JINSI MTOTO ALIVYOUAWA ROMBO BAADA FAMILIA YAKE KUSHINDWA KUTUMA MILIONI 6 KWA WATEKAJI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 жов 2024
  • JINSI MTOTO ALIVYOUAWA ROMBO BAADA FAMILIA YAKE KUSHINDWA KUTUMA MILIONI 6 KWA WATEKAJI.
    Kufuatia tukio la mwanafunzi aliyetambulika kwa jina la Nasri Ally Kitali (17) mkazi wa kijiji cha Masho wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kudaiwa aliuawa na watekaji waliotaka kutumiwa milioni sita, familia imeomba msaada kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa madai kuwa baada ya watuhimiwa kukamatwa tukio hilo limegubikwa na sintofahamu kubwa licha ya vyombo vya usalama kukamilisha uchunguzi wake. #breakingnews #lifestyle #trendingshorts #like #livestream #live #trendingvideo
    GADI TV ndiyo
    Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
    Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
    Thanks.

КОМЕНТАРІ • 560

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 8 днів тому +2

    Taifa letu linaangamia jamani,jamani jamani tuliozaa tuombe tuombe mungu shuka baba mkono wako ni mrefu sana kuliko kitu chochote.

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 23 дні тому +59

    Yani mpaka hawa wauwaji wanaona sifa kwa vile hakuna wanalo fanywa lakini yupo Allah hakimu wa haki 😢

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 23 дні тому +5

      Hakika allah ndo kila kituy ukiuw kwa upanga na wao watauwao kwa upanga wallah

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 23 дні тому +2

      Wameamua kujitawala tu mana jeshi la police kazi yao ni kufuatilia na kuweka vitisho kwa watu nanaotaka kuandamana kwa amani

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 23 дні тому

      Tunapozidisha lawama kwa jesho la polisi ndio tunazidi kuwapa wauwaji cheo mnauhakika wanaoteka watu na luwauwa ni polisi? Tujitafakari kuliko lawama za upande mmoja.​@@meshacknyandongo577

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 23 дні тому +4

      @@meshacknyandongo577 mungu anatosha kwa haya machozi ya wanyonge 😭

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 23 дні тому

      @@omanoman2044 ndio mana kuna watu wanakufa vifo vibaya humu kwa sababu ya dhulma 🥹

  • @JosephDandu-sr8tr
    @JosephDandu-sr8tr 23 дні тому +38

    Alafu linatokea jinga Moja linasema Tanzania ni salama

    • @LucknessPeter
      @LucknessPeter 22 дні тому

      ndo hapo sasa yaan kwa sasa tanzania imegeuka uwanja wa vita

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 20 днів тому

      Usalama upo kwao sisi tumekuwa kama mbwa kukuta maiti ya mtu imekuwa kama kitu cha kawaida yani tunaumia kiasi kwamba mbka machozi yamekuwa kiywaji chetu 😭😭😭💔💔

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 14 днів тому

      Mipumbavu ya ccm hovyo kabisa

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 23 дні тому +10

    Mungu atusaidie kwalipi pumbavu zetu kilasiku munguatusaidie badala yakupambania kukataa ujinga tumebaki mungu nyelele asinge pambana angesema mungu mungu leo tungekua bado tunauzwa kama mbuz

  • @irenekimaro6523
    @irenekimaro6523 24 дні тому +64

    Jamani wanauliwa wasiokua hata na hatia mungu naomba hao wauwaji usiwaache mungu😭😭😭

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 23 дні тому +13

    Mungu wangu jamanii,mtoto anaonekana mstaarabi,eee Mungu nyoosha mkono wako😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 23 дні тому +25

    1. Askari aliyepokea 400k yuko wapi?
    2. Mtoto anapigwaje mikononi mwa Polisi
    3. Kuua bila kukusudia Ilihali umemshikilia /Teka mtu na kumpiga kwa makusudi. Tena ukiwa umetaarifu familia wasipotoa fedha unamuua?
    Familia mmefanya vema kwenda kwenye vyombo vya habari, hata km mtoto hatarudi, haki itapindishwa lkn dunia inajua unyama uliopo na Mungu atalipa

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 23 дні тому

      @@ednalugano2906 Alafu umemskia ati anaumba Story kuwa alikimbia akaingia nyumba ya watu ati wakamteka uongo mtupu. Hao ni watu wake dhahiri wanajaribu kupindisha pindisha Story. Kusema ukweli kwenye Jeshi la Polisi ni kama limeingiliwa kuna ambao wanataka kuishi maisha ya juu hivyo wamegeuka wezi wa mali za raia au wakimkamata raia wanamgeuza mtaji wao.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 23 дні тому

      @@ednalugano2906 Amen

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 23 дні тому

      Yaani Wewe pamoja na upolisi WAKO ni muongo HATA SHETANI anakishangaa BILA kukusidia kweli Wewe polisi muuaji ipo siku

    • @lucanusnickata8852
      @lucanusnickata8852 23 дні тому +2

      police waliingiwa na tamaa baada ya kupata hiyo 400k ndo mana wakabaki na mmoja na kuomba hiyo 6M

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 23 дні тому +2

      Yaaaan hawa police ndo majambaz

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 23 дні тому +24

    Kila kona watu wanatekwa wanauawa eeh Mungu tuhurumie Watanzania.
    #MunguIlindeTanzania

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 23 дні тому +21

    Binadamu kwa nini mnakuwa wakatili hivi jaman😭😭😭😭😭😭😭😭mnaua kijana wa watu mzuri hivi😭😭😭😭😭😭😭alikosa nn

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 23 дні тому +35

    Jaman mimi naona tuwe makini hawa waalifu ukute wanatumia kujiita police au usalama au wako wachache wanaharibu jeshi letu
    Asante jpm wetu lala salama jpm tunakukumbuka sana

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 23 дні тому +5

      Kwahiyo ulitakaje maana unatueleza ujinga serikali ime fail

    • @happymushi4493
      @happymushi4493 23 дні тому +1

      Toka zako..police majengo waliingiaje huko kituo cha Polisi?

    • @khadijachacha3156
      @khadijachacha3156 23 дні тому

      ​@@kwisa4899mm nasema ukweli wangu serekali imefeli wakati wa magufuli hapakuwepo na utekaji wa namna hii na ubakaji na hayahaya ndio yalio tokea geita wananchi wakafanya fujo ili waingie wauwe tunamkumbuka magufuli alikua rais wa kweli na alikua anaogopewa

    • @ibrahimngulungu
      @ibrahimngulungu 23 дні тому +1

      Ushaambiwa walikuwa kituo Cha police kabla na mmja akatolewa dhamana mwingine aliachwa

    • @emanuelmaya4667
      @emanuelmaya4667 23 дні тому +1

      elimu ndogo sanaa rudi shule

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 23 дні тому +14

    Inauma sana poleni sana family.

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok 22 дні тому +4

    Inauma sana jmn 😢kijana mdogo kakatishwa uhai wake pasina hatia eeh tanzania imeharibika mnooo 😭💔😭

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 23 дні тому +11

    Yaan kwa sasa bora kutumia njia ya kumuachia Mungu police na serikali ndio majambazi wakuu kwa sasa ivyo hata ukipeleka kesi hamna kitu kitafanyika😢😢

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 23 дні тому +14

    Mtt mzuri mstarabu kabisa taifa la kesho washamzulumu Ya Allah yoyote alihusika na kumzulumu huyu mtt tunakuomba uwahukumu ww mola wetu tupo kwenye uonevu mkubwa inaumiza sn 😢😢

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 23 дні тому +15

    Dad said You will remember me

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 23 дні тому +6

    Tutawapata na tunafikiri tunawafahamu wanaofanya upumbavu huu, sisi ni jumuia ya Watanzania walio nje na tunafanya kazi na watu walio hapo hapo ndani ya nchi yetu, haya mambo ni aibu na tutawaweka wote hadharani, hatujali kama ni kiongozi muhimu au mtu wa kawaida, wote watawekwa, kisha kujulikana duniani, na watajuta kufanya ujinga. Siku zao zimeisha na watanzania tukae kwa amani na raha💯💯

  • @TEDDYMRAMBA
    @TEDDYMRAMBA 10 днів тому

    Daaa! Familia polen. Inauma sana walichokifanya hao maaskar Mungu yupo ila wawajibishwe ipasavyo Kwan wanajulika😭😭😭😭

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 23 дні тому +24

    Mama nchi imekushinda achia ngazi

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 23 дні тому +18

    Yaan me nikiona hta askar asiye na hatia roho inaniuma nawachukia hawa watu mm Mungu tenda baba😢😢😢😢

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 23 дні тому

      Tatizo kuwahukimu askari wote, hakuna kipimo cha imani, wapo walio ajiriwa lkn wamejawa na roho chafu, hapo ndiyo walobaki huku mitaani na ni hatari sana wenzie,majambazi na ni wauaji. Tuisaidie serekali kwa kuwataja mbona tunaishi nao.

    • @modestusndunguru7183
      @modestusndunguru7183 23 дні тому

      Sio wote hapo yenyewe ukivamiwa unawatafuta 😂

    • @samwa9496
      @samwa9496 23 дні тому

      @@modestusndunguru7183 hata ukivamia hawajitokezi wao michongo ya wezio wote wanaijua,Leo wataenda mtaa gani hata ukipiga cm hawaji hadi watakapo maliza mambo yao ndio utaona wanajitokeza

    • @PendoMatemba
      @PendoMatemba 23 дні тому

      Hunizidi😌😌

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 23 дні тому

      Askari ana kosa gani wakati wauwaji watu wanawajua na hawawataji

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 23 дні тому +7

    Ni shida kama maigizo kumbe ndio lilipo fikia taifa letu alafu utasikia ni matukio ya kawaida tuu inaumiza sanaa😢😢😢

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 23 дні тому +5

    Yani hii tanzania kwa kweli mtihani

  • @sein.208
    @sein.208 23 дні тому +4

    Innah lillah Wainnah iley Rajioon
    Subhana Allah 😭. Nchi yetu imekithiri mauaji jamani (inauma sana

  • @deborahamisi9294
    @deborahamisi9294 24 дні тому +17

    Jamani Tanzania tuandamane

  • @NasieliEmanueli
    @NasieliEmanueli 22 дні тому

    Duh mungu atulinde 🙏

  • @Kabi_47
    @Kabi_47 21 день тому +1

    RIP HAMZA BONGO BADO NYOSO TULIOWAPA MAJUKUMU YA KUTULINDA WAMEAMUA KUTUMALIZA😞😞😭😭

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 22 дні тому

    Innalillah wa innaillah rajiun apumzike kwa aman kijana mzuri jamn

  • @mozahdadichimpele5719
    @mozahdadichimpele5719 22 дні тому

    Innalilaah waina ilaih rajiun 😭😭 pole kwa familia daaainauma sana aisee

  • @PrivaAgust
    @PrivaAgust 17 днів тому

    Familia polen sana.

  • @norobo205
    @norobo205 23 дні тому +1

    Hivi hawa tcra wanashindwa kweli kuwabaini wahusika kwa kufatilia namba zao?

  • @tobiasimruma703
    @tobiasimruma703 23 дні тому +4

    Ccm must go

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 8 днів тому

    Awe polisi ama usalama wa Taifa,kuomba na kuomba tuungane bila kujali vyama vyetu twebde mbele za mungu kwa moyo wa Toba mungu atajibu.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 24 дні тому +14

    Hata hao wakoloni hawakuyafanya hayo muafrika unauwa muafrika mwenzio malipo duniani akhera hesabu

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 23 дні тому +11

    Afande kweli Mungu anakuona ongea ukweli usifiche ukweli nani kaua hao ni Askari wako wafungwe tu usifiche .Kwa kauli yako inaonyesha umeuma ukweli hujasema wazi .Naomba Wanasheria msaidie hii Familia hii maskini wanaonewa sikiliza huyu anauma maneno.

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 23 дні тому +22

    Mungu tusaidie tusiingie kwenye mikono ya hao watu.

    • @StellaKaluwa
      @StellaKaluwa 23 дні тому +2

      Ni kweli HATA Mimi MTOTOWANGU kauawa na POLISI wa KILWALOD Kwa madai kua kibaka BILA ushahidi BILA HATA kumfikisha mahakamani hii nchi wanyonge tunakufa kama panyatu hakuna HATA kesi hapo

    • @godfreybuberwa1636
      @godfreybuberwa1636 23 дні тому

      ​@@StellaKaluwa
      Pole sana ndg..
      Ila msaada wetu wanadam u ktk Bwana yeye aliyeziumba mbingu na nchi.! Likufikapo usoliweza,lipeleke kwa Mungu we2,anashglka chap!

    • @stephenrwaich1078
      @stephenrwaich1078 23 дні тому

      ​@@StellaKaluwapole sana

    • @shosengowi5271
      @shosengowi5271 22 дні тому

      Hatari sana hatupo salama tuneshaingia sana. Inauma damu za waliotangulia zinaendelea kudai Mungu tunaonba toba nchi inadamu zinazokia ​@@StellaKaluwa

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 23 дні тому +2

    Sio kweli mkuu. alikusudia mpaka wanaomba laki 4 ,mara laki ,6 walikusudia huo ndio ukweli na muwe makini wainchi ndio ajira. Yenu

  • @doriceedward1893
    @doriceedward1893 22 дні тому

    Samia must go

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 23 дні тому

    Poleni sana kwa tukio hilo baya.Mungu asiwaache salama

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 23 дні тому +5

    Walikimbizwa na Police na kukamatwa alafu imegeuka na kua Kosa la kuua bila kukusudia?? Na walidai pesa kwakua hawakupewa ndipo wakaua ,kwani hivi ndivyo kesi zinavyoendeshwa ama ndivyo washtakiwa wanavyotendewa??

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 22 дні тому

    Haya mambo ni tishio naomba mungu tusaidie naumia mpaka basi

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 22 дні тому

    😢😢😢 kesho kwa mungu kutadamshi

  • @beatricemrisho8431
    @beatricemrisho8431 23 дні тому +1

    Haki ya Mungu nimeumia moyo sana ingekuwa nimwanangu wamemfanyia hivyo yani ningejua chakuwafanya wahusika wote waliohusika Ningeenda nao kuzimu wote shenzzz

  • @mosespeter3863
    @mosespeter3863 23 дні тому +2

    Hii utekaji imefunguliwa njia na police wenyewe, unaweza kuzuia utekaji wkt utekaji umeanzishwa na watu wa usalama wenyewe,

  • @carolinemtulo7607
    @carolinemtulo7607 23 дні тому +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢eeeh Mungu simama mwenyewe

  • @leeleehy3923
    @leeleehy3923 23 дні тому

    Ehhh Mungu simama na sisi

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 23 дні тому +11

    Kuliko mtoto wangu polisi bora abaki nyumbani aoshe vyombo hii no laana polisi mnajitafutia ndiyo maana mkistaafu hamna maisha.

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari 23 дні тому

    Jamani jamani subhannallah uwiiiiii

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 23 дні тому +2

    Hyo damu watailipa mpaka kizazi cha nne yupo mungu anayejibu kwa moto tena usiozimika

  • @AyubuGereway-p9i
    @AyubuGereway-p9i 23 дні тому

    Kweli mama must go

  • @Romana77-m4o
    @Romana77-m4o 22 дні тому

    Mnyonge hanahaki ila MUNGU atalipa 😭😭😭😭😭😭😭😭👏👏👏😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ElzaMungure
    @ElzaMungure 23 дні тому +1

    Duh😢😢😢😢😢 tunaelekea wap jamn sis watu wa munguu

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 22 дні тому

    🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 23 дні тому +1

    Mbona huyu mtoto ni mdogo sialitakiwA achapwe viboko tu kumwelimisha

  • @PerrySteve-r4q
    @PerrySteve-r4q 21 день тому

    Inasikitisha sana jaman😢😢

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 22 дні тому

    MWe Mungu tuhurumie tunakutaka Bwana na Nguvj zako

  • @jamilahsakina1561
    @jamilahsakina1561 22 дні тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢raisi wangu

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 23 дні тому +5

    16/09/2024
    Mithali 29:2.wenye haki wakiwa kw mamlaka Watu hufuraiii zaidi bali Mtu muovu atawalapo watu wanahumia

  • @innocentmlacky
    @innocentmlacky 23 дні тому

    Siyo kweli

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 20 днів тому

    Magufuru angekuwepo🙏🙏😭😭😭

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 22 дні тому +2

    MUNGU ijalie Amani Tanzanian 🇹🇿

  • @sabteectanzaniaLimited
    @sabteectanzaniaLimited 24 дні тому +3

    Aisee

  • @MaryChao-ob9zl
    @MaryChao-ob9zl 22 дні тому

    😢😢😢😢😢mungu jamani tuliendie watoto wetu😢😢😢😢😢

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 23 дні тому +1

    Ngachoka choki , ngachoooooka, Ee Mungu utusikie maombi yetu .

    • @HyacintaGugu
      @HyacintaGugu 23 дні тому

      Yaani
      ..si kuchoka tu mpendwa na kuumizwa pia😊

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 23 дні тому +2

    Uchunguzi wa kina ufanyike ili kawabaini waliohusika kumuua huyo kijana,pole sana mwalimu kalisti na ndugu jamaa na marafiki

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 20 днів тому

    Yani ukipata janga kwenye hii bora kumuachia Mungu kuliko kwenda police utaongeza uchungu na kupoteza muda na pesa yani wengi wao awana uruma wapo kazini kusubili pesa tu za alamu watenda haki niwachache sana

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 23 дні тому

    Mungu tunakuomba saidia Kizazi chetu🙏😇🥰

  • @LenJohn-th3xe
    @LenJohn-th3xe 23 дні тому

    Very Sad indeed 😢💔

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 22 дні тому

    Pesa zimeenda namtoto kauliwa du aisee tanzania inaogopesha😢😢 watoto wetu

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 23 дні тому

    Mtihani

  • @Lily-rn6xc
    @Lily-rn6xc 24 дні тому +13

    Hizi ni nyakati za mwisho 😢

    • @SamiaMbada
      @SamiaMbada 22 дні тому

      Wewe umesema tumuombe mungu

    • @w4058
      @w4058 21 день тому

      Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 23 дні тому +7

    Huyo ni kiongozi wa polisi anameza meza maneno...
    Hawa ndio askari polis wa huyu Raisi wenu Samia, raisi ambae yuko busy kupost picha zake alipika dona na tembele!!

    • @samwa9496
      @samwa9496 23 дні тому

      wewe yeye ndio aliwaeleka gwaride

    • @crismtete8837
      @crismtete8837 23 дні тому +1

      Mkuu wa polisi kuna kitu anaficha.. kwa nini hawi muazi kama watuhumiwa wako chini ya ulinzi. Anakwepa kwepa

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 23 дні тому +1

      @@crismtete8837 SI polisi wa chini Wala wakubwa zao, wote ni uozo!!

    • @giftmed1a332
      @giftmed1a332 23 дні тому

      Kwan anaficha nn mbona hawi muwaz kwenye taarifa yake,hela ya zulma mbaya sana

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 23 дні тому

      😂😂😂😂😂

  • @nazarethally9509
    @nazarethally9509 23 дні тому +2

    Binadamu sasa hivi sijui tuna roho gani Mungu atusaidie

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 23 дні тому

    Inalillah w/raajiun

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 23 дні тому

    Allahu akibarr. 😭😭

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 дні тому

    Eti Mama samiaa.

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 23 дні тому

    is it right to keep quiet?hii inakuwaje?amani ipo wapi?

  • @tielyelibariki8958
    @tielyelibariki8958 20 днів тому

    Mimeumia sana daa hii nchi tunaenda wapi RIP JPM pumzika kwa amani baba kesi hizi ulijua kuzifuta😢😢

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 23 дні тому +1

    Poleni sana 😭

  • @upendoweja6010
    @upendoweja6010 23 дні тому

    Mapolisi Mungu anawaona

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 22 дні тому

    Jamani😢😢

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 22 дні тому

    Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'un .Mbona maiaji ni mengi?
    Ewe Mwenyezi Mungu tunaomba utunusuru na majanga,Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 17 днів тому

    😢😢

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 22 дні тому

    Mm huwa najiuriza sana mbona kipindi cha magufuli haikuwepo hiiii tabia ya kuuwana sasa saizi tujui nini au hatuna viongozi

  • @muhidinally3460
    @muhidinally3460 23 дні тому +1

    Woote walio husika kwa kifo Cha mtoto huyu eee mungu wafute duniani pamoja na uzao wao wooooteeee😩😩😩

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 23 дні тому

    Loooo !!!!Very sad news

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 23 дні тому +1

    Hii nchi inakwenda wapi Mungu ingilia kati tumechoka na haya sisi hatuwezi Mungu tunakuhitaji

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 23 дні тому

    Jamani mtoto 😢😢😢😢😢

  • @ErickMoshi-h7n
    @ErickMoshi-h7n 23 дні тому +10

    Huyu mama nchi imemshinda mbona hataki kusarenda aiseee🙌utendaji wa jeshi ni zero kipindi cha IGP Sirro hatukuona haya dah🙌

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 23 дні тому

      Watanzania wanafiki, kiongozi akiwa madarakani mbaya, akitoka anasifiwa, Sirro mlikuwa mnamtukana, leo hayupo mnamkumbuka.

    • @ErickMoshi-h7n
      @ErickMoshi-h7n 23 дні тому

      @@DudddyWhyCant sio hvyo ila kwa huyu igp wa sasa matukio yamezidi san na polisi inatupiwa lawama na kila jamii sirro pia alikua na mapungufu ila kwa huyu wambura unyama umezidi aiseee

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 23 дні тому

      ​​@@DudddyWhyCantSasa kati yako na watanzania mnafiki ni nani? Bila shaka wewe si mtanzania, ya watanzania yanakuhusu nini? Waachie wenye machungu wajipambanie

    • @SurprisedFullMoon-gg9vu
      @SurprisedFullMoon-gg9vu 23 дні тому

      Nani alikuambia ana mkumbuka huyo siroo?msenge nn wew

  • @suleimansultan3333
    @suleimansultan3333 23 дні тому

    Mtazamo wangu naona kuna baadhi ya Askari polisi wanahusika ktk kutia sifa mbaya taifa letu ambalo ktk dunia tz nisehemu salama kulinganisha na nchi jirani

  • @Masekohope
    @Masekohope 17 днів тому

    Rakini sirikari ya Tz umeshindwa gupambana na waharifu? ndiyomana Rwanda nichi nzuri sana kunasheria. awe Police awe viongozi mbarimbari. banabapiga mwakamani nakubafunga kabisa

  • @VictorNphilip
    @VictorNphilip 23 дні тому

    Hii nchi hii nchi amani amani iko wapi jamani mama unge kataa rinhi nilikubwa mambo mengi hakuna pawer spich

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 23 дні тому +5

    Hp akuna kuuwa bl kukusudia, acheni upuuzi msipindishe mambo hapa, mlitaka lk 4 mmepewa mkamuachia 1 mulikua na malengo gn.? Hizi damu zitawarudia mbwa nyie. 😭😭😭

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 22 дні тому

      Tena zitawarudia kwekweli....Mungu neno lake huwa haliendi bure...."Kama tadini Tudani" We waache tu.

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 23 дні тому +1

    THIS IS TOO MUCH.. Tufike mahali tuseme imetosha.

  • @erodiasmallya2869
    @erodiasmallya2869 23 дні тому

    Poleni sana wafiwa. Inasikitisha sana kuona kijana mdogo hivyo anauawa na polisi bila kosa. Hata kama alikuwa na makosa kwani mahakama zina kazi gani? Mtt anaonekana ni mtiifu kabisa. RIP😭

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 23 дні тому +1

    Rabby nsataraa Nasr kitali jmn hao n kua tu laanahtullah,

  • @delsonandrea5223
    @delsonandrea5223 23 дні тому +2

    Nchi tena haina aman , kila kukicha utekaji mauaji mbona hakuna hatua zinazo chukuliwa Kwan viongoz wakubwa hawaon hili jmn tutaisha jmn duh

  • @HawaOman
    @HawaOman 20 днів тому

    Jamani hadi watoto unaedekea wapi

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 23 дні тому

    Kijana mzuri maskini polisi sijui wataonea mpaka lini !!

  • @reginas1832
    @reginas1832 24 дні тому +4

    Bila maandamano kuindoa hii serikali itamaliza watu. Acheni kumwita huyu muuaji mama

  • @ForemanBestline
    @ForemanBestline 23 дні тому

    Sybersecurity office should handle the phone number and track location

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 22 дні тому

    Jamani 😢😢😢😢