MTOTO AUAWA ROMBO BAADA YA MJOMBA KUKOSA MILIONI 6 YA KUWATUMIA WATEKAJI "WAUAJI WAMEACHIWA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 238

  • @dazuujuma778
    @dazuujuma778 3 місяці тому +75

    Kama unaamini haki ya kweli inapatikana Kwa Mungu tu gonga like apa

  • @emmanuelanthony3496
    @emmanuelanthony3496 3 місяці тому +23

    NILICHO GUNDUA SIKU HIZI KUFA NI RAHISI SANA KULIKO KUISHII....MWENYEZI MUNGU ATUJAALIE MWISHO MWEMA 🙏

  • @mohamedchrispin7148
    @mohamedchrispin7148 3 місяці тому +43

    KAMA UNASOMA COMMENT HII MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU 🙏

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 місяці тому +49

    Polis Tutawaogopa sasa maana nyinyi mmekuwa Wahalifu sasa

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 3 місяці тому +33

    Duuuh aya raisi yko anapongeza jeshi lake kw kazi nzuri

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 місяці тому +1

      Na anaongea ujinga kns eti kifo ni jambo la kawaida na kinapangwa naungu yn uyu samia uyu

    • @AshiruKimaro
      @AshiruKimaro 3 місяці тому +1

      hii nchi haina raisi hata

    • @faithkaganda-k3s
      @faithkaganda-k3s 3 місяці тому +1

      Anasema m2 kuuawa kikatiri inakuwa imepangwa na Mungu aiseee huyu mama cjui alienda leba kweli?😢maan huruma hana🤷‍♀️😢😢🙌🙌

    • @RespiciusiRaphaelia
      @RespiciusiRaphaelia 3 місяці тому

      jino Kwa jino ndivyo walivyo​@@faithkaganda-k3s

    • @Filbert-pe2xm
      @Filbert-pe2xm 3 місяці тому +1

      Dah nimesikiliza mpaka machozi yamenitoka ila mwenyenzi mungu yupo na atatenda kadri ya mapenzi yake

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 3 місяці тому

    Ndo wakina nyundo ao maskari wa jeshi la WTZ walibaka na kulawiti siku ya sherehe wanalipongeza jeshi kwa kazi nzuri 😭😭😭😭

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 3 місяці тому +15

    LAZIMA NITAMUUA MAMA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIKONO YANGU. Alafu nimfire Vibaya Sanaaana MKISIKIE MAMA SAMIA AMEKUFA MJUE NI MIMI NIMEMUUA

    • @ZaiduGillah
      @ZaiduGillah 3 місяці тому

      Asee

    • @ZaiduGillah
      @ZaiduGillah 3 місяці тому

      Bangi zitakuponza ww

    • @claudia1500
      @claudia1500 3 місяці тому +2

      Pole ila punguza hasira,maana ukipotea utawapa shida ndugu zako

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 3 місяці тому

      Huyu jamaa Bonge la msela Tanzania nzima hakuna Msela kama huyu. Ila kwa hii Comment yako Ubebe na Pempers na dawa ya kupunguza maumivu. Wewe ni msela jiandae unaenda kukutana na masela ulio wazidi ila wao uta wakuta wana kesi za rabal lkn sio kesi ya kijinga kama yako ndg zako watakukataa. Pole sana. Bangi kule Jamaica zina wasaidia kuimba Rage na kurusha rusha Rasta. Tz ni tofauti kidogo Bangi za Tanzania zina washa Matakoni beba Pempers kabisa.

    • @MichaelKibera-u6b
      @MichaelKibera-u6b 3 місяці тому

      Ohoooooh ngoja tuitazamee hii movie

  • @MengiMeng-fd7sq
    @MengiMeng-fd7sq 3 місяці тому +11

    R l P magufuri we stir remembering ❤❤❤❤

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 3 місяці тому +26

    Police wa Tanzania hebu muogopeni Mungu

  • @hopesumary
    @hopesumary 3 місяці тому +5

    Daaah family poleni mungu awa tie nguvu kwa mungu mnayo pitia😢😢😢

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 3 місяці тому +10

    What😢😢😢😢😢 yani ina maana wauwaji wameachiwa kabisaaaaaaaaa!!!😢😢😢😢😢😢😢 khaaaaa!!! Hii nchi mbona imekuwa ngumu sana😢😢😢😢😢😢 jamani mungu atuhurumie na kesho zetu tusizozijuwa😢😢

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 3 місяці тому +4

    Hakuna Lenye Mwanzo lisilokosa Mwisho Mungu tetea hii nchi inaangamia

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 3 місяці тому +8

    Sio usalama wa taifa ni hatari ya taifa wanaua watu kitengo hicho kitolewe ni njia ya watu kujaza Matumbo yao na kuumiza raia watu wanafanyiwa uhalifu wa kibinaadamu

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 3 місяці тому +32

    Police wa Tanzania hawajasoma yaani waliofell form 4 ,,wao wanawazaga pesa tu na kutumia nguvu

    • @Taito-brand
      @Taito-brand 3 місяці тому +1

      Ukisoma ww inatosha kaka hat bakhera ajasoma😂😂😂😂

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 3 місяці тому

      Polis mnafanya maboyajabu wamle.mbichi Yani jamani

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 3 місяці тому +5

    Mamma Samia yeye ana wapongeza polisi ana sema ni mahodari wa kazi tena wa pandishwe madaraja haraka sana

  • @rachelmpimbe1331
    @rachelmpimbe1331 3 місяці тому +1

    Mjomba ni mama aisee

  • @amanmaleko3085
    @amanmaleko3085 22 дні тому

    Poleni sana hapa Duniani hakuna haki nikumwachia mwezi MUNGU

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 3 місяці тому +6

    Nasem ten hii nchi inanitia ofu kubwa mno moyon mwangu jaman daah

  • @bahatibushiri1610
    @bahatibushiri1610 3 місяці тому +1

    Mjomba bora ungegoma kuzika mpk haki itendeke inaelekea walikuharakisha ili wazme kesi pole sana

  • @barakalema4358
    @barakalema4358 3 місяці тому +6

    enough is enough

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 3 місяці тому +2

    Kweli saivi mm naona hamna haja ya kusumbuana na polisi wala mahakama nashauri watz twende kuvunja chungu tu kilammoja ana mitambiko yao sasa wale wanaokesha baa mchana wanajiira walokole 😅😅😅😅 nasheria hawazijui nakutambika hawataki ohoooo😊

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 місяці тому +10

    DAH WAZAZIÌ😢😢😢😢😢POLENI SANA MWENYE ENZI MUNGU AENDELEE KUTIA NGUVU

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 3 місяці тому +3

    Jmn mama Samia mbona unaruhusu mauwaji hivo????😭😭😭😭😭 Tnaumia wanaichi watoto wetu wanauliwa ata kama mwizi bc sukuma ndani lkn cio kuuwa 😭😭😭😭😭😭😭 roho inauma

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 місяці тому +4

    Sikuhizi tanzania inalekea kuainchi bure wanajali pesa kuliko maisha yaninadamu😢😢😢inatakakua kama inchiyetu congo😢😢

  • @HyasinthaMosha
    @HyasinthaMosha 3 місяці тому

    Ule wimbo wetu wa taifa unaimba aman 😭😭😭😭hii amani iko wapi kupitia matukio haya tunayoyasikia sasa hivi 😭😭😭nyakati za mwisho ndizo hizi

  • @Daniella249
    @Daniella249 3 місяці тому +1

    Kwahyo wauwaji wameachiwa ili waendelee kuuwa watu wengine 😢😢😢 sijui nihamie nchi gani maana kila mahali ni matukio tu mungu tusaidie sisi watoto wako ni huzini

  • @PriscaDulay
    @PriscaDulay 3 місяці тому

    Saiv haki hakuna kama huna pesa mungu atuhurumie

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 3 місяці тому +2

    NO one is above the law,Tanzanian government must take action..

  • @ashakomba8034
    @ashakomba8034 3 місяці тому +17

    Wanatuuwa wanatuulia watoto miyoyo yetu imekufa amani hakuna tukisema tuandamane sirikali inasema machafuko ivi machafuko niss wananchi au machafuko nyinyi mlioshika dola ??😢😢😢Mimi nakuvunjia chungu mnakufa nyinyi mliofanya tukio nafamilia zenu mmbwa nyinyi

  • @EinsteinFromEastern-vh6lo
    @EinsteinFromEastern-vh6lo 3 місяці тому +8

    Sio kwamba mzee kujieleza hajui,hapana,ila anahasira na damu ya kijana wake

  • @LeilaShaban-c8j
    @LeilaShaban-c8j 3 місяці тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 mungu mungu nakuomba ujawai kushindwa naomba tenda kitu kwa ote wanao fanya hivi

  • @NoelaJohn-p5d
    @NoelaJohn-p5d 3 місяці тому +2

    Alafu unasikia eti kabis wauwaj wameachiw kweli jaman daah uku tunapoelekea bora wananchi kuchukuw sherea mkon tyu bwana 😢😢😢

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 3 місяці тому +2

    Usalama wa taifa ni wauaji wa taifa mungu atusaidie

  • @EzekielKandonga
    @EzekielKandonga 3 місяці тому +20

    Serikali ya Tanzania Takataka,hasa ya huyu Mama Samia😮

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому

      Mama hana shida ngazizachini wanamuangusha kilakitu mama samia hatafanya mangapi

    • @wadantz123
      @wadantz123 3 місяці тому +2

      Una mwanasheria wa uhakika

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 3 місяці тому

      @@wadantz123😂😂😂😂😂😂 karibuni utasikia ametekwa na kupotea katika hali ya kutatanisha

    • @tatuwaziri6122
      @tatuwaziri6122 3 місяці тому

      Acha matusi wewe ila ila yamama ako maji safi ndio mana akili huna

    • @valentineevarist
      @valentineevarist 3 місяці тому

      Shida mama wana mharibia watu wake wa chini

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 місяці тому +2

    Watu wamekosa hofu. Sasa kweli mnamuua mtu kwa sababu ya utapeli wa Fedha!

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 3 місяці тому +4

    Tanania yatu atuna hamani jani
    Maana tunauwana kama wanyama wauwaji wanabebana tu ndiyo maana mauwaji yamenzidi mchi yetu tunaiyogopa

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 місяці тому +4

    Yaani poris sasa hivi wakija kukukamata kuna mawili aidha wakufikishe salama au wakuue

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 місяці тому +11

    Ila jamani ni laana au ni nini??? 17 years old??? God have mercy 😢😢😢 poleni jamani 😢

  • @HyasinthaMosha
    @HyasinthaMosha 3 місяці тому

    Hili ndilo taifa letu ikitokea umesema tu jambo la ukweli unauwawa dah :: 😭😭😭😭😭ila mungu ndiye muamuzi wa yotee hakuna malipizi mbinguni malipizi ni hapahapa😭😭😭😭😭

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu 3 місяці тому

    Subhanallah 😢😢😢😢poleni sana kwa hili pigo mungu awapatieni subra

  • @Asiimwe256G
    @Asiimwe256G 3 місяці тому +3

    Nchi yakuongozwa na mwanamke matkeo ndo hayo sasa 😢😢

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 3 місяці тому +14

    Ccm kumamake zenu

  • @NassoroRupia
    @NassoroRupia 3 місяці тому

    Wametumwa ao na mama yao siyo bure watauwaje alafu waseme bahat mbaya😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @RichardMassawe-ss7cy
    @RichardMassawe-ss7cy 3 місяці тому +4

    Namwona mama kital hapo diwani wetu mstaafu

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 3 місяці тому +12

    WAFANYIENI POLICE KAMA HAMZA ALIVYO FANYA WATA KOMA

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 місяці тому +2

    Hata huyo naye muuzajiii wamilunge😂😂😂😂😂😂kaziii nzuli.Afande....muwapunguzeee wanahalibu vijana😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @leonardAmbokile
      @leonardAmbokile 3 місяці тому

      Mbwe wewe angekuwa dugu yako omba yasikukute

    • @Maimunasimon
      @Maimunasimon 3 місяці тому

      kuma l mam mama ako kuma la mama ako mala 10000000 msenge wew narudia ten kuma l mam ako

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 3 місяці тому +2

    Nchi imekuwa na mambo mengi yakutisha hii siyo hali ya kawaida mungu tusaidie 😢😢😢😢

  • @SwalafyAct-ks5gz
    @SwalafyAct-ks5gz 3 місяці тому

    Anamshukuru mams anga alisema sitaki mwanangu ufanye kz ya police na mm nilitimiza hlo

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 місяці тому +2

    Yani tanzania sikuhizi mtu akipotea lazima apatikane na ameuliwa na akipatikana hai lazima atakua amemwagiwa tindikali

  • @Josephmkutu13-zo7qd
    @Josephmkutu13-zo7qd 3 місяці тому +3

    Kila siku mambo haya na mama yenu mzushi anasingizia uchunguzi, kiufup nchi imemshinda atupishe

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 3 місяці тому

    Kwa Hali hii Wote tutaisha😢 Ee mwenyezi MUNGU Tunakuomba utusaidie

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 3 місяці тому +2

    Mi police nikiwakuta maahali mh au ngoja ninyamaze ttu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 3 місяці тому +2

    Haya yote yanasababishwa na serekali ya ccm

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 3 місяці тому +16

    Hakuna haja ya kuwa na jeshi la police kwa kinacho endelea hapa Tanzania Mungu atulinde waja wake japo ni wakosefu

    • @obaidothmanalbulushi9196
      @obaidothmanalbulushi9196 3 місяці тому

      Watu wanajiita police na wakati siyo ni watu wa kawaida tu njaa zinasumbuwa pia siasa inachangia

  • @Janemuthoni289
    @Janemuthoni289 3 місяці тому +1

    Kenya tuko na umaskini lkn hijafikia kwenye tumeanza kuiba watu wakiwa hai tukiitisha pesa,ni kama kuuza binadmu,Kenya police wakikuchukua kama umekosa hawaitishi pesa maybe uuliwe au upigwe wakwachilie lkn tz imezidi sasa,na police ndio ufanya na mjue hakuna kitu president wenu hajui,yuwajua kila kitu

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 3 місяці тому

    Haya maisha hapa tanzania yanaelekea pabaya sana, Maana hao polisi nao si wanakaaa mtaani. Mungu saidia taifa hili.

  • @beatricesamwel6136
    @beatricesamwel6136 3 місяці тому +2

    Tanzania ni hii au tumebadirishiwa😭😭😭

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 3 місяці тому +3

    Hiyo mirungi ndo ili wawuwa.
    Mpaka familia iliona makosa ndo mana wakatuma hiyo pesa kwahio ata asingekufa angekuwa jela somo sasa vijana epuka ma dawa ya kulevya tafuta kwa jasho

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 3 місяці тому +2

    Wewe kamanda ndugu yupi alikuwa mahakamani naakaelewa huo uzibitisho
    Acheni viswahili vya komito hapo

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 3 місяці тому +2

    Sasa police tu police tu sema police kituo gani au kituo Cha wapi kaka😢😢watanzania tujue

  • @TheDonny-e2v
    @TheDonny-e2v 3 місяці тому +5

    Serikali yetu ndo hiii ambayo inatangaza ina aman ya kutosha😅😅Jaman ni bora ijulikane tu kuwa kuna udctator tuuu

  • @hawahussein9055
    @hawahussein9055 3 місяці тому +2

    Duuuuuu police jamani kama siyo nyie jisafisheni sasa tuwajue wauaji

  • @naimajuma647
    @naimajuma647 3 місяці тому

    Daah pia wazazi mnakosea tunaambiwa tuma laki 4 na police kwa nini msiende mkao ana uso kwa uso na alidai rushwa. Na akaachiwa mmoja uoni kana ulikuwa ni mchezo na inawezekana hakuwa asikari😢😢

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji 3 місяці тому +3

    Binadam jmni da mtt mdog hivi mnamktish uhai wake khaa

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 3 місяці тому +2

    Aise Hivi tuko Tanzania kweli,hii amani iko wapi kama raia wanatendewa hivi

    • @HyasinthaMosha
      @HyasinthaMosha 3 місяці тому

      Alafu tunauimba Wimbo wetu wa taifa kuna amani😭😭😭😭😭hiyo amani iko wapii

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali 3 місяці тому

    Kweli hii sio haki tunaomba serikali hawa walifu wapewe adhabu kali ili namwingine asijaribu kuwa watu hovyo pamoja nahuyo polic

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 3 місяці тому +2

    Mama anazidi kupongeza tu uku matukio yanazidi tu Yani mama ana hurum kabisaaa

  • @ahmedmeddy6022
    @ahmedmeddy6022 3 місяці тому +3

    Hii taarifa Ina pande mbili sikiliza kwa makini

  • @HOSEAHALLAN-tt3gx
    @HOSEAHALLAN-tt3gx 3 місяці тому +2

    Utalatibu sekalini vituko

  • @FatumaAli-y3y
    @FatumaAli-y3y 3 місяці тому

    💔Poleni wafiwa hakika inasikitisha jamani,jamani,jamani nyiye mnaona kuua nafsi ni jambo rahisi kumbukeni kuna mungu na mungu amekataza kuua nafsi hata kama kakosa mtakwenda jibu nn mbele ya mungu 😭😭😭

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 3 місяці тому +4

    Sasa hayo yote why msishirikishe ndugu wa mtuhumiwa?

  • @pilisilakilawila5657
    @pilisilakilawila5657 3 місяці тому

    Wanataka kutuletaa laana ya sodoma na gomora mungu akileta makasiriko juu ya nchi kwa maovu yetu damu ikimwagika katika nchi uwa ni laana mungu tusamee

  • @MalkiaErnest
    @MalkiaErnest 3 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mpenzi wangu jaman umeniacha kweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 3 місяці тому +3

    MIMI nawaahidi WATANZANIA WOTE HASA MASKINI NITAWASAIDIA WOTE HASA WANAOTESEKA.. nawaahidi

  • @MerryJohny-m9i
    @MerryJohny-m9i 3 місяці тому

    Jaman mungu atulinde maan cjui

  • @NEWENERGIESFREIGHTSERVICESLOGI
    @NEWENERGIESFREIGHTSERVICESLOGI 3 місяці тому

    Bora kuishi Ukraine sio Tanzania 😮

  • @AgnesMakunege
    @AgnesMakunege 3 місяці тому

    Tunasaidiwa nani wanaotulinda ndowanaotuteka 2mwachie mungu😢😢😢

  • @petermassawe-x5q
    @petermassawe-x5q 3 місяці тому

    Sema kaka

  • @IsabellaZacharia
    @IsabellaZacharia 2 дні тому

    Endeleeni kusema mitano tena wakati maisha yawasio nahatia wanyonge wanaangamia

  • @tufikekapeta8863
    @tufikekapeta8863 3 місяці тому

    Hivi mama samia unawaza nini mbona nchi ya Tanzania inachafuliwa sana na hao police kwanini hukemei na kuwachukulia Sheria kali Hawa wauaji wanao jiita kitengo cha usalama wa taifa kwani huu ndo usalama ndo mnavyo wafundisha wakija huko vyuoni

  • @ritamaro5444
    @ritamaro5444 3 місяці тому +2

    Hii nchi hamna Haki,Pesa ndiyo zinatafutwa.Sio police tuu,hata mahakamani

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 3 місяці тому +2

    Hawa walivyoona hio laki nne imetoka kirahisi ndo wakafemand ml 6 mweeh jamani

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 3 місяці тому

    Yaan hapa ni mungu tu ndio anaweza kunusuru haya yote

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl 3 місяці тому +2

    Mmh mtoto bado mdogo

  • @elizabethmwafongo7829
    @elizabethmwafongo7829 3 місяці тому +2

    Kuna wakati inabidi tujiogope sana maana saizi ata panya tu akipita tunaogopa

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 3 місяці тому +3

    NCHI IPO SALAMA ,IPO SHWARI KABISAA CCM OYEEEEH😅

  • @ankochoka
    @ankochoka 3 місяці тому

    DAAAH SHIMBI NYUMBANI KABISA, POLENI NDUGU ZANGU WA KITALY

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 3 місяці тому +1

    Huyo siyo usalama wa taifa ni gaidi namba aliyoitumia waifuatilie na hao polisi wawajibishe hiyo imepinda kabisa

  • @saraphinermassare3330
    @saraphinermassare3330 3 місяці тому

    Huwa napata hasira sana hiv watu mnaowatendea mabaya wenzenu hamjui kuna Mungu na kuna kesho?

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 3 місяці тому +1

    Mishara wanalipwa kwa kodi zetu ila wana tuua Siro alisema ipo siku na wao watakuwa raia wa kawaida tu

  • @dianacornely4600
    @dianacornely4600 3 місяці тому +4

    Dahh my country😢😢

  • @igulug5450
    @igulug5450 3 місяці тому

    Matukio yamekuwa mengi sana Tanzania Afu Mh. Rais anasema kufa ni sawa tu jamani badara ya kuwa mkali

  • @stellalaurent1479
    @stellalaurent1479 3 місяці тому

    Duuu utekajii utakuwa biashara kwa askarii wallah

  • @Halima-f7z
    @Halima-f7z 3 місяці тому

    Jaman cjaelewa kidogo mbona 2023 naomba nieleweshwe kidogo

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 3 місяці тому +2

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @EliasJoseph-cb6zc
    @EliasJoseph-cb6zc 3 місяці тому +1

    Hii nchi jmn mungu tusaidie

  • @FatumaKilongozi
    @FatumaKilongozi 3 місяці тому +1

    cjui tunaelekea wapi duuh😭😭

  • @AllyKarupa
    @AllyKarupa 24 дні тому

    Daaaaa!

  • @navioma4882
    @navioma4882 3 місяці тому +6

    Tanzania ya mauwaji🇹🇿😭😭😭

  • @BaadayazkFalaja
    @BaadayazkFalaja 3 місяці тому

    Mungu kasilika leta t snami tufe wote tz