Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia watu wanne kwa kosa la kujifanya maafisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Usalama wa taifa na kufanya uhalifu katika maeneo mbalimbali nchini huku wakitumia vitambulisho, sare za jeshi hilo.
    Kamanda wa Polisi mkoani humo Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari ambapo ameeleza namna walivyoweza kuwakamata wahalifu hao.

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 років тому +8

    Hongera sana kamanda wa DODOMA Mungu akusimamie. Hawa ndio wanaotesa wananchi kuwarudisha nyuma kiuchumi

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 4 роки тому +30

    Mzee mwanajeshi ,nimempenda sana ,anaconfidence na alikua anatafuta chakula cha familia ,

  • @sosteneschahe6487
    @sosteneschahe6487 6 років тому +6

    Anaeona ni maigizo akaibe au avunje sheria ya nchi nae wamuigizie kama hao,ila mm ushauri kwa jeshi, MTU akiachishwa kazi apekuliwe vilivyo asiondoke na kitu kinachohusiana na jeshi maana ni hatari sana,hatujui vita itatokea lini,na wapi,sasa hawa walio na sare za jeshi watafelisha mapambano zidi ya adui maana jeshi likiona sare hiyo litasema in mwenzao kumbe sio#safi sana mzee wangu hiyo ndiyo kazi ya jeshi.

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Рік тому

      Wewe ni muhuni wewe kwanza ulikataza wananchi wasifanye maombi kipindi cha kaka yetu mpendwa wetu lisu alivyo shambuliwa na hawo wahuni washenzi kama wewe sis tuliumia sana kaka yetu kuhumizwa na mashetani wenzeni

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 роки тому +1

    Kazi nzuri Jeshi letu la polisi.., , hao ni wavuvi wakajifuze kazi gerezani..

    • @bobelichi7721
      @bobelichi7721 18 днів тому

      Kaka umekoxea siyo wavuvi.....ni wavivu😂😂😂

  • @happynessmkuyu545
    @happynessmkuyu545 6 років тому +2

    Hongera polisi Dodoma, na Veyula mje kuna wezi sana tena wanaanzakuiba kuanzia saa 4

  • @alexkweka1374
    @alexkweka1374 3 роки тому +1

    Mbona anajieleza kama yupo bongo star search hana hata wasiwasi 😎😎

  • @bm2tv299
    @bm2tv299 6 років тому +4

    Safi sana,Askari wetu kazi nzuri sana,hakika kazi yenu tunaiyona.

  • @gabrielgodwin2698
    @gabrielgodwin2698 2 роки тому

    Asanteni jeshi la police kwa kazi nzuri endeleeni kuchapa kazi.

  • @mosesmwile4308
    @mosesmwile4308 6 років тому +11

    Big sana mzee wangu mungu akubaliki mzee wangu kwa kazi nzuri ya kukamataa waalifu hapa nchini na mkoani dodoma big up sana mzee raisi akufikirie maana unapiga sana kazi

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 4 роки тому +2

    Safi kamanda kazi nzuri

  • @kiratugakinya6778
    @kiratugakinya6778 4 роки тому +5

    Am glad to see how this Tanzanian senior police officer address the press and the general public, cautions them not to fall prey of these thugs,on same note he's exercising great care while handling the exhibits not touching them with bare hands.

  • @ezekielanastatus1579
    @ezekielanastatus1579 6 років тому

    Asanteni jeshi la polisi ao wamezidi kuta peri wana nchi kazi nzuri

  • @wcbwanatishakiranikirudiab2349
    @wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 років тому +44

    Asanteni sana majeshi yetu kwa kazi nzuri sana mwenyezi MUNGU yupo pamoja nanyi

    • @danielhilya3877
      @danielhilya3877 6 років тому +1

      wcb wanatisha kira nikirudia bado daaa Omary pole

    • @richardlobulu3822
      @richardlobulu3822 6 років тому

      wcb wanatisha kira nikirudia bado daaa Omary tudulisu

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 Рік тому

    Safii sana jeshi la police kazi nzurii allah awaongoze kweny kazii zenu inshaallah🤲🤲dodoma sio mji wa matukio mkifika uku cha moto mtakiona😏😏

  • @e_voicespanish1182
    @e_voicespanish1182 6 років тому +5

    Kazi nzuri askari wetu
    Mungu awatie nguvu kwa kujitoa kuilinda nchi yetu

  • @dicksonluena3266
    @dicksonluena3266 3 роки тому +2

    Hizo Kazi Mzuri,,,Sio kutunyima Raha Bodaboda

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto1979 6 років тому +3

    Tushukuru sana majeshi yetu Kwa kazi nzuri

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 років тому

    hongera sana tena sana RPC DODOMA unafanya kazi nzuri muno na jeshi lako,,,kwa hakika tunajivunia tuko salama ..endelea kutulinda wananchi MUNGU atakulipa kwa kazi nzuri unayofanya ya kutulinda

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 років тому +4

    Wapigaji wastaarabu kweli hawana haja ya kudhuru mtu.
    Walikua well organized lazima mtu awaamini.

  • @hajimakame1062
    @hajimakame1062 4 роки тому +1

    Kazi nzuri kamanda umefanya

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 4 роки тому +6

    Nilikua nangojea Harmonize, sijui mbona hajakamatwa pia..

  • @thomasmalle3947
    @thomasmalle3947 7 місяців тому +1

    Kamanda Mliro anastahili kabisa kuwa Mkuu wa Wilaya au hata Mkoa, ameitendea vyema sana kazi yake na nchi yake.

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 років тому +17

    huyo mwanajeshi japo ni mhalifu lakini ni ishara ya kwamba jeshi letu lina majasiri yuko smati jasiri haogopi yeye aliandaliwa kupambana na vita sasa kesi kama hiyo ndo atetemeke nini sasa
    Cha muhimu wewe pata picha aliyetolewa kazi jasiri hivyo walio baki je?
    Hongera jeshi la tanzania.

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 5 років тому +2

    Mimi hiyo kazi ya jeshi LA Tanzania naipenda sana ila hawo washuhulikieni Mimi nasubiri mh magufuli atakapo kuja rombo aniteuwe niende mafunzoni jeshiniiii

  • @Mushivictor
    @Mushivictor 6 років тому +12

    Hahahahaha huyo MZEE anavyoelezea utadhani biashara Fulani hivi halali yani hadi kutabasamu . Hongera kamanda Dom mambo motooo

  • @pendochibwae4982
    @pendochibwae4982 Рік тому

    Hongereni kazi yenu ni njema Mungu awaongezee maarifa na macho

  • @vinotieno4893
    @vinotieno4893 6 років тому +6

    Tunacheza sana Dodoma😂😂😂

    • @apewemuyull651
      @apewemuyull651 3 роки тому

      uwo niuzalilishaji wajeshi kwanini musimvue kweza ilovazi au amujui kamailovazi ndousalama wamchi

  • @wilsonuhenge1926
    @wilsonuhenge1926 5 років тому

    Huyo arudishwe kazini, ugumu wa maisha ndio humfikisha MTU mahari hapo

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 6 років тому +8

    Siku zote Soldier ni mkweli...nimekubali Combat ‘ ...!..💣💥

  • @matitu_jr5035
    @matitu_jr5035 5 років тому +2

    Ajali kazini, Dodoma kunapigika sana tu.

  • @sebastiansalamba8236
    @sebastiansalamba8236 6 років тому +5

    Nyinyi mnaomdhihaki Kamanda endeleeni tu mnafikiri Tz ni nchi ya mchezo sisi tulioshuhudia wakati Wa makaburu wakitaka kuhujumu nchi hii nawakashindwa tunajua,na nyinyi kama mmetumwa haya tutaona mwisho wake

  • @avoldwilliam1131
    @avoldwilliam1131 4 роки тому +1

    Hajaiva huyo bhana.. Mwanajeshi gani anakuwa hivyo.. Pengine AKILI imeruka

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 роки тому +5

    Kova Jr Hakunaga Mwendelezo hapo 😂😂😂😂😂

  • @ebenezerebenezerjoelynnko3535
    @ebenezerebenezerjoelynnko3535 19 днів тому

    kweli!!! Mungu tusaidie.!!!

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 років тому +7

    namuonea huruma I'm coming from very humbly soldiers family he is looking like my dad...

  • @meddodoma5235
    @meddodoma5235 6 років тому +1

    Pongezi kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kazi nzuri, watu wa aina hiyo wamekuwa tatizo kwenye jamii. Kila la heri Kamanda na vijana wako.

  • @aminasanga7096
    @aminasanga7096 6 років тому +8

    acheni hzo mroto ni mchapa kazi tk akiwa ocd maturubai ni mlinzi mzuri Wa RAIA wake hongela sana

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 6 років тому

    Daaah kazi nziri sana Jeshi la polisi..ningekua na uwezo ningewapa zawadi kubwa sana but MUNGU awabariki sana na awe nanyi katika kazi zenu awape nguvu na imani ya kutumika kwauwaminifu.

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 6 років тому +8

    Afande wangu hongera kwa kazi nzuri kuwakamata hao majangiri... Lakini nikushauli kitu kimoja ili JWTZ wawe na amani wapelekeni hao waalifu pale Maktopola muwakabizi pale wakachezee kwanza.. Wakabizi kwa wale MP ambao hawajawai kuliona jua wenye macho mekundu nadhani baada ya hapo haina haja ya case peleka moja kwa moja gerezani wataponea huko huko majeraha yao.

  • @halimayusuf7985
    @halimayusuf7985 6 років тому +2

    Uyu mwanajeshi mungu kamukumu kwa zurma

  • @lilianbunjulu1281
    @lilianbunjulu1281 6 років тому +4

    Safi kamanda good work

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 6 років тому +1

    Hatari sana Good job 4 police force

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 5 років тому +20

    Waliompiga Lissu waliingia Dodoma na wakaondoka kurejea Dar kiulaiiinii

    • @protasmalala7559
      @protasmalala7559 4 роки тому +1

      Mwenzetu kumbe unajua walitokea dar?

    • @aizackkajika5086
      @aizackkajika5086 4 роки тому

      @@protasmalala7559 hahahaha anawafahamu🤣🤣😂

    • @jumamofu9573
      @jumamofu9573 4 роки тому

      Kumbee inabidi uisaidie Police

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 4 роки тому +1

      Atatusaidia zaidi kupunguza mlolongo wa upelelezi

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 роки тому

      Kkkkkkkk interesting Indeed. Wakiingua dodoma hawatoki. So the attackers of tundu lissu bado inside Dodoma

  • @gracewambura4823
    @gracewambura4823 Рік тому +1

    Mhhhh!!!mbona wanaongea wanajiami kihivyo hata hawana hofu.

  • @aristocresseverian6623
    @aristocresseverian6623 5 років тому +4

    Wanajeshi gani hao wanaropoka hivyoo najua mwanajeshi rohongumu kumezaa 😈😈

    • @veronikadalali7251
      @veronikadalali7251 3 роки тому

      Huo ndo uwanaume akipatwa hakuna jins nimemkubal Afand wang

  • @twofivefive906
    @twofivefive906 3 роки тому

    Noma sana

  • @isacknguvumali3445
    @isacknguvumali3445 6 років тому +14

    Daaa huyu mkuu wa police Dodoma na mkubali sana

    • @isacknguvumali3445
      @isacknguvumali3445 6 років тому

      Gasper Kivamba Kivamba yani ni sheeeda ameamua kuzalilisha jeshi la watu achukuliwe hatua kabisa kweli mwanangu daaa

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 Рік тому +1

    Kubwa zima zee zima ovyooo

  • @ancomagu8531
    @ancomagu8531 6 років тому +11

    Congratulations isipect

    • @jamillaibrahim7068
      @jamillaibrahim7068 6 років тому +1

      Anco Magu
      😂 😂 😂 😂 isipect lol

    • @benardmunna9194
      @benardmunna9194 6 років тому +1

      Jamilla Ibrahim 😂😂😂

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 6 років тому +1

      Hahahahhahahaha

    • @ancomagu8531
      @ancomagu8531 6 років тому

      Jamilla Ibrahim nawe c unaamini kuwa lugha yetu hiyo my

    • @ancomagu8531
      @ancomagu8531 6 років тому

      benard munna usinicheke nifundishe jinsi ya kuandika

  • @shemelaruhinda6113
    @shemelaruhinda6113 6 років тому

    Poleni sana jeshi la polisi mnafanya kazi ngumu sana

  • @lastseen6815
    @lastseen6815 6 років тому +7

    Kiki za kipuuziii yani ata hamujui kujipanga na uwongo, hao ambao hawakuhojiwa ndio waizi wa ukweli ila uyo mwanajeshi ni kiki tu

  • @danielyissaya9372
    @danielyissaya9372 3 роки тому

    Kz nzuri

  • @goodluckmrosso486
    @goodluckmrosso486 6 років тому +23

    Kama mwalifu anajieleza hvyo nihatareeeee sana...😎😎😎😎😎 ila nahc tyu jaman hizo ni mbinu za kujulikan tyu nahc tyu jmn

    • @Mushivictor
      @Mushivictor 6 років тому

      Goodluck Mrosso yaani jamaa anavyojieleza kama anaelezea tamthilia hivi , hana hata chembe ya hofu yani jaamni

    • @ayoubcharles7038
      @ayoubcharles7038 6 років тому

      tehetehe

    • @fatumamilimo1936
      @fatumamilimo1936 6 років тому +2

      Anajielezea vizurii ili asemehewe jamani

    • @allymfangavoo6065
      @allymfangavoo6065 5 років тому +1

      Hamna mualifu apo wametengeneza watu wao mtuhumiwa gani anajieleza kama biashara ya nyanya anafanyaa

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 роки тому

    Mroto upo vizuri sana mungu akuongoze kwa kila jiti hada zaako za kupambana na wa harifu kwa kweri upo kikazi zaidi

  • @develmediatz6371
    @develmediatz6371 6 років тому +5

    nimekubali confidence ya huyo tapeli mwanajeshi

  • @aurinmlonganile2121
    @aurinmlonganile2121 6 років тому +1

    Kamanda wangu uko vizuri, piga kazi mh rais magufuli ukupandishe cheo baadae.

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 6 років тому +7

    msema hukweli mtumishi wa mungu

  • @umojablog3472
    @umojablog3472 6 років тому +1

    Jaman ngoja niwaeleze jambo muhimu" police hawezi kukamata mtu aliyevaa sare ya jwtz na siyo hilo tu zingatia cheo alichojivika muheshimiwa ni kikubwa jeshini na yeye binafsi amelipitia jeshi hilo

  • @prochesilyakurwa815
    @prochesilyakurwa815 6 років тому +8

    Kwel watanzania wameoza akili......maaana sio kwa kulalamika huko kwa kipuuzi wakikamatwa mnasema maigizo ....wasipokamatwa mnasema hawajulikani ......jamani kwel ipo siku mtatambua mchango wa jeshi letu imara na lenye sifa ya uadilifu .....Mungu ibarik Tanzania

  • @jacobwatson7107
    @jacobwatson7107 6 років тому +1

    Tunaheshimu sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri wanayofanya!!..ila kwa hili ni dhahiri kabsa n igizo la kutengenezwa

  • @shylagwadebalima7572
    @shylagwadebalima7572 6 років тому +3

    Daaaa hii Kali, yaani mtuhumiwa unafunguka bila wasiwasi, sijaelewa hiii

    • @kingyehoshafatitvbornerys2496
      @kingyehoshafatitvbornerys2496 6 років тому

      Shylagwa de Balima yaani wewe una mawzo kama yangu .....angalia kwenye koment yangu uone nilicho andika!!!!!

    • @mtangagraphics9146
      @mtangagraphics9146 5 років тому +1

      hajawah kuwa afande anatoa sirii tu kurahs

    • @dicksonmajogoro7575
      @dicksonmajogoro7575 5 років тому

      Fanya uhalifu ndo utajua Kama utafanywa nn ili ufunguke kila kitu

    • @mitemafilm88
      @mitemafilm88 5 років тому

      Unadhani anaongea tu, ashapitishwa jikoni kwanza

  • @cassianndunguru3560
    @cassianndunguru3560 6 років тому

    Hongera RPC dodoma kwa kazi nzuri....

  • @hamisijumanne3724
    @hamisijumanne3724 5 років тому +13

    itabidi huyo mwanajeshi wamrudishe jeshini

  • @vailethamati5498
    @vailethamati5498 3 роки тому +2

    Ndo uzuri wa mwanajeshi anajiamini.

  • @Millidady
    @Millidady 6 років тому +23

    Mwanajeshi kafunguka vizuri

    • @abduLlah-yj3pr
      @abduLlah-yj3pr 6 років тому

      views 22k hana kinyongo hhhhh

    • @dovicochristopher5388
      @dovicochristopher5388 6 років тому

      views 22k 😂😂😂

    • @stevenlyando1801
      @stevenlyando1801 6 років тому

      kama mchezo hivi,muharifu halafu kesi inahusu jeshi anatiririka kwa confidence hivyo wakati anajua linalomfuatia,,,,

  • @selemanshaban194
    @selemanshaban194 6 років тому +1

    Hayo ni maigizo, halafu hata hawajui kuigiza mharifu kamwe hawezi kufunguka maelezo namna hiyo

  • @african_channel
    @african_channel 6 років тому +9

    naona kamanda mroto anafuata nyayo ya kova safi sana

    • @frankbrandan8039
      @frankbrandan8039 6 років тому

      yusuph hassani kiboko alikua Alfred tibaigana

  • @amouralhabsi9296
    @amouralhabsi9296 6 років тому

    Asante jeshi la tanzania hii ni kwaajili ya raisi wetu magufuli

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 6 років тому +5

    sawa sawa Mkubwa

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 3 роки тому +1

    Huyo Desimond Zakalia n msukuma wa huku Bariad namjua aliwah kututapeli vijana wa kijijin Mwakibuga
    akidai awasaidie vijana kupata nafas za kwenda JKT Mmmh za mwiz 40 mwishoe kapatikana kumbe tapeli yan mwiz jaman had nyumban unakuja kutapeli tena kijiji jilan na kwenu dah kwelitapeli hana hakili

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 6 років тому +3

    Hongera sana askari we2, Mungu awabariki

    • @nasraabdul2522
      @nasraabdul2522 5 років тому

      Ni Sheria, mwanajeshi akifukuzwa kwa utovu wa nidhamu anyang'anywi mavazi ya keshi!! hatari sana.

  • @hoseaswai6247
    @hoseaswai6247 6 років тому

    Asante sana jeshi la usalama kwa kazi nzuri. Mwenyezi MUNGU aendelee kuwajalia uweza na nguvu ya kuu kabili uovu na kuuondosha kabisa.

    • @landsospeter2298
      @landsospeter2298 6 років тому

      Hosea Swai ww fala usimtaje mungu kwenye maigizo kama haya ebu muogopeni mungu

  • @rodrickdyampaye4499
    @rodrickdyampaye4499 4 роки тому +2

    Gonga like kama una kubari kazi anayo ifanya huyo askali

  • @marcolimbe1475
    @marcolimbe1475 4 роки тому

    Huyo akawajibishwe kijeshi polisi asanteni

  • @guyoibrahim3100
    @guyoibrahim3100 6 років тому +4

    Kwa kweli Askari ya Tz wako na nidamu, ingekuwa ya Kenya hawa shavunjwa vunjwa

  • @houseofjudah7470
    @houseofjudah7470 3 роки тому +1

    lazima ajiamini ,si tulimfundisha ukakamavu na kujiamini sisi wenjewe na kufikia cheo cha sajenti

  • @festoedward1902
    @festoedward1902 6 років тому +28

    Mhalifu gani anafunguka Hana wacwac 🙄🙄🙄🙄🙄 au ni kiki anataka awe igp

    • @wandwechacha7813
      @wandwechacha7813 6 років тому

      Unataka aongee akilia au

    • @sekinatalibtalib8246
      @sekinatalibtalib8246 6 років тому

      Festo Edward1 umeona ee it has never happen like this ati mtu akubali live makosa.Tz bhana nchii ya kiki

    • @naftalydeogratius9805
      @naftalydeogratius9805 6 років тому

      maigizo hyoo

    • @samobicon3195
      @samobicon3195 6 років тому

      hujawahi kubanwa wewe

    • @AmosBPeter
      @AmosBPeter 6 років тому

      Festo Edward1 huyo alikuw ni soja ndo maan han wacwac angalia ambao hawan combat

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому

    Hongera sana kamanda kwa kazi nzuri

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 років тому +38

    Hii nchi ina raia waliooza akili, wasipokamatwa mnaanza kudai police wanasema upelelezi upelelezi lkn hamuoni matokeo, wakikamata wahalifu mnasema wanaigiza, semeni sasa mnataka nini!!, You have been brainwashed by medias, wake up guys.

    • @shabaniomary9766
      @shabaniomary9766 6 років тому

      Jonathan Masu
      Hahaha

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 років тому

      Jonathan Masu ,Tunawataka waliomimina risasi 38 saa sabamchana,kama Dodoma ukiingia hutoki,walewalitokajee?

    • @jonathanmasu6803
      @jonathanmasu6803 6 років тому

      Ziada alute, sawa endeleeni kuwa wavumilivu watawaletea

    • @mwanaharakatidjguy6546
      @mwanaharakatidjguy6546 6 років тому

      Jonathan Masu hao wa pikipiki sawa lakn yule luten mmmmmh

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 років тому

      Jonathan Masu kuna majitu majinga hata yafanyiwe nini yatapinga tu

  • @saidimrisho5227
    @saidimrisho5227 6 років тому +1

    Inapendeza zaid kwa askari wetu kufanya kazi nzr kama hio

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 6 років тому +5

    Alafu anaongea bila wasi wasi 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 років тому +1

    hongereni polisi kwa kazi nzuri,bora kuongeza nguvu zenu kwa wahalifu kuliko kwa wanasiasa.

  • @nelsonkyauke1481
    @nelsonkyauke1481 6 років тому +2

    Tanzania tunajua kucheza na akili za watanzania

  • @husseinyahaya9386
    @husseinyahaya9386 6 років тому

    Huyooo desmond kwelii mafiaaa aliwah kufundsha shule flan hv singapole manyon alipoondoka akatapelii nusu ya kijiji

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 років тому +3

    DUUUUUU HATARI SANA NA HONGERTA POLISI DODOMA

  • @AmCool_
    @AmCool_ 4 роки тому +1

    Huyu Jamaa kweli alikuwa jeshi. Kwanza anajiamini wala hatetemeki anavyojieleza. ....

  • @jonathanmasu6803
    @jonathanmasu6803 6 років тому +11

    Hii nchi ina raia waliooza akili, wasipokamatwa na mnaanza kudai upelelezi hamuoni matokeo, wakikamata wahalifu mnasema wanaigiza, semeni mnataka nini, You have been brainwashed by medias

    • @landsospeter2298
      @landsospeter2298 6 років тому

      Jonathan Masu namba moja elioza akili niww ebu itazame hio video kwa umakini polic anasema mwanajesh kafukuzwa yeye mwanajesh anasema amesitaafu yani maigizo hata chizi akiangalia atajua tu

    • @issaramadhani9714
      @issaramadhani9714 5 років тому

      Hata mwizi akiiba kamwe hawezi kusema aliiba si ajabu na huyo mtuhumiwa hawezi kusema kuwa alifukuzwa jeshini bali ndio maana kasema alistaafu.

  • @petermuganda7087
    @petermuganda7087 6 років тому

    hongereni sana jeshi la polisi kwakazi nzuri.

  • @peterkawandamo9096
    @peterkawandamo9096 6 років тому +13

    Hahaha daaaah hii movie inaitwajee??

  • @mariunkirungi6201
    @mariunkirungi6201 6 років тому

    mmmmmh huyu mbaba anajieleza vizuri aisee mbavu zangu mie tapeli hana hata soni ya aibu wonders shall never end safi sana Kamanda big up

  • @kahugentobi2715
    @kahugentobi2715 6 років тому +11

    Wa Lissu Walitokaje Dodoma Mpaka Leo movie 2

  • @kenedykakozi3163
    @kenedykakozi3163 Рік тому

    Wao

  • @mbwanamkenda8560
    @mbwanamkenda8560 6 років тому +5

    Wewe acha kudanganya uma mnakamata tuvibwengu ila walio mpiga tundu lisu mlishindwa kumkamata

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 років тому

      Mbwana Mkenda ,tunashangaaa

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 років тому

      Mbwana Mkenda kwahiyo wasifanye kazi nyingine, we kuma kweli

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 років тому

    Kazi nzuri kamanda,hongereni sana.

  • @sadxkyando5456
    @sadxkyando5456 6 років тому +4

    MWALIMU GANI ANATOA SIRI hamuna D hapo vinafunzi tuu
    Kipengere cha kiki SIWAAMINI

  • @kimbys2247
    @kimbys2247 3 роки тому

    Dah mbna mzee anaongea bila wasi wasi Dah noma sana ❌❌❌❌

  • @braitmichael7711
    @braitmichael7711 6 років тому +5

    Mkuu naomba mnitumie namba zenu niwatumie namba yasimu inafanya utapeli kwa kupitia jina la kiongozi.

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 6 років тому

    Asante kamanda safi sana

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 6 років тому +5

    Big up kamanda!

  • @yasinilyandu4392
    @yasinilyandu4392 5 років тому +1

    PIA KWANN SIKU IZI KILA TUKIO LA POLICE JUU YA KUWAKAMATA WAALIFU LAZIMA WAZITUME MTANDAONI NA KUNA ULAZIMA GAN NA INAFUNDISHA NN WENGINE???????🙅😷😷😷😷😷😷😷

    • @takataka6827
      @takataka6827 5 років тому

      Yasini Lyandu sasa na wewe siumejifunza kwamba unaweza kutapeliwa. Mbona hamnaga Jema la kujifunza