КОМЕНТАРІ •

  • @winifridamateru1098
    @winifridamateru1098 Місяць тому +21

    Hii pombe mbona kama anaisingizia, siku tatu zote alikuwa mlevi . Mungu atunusuru na watoto wetu maana hali imekuwa mbaya jmn😢

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 Місяць тому +4

    Ewe Mwenyezi Mungu Tuongoze ktk njia Yako.Utulinde na fedheha na utusitiri duniani na Akhera.Yaa Rabbi

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 Місяць тому +4

    Mimi nashukuru Mungu ajamuua, mana mmmh dunia hii saivi

  • @BenFranklin-x9g
    @BenFranklin-x9g 12 днів тому

    Jaman jaman

  • @salimsaid6149
    @salimsaid6149 Місяць тому +5

    Yeye mwenyewe teyari kaishakubali kweli kafanya lkn utasikia police mpaka wachunguze

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 Місяць тому +13

    Km alikunywa pombe mbona hakuchukua wanaojiuza barabran huko ucku 😢😢juma raibu nakuaminia👏🏾👏🏾

  • @zaituniomary9946
    @zaituniomary9946 28 днів тому

    Nikisikia sauti tu ya Diwani huyu najua jambo litafuatiliwa ,Diwani fanyeni uchunguzi kwa huyu nimchezo wake wapo nawengine mungu ameamua kumfichua kwa kupitia huyu binti.

  • @vero57
    @vero57 Місяць тому +5

    We subiri miaka 30 ndani AISEE 😮😮😮

  • @celestinermantenga2463
    @celestinermantenga2463 Місяць тому +1

    Huyo utaratibu wake ndo huo ili pesa ziendelee kuongezeka ( masheriti) sasa Nguvu za shetani haziwezi shinda nguvu za Mungu hapo ndo mwisho wake.

  • @gloryr9497
    @gloryr9497 29 днів тому +1

    Kibnaking tena diwani😊

  • @KlikHapaTV
    @KlikHapaTV Місяць тому +1

    Wanaotumia Pombe naona hawataki kabisa Tukio lihusishwe na Pombe 😂😂😂

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Місяць тому +5

    Mbwa mkubwa,ukamfungia cku xote hixo 3 pombe haiishi? tena umamlisha mandaxi & soda cku xote 3.Mbwa mkuwa huyo mtoto c mjukuu kwako? Pombe cku 3 umelewa tuu? Lifungwe maisha.Asante Baba cmamia haki.

    • @SaphinaSamson
      @SaphinaSamson Місяць тому

      Yaan limemla ski3 limeridhika ndo limemfungulia

  • @AndreyMalisa-qj3ds
    @AndreyMalisa-qj3ds Місяць тому +4

    Wachaga wana sound uwiiii😂😂😂😂😂kamateni huyoo naye apigwee dulingaaa

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 Місяць тому

      Saundi kinoma😂😂

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 Місяць тому +6

    Tumechoka,huu mchezo unaendelea sasa,kwakweli ianze kufunga maisha,mchezo unaendelea huu,nchi imekuwa Kama shamba la Bibi,mnchafua Raisi wetu kipindi chake hiki,sheria ni kufungwa maisha,ili tueshimiane

  • @felixhaule
    @felixhaule Місяць тому +3

    Bwana Mboro😊

  • @Kutaila99
    @Kutaila99 Місяць тому

    Sasa kama mnajua pombe sio nzur vipi mnainya?

  • @AinaMushi
    @AinaMushi Місяць тому

    Da inauma sana angefanyiwa mtt wako ujisikiaje eti na kichang unaongea huna hay mtu mzima ovyoo

  • @sophykimario7350
    @sophykimario7350 Місяць тому

    Mmmm jamani kibosho mnatisha sasa ... Mungu atusaidie.

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 Місяць тому +1

    Wabakai hawafai Kabisa kuishi Ata naona miaka 30 jela pia haimfai wanafa tu kuuliwa moja kwa moja ama wakatwe tu hizo nyeti zao 😢

  • @NeemaNdakidemi
    @NeemaNdakidemi 29 днів тому

    Yan uyu chizi pombe utembee namjukuu mkibosho wapi huyu kuweni makini sana kumulinda huyo mtoto wasije wakapoteza ushahidi dunia imeharibika mungu tulindie watoto wetu sisi hatuwezi

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj Місяць тому

    Yanikatika washenzi uyumzee nimshenzi sanaa,tunataka kujuwa je?alishakamtwaa??

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Місяць тому +1

    Mimi nikiskie taarifa za ubakaji huko tanganyika zinanishangaza sana.nakuombeni mnisaidie,mtu afanyeje ili awe kabaka? mana kila nikija uko nawaona watoto wadogo wanafanya uzinifu na watu wazima na jamii inafaham wala hawasemi kitu?

  • @NdayishimiyeERickson
    @NdayishimiyeERickson Місяць тому

    Pombe mmm na bangi pia. Nenda ukaozee jela. Na uzee ukukute jela.

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 Місяць тому

    Serialised tunaomba mlichukulie hatua hili jambo mkimsamehe mnatuvunja motor wananchi saana

  • @BenFranklin-x9g
    @BenFranklin-x9g 12 днів тому

    Iviii kwa nn huyu mtoto hajapiga kelele mda ambao alkuwa hayupo jaman sku 3 uwiii

  • @BizzBoy-g4o
    @BizzBoy-g4o Місяць тому +3

    Acha uwongo wkwahiyo pombe siku 3
    Bado umelewa

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Місяць тому

    Pombe siku 3 mfulilizo ingekuwa siku moja ungeisingizia pombe ila siku 3 nzima umeionea pombe

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 Місяць тому

    Sijaelewa alibaka ni Mboro au Olomi?

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 Місяць тому

    Maendeleo yakanda yanakuja navingi

  • @AFYABORATV
    @AFYABORATV Місяць тому

    Miaka 30 hiyo ..

  • @AinaMushi
    @AinaMushi Місяць тому

    Da jamani hajkuna Cha ulevi Wala nn tamaa tu acha kutuaibisha wachang

  • @wennybarny168
    @wennybarny168 Місяць тому

    Jamaniiii

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Місяць тому +1

    Ongeza sauti kubwa kabisa mtetezi wa watoto kuna mijitu haiwezi kukaa sawa bila sheria kali

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 Місяць тому +1

    Wachaga wamekuwa wabakaji now days yani kila ukisikia ubakaji unasikia jina la kichaga

  • @violetmulongo1636
    @violetmulongo1636 28 днів тому

    Ukakufe huko jela shetani ww kumhabibia mtoto maisha na kuhofia shida utakayo ipata jela

  • @KomanyaIssa
    @KomanyaIssa Місяць тому

    Sasa hapo kwa polis uchunguzi ni wa nini????

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Місяць тому

    Naombeni kuuliza swali jaman hivi huwaga mtuhumiwa akitozwa faini nani anapewa ama inaenda serekalini ?

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Місяць тому +3

    Bado hajakamatwa had sasa kweli.

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven Місяць тому

    Ameshatubu,,,msameheni

    • @victorianganyagwa2467
      @victorianganyagwa2467 Місяць тому

      Hv we umezaaa? Unaujuw uchngu was mtt we ach kuropokwa hb kit kinaumz hv unsm hvy wee nmkushngaa san

  • @JULIUSNCHAGWA
    @JULIUSNCHAGWA Місяць тому

    Kibmaking ni kosaa eeeh la kumteka mtuu

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Місяць тому

    😢😢uyo ndio atatufanya wanaume wengine tuonekane tuna tabia mbovu

  • @arianjrstanslaus4991
    @arianjrstanslaus4991 Місяць тому

    Kwani lazima kunywa?? Mmezidi ulevi... hao wote walevi.... #pombe sio maji

  • @AkswaZo
    @AkswaZo Місяць тому +2

    Ndio maana dini inapinga unywaji wa pombe. Hata madaktari pia wanasema ni madhara tu pombe

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 Місяць тому

    Hhamna chocho afungwa asij8babaishe kusema shetani hakuna shetani wa kubaka kwan8 ni wazim

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m Місяць тому +3

    Wewe kimbia utafungwa 30 kimbia uza kila kitu..broo acha kubwmbeleza kitu hiyo ni noma ... mno ..lipa kwa gharama yeyote utembeee

  • @eliaswegero2199
    @eliaswegero2199 Місяць тому

    Asamehewe kama Mungu anavyotusamehe ana kitu asikilizwe....

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b Місяць тому

    Huyu ni mbakaji achukuliwe hatuwa kubwa iwe fundisho kwa wengine

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 Місяць тому +2

    Na mimba ongezea hapo Hon Diwani

  • @monicamhina9926
    @monicamhina9926 20 днів тому

    Bwana mboro

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 Місяць тому +4

    Eti jina la ukoo,mlikosa majina mpaka mtumie hilo, yanayotokea sasa na jina la ukoo hayana utofauti kabisa. Aya sasa mboroo imefanyakaz kwenye ukoo😂😂

    • @lucypatrick7830
      @lucypatrick7830 Місяць тому +1

      Mboro si jina la ukoo ni mwanaume wa kichaga hasa wanatumia wamachame na zaidi ni wa ukoo wa akina muro

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 Місяць тому

      Hakuna muro kwenye mboroo mboro ni mboro tu​@@lucypatrick7830

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 Місяць тому

      ​@@lucypatrick7830Kwa upande wa kwetu Ni ukoo , tunaitwa mboro (mremi)

  • @amonidafa9665
    @amonidafa9665 Місяць тому

    Mboro kaza mpaka mwisho...This is too much to compromise

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 Місяць тому

    Mbwa sana huyo mbakaji mfungeni maisha

  • @toptopress4909
    @toptopress4909 Місяць тому

    Hizi mambo mbona zimezidi aisee

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja Місяць тому

    Huyu mbwa mbona Kama mnamchelewesha sana

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 Місяць тому

    Pombe isiwe kisingizio asee

  • @mwavuapaulo4142
    @mwavuapaulo4142 Місяць тому

    Huyu mshenzi ataludia akisamehewa apelekwe jela pumbavu zake

  • @JovinPeter
    @JovinPeter Місяць тому

    Juma hebu simamia hii ishu mkuu

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 Місяць тому +1

    Hapo wakiyamaliza nyumbani ataendelea naye bora mno wa sheria ufanye kazi lakini sasa pesa za uendeshaj wa kesi wanazo

  • @gracephilemon4325
    @gracephilemon4325 Місяць тому

    Pombe siku tatu ? Mshenzi huyo sheria ifuate mkondo wake

  • @samwelsanga5339
    @samwelsanga5339 Місяць тому +7

    Anyongwe huyo mbwaa

  • @MagrethCostantine
    @MagrethCostantine Місяць тому

    Huyu baba ni fara sana. Kama ingekuwa mwanae ingekuwaje? Kamata huyo mbwa mshenzi huyo

  • @SofiaS-i5r
    @SofiaS-i5r Місяць тому +2

    Huyummbwa kenge mjusi shetani wakimkamata kwanza wamkabizi kwa wananchi wampe kipigo kitakatifu

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 Місяць тому

    Jamaa anae mrekod ni mnafiki

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 Місяць тому

    Kumbe likitu likubwa hivi ndo limemvuwa mtoto?Eeee Mungu wetu watoto wetu tuko hatarini

  • @YusterLeonard
    @YusterLeonard Місяць тому

    Shule salama iwafikie hii jamii lakini jeshi la polisi fanyeni kazi

  • @merycianshinda546
    @merycianshinda546 Місяць тому

    Siku tatu zote uongo kwann uliendelea ck hizo zote.

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому

    Binadam aliekosea jambo" mbn hujalala na mwanao

  • @amanichazy4047
    @amanichazy4047 Місяць тому

    Daa

  • @KomanyaIssa
    @KomanyaIssa Місяць тому

    Ujue jamaa anafungwa hivi hivi!!!!

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 Місяць тому +6

    Mbakaji ni bwegeee la mtozeni maana ananyoosha maneno kabisa kama jinga akafungwe miaka 300

    • @mwanas2
      @mwanas2 Місяць тому

      Afungwe 3000 kabis yani Mungu kaamua kumuadhirisha tu good

    • @marianamontoedi1318
      @marianamontoedi1318 Місяць тому

      Akatwe mkia wake pumbafu hili

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 Місяць тому +2

    Huyo mtoto Alikubali vipi

  • @JohnJohn-gm7yb
    @JohnJohn-gm7yb Місяць тому +3

    Kubabako unafanya usenge halafu unasingizia pombe

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 Місяць тому +2

    Mie ningemsamehe Uyo Mtu Masamaha Wake Unatoka Moyoni Mungu Atupe Moyo Wa Kusamehe

    • @TumainiSawee
      @TumainiSawee Місяць тому +1

      Nakuombea na wakwako abakwe ili uone kama ni rahisi kusamehe unaleta mzaa mbele ya mtoto oooooooooo

    • @NajmaramadhaniAlly-is6mf
      @NajmaramadhaniAlly-is6mf Місяць тому +3

      Usijali na wako atabakwa kisha utasamehe mwaya

    • @mwanas2
      @mwanas2 Місяць тому +2

      Tena abakwe kweupe mchana ili usamehe kabisa

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 Місяць тому

      ​​@@TumainiSaweeSIYO kwake,NAMUOMBEA KINA NYUNDO WENGINE 5 WATOKEE,WAMLAWITI YEYE,HALAFU ASAMEHE😢😢😢😢

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 Місяць тому

      ​@@TumainiSaweeunavyosema mwanae abakwe wacha nikuambie nina watoto namuomba MUNGU ayafute maneno yako hakuna litakalompata mtoto wake hata mmoja ....usifkiri neno msamaha ni neno dogo anavyosema angesamehe msamaha ni zaidi ya kuua msamaha ni zaidi ya kulipiza maana yake humfungii mtu kwenye moyo wako ili usiathirike wewe then MUNGU anashughulka nae ...kama hujui kazi ya msamaha nyamaza tu

  • @estakapufi7582
    @estakapufi7582 Місяць тому

    Ulipanga inaonekana ndio tabia yake, ndio maana anasema hata yeye anashangaa imejulikana daa nimeumia sana, hata watu wazima na akili zao timamu unafanya kitu kama hiki kweli, kama angekuwa mwanae amefanyiwa ivi siangekuwa ameshika panga.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Місяць тому +1

    Afungwe MIAKA 60 ya kibaka.miaka 30 kumteka mtu..MIAKA 20 udhalilishaji. Pumbavu zake

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 Місяць тому

    Eeeeee mwenyezi Mungu uturehemu sisi na vizazi vyetu

  • @YusterLeonard
    @YusterLeonard Місяць тому

    Haki ya mtoto mwanafunzi inaeleweka chukueni hatua sheria zipo 3:28 3:30 3:33 3:34

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Місяць тому

    Bado yuko huru na hajakamatwa? Kweli Tanzania imekuwa nchi ya wabakaji watoto.

  • @mohamedbashir4344
    @mohamedbashir4344 Місяць тому +1

    Daah ndugu zetu Bora mtumie Tu Kiswahili eti Kim making ndio nini

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 Місяць тому

    Bado.mdogo sana jamani akuna cha tamaa apo

  • @geofreyj.1986
    @geofreyj.1986 Місяць тому

    Kibneking, diwani aongee tu kiswahili

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 Місяць тому

      Alimaanisha kidnapping diwani shule kaungaunga

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr Місяць тому

    Nikumsweka ndani tu.

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Місяць тому

    Siku tatu zote ulikuwa umelewa? Afungwe huyo

  • @hassannickson7654
    @hassannickson7654 Місяць тому +2

    Huyu jamaa anapaswa kwanza kumuhasi awe maksai ili iwe funzo wa watu wa Dizain hii

  • @FatumaKilongozi
    @FatumaKilongozi Місяць тому

    Wachaga hata hapa kazin tunao Yan wanajikutaga wajuaji sana wanajiamin had kwenye mambo ya hovyo

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma Місяць тому

    Uyo ni mshirikina ameshakiri afungwe na fain juu

  • @AnnaUrio-x1b
    @AnnaUrio-x1b Місяць тому

    Kocha mboro😢

  • @mariaanthoniangowi9376
    @mariaanthoniangowi9376 Місяць тому

    Mtetezi nakuomba umsimamie huyo mtoto mpaka apate haki yake,na Mungu akubariki usikubali kurubuniwa. Mtuhumia anazinhizia pombe ; mimi haiingii akilini, kwani kama kweli ni pombe asubuhi angemwachia na hata kwenda kuomba msamaha huo anaodidai kuomba. Lakinihiyo pombe ilikaa kichwani mpaka siku tatu? Huyo alikusudia kumwaribi mwenzake mtoto. Afunge miaka yake 30 tena na fidia juu yakumtibu mtoto

  • @DM_15
    @DM_15 Місяць тому

    Nimesikia anamuita hujamaa junaganitena😂😂😂

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota Місяць тому

    Nacheka km mazuri unajua mboroo mzee😅

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q Місяць тому

    Huyu afungwe jela tena afanwe hanisi

  • @SaphinaSamson
    @SaphinaSamson Місяць тому

    Lione libaba lizima lione

  • @WemaChimimanda-jt8rf
    @WemaChimimanda-jt8rf Місяць тому

    Siku 3 ulevi,alikusudia

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 Місяць тому

    Sisi wachaga Mboro ni ukoo😂😂

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye Місяць тому

    Mbona tena anasema mborooo anaendelea tena kutukana

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co Місяць тому +2

    Kama ni pombe ungeanguka kama pombe imezidi ili mateja wakulambe wewe alafu utangaze kua wametomba pombe sio wewe pumbavu kwani huko serikali haipo naona ishakua udalali hapo wakati kuna kesi ya ubakaji.

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 Місяць тому

    Wabakaji wanajiona wako sahihi sikiliza anavyoongea utasema kaiba kuku tu kumbe kafanya ushetani wa hali ya juu

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Місяць тому +1

    Kumbe hata kituoni alishafika

  • @HappyMsaki-rv6hp
    @HappyMsaki-rv6hp Місяць тому

    JITU ZIMA OVYOO FYUUUUU

  • @yusuphseleman6149
    @yusuphseleman6149 Місяць тому

    Sasa ifungwe pombe au afungwe yeye.