PROPHET IPM AMWAGA UCHAFU WOTE WA DIDDY/ VIJANA ACHENI TAMAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 440

  • @Temboni
    @Temboni 3 місяці тому +3

    Ameeeeen my daddy Mungu azidi kukutumia zaidi kwa jumbe zako nzuri hakika Bwana Yesu yupo ndani yako

  • @moseskmbusi2149
    @moseskmbusi2149 3 місяці тому +2

    Katika watumishi wa mungu ninaowakubali na kuwaombea sana Moja ni IPM maana ni mengi navuna kwake na ninafanikiwaga nayo sana, be blessed PROPHET

  • @emmanuelpius6387
    @emmanuelpius6387 3 місяці тому +10

    Ukiona mtu anapenda hip hop ujue anajielewa na ana upeo mkubwa sana... salute sana yaani... tunaishi duniani sio mbinguni

  • @rukizaseba5741
    @rukizaseba5741 3 місяці тому +3

    Mungu alibariki mtumishi wa Mungu kwa kituabalisha yaliofichika🙏

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 3 місяці тому +3

    Unamjua stereo dah bonge Moja la msanii mwenye akil nyung sana tz

  • @sulaimansalim8086
    @sulaimansalim8086 3 місяці тому +2

    Alhamdulillah yaani tukurudi nyumbani na ndevu na kofia watu watatuheshimu na vijana wakirudi na herini masikio yote mawili na amesuka na yupo na vikuku suruali nusu matako watu watakuona maskini ameharibikiwa Allah atuongoze

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 3 місяці тому +53

    Cku za mwisho,maovu yataaongezeka,kwa hiyo ukimuona mtu ana maisha mazuri,makubwa muache Kama alivyo,Na umshukuru Mungu kwa kile ulichonacho!

    • @philbertnestory3207
      @philbertnestory3207 3 місяці тому +5

      Hapana usitulaze akili good life anaihitaji kiramtu mwenye akili nzuli sema tupambane natuache tamaa

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 місяці тому +4

      Hakuna mtu alieumbiwa umasikini tupambane acha kucopy

    • @JenifaSuga
      @JenifaSuga 3 місяці тому +2

      N kwer

    • @stellanyamuhogota1832
      @stellanyamuhogota1832 3 місяці тому +2

      Tupambane ila kwa uhalali na kumuhofu mungu

    • @wahidakisingo3588
      @wahidakisingo3588 3 місяці тому

      Asante ❤

  • @LuckSeven-i8s
    @LuckSeven-i8s 3 місяці тому +2

    Hujakosea prophet, hzo ngoma zote za kiume, salute

  • @MILLY-TEC
    @MILLY-TEC 3 місяці тому +7

    Huyu Prophet anajua ngoma za kuskiliza, tuko pamoja Prophet huo ni Conscious Music

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy 3 місяці тому +4

    Uyu profect yupo really

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 місяці тому +3

    Kiukweli roma yupo vizuri sana nyimbo zake sina ujumbe mzuri sio kina diamond anatukana tu ndio maana katolewa marinda na p didy

  • @yusufulimo5737
    @yusufulimo5737 3 місяці тому +14

    Kwa kifupi huyu prophet ni hip-Hop man✍️✍️😂

  • @giftgift-g4x
    @giftgift-g4x 3 місяці тому +1

    Shalom mtumishi wa Bwana Mimi nimeona hutumishi wakweli haukui kama watumishi waungo tuzichunguze sikila Roho zinatokana na Mungu nakusapot❤

  • @juliussamwel6606
    @juliussamwel6606 3 місяці тому +2

    Baba nakuaminia eleza ukweli .ubarikiwe ktk jina la Yesu

  • @imanimwandosya370
    @imanimwandosya370 2 місяці тому +2

    Ipm umenyoka sana prophet 💐💐💐💐

  • @EmmanuelLekasango-rt1qx
    @EmmanuelLekasango-rt1qx 3 місяці тому +3

    Mtumishi nice point ata jomakini anamkwepa p didy

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 День тому

    Na kweli wengi wao ni waongo wanapenda music ya bongo flavor na wanashabia mpira sana wakt sisi wanatuambia ni dhambi daah

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika 3 місяці тому +3

    IPM anafanana na ROMA sana na mimi nampenda sana Roma na IPM

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 3 місяці тому +5

    Jamaa anafanana n J plus sana
    Message nzurii kwa jamiii

    • @Jaylospeter
      @Jaylospeter 3 місяці тому +1

      Rogatus una macho km yangu mi nikifakiwa kukutana na uyu mwamba nitamuuliza km wana undugu na j plas

    • @JoyceChristopher-k5p
      @JoyceChristopher-k5p 3 місяці тому +1

      Nilijua ni Mimi tu Yani anafanana mno, Mungu ni fundi.

    • @rogatusmeleki1660
      @rogatusmeleki1660 3 місяці тому

      Na wote wana busara mno ktk shughuli zao wanazo zifanyaa

    • @PeterAssenga-r1d
      @PeterAssenga-r1d 3 місяці тому +1

      Mpaka Sauti

  • @FadhilMkulu
    @FadhilMkulu 3 місяці тому +1

    Mungu akubaliki sana mchungaji wangu

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 3 місяці тому +1

    Prophet. IPM anajua vitu vingi sana kuhusu haya mambo ni kweli kabisa

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 місяці тому +2

    Napenda kuyakubali manenoyako ,manawewe nimtu unaependa kusema uhalisia wamambo ,shetanikweli ananguvu ,nasasa tamaa zimezid nandomana kashikahapo ,Diomond ameshatangaza utajiri mkubwaa alimaanisha hilojambolake ,kua alishaambiwa nakwavile alishatenda jambolake ,P Tanzania wapo😢😢😢

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 3 місяці тому +7

    Nguvu za shetani zina mipaka,ila Mungu hazina mipaka,Mungu ana nguvu kuliko shetani,na shetani ana kiri katika Ayubu moja.Ana nguvu kwako kama ukimchagua,kama huja mchagua hana nguvu,ndo maana hata hao masons lazima wakuingize kwa kanuni zao kwanza.Mwanadamu kapewa uhuru amchague anayetaka mtumikia.Kama ana nguvu kwa nini anaenda motoni?nguvu zake zina mipaka na ni lazima umchague kwanza.Au Mungu amruhusu.Shida umemchagua nani?Ukiwa umefuga mbuzi 200 na wewe ni komando unajua sana lenga shabaha na una bunduki nyingi ukamwona simba anakuja kamata mbuzi wako utamwacha?Ndivyo ulinzi wa Mungu kwa mwanadamu.ulivyo

  • @yustinmbilinyi671
    @yustinmbilinyi671 3 місяці тому +2

    duh! ninamshukuru Mungu aliye nifundisha kuhusu kusikiliza bongo fleva kupitia pastor Myamba (ANDIKA KUSIKILIZA BONGO FLEVA NI DHAMBI AU SIO DHAMBI) Naamini utajifunza sana na utampa Mungu utukufu

  • @NaftalMungure
    @NaftalMungure 3 місяці тому +4

    Achanen na didy. Pastor ni mapema sana kuruka na udaku tusio na uhakika nao. Hakuna anae mjua didy ule ni uzushi tu kazushiwa sasa Pastor ushalifanya kuwa somo

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 3 місяці тому +5

    Ukimsikiliza Vizuri IPM ni mwanahiphop moja kwa moja!

    • @AngelAfric
      @AngelAfric 3 місяці тому

      😂🤣🙌

    • @davemalekela
      @davemalekela 3 місяці тому

      Tena anayesimamia misingi ya hip hop

  • @hildakitime8518
    @hildakitime8518 3 місяці тому +3

    Nakukubali sana Baba..mtu wa watu

  • @amachalitz7393
    @amachalitz7393 3 місяці тому +1

    Mimi nimemueleewa Sana prophet

  • @SaidMohammed-zc5jv
    @SaidMohammed-zc5jv 3 місяці тому +1

    Nakukubaali sana mchungaji ....big up

  • @SaidMohammed-zc5jv
    @SaidMohammed-zc5jv 3 місяці тому +2

    Da mtumishi nakuelewa sana

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 3 місяці тому +2

    Unanifurahisha sana.. Wewe nimkweli maana wabongo kweli tunaamini ktk ubinafsi na uchawa.

  • @kizazisanagang
    @kizazisanagang 3 місяці тому +3

    IP MAN 😂😂😂 nakubali way back ujana ulikua watisha sana mzee

  • @dushimezilfa8784
    @dushimezilfa8784 3 місяці тому +3

    Umemtaja Roma my best rapper 😊

  • @japharyjuma-j6w
    @japharyjuma-j6w 3 місяці тому +3

    Michael jackson, P,Diddy, R kerry, ni list ndogo ya mastaa walioangamia wapo wengi

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 3 місяці тому

    Nakukubali sana prophet, MUNGU atupe uzima nitafika hapo

  • @stevenrichard189
    @stevenrichard189 3 місяці тому +4

    Hatakama haumwamini mjumbe wa Neno, basi skia anachokiongea atakama unatatizo lakiufahamu wewe skiatu kuna kitu utapata, Binafsi nakushukuru sana Prophet IPM Mungu akulinde na kukujalia Afya njema yenye Hekima na Maarifa zaidi.

  • @Joneslaizer100
    @Joneslaizer100 3 місяці тому +5

    Pastor katembea na upepo

  • @andrewhiden6833
    @andrewhiden6833 2 місяці тому +1

    Nakubali upo vizur ulipoongelea neno levo ya kujua vitu ikifika na ukifikia kujua utashangaa ni kwer kuna baadhi ya mambo ukiambiwa yanafanyika hapa TZ utashanga pig up kaka

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому +3

    MFANYKAZI akimuhoj boss hata maswal anaogopa kuulza qnaitikia tu😂😂

  • @GodfreyNgereza-l3u
    @GodfreyNgereza-l3u Місяць тому

    Nimekubali sana unachoongea profet

  • @FELIXNDOSHI
    @FELIXNDOSHI 3 місяці тому +1

    We IPM nakukubali sana yaani unauongeaga ukweli wenyewe shida ya wengine ni uchawa na unafiki mwingi kama ulivyosema

  • @raelnthangu8216
    @raelnthangu8216 3 місяці тому +1

    Neno inasema tujitenge na ulimwengu ,toka ndani ya ulimwengu prophet ,kisima moja hakiwezi toa maji mara mbili,ya chumvi na haina chumvi ,hauwezi kuwa unapendezwa au unaimba nyimbo za dunia na za mungu na wewe ni prophet kua na ms msimamo .usiwache chetani akuchanganye in the name of nyimbo za dunia zikona mafunzo wee ni prophet na unafaa kuwa kielelezo kwa watu

  • @emanuelpeter2489
    @emanuelpeter2489 3 місяці тому +3

    Nabii asiyebagua shout out

  • @MmHh-rz8kz
    @MmHh-rz8kz 3 місяці тому +3

    Nik mbishi man of wisdom

  • @JoyceHs
    @JoyceHs 7 днів тому

    Uyu jamaa mungu ambariki

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 місяці тому +2

    Unaongea ukweli kabisa mtumishi wa Mungu, kupanga ni kuchagua🙌

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 місяці тому +5

    Daah makafiri wameipeleka dunia pabaya hofu hawana mfumo wooote ukiangalia wamiliki ni makafiri

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 3 місяці тому

      Kwa hiyo ww umekubali kuzidiwa na hao!?. Umetawaliwa!?!?!?!? Acha udhaifu huo!
      Ukiona uko chin ya hao bac hata MUNGU wako huyo unayemwabudu umemshusha!

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 3 місяці тому

      😂😂😂😂 pole ndugu

    • @januarymagai
      @januarymagai 3 місяці тому

      Acha kuita watu kafiri

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 3 місяці тому +7

    Hahahaaaa Pididi wa tz ni mondi ona watu wake wakina yule anayemvalisha nowel

  • @MussaMizuno-l1i
    @MussaMizuno-l1i Місяць тому

    Dada mtangazaji acha kumbania muusika uyo Paster ana muongelea Nikki mbish sio yule tozi wa Ngarenalo Acha ukuda sister 👊✌️

  • @ericraphael9653
    @ericraphael9653 3 місяці тому +4

    😂😂unapididiwa umenichekesha😂😂

  • @LylianeBauma
    @LylianeBauma 3 місяці тому +2

    Kweli dunia iyi inaleta wonga sanaaa😂😂😂😂

  • @MichaelBahati-o8h
    @MichaelBahati-o8h 3 місяці тому +1

    BigUp sana IPM kaka.

  • @ShuwarMdudu
    @ShuwarMdudu 3 місяці тому +2

    Wewe ni nomaaaa

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 3 місяці тому +3

    Mwisho kabisa Bwana uwajua walio wake.....😢

  • @ShafiiwilliamWilliam-mk6id
    @ShafiiwilliamWilliam-mk6id 3 місяці тому +3

    Mtumishi uje ufanye ngoma na dudubaya

  • @emilysalabaga5299
    @emilysalabaga5299 3 місяці тому +3

    Sema mtangazaji hajui kuhoji

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 місяці тому +1

    Mtumishi wa mungu kwanini usimtaje p ddidy wa tz

  • @CarlosRule-p6v
    @CarlosRule-p6v 3 місяці тому +1

    Kwa hicho si ping one love

  • @veroniquepeter643
    @veroniquepeter643 3 місяці тому

    Asantee baba ushauri mzuri sana

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 місяці тому +6

    Point kubwa kwamba devil 😈 hanaga urafiki akishaharibu anakuaibisha

  • @YohanaMollel-qt2sf
    @YohanaMollel-qt2sf 3 місяці тому +1

    Umetisha mtumishi wamungu😂😂😂

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht 3 місяці тому +1

    Huyo si mtumishi wa mungu unamkosea mungu sana kumuita mtumishi wa mungu

  • @precioussao7065
    @precioussao7065 3 місяці тому +2

    Ila kwamafundisho yako utawakamata baadhi ya watu ambao Wana ufahamu mdogo katika mambo ya kiroho.AISEE hatari sana

  • @RafiikissuMrkissu-ic4le
    @RafiikissuMrkissu-ic4le 2 місяці тому

    Yeas furaha huleta huzuni nawapendeni sana pigen kaz

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 3 місяці тому +2

    Unapenda sana hip hop

  • @Masumbuko-g3o
    @Masumbuko-g3o 21 день тому

    Nakubali sana

  • @mahadhikawia3610
    @mahadhikawia3610 3 місяці тому +3

    Anaukiri uislamu kwa kauli yake kuwa Muhammad saw ni mtume wa Allah. na katika mafundisho yake Huwa anaskip kuushutumu uislamu . Bali anawafundisha kuwa uislamu ni mfano wa kuigwa .

    • @Theman-dn8vo
      @Theman-dn8vo 3 місяці тому +1

      Mm ni mkristo na naona yuko sawa kbsa yaliyo mazuri Bora useme haijalish dini

    • @SunhighMkwazi
      @SunhighMkwazi 3 місяці тому

      We na lpm Nan anaakiri ngoman him pesa

    • @sanaf8367
      @sanaf8367 3 місяці тому

      Wewe nenda kasome quran inasemaje kuhusu wakristo kama hawa au hujui kuwa quran inatofautisha wakristo kutokana na kuamini Mungu au quran yenyewe

  • @sadicksanga6107
    @sadicksanga6107 2 місяці тому

    Ipm hapo umesema kweli, turidhike na maisha yetu ,tuache tamaa

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 3 місяці тому +2

    Fact 👍 mzee

  • @GeboMwambelo
    @GeboMwambelo 3 місяці тому

    Amee mungu akubariki

  • @AngelAfric
    @AngelAfric 3 місяці тому +2

    😂 ila ipm Huwa unanichekesha Sana na huo mwanya ukiwa unaongea vituko vyako ayaa 🙌🤣

  • @MarenyaKing
    @MarenyaKing 3 місяці тому +3

    Nakwenda kule napididiwa Dah nimecheka kama mazuri

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 3 місяці тому +5

    kweli kuna level ya kujua mambo mi juzi ndo nimejua ukiweka bilioni moja bank kwenye saving account basi ndani ya miezi sita wanakupa mil 30 faida yako bilioni yako iko palepale

  • @NeemaLwoga-s4c
    @NeemaLwoga-s4c 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂 ila prophet unaongea point sana

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 3 місяці тому +2

    Mi namshukuru mungu kanipa jicho la mbali naziada naiyona niwambiejitu luge joseph kusaga na THT yao namidiyazao hao nishida wamesoma ulaya ila odayao nikuuza uafrikawetu natabia zakishenz nyie chjnguze nahizi tim zao niuongomtupu wote laomoja

  • @alsam4881
    @alsam4881 3 місяці тому +4

    Diamond kajidhalilisha sana kwa kutaka utajiri wa haraka.

  • @evansthobias6460
    @evansthobias6460 3 місяці тому +4

    Kwa Roma apo umeongea neno

  • @annamussa185
    @annamussa185 3 місяці тому +2

    Eti mara paaa Piddy huyu hapa😅😅😅

  • @barakaMlay
    @barakaMlay 3 місяці тому +5

    IPM Nakuelewa ila ukisema kuwa upande wa Mungu ni sawa ila inapendeza sana ukisema upo upande wa YESU.. auwezi kuwa Kwa Mungu bila YESU...I like introducing Jesus Prophet... sorry au unaweka Mungu ili followers wasiomwelewa YESU wasikimbie?

  • @AlphaDaimon
    @AlphaDaimon 3 місяці тому +3

    Anamuongelea Nick Mbishi mtangazaji kampotosha,,😂

  • @henryj3304
    @henryj3304 3 місяці тому +3

    Hatari sana

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂 tamaaa ya umarufu mbele Giza

  • @JuliusDavidy
    @JuliusDavidy 3 місяці тому +1

    😅😅😅😅😅😅😅😂😂 mbavu zangu kwenye kupididiwa hapooo;;!!!

  • @ShedrackDamiani
    @ShedrackDamiani 3 місяці тому +2

    9:43 😢😢😢😢 kweli

  • @BahatiJohn-xl3fn
    @BahatiJohn-xl3fn 3 місяці тому +2

    😂😂😂😂😂😂ila prophet kuna kitu unakijua kikubwa sana ila watu awajuh

  • @jojoomanfullytz8478
    @jojoomanfullytz8478 3 місяці тому +4

    mzee alikua anamaanisha nikki mbishi na sio wa pilli

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому +2

    Kukitoka kwenye uislam hakuna deniingine.. jua umepotea na kilampotevu ni. Motoni😢 Allah atuonyeshe kwenyehaki. Tumludie yeye lnshaallah🤲

    • @avivtelcomms
      @avivtelcomms 3 місяці тому

      si kwa ubaya kwa ndugu zetu waislamu, ila hio elimu yenu , elimu dakhrassa au elimu madrassa ni nzuri sawa ila msikaze fuvu kuwa na elimu dunia yakukuzuia uwezo wenu wakufikiri pia, hamkuumbwa marobot wa kukaririshwa imani, mlipewa upeo wakupambanua pia...May peace be upon you!

    • @LilianEdwin993
      @LilianEdwin993 3 місяці тому

      Ng'ang'ania dini na uache kufanya mapenz ya Mungu uone Kam iyo mbingu utaiona.... Dini haimpeleki mtu mbinguni

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому +1

      @@LilianEdwin993 bilaya Dini muongozo wa vitendo utapata wapi kwanza usome iliujue. Amuoni nyie mnapotea kwasababu hamjui chochote mnadanganywatu nyie nikukubalitu manabii wauwongokibao

  • @msambalamjukuu3866
    @msambalamjukuu3866 3 місяці тому +2

    toeni neno mtumishi wa MUNGU semeni mtumishi wa dini MUNGU ana mtumishi

  • @jermanminsori663
    @jermanminsori663 3 місяці тому +3

    Mchungaji nimekubali saaaaaaaaaana na kweli ww co mnafiki.

  • @nipher_21st
    @nipher_21st 3 місяці тому +1

    ahahah Kila nchi na p Diddy wao hatari wanaume mnaisha looooh

  • @ritaeliass8971
    @ritaeliass8971 3 місяці тому

    Huyo mswahi watumishi wengine😊

  • @joshuamuro9494
    @joshuamuro9494 3 місяці тому +3

    Alikuwa anamzungumzia NIKI MBISHI na siyo NIKI WAPILI, Kasema yule mweupe mrefu anava kofia

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht 3 місяці тому +1

    Nyie makafiri kazi yenu kila siku mnajiita mitume acheni kukufuru mungu acheni kupiga ela za kitapeli

  • @precioussao7065
    @precioussao7065 3 місяці тому

    Ila Mungu atawaokoa wanauku amini ikiwa watazishika amri kumi za Mungu kikamilifu ndio Mungu atawafunulia njia ya uzima WA milele

  • @Shimbamedia
    @Shimbamedia 3 місяці тому

    Host anapewa maelekezo na Guest😂😂

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 3 місяці тому +2

    Kwenye ukweli hujuagi kungata maneno iyo bifo hadi sasa hadi kesho tunawakubali tu baadhi ya wasanii wakidunia.

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 3 місяці тому +1

    Host umekosea anamaanisha nick mbishi unganisha dots na stirio

  • @PeterSegire
    @PeterSegire 3 місяці тому +1

    Hakuna mwanamziki mzuri wote waovu to ni kazi kumuinuwa shetani

  • @jazaenergy-j1s
    @jazaenergy-j1s 3 місяці тому +1

    Saf sana mtumish

  • @precioussao7065
    @precioussao7065 3 місяці тому +1

    Sawa yapo unayoyaongelea yanayoendelea duniani ila niwapi unapowapigisha kona wafuasi wako, wenye utambuzi ndio wanaoona.