 роки тому +5

    Thank you our dear president. You are realy a visionary woman and I think this is the kind of a woman or a President we need for more other five years. Also your capacity of answering such great questions from such great man Tido Mhando.. what I m surprising is your knowledge of our country. Congratulation mama kaza mwendo. But the keen point is those you entrust responsibilities. Pay attention to those people

  • @bashirjabir6351
    @bashirjabir6351 2 роки тому +1

    Mama samia suruhu hassan mimi binafsi nakushuru sana kwa majb mazuri kwa Tido umeotoa majibu mazuri mama yetu.

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 2 роки тому

    Hongera sana mama raisi wetu haya ni kati ya mahojiano Bora Bora zaidi,wewe ni kiongozi Bora umebarikiwa mungu akupe maisha marefu zaidi

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 2 роки тому +11

    Very humble mama! I hate ccm with all my heart but this Woman give me hope! Lets Go we trust you!! Tuongoze kwa haki sisi kazi tutafanya!!

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 2 роки тому +14

    Mzee Tido wewe ni gwiji wa habari. Hongera sana, mawali yako yanamsingi sana.

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 2 роки тому

    Asante Magufuli wetu kwa Kujenga ikulu hiyo......Mungu akulipe mema huko....Mama Yetu Kamilisha kazi mliyoianza na Mtangulizi wako

  • @PrincePaulIowa
    @PrincePaulIowa 5 місяців тому

    God bless you my President! We are so proud of your accomplishments! Keep it up and enjoy fruits of your labor Mama! 🎉🎊👏

  • @MrMwebesa
    @MrMwebesa 2 роки тому +5

    Brilliant Interview..

  • @Fefetubes
    @Fefetubes 2 роки тому +3

    Mama we love you KUMBE WALIKUWA WANATUPOTOSHA HAWA KENGE

  • @SalasyaCK
    @SalasyaCK 2 роки тому

    Kutoka Nairobi Kenya, nimeipenda haya mahojiano. Halafu pia Rais Samia hongera kwa uwazi wako Na kazi nzuri kwa Wanamuungano Wa Tanzania. Mungu akuzidishie.

  • @sweetbertmaghali309
    @sweetbertmaghali309 2 роки тому

    Mama uko vizuri tunazidi kukuombea.kwa Mola azidi kukulinda.Waangalie kwa jicho la huruma wastaafu.

  • @doriteliapendoglorious1843
    @doriteliapendoglorious1843 2 роки тому +13

    Delighted that such conversations are held. Well done Hon. SSH, Well done Azam TV!

    • @mwalimuseraphinokeywerah3871
      @mwalimuseraphinokeywerah3871 2 роки тому

      Namwomba Mama Samia awe anaita mikutano mbalimbali kila baada ya miezi mitatu awe anaelezea haya aliyomweleza Tido hapa. Watanzania wote wasikie. Mawazo yake ni MAZURI SANA.
      Asipohutubia Watanzania watakuwepo watu wengi tu wanamsema bila kujua haya mawazo aliyonayo

    • @paterinomlowe8317
      @paterinomlowe8317 2 роки тому

      Mama mungu akulinde upo vzr ukweli unaishi you answer is philosophical

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 2 роки тому +5

    An exceptional interview...congrats to Mama samia and not forgetting Bw. Tido ! Keep it up mama Samia u make us proud🥰

  • @salminahmad1540
    @salminahmad1540 5 місяців тому

    Safi Sana mama yangu rais una majibu ya busara Sana Allah akulinde

  • @henrymyinga9295
    @henrymyinga9295 2 роки тому +1

    hongera Sana tido hongera Sana mama kwa kuelezea vizuri na mapokezi mazuri kwa mwandishi huyu mkongwe nimefurahishwa sana

  • @dibamohamed6885
    @dibamohamed6885 2 роки тому +4

    This is brilliant. Hard hitting questions and Mama answeres were impeccable and vivid. When our neighbours prosper we prosper..Wish her all the best inshaAllah

  • @kadogojohn7643
    @kadogojohn7643 2 роки тому +3

    Kwanza kabisa nawashukuru Azam Media kwa kuleta mahojiano haya muhimu naamini viongozi hawawezi kufanana katika kutengeneza mipango binafsi nina amini mh Rais anaweza kuyarekebisha mengi kulingana na namna anavyojibu maswali ya mwandishi anaonesha nia anayo ya kutufikisha pahala mwenyezi mungu akufanyie wepesi.

    • @hamisiramadhani3538
      @hamisiramadhani3538 Рік тому

      Hongera sana mama mama analea tunashukuru sana mama Mimi mwananchi wa kaliua ninafurahia sana uongozi wako leo ninaona kila unachokisema unamwaga pesa kila kona ya Tanzania kwetu tumeona mradi wa barabara za mitaa mama nakuomba utuangalie na kwenye huduma ya maji kwetu maji tatizo

  • @komboabduhaji5047
    @komboabduhaji5047 5 місяців тому

    Dah..! Yani mama nakuombea kwa Mungu akubarik sana katika uongezi wako kweli una nia safi kwa Watanzania

  • @nguvuyafikramedia1202
    @nguvuyafikramedia1202 2 роки тому +1

    Masha allah interview iko vizr kwa kiwango cha kimataifa

  • @upendowakwelinaamani1060
    @upendowakwelinaamani1060 2 роки тому +18

    Mungu baba mrehemu hayati John Joseph Magufuri kwa mzuri aliyotufanyia katika Taifa letu Tanzania kuhakikisha zoezi zima la kuhamia Ikulu ya Dodoma zoezi lililokua linapigwa danadana kwa miaka mingi lkn kimbe wako alihakikisha linatimia km alivyotangaza baba wa Taifa JK Nyerere. Tazama mandhali ya Ikulu Dodoma inavyopendeza Tanzania nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @mbimbikabanyanga6161
      @mbimbikabanyanga6161 2 роки тому +3

      Kila nyumba /Kila familia inalia hali wanatamani mama samia ajiuzuru.Lakini hapa live wanamsifia mama kaupiga mwingi.Hii ndo tanzania yetu tunasifia kitu ukiludi nyumbani unasema hali ngum kila kitu kimepanda bei.

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 2 роки тому

      Dah!! Nilijua atamtaja na ku appreciate kazi aliyoifanya katika hili.😭😭

    • @yusufhemedyusuf3021
      @yusufhemedyusuf3021 2 роки тому +3

      @@mbimbikabanyanga6161 wasukuma mnalia sasa coz sukuma gang limepigwa chini.
      Walio wengi waliteseka na huyo dikteta mwendazake.
      Nchi imepoa sasa.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому

      @@pulikisia7963 Hiyo sio ya Magufuli ni ya Nyerere... CHAMWINO ni Nyerere na si Magufuli!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому

      Haijajengwa na Magufuli hiyo. CHAMWINO ni Nyerere ndiye mjenzi wake! Ilijengwa tangu miaka ya 70.

  • @doricemalisa5712
    @doricemalisa5712 2 роки тому +3

    Mama hongera sana umeielezea vizuri halihalisi ya nchi yetu, unajua Mama mm nakupenda sana kwa kuwa unatueleza ukweli ili tusibweteke tufanye kazi

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Рік тому

    Raisi wetu biga kazi endeleza gurudumu tuna Imani na ww Sana

  • @mage5371
    @mage5371 2 роки тому +1

    Mama Samia SHIKAMOO KUBWA, nakufurahia, nakupenda najivunia mno uwepo wako toka ndani ya moyo wangu. Mama u mkarimu una dini, una lugha laini na safi yakutoa nyoka pangoni👏🏼👏🏼

  • @abuukamugisha5994
    @abuukamugisha5994 2 роки тому +6

    Mama uwezo wake kujieleza kwa mambo makubwa umeongezeka sana,💪👏

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 роки тому +5

    Hongera Mhe Raisi Samia Suluhu hassan , God bless more,

  • @theresakabego3085
    @theresakabego3085 2 роки тому

    Hongera Sana mama yet kwa kupigania maendeleo ya watanzania Mwenyezi mungu akupe maisha marrfu

  • @kabirigisaidi8253
    @kabirigisaidi8253 2 роки тому +2

    Hongera sana Mama Samia, nakupenda, Unatia faraja sana. Mwanga unaonekana, Mungu akusimamie akuongoze vyema kwa hekima na utulivu usivimbe kichwa ukawa papa kwa kiburi. Nakupenda Rais wangu.

    • @trevisrodriguez7484
      @trevisrodriguez7484 2 роки тому

      Sector ya madini kumbe inachangia 7% za pato la TAIFA serikali inapaswa kuongeza kuwatoza kodi hawa jamaa hii 7% bado wanatunyonya

  • @ephremmalley153
    @ephremmalley153 2 роки тому +10

    One of the best interviews in our country which has rightly taken into account most areas of tanzanians' lives indiscriminately. I think this is due to a compitent journalist on one side and indisputably due to a good President who who is really determined to take our country a higher and better level. May God bless you Tido and mama Samia!

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 роки тому +14

    Our president is very intelligent, we are proud of her, she knows what she is exactly doing, she will lift our nation somewhere higher than here.Congratulations madam president we are behind you.

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 2 роки тому

      Mafuta na chakula vikipanda bei na mishahara izidi

  • @godfreyvedastus4329
    @godfreyvedastus4329 2 роки тому +1

    Huyu Mama ni Rais.... For sure mm nimepata elimu sana hapa.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Рік тому +1

    Hongera sana Mama kwa naongezi yako ya mafupi n Wazi

  • @abdoolmerlicqeid304
    @abdoolmerlicqeid304 2 роки тому +7

    Excellent interview.I learned alot from it.

    • @salomeivorant3266
      @salomeivorant3266 2 роки тому

      Appreciate your work Tido good interview 🙏🙏🙏

  • @Mwalimdan8494
    @Mwalimdan8494 2 роки тому

    Dunstan Tido mhando, one of my best Swahili speakers, used to like one of your shows in Kenya 🇰🇪
    “ ulimwengu wa bwana reddy kilowatts “ baadaye akiwa mkuu wa idhaa ya BBC, great interview with mama Samia🇹🇿

  • @edwardmagige874
    @edwardmagige874 2 роки тому

    Hongera sana mh rais wew ni tosha 2025

  • @shafiiabdallah1347
    @shafiiabdallah1347 2 роки тому +13

    AMEKUA mkweli sana raisi amekua wazi kwa kila kitu hongera sana kwakutuambia kila kitu mungu akulinde na akupe nguvu

  • @haroldtarimo3115
    @haroldtarimo3115 2 роки тому +4

    Naiona future bora Kwa nchi yetu katika miaka ijayo tumpe Mama muda tuone matokeo Big up sana Mama yetu

  • @rafikiwildlife4263
    @rafikiwildlife4263 2 роки тому +2

    Tupo pamoja na Serikali, nimekuelewa sana Mama. Hongera sana.

  • @EsterPaul-uc7ny
    @EsterPaul-uc7ny 2 місяці тому

    Mama nakupendaaa Sanaa , mama yangu

  • @kasaisatv9765
    @kasaisatv9765 2 роки тому +16

    Mahojiano bora kabisa. Hongera mama! Hii ndio maana ya uhuru wa vyombo vya habari. Hongera Tido kwa umahiri katika kazi yako.

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 роки тому +14

    Kwa mara ya kwanza nimepata ufafanuzi juu ya nchi yangu, siku zote kelele zinakuwa nyingi nasi tunafuata tu, ila leo nitakuwa mtulivu kusubir matokeo ya aliyo yasema

    • @stevenmaketa8051
      @stevenmaketa8051 2 роки тому

      Kweli kabisa

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 2 роки тому +1

      Allah akulinde mama yetu tuna kiongozi mkweli inshaallah Allah akuzidishishe afya

    • @sunnysalim879
      @sunnysalim879 2 роки тому +1

      na mm mwenyewe nimejifunza kitu habib

    • @petroemanuel4755
      @petroemanuel4755 2 роки тому

      Mimi napeda Sana kumusikiliza mama maana huwa anatutia guvu kiutafutachi

  • @benardayore7593
    @benardayore7593 2 роки тому

    Hongera mama 🇰🇪

  • @kadirdanfodio9359
    @kadirdanfodio9359 2 роки тому +1

    Ni Mahojiano yakina na Mazur Asante Uncle TIDO

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 2 роки тому +4

    Shikamoo mama Samia👌👌hujaniangusha na majibu ya Sintofahamu umejibu kwa uwazi this is my Eid present 2022💃

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 2 роки тому +7

    "Mguu wa kwenda Mtume kauombea"

  • @Mikeallyradjubu
    @Mikeallyradjubu 4 місяці тому

    Mama iko kazini🎉🎉🎉🎉🎉

  • @alvalusmkula9304
    @alvalusmkula9304 2 роки тому

    Hongereni Sana mheshimiwa Rais kwa kukubali kuhojiwa na pia hongera Sana Tido kwa maswali manzuri ambayo yamegusa nyanja mbalimbali za nchi yetu

  • @alchelauskamazima9450
    @alchelauskamazima9450 2 роки тому +3

    Ikulu iko safi sana inapendeza sana

  • @janeelly5824
    @janeelly5824 Рік тому +3

    One of the best interview of our honourable President,big up mama✍️

  • @isabelamaganga1360
    @isabelamaganga1360 Рік тому

    Wow very informative, congratulations madam president

  • @josephlukale4851
    @josephlukale4851 11 місяців тому

    Mheshimiwa Rais tunakuombea kila la heri. In your sentiments I perceive you are sincere. May the good God shine ahead of you..

  • @melkisedekkaijage2777
    @melkisedekkaijage2777 2 роки тому +7

    A very brilliant interview ever from one of the most experienced journalist. Great Tido. Congole our beloved mom

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 2 роки тому +3

    Ndio mana na kupenda mama nakuamin sana Allah akubariki ufanikishe malengo yako

  • @jossymlay7678
    @jossymlay7678 Рік тому

    Tido kibokooo uko vzr❤️❤️❤️