AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPONDWA UUME NA KORODANI ARUSHA MAMA YAKE ASIMULIA ILIVYOKUWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 години тому +2

    dah isee huuu uchungu hauerezeki mimi2 Najskia vibya je mzazi wake mama pole sana Ndio maisha mungu atakulipia

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v Годину тому

    Subhana llah yarabb atustiri 🤲

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 55 хвилин тому

    Daa Iman imetoweka duniani hii hatari kubwa sana mm nilipo naogopa hii Habar kusikiliza Jinsi inavyo Tisha

  • @SwahiliSister-o5v
    @SwahiliSister-o5v Годину тому

    Matatizo mengi sana mtihani huu yarabb 🤲🤲

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli 3 години тому +1

    Mungu husika

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 години тому

    Utumiaji wa bangi ulevi na ukosefu wa nidhamu na kumkataa Mungu mioyoni mwa vijana wengi ndiyo chanzo cha mauaji na ukatili unaoendelea nchini.

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 2 години тому

    Hii nchi ni ngumu😔

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 3 години тому

    Duh 😢

  • @modestamodesta3940
    @modestamodesta3940 4 години тому +1

    Jmn 15000 unatoa uhai wa mtu ee mungu baba tuhurumie😭😭😭😭😭uwiiii daah

  • @endeshyamat6773
    @endeshyamat6773 3 години тому

    Mungu wangu😢😢😢

  • @ireneshao7950
    @ireneshao7950 2 години тому

    Haya mambo hata gerezani naona kumejaa Sasa hiv mbona watu wakatili hivi mbona tuna kosa utu jamani haya maumivu Mungu mpe mama yake faraja😢

  • @mwanamwendy9265
    @mwanamwendy9265 3 години тому

    Eeeeee Mungu weee upo wapi jamaniii, njoo Mungu wangu tupunguzie haya daaah 😭😭😭

  • @LoveMwakihaba
    @LoveMwakihaba 3 години тому

    Jamaniii mbona tunaumizana ivyo😭😭😭😭😭😭😭 uwiiii

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 4 години тому

    Mwili umenisisimka jamani 😢😢

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 Годину тому

    Af kuna msenge amekaaa apao anasema bangi aina madhara, mnatombwa nn, ivi akili ya kawaida ineza fanya ivi

  • @lilianmartin5075
    @lilianmartin5075 3 години тому

    😢uwiii

  • @Lily-rn6xc
    @Lily-rn6xc 4 години тому

    Eee Mungu 😢😢

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 3 години тому

    Makonda na Rais Samia wako wapi

  • @Montana12-v2c
    @Montana12-v2c 2 години тому

    Israel wamemtoa roho dahhh duniani utu hamna kabisa

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 3 години тому

    Serikali iwasaidieee nini mana serkali hiii ni serkali y namna yake kbs haina hofuu wala kujali manake ilitakiwa kwanza wahusika wa hili tuko ilitakiwa watafutwe km pesa ikabainika nao awajibishwe zaidi ya hili waliotenda

  • @SylvesterKameo
    @SylvesterKameo 4 години тому

    Arusha, unyama gani huu?